SABABU YA KIFO CHA MBUNGE SHOGO CHATAJWA KANISANI, WAOMBOLEZAJI WAMWAGA MACHOZI "AMEACHA MAPACHA"

  Рет қаралды 72,203

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 142
@SallyMinja
@SallyMinja Ай бұрын
Tuheshimu wanawake wanaotubebea mimba jamani,mimba zina mambo mengi,very beautiful & educated,"Marehemu alimentary sana watoto" pumzika kwa amanita shangazi/ mama mdogo.
@deborahmchona5584
@deborahmchona5584 Ай бұрын
Inaonesha alikua na uzao wa mapacha nimeona kma kuna mapacha wanne wakufanana Mungu amlaze salama🙏
@naomibildad509
@naomibildad509 Ай бұрын
Poleni sana familia na taifa kwa ujumla kwa kumpoteza mtu muhimu. Mungu awe faraja kwenu.
@mosesmasanja8295
@mosesmasanja8295 Ай бұрын
Poleni sana huyu marehemu nilisoma naye udsm engineering kuanzia MWAKA 1999 kwakweli alikuwa anapendeza kuwashinda wanawake wa Sheria ambao walikuwa wengi alafu wanavaa vizuri. Yaani wanafunzi wengi walipokuwa wanaambiwa ni engineer mwenzetu walikuwa wanakataa. Kunasiku tulikuwa na test na yeye alikuwa karibu yangu na ilikuwa ngumu basi alinihurumia yeye mwenyewe bila kumuomba alinipa paper lake niangalie. Kwakweli nilimuona mtu mwenye moyo safi. Namuombea kwa MUNGU mwenyezi apumzike salama.
@mgayan1222
@mgayan1222 Ай бұрын
ALIKUDESESHA kwa lazima😂 kuhusu kujipenda atakuwa alirithi kwa Mama yake #MamaMlozi Mwalimu wangu Morogoro TTC. Huyo Mama ni anajipenda🙌
@PhelisterPeter
@PhelisterPeter Ай бұрын
@agnesvictor9857
@agnesvictor9857 Ай бұрын
Mungu amlehemu alikuwa mrembo sana na roho nzuri mpenda watu😢
@user-st4mr7lg7z
@user-st4mr7lg7z Ай бұрын
RIP SHOGO.
@nathaliakoola2957
@nathaliakoola2957 Ай бұрын
Pole sana Profesa na familia kwa ujumla.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
Maskini mapachaaa. Poleee❤
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Ай бұрын
Pumzika kwa amani! Mungu akukuzie watoto! Mmmh! Mungu ndie ajuae kukosa hewa kwenye damu! Pumzika kwa amani! Umeacha alama ya kupenda watoto ktk familia
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Ай бұрын
May The Almighty God Rest Her Soul In Eternal Peace.
@SallyMinja
@SallyMinja Ай бұрын
Mungu ni pending apenda watu,ahsante kwa kupenda watoto, mimba zina mambo mengi jamani,pumzika shangazi/ mama mdogo, very beautiful & educated ❤
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
Hatari😢😢😢😢😢dah
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Alikuwa Na Umri mkubwa 45 plus ilikuwa risk sana kushika mimba Na strange enough professor mke Na mume Na professor mke anakubali kuweka maisha yake rehani it was a stupid decision Na ndio maana hamna mtu professor kwenye kila kitu !
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
@@Kabwela776 mpaka miaka 50 umazaa tena salama. Sema kifo hakikosi sababu
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@@itanzaniaAS unapingana na sayansi hamna kuzaa salama kwa miaka kwanza age hiyo tayari umeanza kufika wakati wa menopause na kuna risk inaonekana watanzania wengi ni wajinga na sio watafutaji maarifa kuanzia 40 plus pregnancy risk ziko nyingi sasa kama wewe unajua kuliko wataalamu Na madaktari utuambie
@user-ho2sj8lc1x
@user-ho2sj8lc1x Ай бұрын
Tatizo umri tusidanganyane ni htrii hiyo miaka kuzaa Mateso makubwa mno
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Ай бұрын
Amina
@pceodhc
@pceodhc Ай бұрын
Mungu awape amani familia! 🙏🏾
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
NMEUMIAAAA SANAAAAAA. MTOTO hata mama hajamuona😢😢😢😢😢😢😢😢😢DAH
@Revinarenatus
@Revinarenatus Ай бұрын
Poleni sana engel pamoja na sarida na Familia nzima
@lakiabalozi5633
@lakiabalozi5633 Ай бұрын
Jamani na ni wifi wa yule dada wa RTD aliyefariki mwaka jana somebody sedoyeka
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Ай бұрын
Poleni sana wafiwa
@Kidotii
@Kidotii Ай бұрын
Pole sana Boss. Nsolo polen sana na familia yote!😢 R.I.P Dr.
@user-rt5fd4lb1j
@user-rt5fd4lb1j Ай бұрын
Polen sana kwa familia
@rizikinicholaus8154
@rizikinicholaus8154 Ай бұрын
pole sana kwa familia
@eliamlozi756
@eliamlozi756 Ай бұрын
R.I.P.OUR SISTER vita umevipiga mwendo umeumaliza
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
RIP DR SHOGO.😊
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Pumzika kwa Amani mdogo wetu , Tulikupenda lakini Mungu alikupenda Zaidi.
@EdithMangu
@EdithMangu Ай бұрын
Poleni sana familia ya mlozi hasa my ment nasoro mlozi
@user-jx9xc6vo9x
@user-jx9xc6vo9x Ай бұрын
Poleni
@VeronicaIsimalilo
@VeronicaIsimalilo Ай бұрын
Poleni sana wanafamilia
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv Ай бұрын
So sad my Condolences to the families and friends
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Ай бұрын
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 Ай бұрын
Pole kaka solo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Ай бұрын
Mm haya marazi ya kina mama hatari wee
@NuruMockey
@NuruMockey Ай бұрын
Pole our boss Nsolo
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Ай бұрын
Kumbe poleni sana kifo ni fumbo
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 Ай бұрын
Rip😭🙏
@user-vl1ts1eh8s
@user-vl1ts1eh8s Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭🌷
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
Moyo umeniuma SANAAA😢😢😢😢😢
@mankaswai5313
@mankaswai5313 Ай бұрын
Innalilah wainna ilah rajiun poleni sana 😢
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Ай бұрын
Innalillaih wainnaillaih rajiuun
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
June 1 kajifungua? Au nimesikia vibaya?? Watoto wako wapiiii Mungu wangu😢😢😢😢😢😢😢😢😢jamaniii
@user-qg7jd1bw9y
@user-qg7jd1bw9y Ай бұрын
Ndio june 1 kaacha vichanga vya siku 9 😢
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s Ай бұрын
Ndio sikiliza mpaka mwisho
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 Ай бұрын
Pengine hizo madawa za operation kuna kilichomdhuru
@zuhurasaid
@zuhurasaid Ай бұрын
Ni kweli, maana mwenyewe zinipa kiungulia, sijui presha mara kiungulia aiseee niliteseka sana
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
Yeah op kuna muda mtihani sana.nakumbuka mimi tupijifungua wiki moja na jirani yngu. Wangu siku 8 tu kidonda kilifunga ila mwenzangu mshono ulifumuka mara 3
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Apumzike kwa amani 😢polen wafiwa 😢
@konemelau9068
@konemelau9068 Ай бұрын
Akapumzike mahali pema, MUNGU akawe mfariji wenu ndugu wote 😭
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
😢😢😢😢😢💔💔
@MathiasMei-df9ys
@MathiasMei-df9ys Ай бұрын
poleni jamani
@agriculturefarm76
@agriculturefarm76 Ай бұрын
Dunia hii😢😢😢😢😢😢
@SanareLaizer-en5it
@SanareLaizer-en5it Ай бұрын
Poléeeni
@user-dm9pe5wu6e
@user-dm9pe5wu6e Ай бұрын
Polen sana wanafamilia😢
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 Ай бұрын
Akina mama kama ni vifo vya uzaz tu vinatumaliza kwakwel du rip
@user-vb9ci1wl5e
@user-vb9ci1wl5e Ай бұрын
Pumzika kwa amani ndugu yetu
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Innalillahi wainnalillah rajiun
@HareneKipande
@HareneKipande Ай бұрын
R,I,P kiongozi shogo
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 Ай бұрын
Kuna mama kazaa 14 kids na wa mwisho kazaa na 54 ni mzima anadunda to date
@TatuKimario
@TatuKimario Ай бұрын
Ni Mungu tu
@HinohiatHidoCo
@HinohiatHidoCo Ай бұрын
Hiyo ni bahati tu. Siyo jambo la kujivunia au kuiga. Hapo ni Mungu alikuwa pamoja na huyo mama mjamzito mwenye umri wa miaka (54) zaidi ya 35. Wengi wanaozaa zaidi ya miaka hiyo hupatwa na madhila makubwa.
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
​@@HinohiatHidoCojamani mwenyezi mungu atunusuru. Nina katoto kamoja na miaka iko 40 huko inakuwaje sijui na natamani kuongeza
@josiahbineguro6393
@josiahbineguro6393 Ай бұрын
Amekula mema ya nchi
@user-dy8yc5ml1p
@user-dy8yc5ml1p Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Ай бұрын
Vita vya viwango
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Aisee umenipa prayer point aisee
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Vita ya viwango ni mbaya sanaaaa
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Ай бұрын
@@joycehaule9717 ndo hivyo alaf watu wengi hawajui kupigana sasa
@annacyril5832
@annacyril5832 Ай бұрын
RIP Dr. Shogo.😭
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Ай бұрын
Pole familia ya mwalim sedoyeka endasak
@zuhurasaid
@zuhurasaid Ай бұрын
😢😢😢😢 apumzike kwa amani Dr.Shogo
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Jamaniiii haiwezekani Kiungulia hikii cha viazi vitamu ndio kimuue mtu...mmmh hii ni vita ya KIROHO wa mwilin hamwezi nielewa yan adui kamtafuta koote kamsubiria akizaa tu ampige na kitu kizito mmmmh shetani muongo sanaaaa
@deborahmchona5584
@deborahmchona5584 Ай бұрын
Ndugu yangu shangaa na wewe yaan😭😭
@fideavenceslaus
@fideavenceslaus Ай бұрын
ni kweli kabisa
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j Ай бұрын
@@deborahmchona5584kuna jambo jmn😭
@annacyril5832
@annacyril5832 Ай бұрын
Dunia ina mambo mengi Sana
@ednaMsuya-zu5kh
@ednaMsuya-zu5kh Ай бұрын
So sad RIP Dr. Shogo
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Ай бұрын
Hao watoto waliambiwa wasimame ni wake wote au nimesikia vibaya
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Ай бұрын
Yatima alikuwa anawalea
@annanadula4043
@annanadula4043 Ай бұрын
Maisha mafupi sana
@saidmanjuti7441
@saidmanjuti7441 Ай бұрын
R.i.p mkuu wangu wa chuo
@veronicahermani
@veronicahermani Ай бұрын
Acha hizo sikiliza vizuri
@makinjau4872
@makinjau4872 Ай бұрын
Aliwahi Kuwa mkuu wa Chuo cha utalii
@veronicahermani
@veronicahermani Ай бұрын
@@makinjau4872 Ahaaa sawa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Ай бұрын
​@@veronicahermaniwewe ndio usikilize vzr aikuwa mkuu wa chuo cha utalii before kuwa mbunge wewe
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 Ай бұрын
Siku 8 baada ya uzazi inahesabika ni kifo cha uzazi.
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 Ай бұрын
Kweli uzazi maskini.Mungu amrehemu
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
Yay mpaka zingegika 40
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Ай бұрын
Madaktari waliomruhusu kurudi nyumbani bila ya kufanya uchunguzi wa makini wakijua amefanyiwa operation ya uzazi, ndio waliosababisha kifo chake,
@imaculatapascal1019
@imaculatapascal1019 Ай бұрын
What the hell are you talking about?
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Watu wanapukutika kwa kukosa maarifa huyo marehemu alikuwa ni mzee 45 plus Na bado anabeba mimba Na kuzaa Na inajulikana kuanzisha miaka 35 kwenda juu mwanamke akizaa complications zinaongezeka , yaani mke ni professor Na mume ni professor Na hata baba yake alikuwa professor ina maana ni upuuzi gani kuchukua uamuzi huo ni very irresponsible kama mume Na marehemu kama mama wa watoto wengine kama wangetaka watoto zaidi si mnge adapt au kutumia surrogate mothers , vifo vingine mtazidi kusema ni mikosi bahati mbaya Na kumlaumu Mungu ila tatizo watu kukosa maarifa Na kuchukulia vitu poa poa mkiwa wanawake mmezeeka tumieni condoms au contraceptive measures msipate mimba!
@KhadijaMiteya-hh8xl
@KhadijaMiteya-hh8xl Ай бұрын
Ndugu yangu umefika mbali sana kifo kimeubwa na hakikwepeki hata asinge zaa pia angekufa ndio Mwenyezi Mungu alivyomkadiria tofauti na hivyo kifo hakikwepeki ni mapenzi ya Mungu Usikufuru.
@user-ib2uf3uk2d
@user-ib2uf3uk2d Ай бұрын
Kweli kabisa​@@KhadijaMiteya-hh8xl
@atuganilemaendeleo9428
@atuganilemaendeleo9428 Ай бұрын
sio kweli ndugu,kuna watu wamezaa na miaka 50 na hadi Leo bado wapo.Ni basi tu Bahati Mbaya.
@jacklinefrancis4401
@jacklinefrancis4401 Ай бұрын
Mungu akurehemu wewe uliyeandika ujumbe huu na akusamehe sana maana hujui uwazavyo na kunena
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@@atuganilemaendeleo9428 endelea kubishia wataalamu ambao wanasema hili as scientific proof risk zipo kukizaa Na Umri kubwa Na inajulikana dukianj nzima tuache ujinga ukiwa mzee usizae kuna risk nyingi !
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 21 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 486 М.
National College of Tourism CEO, Dr. Shogo Mlozi
1:32
Colleges and Institutes Canada
Рет қаралды 6 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 21 МЛН