Рет қаралды 2,571
مكونات
٤ اكواب طحين ابيض
١ فنجان سمن
١فنجان حليب بودرة
١ ملعقة كبيره ملح
١١/٢ كوب ماي دافي (ممكن اقل او أكثر حسب طحين )
١ بيض
Mahitaji
Vikombe 4 unga wa ngano
1/4 kikombe samli
1/4 maziwa ya unga
1 yai
1 kijiko kikubwa Chumvi
1 na 1/2 kikombe maji ya uvugu vugu{inaweza kupungua Au kuzidi kwa aina unga}