"SAFARI YA MATESO": NILIZAMIA SOUTH AFRICA KWA MIGUU/ NILITEKWA NJIANI/USIKU/ NILIJUTA (S02EP02"E ")

  Рет қаралды 20,107

Dar24 Media

Dar24 Media

2 жыл бұрын

Malume...Kijana wa kitanzania anae jaribu bahati yake maishani kwa kufanya safari ya kuingia nchini Afrika Kusini kwa magendo, safari inayo mgharimu na kuacha kovu lisilofutika maishani...... karibu hii ni MBANGA
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Maisha #StoriyanGU #Taarifabilamipaka

Пікірлер: 24
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 Жыл бұрын
Umenikumbusha nilikaa na mtu mmoja anafanya kazi ya kuuza mirungi na maisha yake ni zaidi anayefanya kazi halali
@jumabee9890
@jumabee9890 2 жыл бұрын
Dupaaaaa ,,💥💥💥🔥🔥🔥🤸🤸🏋️🏋️
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Pamoja sana kwa hewa
@devmwalabu3193
@devmwalabu3193 2 жыл бұрын
Kweli kaka
@issamashurinyo9609
@issamashurinyo9609 2 жыл бұрын
Munachelewesha sana stor mpaka tunasahau
@jamesmumbi8424
@jamesmumbi8424 2 жыл бұрын
Wanazingua Sana hawa, lengo lao wapate views nyingi. Stori nyingine hawanipati hawa.... Mtu unafuatiria stori mpk unaboreka bhanaaaa
@faiongala3012
@faiongala3012 2 жыл бұрын
😀😀😀😀 we kaka uko vizuri ulicho sema watu tunajitoa muhanga kuuza kete
@bernardsaramba4359
@bernardsaramba4359 2 жыл бұрын
Watanzania kwenda Sauz hawaitaji visa!
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 жыл бұрын
Daah nmeisubilia hii kitu
@josephmadasi5813
@josephmadasi5813 2 жыл бұрын
daa👏👏👏😀
@shazirynambombe7735
@shazirynambombe7735 Жыл бұрын
Dupa naomba nitoe maoni kwako uwe unazipanga kwenye siriz 1 mpaka 3,4,,,,,,, ili tuende kwa stori atua Hadi atua
@omarchuo2178
@omarchuo2178 2 жыл бұрын
Hapo mulipokaa kuna mikelele kishenzi
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 жыл бұрын
😃😂HatamimiInaniboa😃😃
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Asa ipi ndio part 2 maana nashindwa hata kuelewa si ungezipangilia kwa kuandika ,, kahhh nachukiaga mim
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Dizonga si mchezo
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
👊🏿👊🏿
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Ya miezi 3 inaitwa visit visa
@jacksonngalawa3573
@jacksonngalawa3573 2 жыл бұрын
Duuu
@ibrahimsjuma2814
@ibrahimsjuma2814 2 жыл бұрын
Mwamba ume give up
@hamedyahya9846
@hamedyahya9846 2 жыл бұрын
store zingine za ungo tu
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 2 жыл бұрын
Story za kweli ila chumvi zinaongezeka ni kunogesha tu so relax lete ya kwako
@dulakapopo8522
@dulakapopo8522 2 жыл бұрын
Mmmh iyo ya kushika maziwa kiboko
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
mambo ya mila hayo
@ibrahimsjuma2814
@ibrahimsjuma2814 2 жыл бұрын
Haaaa true story muwongo hy
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
WALITAKA KUNIUA KUNITUPA KWENYE MAJI | NIMEENDA NCHI 15 KIBAHARIA
38:51
Maximum Tv Online
Рет қаралды 24 М.
Congo, Thrill of the River | Deadliest Journeys
49:39
Best Documentary
Рет қаралды 826 М.
PART 1-3 CHURCHILL SHOW S1E3
20:29
Churchill Television
Рет қаралды 260 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН