MUNGU ni mwema hongera Sana kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
@jackisonngosha553313 күн бұрын
Yanga kucheza tz wanaiyonea
@pinomjata67813 күн бұрын
Wamevurugwa, mbona wanaweweseka 😂
@Bintisayuni5013 күн бұрын
Yaani. Kifupi Wamepewa kifungashioooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bahatimshali273113 күн бұрын
Ngoja nii-save hii Post. Halafu nitakuja kujibu
@charlesmashindike487412 күн бұрын
Utopolo mbumbumbu mchezaji unamuwekea kipengele je akiwa free agent
@bahatimshali273113 күн бұрын
Kuna watu wa kuwahoji, ila sio hawa
@JohnMagofi13 күн бұрын
makolo mapovu mdomoni kama walevi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bahatimshali273113 күн бұрын
Wewe unaamini Thamani yote ya Simba ni 1.8 B
@bonifacelugo294113 күн бұрын
Unadanganya watu we Uto feitoto mlimuuza bei gani?
@musamagulu202313 күн бұрын
Kamuulize babako utajua aliuzwa bei gani
@sittamwigulu839513 күн бұрын
@@musamagulu2023povu
@ramadhanimrungu580613 күн бұрын
Aliuzwa million 270.4 kama ujui ww unafikili alienda bule
@rashomary410813 күн бұрын
Million 200
@saidsalum42313 күн бұрын
We kweli mtu wa mpira ujui kama azam walitoa pesa kwa Feisal
@AllyMohammed-nv5sj13 күн бұрын
Pumbavu ujui mpira kauze madafu ndiyo gani yako
@KizingiliRamadhani-gh5gq13 күн бұрын
Mnazoa wachezaji kama mitumba
@ildephoncemajaliwa787213 күн бұрын
Nyie semeni kwa kujifariji tutaona panapovuja tutatafutana na mtasema tu
@bahatimshali273113 күн бұрын
Hawa kweli sio mashabiki. Juzi mlisema Chama ni mzee alipokuwa Simba. Leo mnaanza kusema ni Kijana. Hamna msimamo. Mnaongea kishabiki, halafu mnasahau mlichoongea siku zilizopita
@user-zu8ou2oe4c13 күн бұрын
Hahaha bado hamjasema mpak usemeee simba nguvu mojaààaaàa
@IddiHassan-mr3sb13 күн бұрын
Amewashinda kumsajili
@husnasena605513 күн бұрын
Wamekuja kufanya majaribio wachezaji wa simba
@user-ug1nv3xl4d13 күн бұрын
Sema semaji la mabingwa
@PatrickJapheth-q1q13 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅 Simba ni next level
@abdulhalimsalim138613 күн бұрын
Mikubwa mizima ovyo wala haichekeshi
@kazinaimwishehe-ec3xu13 күн бұрын
Mmeuza beigan bwege ww uyo aliondoka bule😂😂😂
@telvinnicholas13 күн бұрын
Alikuwa anamkataba ameondokaje bure, hivi mkonserious kusema hivyo au ?
@khadijajumanne332413 күн бұрын
Kichaa sio lazima aokote makopo hatahao nao wapo
@user-uj5wg9mm2t13 күн бұрын
Km wasenge😂😂😂😂
@NassoroSipemba13 күн бұрын
Kama hawa taila basi nyie sio mataila nendani mkamsajili fei tuone kama kweli hayo mnasema yana ukweli.
@TinoJoaquim13 күн бұрын
wanaliwa hao ona wanavioangaliana
@JitihadaRashidi13 күн бұрын
Hawa jamaa wapo wapi mbna wanavikofia kofia?
@Purity-l2v13 күн бұрын
Waambie mwakarobo hao😅😅😅
@mathayomatembo-gm2ge12 күн бұрын
Umekosa watu wakuwahoji mbona machizi hao maden fc
@kassidpandu86613 күн бұрын
Hizo ni Tabia za woga Tuu yoote hayo ya Nini sasa?
@LadslausiAugustino13 күн бұрын
Kama hauna Point za kuongea bora ukae kimya
@julianajeremiah435313 күн бұрын
Kwenda weee mpe pesa nani, mtamjua km watoto au wdumavu mwisho mtajua
@KizingiliRamadhani-gh5gq13 күн бұрын
Yaaan ww ndoo taira
@user-bo3gn8lv9b13 күн бұрын
nakupa.salut
@sangaelly854813 күн бұрын
Yanga moyo unawauma sana
@AlbiniusNdaki13 күн бұрын
Mbona kolo mnamapovu
@MalaikaBright-rv6yb12 күн бұрын
Wa buza tena😂😂😂😂😂
@bahatimshali273113 күн бұрын
Mlipiga kelele kuwa Mayele atakuwepo, na akaondoka. Sasa endeleeni.
@NELEWARDYMWASILE-dn1ll13 күн бұрын
Buy one 1⃣ get one 1⃣ free 😅😅😅😅😅😅😅
@rashidhamis-fe8jq13 күн бұрын
Yanga mbona mnaroho mbaya kupita kiasi mnawafunga wachezaji wa ndani