Рет қаралды 45,246
Nilitembelea mtaa unaitwa Skid Row uliopo Downtown Los Angeles. Skid Row ni mtaa ambao una idadi kubwa ya Homeless (watu wasio na makazi). Yote hayo yamechangiwa na hali ngumu ya maisha, madawa ya kulevya, matatizo ya akili n.k. Nilitoa misaada ya chakula kwa wale wasiojiweza na kuwauliza sababu ziliyowafanya wao kukosa makazi. Tembea na mimi ili ujionee yaliyojiri Skid Row, Los Angeles.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Hiki Ndiyo Chakula Cha...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #losangeles #mtaani