No video

SABABU ZA KITENGE NA HANDO KUHAMIA WASAFI "DIAMOND HAJAFANYA KOSA KAMA ALILOFANYA WAKATI ULE"

  Рет қаралды 157,595

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 166
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Team Daimond a.k.a SHEKHE MANSOOR 😂😂 SIMBAAA weka like 👇
@mwakadieudonne2135
@mwakadieudonne2135 Жыл бұрын
Yes offcourse! He's the best businessman, best musician star so far🔥🔥 Thanks Gerald hando
@stevenbrunomatalu
@stevenbrunomatalu Жыл бұрын
Hapa kwenye refreshi mwacheni abuu kma allhy hayupo huyu mchaga hafai kbx
@fbr5113
@fbr5113 Жыл бұрын
KINACHOMSAIDIA DIAMOND NI ROHO NZURI NA SIO MCHOYO KWA WANAOMFANYIA KAZI KWA MOYO WOTE WAKUMTAKIA MAFANIKIO NA MAENDELEO YAKE. HATA MI NAJALI ANAYENIJALI LAKINI MNAFKI NATUPA KULEEEE
@mimikabs5410
@mimikabs5410 Жыл бұрын
Kweli kabisa despite the fact that watu wachache wanahangaika kumshusha sana kwa maskendo mengi ya kupikwa lakini hawatoweza. He is doing great.
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
How about baba Mlezi? Charity always begins at home. Genuine kind hearted people they start at home, I rest my case. Diamond? au Kusaga??
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Жыл бұрын
@@samniza1763 haya kuhusu kwani wewe unamjua bàba yako? Ulienae si wako ni mlezi kamasutra baba yàko
@upendorogers4588
@upendorogers4588 Жыл бұрын
@@mimikabs5410 0
@omaryahya337
@omaryahya337 Жыл бұрын
Pigeni kazi kaka tunatamini tasnia ya habar ifike mbali na nyinyi ndio munajukimu hilo. Mtangazaji Bora ni lazima apate jukwaa Bora pia🙏
@abuisa6186
@abuisa6186 Жыл бұрын
Wazungu walisema experience is better than paper.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Asante broo bola umsifie mtu kabra hajafa
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Wasafi inaendelea kuwakubwa zaidi
@yusufseif2625
@yusufseif2625 Жыл бұрын
Wasafi is only one 🥰🔥🔥🔥
@ZephaniaSolomon
@ZephaniaSolomon Жыл бұрын
Lioo😊
@fababindawood8363
@fababindawood8363 Жыл бұрын
Shekhe mansoun anaakili sana huyu kijana hongera shekhe Mansour
@joshuayasolo4199
@joshuayasolo4199 Жыл бұрын
WCB for life 💕
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 Жыл бұрын
Mashaallah awa watangazaji ni nawapenda tuu bure
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Жыл бұрын
Safi daimondi ni mfanya biashara makini ila saa nyingine wazungu wanamtumia ili kuharibu . lakini ni mjanja anajua kucheza na akili za watu. hiyo ndio biashara. serekali imsaidie kama hivyo na kama inavyo msapoti.hongera sana mama yetu samia. Huyu dai akitumiwa vizuri na akithaminiwa ni kati ya vijana watakao panga tamaduni potofu nci yetu. kwenye
@mariammpanga7229
@mariammpanga7229 Жыл бұрын
Wasafi on top now 🔥🔥🔥
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Жыл бұрын
Nakupenda WCB
@geofreyukason
@geofreyukason Жыл бұрын
Greatest
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Жыл бұрын
🤣🤣 Vichaa wamekutana sasa akiwemo na zembwela kwenye kipindi cha good morning
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 Жыл бұрын
Nawakubali sn watu wangu Wasafi fr life 🎉🎉🎉🎉🎉
@jembelakijiji
@jembelakijiji Жыл бұрын
Nimesikia tykuuni wa midia bana waah shekh Mansoor aka chibu dangote
@wardaridhwankassim4774
@wardaridhwankassim4774 Жыл бұрын
Nikiskiliz Hii nakumbukua ile sentenc ya NANDY kwamba huyu hando asiongee sana ipo sku nandy atamuajiri 🤣🤣
@malayikanepo788
@malayikanepo788 Жыл бұрын
Kweli kabisa kkkkk❤❤❤❤
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 Жыл бұрын
Kwani Kina Kitenge walikua hawamsemi Diamond? Mbona kawaajiri? Kusemwa ni njia ya kuambiwa ukweli ili ujirekebishe.
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
@@kilungahamis1270 waambie vilaza hao
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Kitenge aliwahi mnanga diamond kipindi ruge kafa huyo nandi amejiingiza kwenye mziki na biashara anatakiwa awe na ngozi ngumu kama diamond sasa kitu kidogo anapanic
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Жыл бұрын
Kama husemwi utajulikanaje ? Maana ùmaarufu huja kwa kuongelewa nakuongelewa kupo kwa aina mbili huwezi kutenga nisha mabaya na mazuri huwa yako sambamba. Na yeye dai sio malaika ni mwanadamu tu
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 Жыл бұрын
Much respect 🔥🔥
@FoxManTZ
@FoxManTZ Жыл бұрын
😂😂😂 kitenge namkubali sana shekhe masour anataka awe...😂😂
@kennyndessa2039
@kennyndessa2039 Жыл бұрын
The next one is oscar oscar
@mimikabs5410
@mimikabs5410 Жыл бұрын
Absolutely right
@johnjames-pw1dp
@johnjames-pw1dp Жыл бұрын
Gud Gud 👍👊👊
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
WATANGAZAJI WATAMBE TU,,WAMETESEKA SANA.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Nakubali saaana
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Kipindi kitakuwa bora sana
@maryamissarajabu9633
@maryamissarajabu9633 Жыл бұрын
Ila kwenye tiv bado san Yan TV ingekua ndo redio.mambo yangekua 🔥
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Wasaf chama la wanaaaa
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Жыл бұрын
Simba kabakia mpoki chukua mastaa wote kwenye Radio station za Tanzania ibaki Radio Moja ya kusikiliza wasafi FM ww kijana mwenzetu shida za utafutaji unajua watoe wote ibaki RTD Moja wasafi FM
@ngwabokabad803
@ngwabokabad803 Жыл бұрын
Tegeta to hapo inasumbua wasaf na nikarbu na Mbez beach
@emmahuruma7595
@emmahuruma7595 Жыл бұрын
Na ninyi ni majembe. Hio wcb inapanda level kuwapata watu bora kama ninyi.
@Alihamdulil
@Alihamdulil Жыл бұрын
Weeeeee mzeeeeee mjingaaaa sana falaaaa rimbukene weee Gerard
@wizyjunior5771
@wizyjunior5771 Жыл бұрын
Nimependa the way kitenge ulivyo jibu nice sana ila Hando anakulupuka kujibu
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 Жыл бұрын
Eee ndiondiooo🔥🔥
@omarigenene2566
@omarigenene2566 Жыл бұрын
safi anko mau
@SamsoniJulias-zm1qn
@SamsoniJulias-zm1qn Жыл бұрын
Kweri kaka
@reganclarence4657
@reganclarence4657 Жыл бұрын
dimondkitenge na dimondando ndanu ya wasafi tupeni raha....😆😆
@mirabelle174
@mirabelle174 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 Жыл бұрын
😂😂😂
@GnR2944
@GnR2944 Жыл бұрын
𝗺𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱 𝘀𝗶𝗼 𝗸𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗶 𝘂𝗼𝗻𝗴𝗼𝗼𝗼
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mzee mwenzangu
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
😂😂😂hamna mtu apenda uzee
@hashimjumahassani5268
@hashimjumahassani5268 Жыл бұрын
bado yupo kundi ilo....sasa kila siku jion anakimbia km 15 mpk 20...ukitaka kujiridhisha ukakimbie nae wasafi jogging...ndo utajua sio mzee
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Uzeee haumtaki🤣🤣
@GnR2944
@GnR2944 Жыл бұрын
@@salomewandya7257 𝕙𝕒𝕙𝕒𝕙𝕙𝕒𝕙𝕒
@venfreysand8835
@venfreysand8835 Жыл бұрын
Pesa ina nguvu bwana famchezo nini watu wamepita na dau nono
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 Жыл бұрын
Ajira means uraji harafu ndio kina fuata kitu kingine ndio maana wafanyakazi ukisikiliza changamoto kubwa kwao ni ku9ngezewa mishahara na kingine watasema kuwa wana omba waboreshewe mazingira ya Kaz over 🙌😄
@paullucas8761
@paullucas8761 Жыл бұрын
Hao presenters ni wazur sana
@aidanwilliam14
@aidanwilliam14 Жыл бұрын
Mtangazaji siyo Hasubuhi ni Asubuhi
@jkumar5908
@jkumar5908 Жыл бұрын
Tupo paleee twasubiri kukuskia ilekauli ya Bora walinazi kuliko walimwengu 🎉
@ellykiswaga
@ellykiswaga Жыл бұрын
💪💪
@yusufseif2625
@yusufseif2625 Жыл бұрын
Ila kitenge eti wao ni vijana🤣🤣🤣😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Ila hazeeeki kabisaa
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Utzeekaje mbele ya mshikopesa 😂😂😂😂
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Жыл бұрын
@@salomewandya7257 hawezi kuzeheka kwani anatumia mawazo yake vizuri hana papara
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Жыл бұрын
Eti mimi nikijana kutoka wasafi 🤣🤣🤣🤣
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Swafiiii
@mbayahamis3051
@mbayahamis3051 Жыл бұрын
Safiiiiii Sana 🤣🤣🔥🔥
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Wakongwa kaziniiiii
@agynoel2846
@agynoel2846 Жыл бұрын
Em nendeni mkajiajiri, hizo nafasi waachieni vijana wanaomaliza vyuo nao wapate ujuzi
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
tunakuomba sheikh mansour ondoa viashiria vya ushoga katika chombo chako pendwa cha wasafi.Huyu jamaa mtangazaji avue shungi au aondoke aende kwa mashoga wenzake
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Mpunga mbele tu baba wakija wengine mpunga juu tunasepa
@belgieboys9867
@belgieboys9867 Жыл бұрын
Umemtukana fei kutaka kukimbia yanga. Kitenge na wewe mbio. Na kule munatakiwa murudi. Kama biashara ya fei. KITENGE UMEONA UNAFIKI WAKO WALA HAUKUSUTI SHENZI MKUBWA WEWE
@hermanmwalugha476
@hermanmwalugha476 Жыл бұрын
Tatizo la Diamond anaamini kwenye kumaliza mwingine ili ainuke yeye iangalie EFm amemchukua Masanja na amefunika kama ambaye hapaja ondoka mtu
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Жыл бұрын
Kitenge kwenye Tasnia ya hbar ni kitambo
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Dondi mtoaji ndio maana kila wakimpinga hatetelek
@hemedabubakar-cb1nq
@hemedabubakar-cb1nq Жыл бұрын
🎉👏👏👏
@ChescoKiyasile-uu7mj
@ChescoKiyasile-uu7mj Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 Жыл бұрын
Hapa tusidanganyane hapa ni maslahi tu Wala Hamna lolote sana zitakuwa porojo tu hata majizo akiongeza dau akawataka pia mtatoka hapo na mtamsifia
@BoscoNtimba-jr2gz
@BoscoNtimba-jr2gz Жыл бұрын
Mbona hata yeye kazungumzia hayo.maslahi hata wewe yanaweza kukutoa sehemu moja kwenda mwingine
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Hiv vucha ni mende kwel
@husseinkhatiib333
@husseinkhatiib333 Жыл бұрын
Nawacheki nikiwa dubai
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Mbona ITV aimg'ang'anii uyo maulidi toka atoke mimi naona ni ushamba wa dharau tuu
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Nawatakia heri
@Paplick9
@Paplick9 Жыл бұрын
Tim kubwa inahitaji wachezaji wakubwa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Nimecheka hapo kidogo kaamua asifanye kosa
@user-ey2oq1ef3z
@user-ey2oq1ef3z Жыл бұрын
Ameludi tena
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 Жыл бұрын
Mwenyew siherew ya zaman au mpy
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Жыл бұрын
​@@nasrakambimton9522 amerudi Tena ya zamani hakuwa na hando so hiyo ni mpya kabisa
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
Kitenge kwahiyo mkataba efm umeisha karejea tena😅😅mpunga
@abdallahbakari4409
@abdallahbakari4409 Жыл бұрын
Kwenye michezo vp tunakutaka
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 Жыл бұрын
Kwani aaaliya alienda wapi hiki kipindi ni chake bana
@janetahmed6948
@janetahmed6948 Жыл бұрын
nazani na yeye amerudi efm soun anatangazwa😃😃😃
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Wivu wa mapenz kamkimbia zuchu 😅
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Masanja atawafunika hawa kwa kusoma magazeti EFM.Subiri muone. Masanja ni mbunifj sana kuliko wote na Comedy anaziweza
@bonaventuremabula4113
@bonaventuremabula4113 Жыл бұрын
hata wamuweke nani pale efm hawez kuwazdi wsf ww
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Hata huyo Masanja atarambishwa asali we subili utaona kule yupo yupo tu mguu ndani mguu nnje chezea SHEKHE MANSOOR weye 😂😂😂😂😂
@venfreysand8835
@venfreysand8835 Жыл бұрын
Wazee wa minyama kujipakulia tuu🤣🤣
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc Жыл бұрын
Watangazaji wenye kilele nyingi kutangazaji wenyewe kelele nyingi
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Mwishoo mtajikuta clouds fm nakwambia kwel
@user-fm4dk1ox3t
@user-fm4dk1ox3t Жыл бұрын
Oya funguwa ofisi kubwa
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
Musitupe sahani yazamani kwamaana yakesho hamuzijuwi
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 Жыл бұрын
hivi hawa vijana wa kiume kuvaa mitandio ya dada zao ni kupromoti ushoga au ndio wanajitangazia kuwa wao sio riski ?
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Mmepigwa nakitu kizito na majay yule nishida amemleta masanja
@AllyMinasi
@AllyMinasi Жыл бұрын
we mwehu nin kitu kizito gan xax kitenge umfananixh na masanja labda wakiwa kanisan ndo hat mpit ila xio kwa utangazaj
@nathan6751
@nathan6751 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aise maisha noma ..ebu muone anavyo towa macho kama kicha
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 Жыл бұрын
Shekh mansuwi 😂😂😂😂 Diamond bhana? Namkubali
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Sheikh Mansoor katka ubora wake
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Masuri wadubai😂
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
Na kilch n fulaish n kulud kwa musa mwksu ambae amelud ktlna nã mau kiteng
@OfficialValentin
@OfficialValentin Жыл бұрын
WasalitiGang 😂😂😂😂😂😂 ipo siku watahama ata kwenye nyumba zao
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 Жыл бұрын
Wanaume wazma mmeweka matumbo mbe kuliko utu kha, haya kesho mkiitwa azam mnapuyanga tena, tena kama huyo kitenge bora akate tu hicho kidoti 😅😅😅
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 Жыл бұрын
Hayo ndio maisha kesho wakichalala mnaanza kuwacheka waache watafute pesa watoto waende chooni
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 Жыл бұрын
Sasa wewe unatakaje 😂😂
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Wakiitwa Azam wanakwenda ndo biashara
@uwezontalengwa1827
@uwezontalengwa1827 Жыл бұрын
Sasa unaongea utumbo gan aise
@barakalutego-pr5uh
@barakalutego-pr5uh Жыл бұрын
Kidoti kimetokea wap sasa😂
@vumiliachacha1730
@vumiliachacha1730 Жыл бұрын
Wamehamia kwa wahuni wenzao
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Safari hii mond kashtuka ..hakuna Cha helkopta wala nn maana hawaaminiki Hawa watu.😳
@joezeno8
@joezeno8 Жыл бұрын
Wazee njaaa
@vinayagamsefu4596
@vinayagamsefu4596 Жыл бұрын
😅
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
huyu mtngazaji ni shoga? mbona linavaa mishungi kama mwanamke?tunakuomba wasafi muondoe viashiria vya ushoga katika vipindi vyenu
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Pesa nikilaki2
@michaeljames3480
@michaeljames3480 Жыл бұрын
😅😅😅😅 chumviiii
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
E F M sidhani kama mtaiweza. Bado ni radio bora kuliko wasafi
@omarysheha-lc3cu
@omarysheha-lc3cu Жыл бұрын
Huyo mtangazaji ni shoga? Maana kavaa hijabu
@mirabelle174
@mirabelle174 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@PascoAdamu-jq2li
@PascoAdamu-jq2li Жыл бұрын
Zuchu kw
@babalaujamaa7131
@babalaujamaa7131 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Sasa hao Wana umahiri gani kwenye tasnia ya habari hao wamejaa umbeya wa kijinga tu! Ukifuatilia Sana utakuta hao Wana lao Jambo la kimaadili kenge tu hao! Sasa hata ukijiuliza Wana habar gan za maana za kulijenga taifa hao na mnadhani Wana ujuzi gan hao?
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 Жыл бұрын
mbona km umechukia mzee
@jovinslivester-rq8bx
@jovinslivester-rq8bx Жыл бұрын
Ushakula makande yako unaongelea wasafi je chupi yako iliyotoboka unashona lini
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 Жыл бұрын
Umekula nini ww jmn
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Wivu unakusumbua
@frankmihayo7415
@frankmihayo7415 Жыл бұрын
Acha nyeto.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 47 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН