Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)

  Рет қаралды 669,619

Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili

Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili

3 жыл бұрын

Ruqya ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah).
------------------
Kasema Allah Subhanallah Wataalah:
"وَإِذَا قُرِئَ ٱلْقُرْءَانُ فَٱسْتَمِعُوا۟ لَهُۥ وَأَنصِتُوا۟ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ"
"Na isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa"

Пікірлер: 980
@josephmuiya2934
@josephmuiya2934 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu nakuomba kupitia dua hii kutoka kwenye quran yako tukufu uniodolee kila mabalaa na makafara na matatizo yote yaliyo kusudiwa ndani ya mwili wangu amin
@user-ki9le1jy8e
@user-ki9le1jy8e 4 ай бұрын
Yaarabii nijaalie subra katk maisha yangu uniepushe namaadui wanao nichukia bila sababu nipe subra katk utaftaj wangu nipe aman mm nafamilia yang kijaalie kizaz changu yaraab yadunia yakae mbl nas ujae wew ktk moy wang aaamiiiin
@issahamisi4066
@issahamisi4066 6 ай бұрын
Asante San kwa kuweza fungua moyo baada ya miaka takriban 5 sikuweza gusa msikiti Ila SAA 9 hii ya usiku nimeweza shika udhu na kushuhudilia apana mola apasae kuabudiwa Ila ni Allah tu na mtume Muhammad ni mjumbe wake na nimesujud na kutubia
@Divathebawse
@Divathebawse 5 ай бұрын
zkupitia dua hii Naomba Ya Allah SWT oniondoshee Maradhi Ya Nyonga, Pingili za Mgongo na tumbo na Maradhi Ya Moyo yanayoanza nisumbua Mungu Wangu Nilinde na wivu na chuki za waja niondolee wabaya katika maisha yangu niletee Mema jenga mema kwangu niongezee kila panapopungua timiza ndoto zangu na jaalia familia yangu
@Ommyson.
@Ommyson. 3 ай бұрын
Allahumma amiina, Allah akujibu maombi yako inshallah amiin🙏
@azizauwase9207
@azizauwase9207 Ай бұрын
Allahuma aamiin Allah ukupokelee dua
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj Ай бұрын
Alluhamma amin tia nia 🤲
@halimakatetemela4955
@halimakatetemela4955 Ай бұрын
Allahuma Ameen
@munirambarak1202
@munirambarak1202 5 күн бұрын
Allahumma Ameen
@johnnyariza6460
@johnnyariza6460 8 ай бұрын
Eeeh Allah tupe mwisho mwema turudi kwako mazima maana sisi binadamu ni viumbe dhaifu sana ufanye Wema uwe Ndani yetu na tukujue wewe ni Allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mankaswai5313
@mankaswai5313 7 ай бұрын
Amiin 🤲
@blessingmushi-py6ug
@blessingmushi-py6ug Жыл бұрын
Alhamdulillah asanteh Allah nakuombea shekhe Allah akupe shifaa akulinde wewe na familia yako naomba azilinde na familia zetu sote atuondolee mabalaa shari majini mabaya husdaa ya Rabby naomba tuongezee nuru katika mambo yetu naomba utujaliw wepesi kwenye kila yalikua nagumu Ameen
@user-hp6rx1gk2g
@user-hp6rx1gk2g 8 ай бұрын
Yaarabi nakuomba utuondole mabalaa yoto yahapa duniani utupe maisha.mema utuondolee maradhi utupe afya njema mm pamojana family yangu wangu mume wangu ndugu zanamarafiki pamoja namama yangu waondolee Maradha wote kwajumla❤❤ Amiin
@jumannewazir6716
@jumannewazir6716 5 ай бұрын
Mungu wangu wangu mwenye rehema na amani nakuomba nipe mwisho mwema mimi na familia yangu pamoja na waislamu wote wanaokuamini kuwa unaweza kusema kitu kiwe na kikawa mungu wangu nawasogeza wazazi wangu mbele zako na kuwaombea mwisho mwema 🙏 mungu ninakila sababu ya kukuabudu na kukuheshimu kwakuwa unanijua hata kabla hujaniumba Allahumma taqabali duaa 🤲 ya Allah subukhana huwataallah nilindie kazi yangu nipe amani ya ndoa yangu yarabla Allah mina niondole husida ijicho na mashetani wabaya katika maisha yangu mungu nipe mwisho mwema allahumma taqabali duaa 🤲 😭🤲
@tohidaluvuno5858
@tohidaluvuno5858 Жыл бұрын
Ewe yarab nisamehe mm n wazazi wangu ewe yarrab nisamehe mm n ndungu zangu.ewe yarab nisamehe mm n kizazi changu.ewe yarab nisamehe mm n waislam wote n walio tangulia pia uwasamehe amin 🤲🤲🤲
@lamiaawino3768
@lamiaawino3768 Жыл бұрын
Allahuma amiyn
@fatumaharuna8625
@fatumaharuna8625 Жыл бұрын
Maashaallha
@user-rp3fe4zg2p
@user-rp3fe4zg2p Ай бұрын
Allahuma amin
@ZaitunSeif
@ZaitunSeif 28 күн бұрын
Yarabi mjalie tujaliee afia njema
@munirambarak1202
@munirambarak1202 5 күн бұрын
Allahumma Ameen
@user-xq3nh7kh5l
@user-xq3nh7kh5l 2 ай бұрын
Nmeshindwa lala mauzauza yananijia moyo umekuwa na wasiwasi lakin kwa dua hili nmepata ata nguvu ya kuandika ujembe huu siamin na nlichokuwa nakisikia nje ya nyumba 🙏 inshaallah shekhe ulietuwekea hii dua allah azidi kukuweka utuponye waislam wote🙏
@naimarasheed5857
@naimarasheed5857 2 жыл бұрын
Kwa uwezo Wa Allah najua mitihani ninayo ypitia kila siku in shaallah kwa uwezo Wa Allah itakwisha tu naomba unipe nguvu uvumilivu na afya njema hakuna unalo shindwa mungu wangu in shaallah 😭🙏
@rehemafeysali7968
@rehemafeysali7968 Жыл бұрын
Amin inshaalah 🙏
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Amiin inshallah
@alphoncymatara5108
@alphoncymatara5108 Ай бұрын
Amiin 🤲
@azizauwase9207
@azizauwase9207 Ай бұрын
Aamiin.kwa uwezo wa Allah utaweza
@ibrahimuyusufu2890
@ibrahimuyusufu2890 Жыл бұрын
Alihadulillah mwenyezi mungu kwa ukubwa wako kwa utukufu wako kwa hekma yako na hikma ya quran yako tukufu na kwa ukalim wako na kwa upole wako nijalie niwe mja wako mwema na nijalie kwako niwe mwenye kutenda matendo yanayo kulizisha yaah allah nijalie nijalie mwisho mwema nijalie swala5 nakuomba ewe mwenyezi mungu kwa baraka yako na baraka za mtume Muhammad s w m nijalie lidhk na lidhk ilio ya halali amina
@user-td1qu5ku2e
@user-td1qu5ku2e 6 ай бұрын
Alhamdulillah namshukur mwenyezi mungu kwakupitia dua hii ukaniondoshee husda na mabalaa yanayo nizinguka na uniepushie mapepo mabaya yaarabi kupitia dua hii naimani utaniponya.kupitua duahii nilindiye familia yangu nipindie kizazi changu na unipe mume bora Amin 🤲🤲🤲
@mariamungendakumana6887
@mariamungendakumana6887 2 жыл бұрын
Mnsha Allah mnsha Allah yaa rabby nijaliyeee mema katika maisha yang niepushe namitihani iloja katika maisha yangu 😭😭🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏 Insha allah😭😭 niepushe na maradhi katika mwili wangu 🤲🤲🤲😭😭😭 Insha allah
@user-ix9nd2jt8j
@user-ix9nd2jt8j 4 күн бұрын
Kwa mitihani niliyokua nayo ewe mwenyezimungu niondoshee kupitia Quran hii amiin 🤲
@AnabAbdallah-ii7ou
@AnabAbdallah-ii7ou 9 ай бұрын
Mashallah na shukuru tangia nisikilizi hii duwa mambo yangu ya naenda vizuri paka wachawi wamenishindwa wanakimbia wenye we❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-ek7gk2yb1o
@user-ek7gk2yb1o 10 ай бұрын
Yaalah nijalie mwisho mwema yaraabi jalia kizazi changu kiwe na hofu ya Allah waapushie na matatizo ya kidunia niaondolee mawazo niweze kuishi inchi ya watu kwa amani Amina yabii
@lisawilliam6623
@lisawilliam6623 9 ай бұрын
Allah kwa dua hii naomba niondoshee maradhi yote mwilini,niepushe na husda wajua mateso nayopitia kwa dua hii nitakuwa Sawa inshallah
@jacobponga1540
@jacobponga1540 2 жыл бұрын
Masha Allah, tabaraka Allah naskia moyo wangu una utulivu kabsa pindi tu Naskiza Qur'an inaposomwa ❤🧡💛💚💙💜🤎 jazakallahu kheri
@falhatmuhsin4930
@falhatmuhsin4930 Жыл бұрын
Mashallah💗💜💖💕
@sharifashabani7182
@sharifashabani7182 2 жыл бұрын
ALLAH AKULIPE DUNIA NA AKHERA INSHAALLAH
@babykasisi307
@babykasisi307 Жыл бұрын
Masha Allah. Namuomba Allah anijaalie rizki ktk shughuri zang, aniondolee husda mbaya, aniepushe na mabalaa, anikingu na maradhi makubwa na madogo, awaajalie watoto wang elimu dunia na elimu akhera wawe vichwa wasiwe mkia, amfanyie Mama yangu wepesi na kumuondoshea maradhi makubwa na madogo, atujalie familia tyweze kuelewana na kuoendana. Amiina Insha Allah
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Amiin yarabi
@juliusaloyce5526
@juliusaloyce5526 Жыл бұрын
Manshalla🙏
@zuenaali7391
@zuenaali7391 Жыл бұрын
Amiin ya Allah
@AnitaMalko
@AnitaMalko 7 ай бұрын
Masha Allah naamini atatizo yangu yataisha nasumbuliwa na mashweitani yakiwanga,
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Жыл бұрын
Alhamduliliah yarabi naomba kupitia Dua hii ikapate kuniodoshea Kila lililo baya Kwngu inshallah
@samirasadasalum5974
@samirasadasalum5974 2 жыл бұрын
Ninaimani na Quran kitabu kitukufu hakika tutaponywa nayo kwa idhini ya ALLAH, Inshaallah
@africanoguy5140
@africanoguy5140 Жыл бұрын
Maashaallah tabaraka’llah🙏🏾 huja kosea kweli Qur’an ni shifaa kwa wanao amini
@mariamchuwa7916
@mariamchuwa7916 Жыл бұрын
Mashallah allhamdullillah namshukuru
@maidajuma9331
@maidajuma9331 7 ай бұрын
Kupitia dua hii namwomba Allah atulinde mie na familia yangu dhidi ya hasadi za walimwengu na kutujalia Afya njema
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 2 ай бұрын
Amiin 🙏
@luckymsafiri9045
@luckymsafiri9045 Жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu kutumia Dua hii naomba umuondoshee mama angu adhabu na kaburi na umueke kwenye waja wema inshallah
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Allah nakuomba nipe rizik nene unifungulie mazuri kwenye biashara yangu na unitolee husda na macho mabaya inshallah
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 Жыл бұрын
Masha Allah Alhamdulillah Shukurni Sana Kwa Quran Hii Tukufu Alhamdulillah Hakika Kwa Allah Hakuna Linalo Shindikana ali Ya Jana Tofauti Na leo Alhamdulillah 🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾
@omarykatongo4943
@omarykatongo4943 3 жыл бұрын
Allah atujaalie wepesi ktk kila la kheri na atuepishe na kila la shari, bi idhnihii
@tafsiriyaqurantukufukwakis966
@tafsiriyaqurantukufukwakis966 3 жыл бұрын
Ameen
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Amin Omar kwa sote
@aishaaaisha3815
@aishaaaisha3815 3 жыл бұрын
Ameen 🤲🤲
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin Yarabal alamin
@omarykatongo4943
@omarykatongo4943 3 жыл бұрын
@@Awatee takabar mina
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Ya allah mponye mama angu na amini dua hii inakwenda kumfungua vifungo vyote alivyofungwa na majini mabaya aliotumiwa inshallah 🤲🙏
@teacherhassan5260
@teacherhassan5260 Жыл бұрын
Shukraan Jazeela..Qur'an ni tiba na pia ni Ukumbusho tosha...Ni maneno ya ajabu yanayotuliza hata nyoyo za wasokuwa waislamu❤️❤️❤️ Jazakallah khayr
@aishayusuf6862
@aishayusuf6862 3 жыл бұрын
Maasha Allah Allah atukinge na mabaya yote dhidi ya mashetwan Amiin 🤲🤲🤲
@aldeneliseo7500
@aldeneliseo7500 2 жыл бұрын
InstaBlaster...
@mwajeyhassan9248
@mwajeyhassan9248 Жыл бұрын
Tunashuk kwa kisomo hiki Allha atufanyie wepesi wote wenye huitaji.
@user-rd9lv8bj1m
@user-rd9lv8bj1m 6 ай бұрын
Mashaallah ninavyozidi kusikiliza Qur an tukufu ndipo navyozidi kupata amani ndani ya nafsi yangu
@husnaabdulrahman8457
@husnaabdulrahman8457 2 жыл бұрын
Allah atutatulie dhiki na mitihani ya mahasidi atujalie wepesi kwa aya hizii yarabi
@medmusmus
@medmusmus 2 ай бұрын
Eee mwenyezi Mungu naomba uniondoxhee shetwan aliyeko kichwani mwangu kupitia dua hii AMIN Amin
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Penye uzito allah atufanyie wepesi atuondolee maradhi inshallah 👏
@fatmanasor6362
@fatmanasor6362 2 жыл бұрын
Alhamdhulillah nashukuru Allah kwakunionyesha njia iliyo sahihi Alhamdhulillah naamini Quran n tiba kamili 🤲🤲🤲
@zamojuma9920
@zamojuma9920 Жыл бұрын
Ya Allah nakuomba mungu wangu uniwekee wepes katika mazito nayopitia nijalie nipate mume mwiisilamu ya rabi bila wewe Mimi siwezi nipekipato Cha halali nirehemie wazazi wangu mabibi na wakubwa zangu na ndugu na jamaa walio tangulia mbele za haki inshallah
@timesaleh6756
@timesaleh6756 Жыл бұрын
Utapata mume mwenye heri na wewe na kila mwenye kuhitaji basi Allah amtatulie shida zake
@tumuabdallah9663
@tumuabdallah9663 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah Awajaaliye umri mrefu muzidi kutufanyiya duwa zakutuepusha nashari
@faridasabir6571
@faridasabir6571 11 ай бұрын
Mungu mkubwa sasa moyo wangu umetulia kwa kusikiliza hii dua
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Ivi aowatu wanao dislike wanajua kweli utukufu wa qur'an au awajui walitendalo yaraby wasamehe😢😢😢
@aminaibrahim7438
@aminaibrahim7438 3 жыл бұрын
Hawa sio wasilamu
@fatumahussein4705
@fatumahussein4705 3 жыл бұрын
Allah awazidishie
@najmaharoub280
@najmaharoub280 3 жыл бұрын
Allah atawaongoza ishaallah wajue dini ya khaki
@NammanaMobile
@NammanaMobile 2 жыл бұрын
Hakuna quran inayosomwa kwa mtindo huo iyo ni shirki ndugu... Kama mgonjwa anaumwa na akaitaji asomewe quran soma sura yote au hata msahafu mzima.. Na pia dawa zipo.. Na atakaekuletea hadith inayohalalisha uwo usomaji.. Allah anasema unaposoma maneno yake usipunguze wala kuzidisha.
@salhajuma2250
@salhajuma2250 2 жыл бұрын
Allah awaongozee
@mariummarium8958
@mariummarium8958 8 ай бұрын
Mimi sio msilamu lakini anapenda kusikiliza Koran na dua yao🎉🎉
@hbnkingi
@hbnkingi 2 ай бұрын
MashaAllah 🤝🏽
@reenkim8390
@reenkim8390 28 күн бұрын
Mimi pia kwani naiman Mungu ni mmoja tunae mwabudu …. Inshaallah mwenyenzimungu atufanyie wepesi katika kila jambo 🤲
@zainaramadhan4034
@zainaramadhan4034 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah anijalie uzima na afya njema niendelee kuisikiliza kila siku maan nina mengi mazito allahumma ameen 🤲🤲🙏🏾🙏🏾😓
@user-rb1jd9gk6u
@user-rb1jd9gk6u 11 ай бұрын
Ya allh nakuomba kupitia Qur'an yak tukufu uniondolee maradhwi yanayo nisumbua mwili na unijalie niwe afy njema na unijalie niwe mwenye kuipenda Qur'an ishaallh na utujarie mwisho mwema❤ 8:57
@bunuadiyo5944
@bunuadiyo5944 2 жыл бұрын
Masha Allah.Mwenyeezi Mungu atujaalie Kila la heri in Shaa Allah. Amin Amin Amin
@TausRamadan-fq9zd
@TausRamadan-fq9zd 11 ай бұрын
Ewee Allah nakuomba kupitia dua ukaniondolee maradhi yote katika mwili wangu 🤲🤲🤲
@safiasleiman6176
@safiasleiman6176 2 жыл бұрын
Tunaomba za kudawnlod maalim hii haikubali kudawnlod kwa kweli ni nzuri sana
@mwakakigona2803
@mwakakigona2803 Жыл бұрын
Dah kweli haikubal
@SULUMUABDUL
@SULUMUABDUL 9 күн бұрын
Mungu nifungue kwenye vifungo vibovu nipe amani ya moyo nilinde na usda za waja walinde wanangu na mume wangu namzazi wangu amina nisamee makosa yangu
@wardmohamood5845
@wardmohamood5845 Жыл бұрын
Amen Allah atuondolee mabay Nami pamoja na Familia yngu atufanyie wepesi kweny nzito maradhi vifungo viishe
@tamarablack254
@tamarablack254 Жыл бұрын
Mungu na anifanyie wepesi kwa kila jambo langu, Insha'Allah 🙏.....Nipe amani ya moyo na furaha kwa jamaa zangu.....Niondolee Husda ,mikosi na nuksi za wabaya....Allah Wakbar
@salamsinani2301
@salamsinani2301 Жыл бұрын
Masha Allah Mungu mkubwa nilipatwa na mtihani ya kishetwani lakini baada ya kuskiliza hii ruqiya nimepata unafuu hata kazi zangu nafanya ALLAH awape shifaa wote mnausumbuliwa na maradh🤲
@mwanasaidi5092
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Aamiin 🤲🤲🤲
@rahmaally9151
@rahmaally9151 Жыл бұрын
Ameen thumma ameen
@malickrashid2672
@malickrashid2672 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ameeeeb
@lamiaawino3768
@lamiaawino3768 Жыл бұрын
Amiyn Kwa sote
@tauhidajumahamad1218
@tauhidajumahamad1218 Жыл бұрын
Amin🤲
@azizaallliez7627
@azizaallliez7627 3 жыл бұрын
Mashallha kila mwenye shari na mimi yatamrejea mwenyewe kwa uwezo wa allha tulindiee na mabalaa mola wanguu tuepushe na kila ushirikina na kila bayaa amin yarrabi
@harithtwaha
@harithtwaha 2 жыл бұрын
Hiii dua imenisaidia
@mankaswai5313
@mankaswai5313 7 ай бұрын
Mashallah amiin🤲
@Divathebawse
@Divathebawse 5 ай бұрын
amin
@nurujuma-qs4jr
@nurujuma-qs4jr Жыл бұрын
Yaa Allah nakuomba kupitia dua hii km kuna kitu chochote kibaya kimo ndani ya mwili wangu,ndani ya nyumba yangu,ndani ya familia yangu basi insha'Allah leo yote yaishe na yatoke kwa uwezo wako sw pia muondolee mama angu mzazi magonjwa yote na arudi ktk hali yake ya kawaida pia na mama mkwe wangu nifungulie millango ya risk na undoe nuksi kwenye familia yngu zidi kuwapa uelewa wanangu ktk elimu ya ekhera na dunia waepushe na majanga ya dunia ya rabilla allamina 🙏🙏
@AbubarIsmailMsechu
@AbubarIsmailMsechu 19 күн бұрын
Hiii Dua Ina saidia sana kuondoa majini nawashirikina,, Weka kifuani sikiliza kadri uwezavyo itakusaidia kwa kudra za ALLAH
@bety1995
@bety1995 10 ай бұрын
Allah anijalie katika MAISHA yangu na familia yangu,anisimamie katika Kila jambo langu
@bintihemedmwarundu4615
@bintihemedmwarundu4615 2 жыл бұрын
Yarabi anipatie subra katika kazi zangu ,anifungulie rizik, mwenye hubaya na mm humrudie inshaaallah🤲🤲
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Haswaaa umrudie aoneyana vyouma nakuteseka
@agiraali7693
@agiraali7693 Жыл бұрын
Haswaaa
@ukhtymdee8557
@ukhtymdee8557 Жыл бұрын
Àlhumma Aaaamin 🤲 Yarababy Allah min
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 Ай бұрын
insha'Allah 🙏
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 жыл бұрын
Shukran jazakallahu lkhair biidhnillah in shaa Allah matatizo yetu yoote yatatoka kwa hichi kisomo yaarab
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 3 жыл бұрын
Amiin
@ustadhkamoleabubakar0013
@ustadhkamoleabubakar0013 3 жыл бұрын
mishi mm ni ustadh abubakar nitafute inshallah +254728750946
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 3 жыл бұрын
@@ustadhkamoleabubakar0013 inshaallah
@fatimamzigua8333
@fatimamzigua8333 2 жыл бұрын
Amiiiin yarabi 🤲🙏
@azizaosman3062
@azizaosman3062 2 жыл бұрын
Amiin
@fatumaharuna8625
@fatumaharuna8625 Жыл бұрын
Alhamdulillah Yani na Mimi Leo ndo naioa hii hapa naisikiloza jinsi ninvyojisikia Allha ndo anajua,shekhe Allha akulipe kheri,amiin,hili si jambo dogo utatutibu wengi ishaallha
@ashashaban6484
@ashashaban6484 Жыл бұрын
ALLAH AKULINDE ZAIDI NA SHARI ZA WALIMWENGU SHEIKH WETU NA AKUUJAALIE KATIKA WATU WA PEPONI INASHALLAH NA MIMI NAMUOMBA ALLAH ANIONDOSHEE MARADHI HASADI MAADUI WALONIZINGUKA KOTE KWENYE MAINSHA YANGU NA FAMIRIA YANGU ALLAH ATUJAALIE UPONYAJI KUPITIA DUA HII INSHALLAH NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA WAISLAAM WOTE ULIMWENGUNI ISHALLAH
@aminajuma7162
@aminajuma7162 Жыл бұрын
Mashaallah ❤ nashukru kwa kupata hiki some japo kwa mtandao lakini kimenipa imani ndani yamoyo wangu maana niko na matatizo mengi ndani ya mwili wangu kwa uwezo wa ALLAH na imani yangu kitanitibu kwa imani yangu.
@ukhtyhumairah73
@ukhtyhumairah73 8 ай бұрын
Allah nakuomba unizidishie imani ndani ya moyo wangu unisame napo kosea mimi na waislam wenzag yaa rabbii
@thuwaibaidrisa7802
@thuwaibaidrisa7802 4 ай бұрын
Naam kweli kabisa dua hizi zinazotoka kwenye quran ndo ponyo zetu wallahi Allahu aqbar Alahu aqbar Allahu aqbar
@whitesavage6931
@whitesavage6931 Жыл бұрын
Mashallah Allah ndio mjuzi wa yote na ndio anayetoa uponaji pia Allah anajua mja wake mitihani yangu ninayopita kwasasa nakuomba kupitia dua hii awezekunifungulia mambo yangu na mitihani yangu anaondolee Inshaallah 🙏😭
@SabrinaAmana
@SabrinaAmana Жыл бұрын
Inshallah
@faridasabir6571
@faridasabir6571 Жыл бұрын
Inshallah amin
@ukhtymdee8557
@ukhtymdee8557 Жыл бұрын
Alahumma Aaaamin Yarababy Allah min allah tupokelee duwa na utuondoshee kila shar zi tokanazo na majin na bina damu ewe Allah hakika hatun shaka juu yako twa kuomba wew mwenye kuruzuku hakika tuzuruku afya njema sis na walioko ma hospital na utuepushe na kila husda na shar za majin na bina damu ewe mola wetu hakik wew ulie tukuka tukubalie duwa zeetu 🤲🤲😭😭
@user-pl8ju6zc3r
@user-pl8ju6zc3r 5 ай бұрын
I love is quran😍❤❤❤
@user-lr4jj9pn1g
@user-lr4jj9pn1g 3 ай бұрын
Yarabi naomba unijalie kupitia haya maneno yko matamu unitoe nuksi mwilini mwangu na unijalie niwe mtu wa kupendwa na watu na ujalie riski ya halali na unijalie mdomo wangu usitoe maneno machafu nijalie riski mungu wangu ili niowe mke mwema ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ladukarisa6968
@ladukarisa6968 3 жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu tujaliye mwisho mwema
@rukiarajab959
@rukiarajab959 3 жыл бұрын
Ameen yarabi
@aishamdoe7
@aishamdoe7 2 жыл бұрын
Ameen Insha'Allah
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Amiiin.
@mwanasaidi5092
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Amiin Yarabi
@mankaswai5313
@mankaswai5313 7 ай бұрын
Amiin 🤲
@tatukais6367
@tatukais6367 3 жыл бұрын
Allaah awalipe maana tunapata falaja kubwa in shaaalh
@jumamuhammed2777
@jumamuhammed2777 Жыл бұрын
Yarib wandoshe maradhi walionayo wanangu mugunisaidie zidikunipa shufa🤲🏼🤲🏼🤲🏼amiin amiin amiin👩‍👩‍👦‍👦💕💕💕💕💕
@AzzaSoud-ij8by
@AzzaSoud-ij8by Ай бұрын
Ya Rabb Alaamiin Azza wa Jal,Muumba wa mbingu na ardhi,mwenye kurehem,neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo..nikaomba na kutubu mbele zako Allah,nayakabidh maisha yangu,wazazi wangu,wangu,mume wangu na ndugu zangu..ya rabb tuongoze katika njia salama na yenye kukupendeza.tusamehe madhambi yetu,tujaalie mwisho mwema ya Allah.kupitia duah hii naomba unifungue vifungo vyote ima vya binaadam ama majini,hakuna linaloshindikana kwako Allah.tabaqal duah 😢🥹🤲
@rukiaathman6247
@rukiaathman6247 2 жыл бұрын
MashaAllah Allah anijaalia niweze kuiskiza kila siku InshaAllah
@habibasaidi5206
@habibasaidi5206 2 жыл бұрын
Ewee mwezi mungu nijalie dua hii Mimi na familia yangu
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Ya allah tuondoree hasadi katika familia yetu inshallah na umponye mama yetu inshallah 🙏
@mohamedomari6515
@mohamedomari6515 Ай бұрын
Ee mwenyezi MUNGU nijaalie afya njema mimi pamoja na familia yangu, niondishee mitihani inayonikabili mimi pamoja na familia yangu, niondishee maradhi na dhiki mimi pamoja na familia yangu kupitia dua hii! Amiin inshaallah!
@reenkim8390
@reenkim8390 28 күн бұрын
Eee Allah nilinde na Hasadi za huu ulimwengu… nipe muongozo mzur wa kuku tumikia kila siku niamkapo….linda familia yangu katika mabaya Allah ….. fungua riski ndogondogo na zile kubwa kubwa katika maisha haya ulio tupatia ya mda mfupi apa duniani…. Nilinde na magonjwa yasinipate.. nijaalie mume bora wa kunipenda na haliyangu pamoja na familia yangu.. hakika Allah nijaalie mwisho mwema 🤲 inshaallah nikiomb na kwakuamini ndivyo itakavyo kuwa… Amin 🙏
@hamidahamada3913
@hamidahamada3913 3 жыл бұрын
Jazaakallahu khayral jazaa Sheikh, Allah atutatulie mazito yawe mepesi.... Allahumma Ameen
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 2 жыл бұрын
Amini yarabla Amin 🙏🙏♥️♥️
@mudyzuber6500
@mudyzuber6500 2 жыл бұрын
Jazakallaah lkheri
@abuunuwairibin7569
@abuunuwairibin7569 Жыл бұрын
اللهم آمين يارب العالمين 🤲
@pilicharo4123
@pilicharo4123 Жыл бұрын
mashallah dua hii uwa naipenda kuisikiliza nikisikiliza navizuri allah anijalie niendelee kusiliza
@user-pb8kc1lv9t
@user-pb8kc1lv9t 2 ай бұрын
Ya allah kupitia dua hii naomba unifungulie ridhki zangu mimi na familia yangu ukaniondolea kila giza kwenye maisha yangu niwe mtu mbele za watu eh yarab wewe pekee ndo tunakuabudu na kukutegemea yarab naomba niwe kichwa kwenye kwenye familia yangu kwani Wadogo zangu wananiangalia mm sitoacha kukuomba ya allah 😭😭😭🤲🙏
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps 5 ай бұрын
Ya ALLAH ss waja wako tufanyie wepesi kwa kila mtihani tunayopitia ya RABBI tuondolee matatizo mwilini mwetu ya RABBI kupitia dua hii sheikh ALLAH akujalie mema duniani na akhera amiiiiiiiin
@hawamudihawa8779
@hawamudihawa8779 2 жыл бұрын
Ewe mungu wetu tujaalie wote wenye maradhi ya hasadi sihiri na majini wabaya utukinge kupita kisomo hiki cha khuroani ameeni
@omzahara5985
@omzahara5985 2 жыл бұрын
Amiiiina 🤲
@aishaaziza5657
@aishaaziza5657 Жыл бұрын
Amiin
@enzoon5796
@enzoon5796 Жыл бұрын
Amin inshallah
@sukynerally3509
@sukynerally3509 Жыл бұрын
Amiiiina inshallah
@Listarmwandenuka-fq8jm
@Listarmwandenuka-fq8jm 5 ай бұрын
Amiin
@muhidinishauri5035
@muhidinishauri5035 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atufanyie wepesi katika kila jambo amin!!
@user-ub7tx4zw3k
@user-ub7tx4zw3k 7 ай бұрын
InshaAllah Kwa uwezo wa Allah Kila ninachokikusudia Kwa mjibu wa dua hii Allah atanifanyia wepesi InshaAllah ❤❤❤
@neemarashed3391
@neemarashed3391 2 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah,ya allah ijalie iwe tiba kwa waislam wote
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Allah awajalie nanyi afya njema awastri na mitihani kwa rehema zake Allah
@tafsiriyaqurantukufukwakis966
@tafsiriyaqurantukufukwakis966 3 жыл бұрын
Ameen kwa wote
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 Allahumma amin
@cristinakatana6809
@cristinakatana6809 3 жыл бұрын
Christina katana mwenyezi mungu aw zidishie her hap duniani na hahera
@fatumamohamed5608
@fatumamohamed5608 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@wilsonbaya9268
@wilsonbaya9268 2 жыл бұрын
Mashallah may Allah bless you and protect us from all the evil plans inshallah
@aminambarukmohammed6684
@aminambarukmohammed6684 2 жыл бұрын
Ameen ya Rabb
@lamiaawino3768
@lamiaawino3768 Жыл бұрын
Amiin
@rizikiBinti-kv5jw
@rizikiBinti-kv5jw 3 ай бұрын
Amiin 🤲ya Rabb
@mounalondo8707
@mounalondo8707 2 жыл бұрын
Kheri inshaaAllah Allah atutatulie mazito yetu kupitia duaa hii Aamiin yaarab
@bintifikirini-wy3kc
@bintifikirini-wy3kc 2 ай бұрын
eeeh mungu wangu nakuomba kupitia kuran hii ,uniondolee matatizo yote yenye iko mwilini mwangu unifungulie kizazi changu mola wangu uniepushe na mahad uniponye na maradhi tofauti tofauti unifungulie milango ya kheri ya rabby amiin 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@nadiafahad3926
@nadiafahad3926 2 жыл бұрын
Masha Allah, Jazzakhah Allah khery namuombea M/mungu aniondoshee aya mazito niliyo nayo ,nipo mbali na family Allah aniondoshee aya maradhi na anifanyie wepesi katika utafutaji wangu pia nipate ridhiki kwa wepesi🤲🤲
@rehemafeysali7968
@rehemafeysali7968 Жыл бұрын
Amin inshaalah 🙏
@jemasaidi967
@jemasaidi967 Жыл бұрын
ewe alla nijalie niwe na afya njema ijalie ndoa yangu iwe na amani inshallah
@nuruddin5074
@nuruddin5074 Жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI SHEIKH WETU NA FAMIRIA YAKO ALLAH AIJAZE NURU INSHALLAH
@rukiarajab959
@rukiarajab959 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie yarabi luv it
@wahidaibrahim107
@wahidaibrahim107 2 жыл бұрын
Mashaallah allah anipe afya njema pamoja na familia yangu tupate kusikiliza,. Mengi mazito atupunguzie inshaallah
@SaidGongo-rd2rd
@SaidGongo-rd2rd 3 ай бұрын
Alhamdulillah Mwenyezi Mungu kupitia Dua hii naomba uniponye matatizo yangu pia umponye mama angu kipenzi amekua mtu wa kukosa amani kwa kisumbuliwa na WACHAWI pia Mwenyezi Mungu naomba kupitia hii Dua iimarishe nyumba yangu maana maajabu hayaishi nyoka, paka na ndege wanakufa pasipo kupigwa mawe 🤲🙏 nitashukuru sana kama utaimalinsha kwa yeyote anaekuja vibaya basi aaibike na asifanikishe kitu kibaya anachotaka kukifanya " Allahuma Amiin 🙏 🤲..!
@ASHURAASHURA-jx2if
@ASHURAASHURA-jx2if 5 ай бұрын
Yaallah nakuomba kupitia dua hii kwa imani yangu mm kama mzazi kama mama naomba wanangu waondokokewe NA husda masheitwan majina ka kilichojificha kikafichuke kupia dua hii NA nguvu zako allah wape ulinz wako adui asiwe NA nafas abadan kila mwenye kusu uyu kuwafanyia ubaya aka aibike hazalani pia wajalie wtt wangu wawe wtt bola wenye maadili yako NA hofu yako pia wafike mbali kielimu ya dini NA elimu ya kizungu kwa rehma zako inshaallah ❤❤❤
@zeanamleri5530
@zeanamleri5530 2 жыл бұрын
Alhamdulillah Mwenyezi MUNGU akuzidishie heri in sha allah. Shukrani.
@omaritaita1577
@omaritaita1577 2 жыл бұрын
Allah anijalie niweze kuendelea kusikiliza aniondoshee mttz yang
@ousmansemedo1189
@ousmansemedo1189 2 жыл бұрын
.
@hamisbakari2730
@hamisbakari2730 Жыл бұрын
Hewe mwenyez mungu nijalie mwisho ulio mwema niepushe naasadi za watu kupitia duwa hii
@FatmaAlly-cw1lj
@FatmaAlly-cw1lj 15 күн бұрын
Kupitia duwa hii ALLAH anifanyie wepes ktk maisha yang pmj miye na family yang nayopitia kwa sasa siri yang miye na mwenyewe na ALLAH anifanyie wepes ktk hili in Shaah Allaah aniondoshe dhiki za dunia hii husda pmj na roho mbaya za binaadam na majin hakuna linaloshindikana kwako ALLAH
@user-ge2fm2ed2z
@user-ge2fm2ed2z 3 ай бұрын
Ewe mola wangu nisamehe mjawako nijaalie niwe ni mwenye kukutaja wew Kila wakati nijaalie subira ktk moyo wangu na unijalie moyo wa uvumilivu mja wako nijali Imani yarabi niljalie mwisho mwema niruzuku shahada kabla ya kifo yarabi wasamehe wazazi wangu na uwaondoshee adhabu ya kaburi na uyafanye makaburi Yao ni Moja ya mabustani ya peponi amen 🙏
@mwanasaidi5092
@mwanasaidi5092 Жыл бұрын
Mashallah, YAA ALLAH NIPE SHIFAA kwa haya matatizo niliyonayo ndani ya mwili wangu🤲🤲🤲
@BENJAMINMWINUKA-zn5xc
@BENJAMINMWINUKA-zn5xc 7 ай бұрын
Nasumbuliwa na Jini mahaba. Kwa hii Dua naomba mwenyezimungu nitolee huyu kiumbe mbaya mabaya mengine yaliyokusudiwa kwangu
@hafidhimakele5489
@hafidhimakele5489 2 жыл бұрын
Yah Allah tujaalie waja wako kila lilo na kheri kupitia Dua hii...Amen
@masoudahmad7928
@masoudahmad7928 2 жыл бұрын
Amin
@almasmohammed7992
@almasmohammed7992 2 жыл бұрын
Allh atuepushie na kila mabaya na atuepushie na hasad
@lizythomas6128
@lizythomas6128 Жыл бұрын
Emwenyezimungu niepushe nahaya ninayo yapitia kwamdahuu mfupi insha allah
@lizythomas6128
@lizythomas6128 Жыл бұрын
Allah niepushe nahuzida zawalimwengu mwenyemabaya yamludie mwenyewe amina
@yusufadamisackisack3310
@yusufadamisackisack3310 Жыл бұрын
Ameen
@luckymsafiri9045
@luckymsafiri9045 Жыл бұрын
Naomba Mungu kutumia Dua hii naomba iwe heri na baraka Kwangu na Kila jambo langu gumu lifanye liwe jepesi inshallah
@aisharamadhani4510
@aisharamadhani4510 Жыл бұрын
Yaa Allah nifungulie milango ya ridhiki na nijalie afya njema na linde na maradhi ya kidunia
@luyenamohammed2408
@luyenamohammed2408 3 жыл бұрын
Mashaallah allah awafunguliye milango ya kher kwa kutuekea hiki kisomo
@irenenzembi4317
@irenenzembi4317 2 жыл бұрын
Yaarabi tujalie kheri kupitia hii dua inshallah tuepushie shari sisi waja wako jaza kalahukheri
@maryamkhamis9545
@maryamkhamis9545 2 жыл бұрын
Mashallah allah atujalie kile lenye hery kwenye maish yetu yaraby
@user-tm3ut4px5s
@user-tm3ut4px5s 2 ай бұрын
Ewe mwenyezi mungu wasamehe wazazi wangu na familia yangu tusamehe tupe mwisho mwema yarabi 🙏🙏
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 71 МЛН
19 SURAH MARYAM (Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili Kwa Sauti, Audio)
35:46
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 257 М.
Surprise Gifts #couplegoals
00:21
Jay & Sharon
Рет қаралды 22 МЛН
I Trapped Myself in a Box with Colored Smoke!
00:50
A4
Рет қаралды 19 МЛН
Surah Al-Kahf (Tafsiri ya Quran Kwa Kiswahili)
52:53
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 88 М.
Surah Al-Kahf (Tafsiri ya Quran Kwa Kiswahili)
52:56
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 149 М.
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Mponda Media
Рет қаралды 412 М.
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
AN-NAJM TV
Рет қаралды 1 МЛН
SURAH SAD (Tafsiri ya Quran Kwa Kiswahili)
26:51
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 13 М.
Surprise Gifts #couplegoals
00:21
Jay & Sharon
Рет қаралды 22 МЛН