Sakata la DIDDY hali ni tete! Haya ndio yatakayotokea, DJ Sma, Sky na Jacob wajadili mapya mengine

  Рет қаралды 32,786

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 168
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 ай бұрын
I ve never see a smart dj like this one in the world 🌍 Is very intelligent
@shd12m55
@shd12m55 4 ай бұрын
Af uyo mwamba mwenye tshrt black yuko na voice safi ya utangazaji
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 4 ай бұрын
Bro Ethiopia wanandege mpaka jumbo jet, yenye uwezo wa kuchukua hata abiria mia tano na mizigo yao na wana ndege zisizopungua 180 kwa ujumla wa ndege zote zao ni taifa la 5 lenye ndege nyingi Duniani, kwa Afrika ni namba moja, Ikiwa kidunia namba moja ni Emirates, namba mbili ni Qatar air ways, namba Fly Dubai, namba nne nì Ethihad, namba tano ni Ethiopia Air lines.
@bandanahmiqassa
@bandanahmiqassa 4 ай бұрын
P.O.C Kwa namba duniani namba moja mpaka 3 ni delta airline american airline united airline
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 4 ай бұрын
@@bandanahmiqassahell no, unaongelea international flight unaleta united airline
@eliacmaginya3429
@eliacmaginya3429 4 ай бұрын
Aiport ya ethiopia nafkiri ndio airport ya kwanza kwa ukubwa barani africa na wana ndege za kumwaga ukiangalia kwenye uwanja. ndege za makampuni mengine ni chache sana ukilinganisha na ndege zao.Nafkiri uchumi wao mkubwa utakuwa unatokana na air transportation.Airport ya bongo kuna mida watu wachache sana lakini pale ethiopia sio mchana sio usiku utafikiri watu wapo mnadani wanatafuta viwalo.
@maryamtan682
@maryamtan682 4 ай бұрын
Pale ni km njia panda ya ndege kutoka nchi zt zk pale.
@hassanmkufya2867
@hassanmkufya2867 4 ай бұрын
Nimependa dj unajua kizungu lkn unangea kiswahili ckama hao wanaojifanya neno moja la kiswahili.. Kizungu kingi
@ms_teeonly
@ms_teeonly 4 ай бұрын
Good to see dj sma and giant man on this
@swazi-bmzwabusarawysd8083
@swazi-bmzwabusarawysd8083 4 ай бұрын
Pole na safari my favorite dj...Naimani fuse tunajambo linakuja karibuni in sha allah
@djsma255
@djsma255 4 ай бұрын
💯
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 4 ай бұрын
Good job from 🇧🇮💐🙏🙏🔥
@piusdeo9380
@piusdeo9380 4 ай бұрын
Nakubali sana sns
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 4 ай бұрын
Kazi Safi Sana big 3 from sns salute 🫡
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 4 ай бұрын
Dj Sma is very smart ,ongereni SNS mnatuburudisha Kwa habari nzuri brother Sky unaweza.
@gochamso
@gochamso 4 ай бұрын
Mwambieni aache udini gaza gaza kila siku
@djalasaleh
@djalasaleh 4 ай бұрын
Hana udini. Wewe ndio ujielewi. Elimu Elimu......
@eliacmaginya3429
@eliacmaginya3429 4 ай бұрын
DJ Sma kaongea sahihi namkubali mzee wa tafiti na kuconnect dot ingawa hajataka kuizungumzia kiundani. Kiufupi wasanii wengi wa nje ambao ni famous wanafanyakaz under satanic rules hata matendo yao ukiyataza utakonect dot ss inapokuja kutokea masanii unaenda contrary na matakwa yao kabla hawajakumaliza wanakutingisha kwanza.Utasukiwa kesi zenye karbu na ukweli maana skuzote pesa haishindwi kitu utataftiwa watu watakuchafua plus na ishu zako kupitia hiyo misukosuko utashuka kiuchumi ukibahatika kuchomoka hapo wanapanga njama za kukuuwa wala hutochukua mda so DJ sma big up nmeconnect dot.
@Onlyfacts0224
@Onlyfacts0224 4 ай бұрын
This guy mzuri sana huyu ni muandishi analysis nzuri sana.
@augustinenjagi6255
@augustinenjagi6255 4 ай бұрын
Dj Sma badilisha hilo jina liwe DJ Smart you really know how to articulate issues
@djsma255
@djsma255 4 ай бұрын
🙏
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 4 ай бұрын
I second
@juliusjustin4813
@juliusjustin4813 4 ай бұрын
​@@djsma255sure dj smart
@noahlameck1564
@noahlameck1564 4 ай бұрын
Mwamba dj sma karudi noma sana Fuse fact twaisubiria kwa hamu Love sana sns ila udaku waachichie wakina esco😛
@mathiaslaurent756
@mathiaslaurent756 4 ай бұрын
@dj sma huyu jamaa ni mtu makini sana! Very smart haongei hovyo hovyo bali anaongea fact na madini matupu!
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 4 ай бұрын
Very interesting
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 4 ай бұрын
Mambo vipi ! Skywalker's all time intro . Haha!
@piusdeo9380
@piusdeo9380 4 ай бұрын
Nawakubali sana wanangu
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 4 ай бұрын
Uyujama namkubali san anaakili sauti muonekano adilaha from 🇧🇮💐🙏🔥
@piusdeo9380
@piusdeo9380 4 ай бұрын
Yup sasa kati ya hawa watatu
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 4 ай бұрын
Nawakubali sana SNS,Sky,Dj Smaa na Jacob
@MkhayaSogadari
@MkhayaSogadari 4 ай бұрын
Na southa Africa nivo magari nimkopo
@godfreykarata3710
@godfreykarata3710 3 ай бұрын
Sns iko juuuuuuuu
@Agent_HG
@Agent_HG 4 ай бұрын
Brother Dj sma, sawa nimekuelewa kwa kuthibitisha sakata la, P didy.
@mathiasmarwa8999
@mathiasmarwa8999 4 ай бұрын
DJ Sma nimefurahi sana kwa kusimulia machache ya safari yako. Zuri zaidi umedaka mambo mengi sana , tunasubiri mezani Kaka
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 4 ай бұрын
Sema huyu dj sma anakili nyingi saana
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 4 ай бұрын
Dj smaa sharom pole na safari kumbe urikuwa haupo ndio maana sipati fuse na fact naamini umerudi nipata madini mengi
@alexmugo3159
@alexmugo3159 4 ай бұрын
Wazitoh,uku Kenya twawaskiliza
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 4 ай бұрын
Jacob ,ooh !! Saut inafurahisha
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 4 ай бұрын
Anataka kujitoa freemason sasa freemason wanataka kuchukua mali zao sasa hapa wanampa muda kama akubari kuendelea na chama
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
Wabongo mnamawazo meusi kinoma yani😂 nenda basi ukawasaidie polisi kwa ushuhuda😂
@l.marley_2542
@l.marley_2542 4 ай бұрын
Ndivyo alivyokwambia??😂😂😂
@shabanimagambo2381
@shabanimagambo2381 4 ай бұрын
Jamaa anasauti nzuri kinyama
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 4 ай бұрын
Ethiopia ni shida mwenyewe nilitokea south africa kupitia Ethiopia nusu nipotee Airport kwao jamani
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 4 ай бұрын
Pamoja from 🇴🇲
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 4 ай бұрын
Watu weusi wanaonewa zaidi, hizi ni siasa za kuwashusha watu weusi. Rangi nyeusi inamtishia mzungu zaidi ya silaha ya nyuklia.
@user-bd5hq2kb4h
@user-bd5hq2kb4h 4 ай бұрын
Nd YNG SAMAHANI LKN JEE ,SS WENYEWE WATU WEUSI NI WATENDA HAKI?(KM NDIO THAN OK THANKS GOD au(ALHAMDULILLAH)LKN KM SIO ,SO HUWEZI KUIPATA HAKI KM SI MTENDA HAKI ,SORRY
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 4 ай бұрын
Ufahamu wako mdogo!
@rashidkatundu9674
@rashidkatundu9674 4 ай бұрын
Sasa tunamsaidiaje😅​@@erickmisilakuba6426
@barakambigi3522
@barakambigi3522 3 ай бұрын
Nani anaonewa?
@saidranzuga5951
@saidranzuga5951 4 ай бұрын
Nipen like moja
@mhabimina4023
@mhabimina4023 4 ай бұрын
🔥🔥🔥👌
@piusdeo9380
@piusdeo9380 4 ай бұрын
Ila giant ndo habari kama hizi ndo anazivumbuanaga
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 ай бұрын
Li Dj Sma ni li Google kinoma.. li mtu gani hili linajua kila kitu🤔🙌
@user-pd8gx8ff6w
@user-pd8gx8ff6w 4 ай бұрын
Strength of a woman. Shegy
@tinershayo6191
@tinershayo6191 4 ай бұрын
Angekuwa bongo na watoto
@patricknewguy8189
@patricknewguy8189 4 ай бұрын
Did he ???
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 4 ай бұрын
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 4 ай бұрын
Sio kessy bana ni kassy as in cassandra , 😊
@ray45king84
@ray45king84 4 ай бұрын
Allegedly...take that,take that#nodiddy
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
✌👍👊.
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 3 ай бұрын
Nimetokea kumpenda dj sma mnanisaidieje jamani kumfikishia ujumbe
@piusdeo9380
@piusdeo9380 4 ай бұрын
Nilikuwa nawasubilia vichwa vitatu hivi dj smaa sky na giant man
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 4 ай бұрын
Jay hawezi akaingia kwenye hiyo kesi kirahisi maana naye kwenye msala wa tupac yumo yumo😅😅
@elishasaidi
@elishasaidi 4 ай бұрын
Poleni sana wachambuzi, msimuhukumu Diddy kuhusiana na hili, kwa sbb chukueni kumbukumbu kuhusiana na kanye west kwa kile alichokuwa pitia kilimpelekea kuharibiwa cv na uchumi kushushwa na kuambiwa kuwa ana afya ya akili, lkn hayo yote yalikuwa ya kutengenezwa. Pia ya R kelly na hayohayo, na wengine wengi, sheria ni sheria marekani msizani kuna chochote kinachopindishwa hapa marekani, hawa wakitaka kukuangusha utaangushwa tu kwa aina yoyote, rais DN aliambiwa kuhusiana na maamuzi yake aliyokuwa akiyatowa kuwa anatakiwa kupimwa akili, hii hishu ni kubwa kuliko fahamu zenu. Kama hayo yote yalikuwa yanatokea inamaana mnataka kusema yeye alikuwa juu ya sheria
@sundymolls9673
@sundymolls9673 4 ай бұрын
Dj Sma Airbuss hawatengenezi ndege aina ya dream liner Boing ndio wantengeneza 😂
@kmotivation1130
@kmotivation1130 4 ай бұрын
what come around goes around
@matendoa.online803
@matendoa.online803 4 ай бұрын
50cent anacho fanya sio Powa . Roho mbaya ile .ni kama Una wish kifo Cha adui yao ….😊 sikaha kubwa kwawa black artists ni ngono …ina bidi wa amuke, wawe na umoja
@ussiussi3413
@ussiussi3413 4 ай бұрын
Msimsahau na "The Game" naye ametoa ushahidi wa kuliwa na P na alikuwa anatoa hiyo story akiwa analia.
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 ай бұрын
Brother Sky ye ni mzee wakutafuta majina😁
@malkavoice2570
@malkavoice2570 4 ай бұрын
Omario alifanya kazi na diddy lkn mpaka leo amedumaa nafikiri ni 7bu ya P.
@ney_nation2544
@ney_nation2544 4 ай бұрын
50 hawezi kumsikitikia diddy coz diddy alipita na baby mama wa 50
@elchapojr638
@elchapojr638 4 ай бұрын
DJ suma inaonekana ana mmind Didy😂😂😂
@MariannaJoseph-uv2sp
@MariannaJoseph-uv2sp 4 ай бұрын
Mimi bwana ni shabiki wa p didy ila ukwili nihivi sio kwakua nimtu mweusi hapana niushetani wao wanakosea mashariti frimason kwassbabu tu kujionyesha na kujisahau kwahiyo frimason wanafanya kaziyao kamailivo Michael Jackson R Kelly na wengine so chenye mwazo kina mwisho so amrudie mungu wake kambla hawajamuuwa hivo yan
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 4 ай бұрын
Asante kwa ufahamu mkubwa
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 4 ай бұрын
Acha mawazo hayo lzm iwe Freemason
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 4 ай бұрын
Hawa watu wana mivitano ya ki gans, hivyo nilazima watungiane maneno. Kumbuka 50cent ni member wa Suprime Team ambayo ina uhusiano wakatibu na Bloods, wakati Diddy yuko Crips ambayo ni timu hasimu sana.
@user-od7os6gg7n
@user-od7os6gg7n 4 ай бұрын
50 Cent na Supreme ni Vitu viwili tofauti.....means ni maadui sana
@geofreydonald3176
@geofreydonald3176 4 ай бұрын
Naunga mkono 90% + inawezekana kweli amefanya maana feds wanaanzaga na uchunguzi na kupata ushahidi ndio wanachukua warranty na kukufata….Black American wengi wanapotoboa bata lao hua sio la kawaida mpaka wanakufuru…Hoods wanazotoka uhuni ni mwangi na ndiko walikotokea kabla ya kua maarufu…Ukiangalia ata series zao yale ndio maisha yao ya kila siku na ndio uhalisia wao na ndio maana mpaka mahakamani ata verse na video za nyimbo zao hua zinatumika
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n 4 ай бұрын
Sio kama hayo matendo ya Diddy walikuwa hawayajui, laa ila ipo namna Diddy ameenda kinyume na jamaa ambao wamempa huo utajiri, maana huo uchafu ni moja ya masharti yaao ila lipo alilo likosea
@dennischarles8524
@dennischarles8524 4 ай бұрын
Ni swala la when atapandishwa kizimbani
@dingi-vk1tu
@dingi-vk1tu 4 ай бұрын
we sky do your research 50Cent ana beef na Diddy sababu mama watoto wa 50 alikuwa na changu wa Diddy so 50 anammind mshkaji sana tu
@ngusakabinza9238
@ngusakabinza9238 4 ай бұрын
Mje na redio yenu jamani sisi masikini mnatumalizia MB zetu
@khalidsuleiman4588
@khalidsuleiman4588 4 ай бұрын
Hizo radio now ni digital watu wanastream online😂😂😂 1
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 3 ай бұрын
Kwakweli bando limeisha kialali nimejifunza sana gd
@Bosskubwah4501
@Bosskubwah4501 3 ай бұрын
HIO NI FREEMASONS ndo upate nafasi
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 4 ай бұрын
Loon ameacha Muziki sasa ni Swala tano anaishi Egypt
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
Alishapoteza huyo
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 4 ай бұрын
Kumbe uyo mwamba jacob ndo mwenye Jaiva hilo 😂😂😂
@Bama959
@Bama959 4 ай бұрын
Tatizo wote hamjaishi USA 🇺🇸, hamjui tabia za wazungu zilivyo kwa watu weusi maana kesi za kubambikiwa no nyingi sana na pia huwa hawapendi mtu mweusi adumu na utajiri wake. Na Dj sma usiwe na uwakika 100%.
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 4 ай бұрын
Marekani ndio zao, wanawatumia watu maarufu (hasa wasanii weusi) wakati wapo katika chati na hela, muda ukifika, wanawafilisi mali zao zote na kuwadhalilisha kwa kesi mfu. Cha kusikitisha jamii yao inajua na inashangilia sana mambo haya.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 4 ай бұрын
Kwa kumuuwa 2 pack na big anastahili kulipia yote hayo.
@charlesmbaga6088
@charlesmbaga6088 4 ай бұрын
Mmeongea vizuri sisi tupo hapa California huyo jamaa wa kulia anakalili.. lol! Diddy & 50 cent wana beef kitambo kwa sbb anatembea na baby Mom wake pia amemuajiri kwenye sex worker program na Yung Miami.. jamaa huyo mweupe anajua ku chambua mambo yupo vizuri
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 4 ай бұрын
Yani huyu jamaaa ata akiongea ivi unaona km anasimulia makala gian men
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 4 ай бұрын
Ethiopian Airlines achana kabisa,midege, yao 🇺🇸 ingia toka,ingia,toka,i think kwa sababu wa Ethiopia wengi wapo worldwide
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 4 ай бұрын
Uchumi wa Ethiopia moja ya mapato yake makubwa ni ndege so ni jambo la kipaombele na istoshe wanaiyo kampuni kwa miaka mingi mnooo zaidi ya miaka 60 kabla hao waithopia hawajatoka wao wanandege
@godsson5954
@godsson5954 4 ай бұрын
sky unaniangusha sana ina maana kipnd kile XZIBIT anammpa shutuma diidyyy ulikua wap had anampeleka kwny gay bar wayback
@Bbwaoy
@Bbwaoy 4 ай бұрын
Ethiopia yes ndio nchi inayo ongoza kwa idadi kubwa ya ndege. Licha ya hivyo wana vyuo vya marubani pia, si acha pia ndio nchi yenye traffic kubwa ya wasafiri.
@djsma255
@djsma255 4 ай бұрын
💯
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 4 ай бұрын
SNS MKU VIZURI SANA
@Dolomitemusic
@Dolomitemusic 4 ай бұрын
SNS 4 life
@kibokibosho7476
@kibokibosho7476 4 ай бұрын
Haya sasa mzee alinunua ndege mkaanza kupiga kelele😂😂 ushuhuda huo wenzenu wanazo kibao
@hamissimonami2519
@hamissimonami2519 4 ай бұрын
Did will never bounce back cuz wamekuta ameusika kummaliza 2 pac kwa namna moja ao nyingine ndo wanajumlisha dot
@TinahFrank
@TinahFrank 4 ай бұрын
Roo inauma sana duuu yani sio kweli jamani nampenda sana pddy
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 4 ай бұрын
Mfatilie vizuri utajua
@emmanuelmisalaba3169
@emmanuelmisalaba3169 4 ай бұрын
Kwani Rais mstaafu Hayati Ally Hassan Mwinyi ana wake wagapi?
@damyarma5351
@damyarma5351 4 ай бұрын
Nimependa san watu wenye akili ya uchapuzi kwenye meza moja, mm nilikuwa nataka kuongezea kuwa mfumo wa dunia aumtaki tena cz ata Jay-z amemkatahaa kitu ambacho amfaamu kuwa kutoka hap atakaefata ni Jayz au 50cnt kuze “Jayz ameisha anza utaratibu wakuwa kwenye dunia huru , wanaofaamu mfumo wa dunia awataki mtu ajitambuwe ndoman wanakuacha tu ufanye matukio kisha wakumalize vzr pale unapoleta vurugo au ukienda tofauti nao “ D alikuwa natka kujisafish ndokulikuja ubishi hapo coz kuna watu uhomsala unge wapata ndomana wanamzibiti mapema. Naukwl atobohiii 😢
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
Hivi wabongo hizi vitu mnapataga wapi😂 yani nyie Kila kitu mnajua mnatetea vitu msivyovijua kwa mgongonwa kuonewa
@kassimali3682
@kassimali3682 4 ай бұрын
Airport ya Ethopia ni HUB
@chishengakaponya8757
@chishengakaponya8757 4 ай бұрын
To be honest Ethiopia Airport it's best Airport in Africa. Am Kenyan and i travel a lot and i can agree on that.
@gudlacf3432
@gudlacf3432 4 ай бұрын
AL
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 ай бұрын
Sauti ya Jacob daa
@barnabasmafuru6735
@barnabasmafuru6735 4 ай бұрын
They give you fame. They give you shame 😂😂😂😂
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 4 ай бұрын
Facts
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 4 ай бұрын
Wanasema watoto wake walisaidia kupata wasichana
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 4 ай бұрын
Karne yasaba mtume anasema muziki ni amali yashetannn
@yohanaibrahim4128
@yohanaibrahim4128 4 ай бұрын
Nyie inaonekana hamuwajuhi wanawake
@king_maik6375
@king_maik6375 4 ай бұрын
50 cent anauhakika na anachosema
@FreeGod368
@FreeGod368 4 ай бұрын
Leo meskia sauti ya yule jamaa mwingine wa sns😂😂😂 aisee anaitwa jacob kumbe
@piusdeo9380
@piusdeo9380 4 ай бұрын
Vip unamkunali mwamba kama mimi
@FreeGod368
@FreeGod368 4 ай бұрын
@@piusdeo9380 sanaaa kk🤣
@mvuneboy6287
@mvuneboy6287 4 ай бұрын
Uyu jamaa Jacob anasauti nzuri.sauki yakipekeee
@erickswai698
@erickswai698 4 ай бұрын
sema hana pointi 😅😅
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 4 ай бұрын
Sauti ya Jacob ni ya mamlaka sana na haiendani na muonekano wake
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
Ethiopia ipo hvyo sababu hawana bahari hvyo baadhi ya mizigo mikubwa wanaingiza kwa njia ya anga hvyo lazma wawe na uwanja mkubwa zaidi ili kuruhusu ndege kubwa zaidi
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 4 ай бұрын
Wana tren ya umeme adiss Ababa to Djibouti' inasemekan ndio nchi inayojengwa kwakass African
@malkavoice2570
@malkavoice2570 4 ай бұрын
50 cent anaamini hayatamkuta?
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 4 ай бұрын
djsma 🫵🏽🔥
@user-by6pe3yh2s
@user-by6pe3yh2s 4 ай бұрын
Sijakuelewa
@mpanjumerius1882
@mpanjumerius1882 4 ай бұрын
Illuminati wako behind
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Hakuna cha illuminati Hawa ni wahalifu walofanya uhalifu miaka mingi wamebainika sasa huyu alimuua hadi 2pac sasa illuminati vp
@HansChuma
@HansChuma 4 ай бұрын
Matajir wakimalekan wenye Asili ya watu Weusi hua hawataki kuja kuekeza africa hua malizao wanawekeza malekani tuu wanashindwa kujakuwekeza Ata Africa ndio maana malizao hua nirahisi sana kupukutiwa(kufilisiwa)hiyo ndio silaha kubwa wazungu wanayo tumia kwa nchi kama ya Malekani
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
Kwanini waje kuwekeza Africa kwani wanakujua sisi😂 tuache kujipendekeza
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Ukitaka kujua ubaya Hollywood muulize Lupita Nyong'o
@Pemba680
@Pemba680 4 ай бұрын
Ranga mwenye flana nyeusi punguza mbwe mbwe unabowa
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 29 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 30 МЛН
FULL SPEECH: Kamala Harris introduces Tim Walz as running mate
33:01
FOX 2 Detroit
Рет қаралды 294 М.
رعبتني من خباثتها
0:33
طارق الحلبي tarik alhalapi
Рет қаралды 13 МЛН
За девочкой гонится бандит😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 4,5 МЛН
ToRung short film: 🙏save water💦
0:24
ToRung
Рет қаралды 117 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 29 МЛН