SAKATA LA UTEKAJI, MAKONDA ABANWA NA MWANDISHI "UNATAKA NANI AKUJIBU"

  Рет қаралды 30,706

Wasafi Media

Wasafi Media

4 ай бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 91
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 4 ай бұрын
Marwa una maswali mazuri ambayo waandishi wa habari makini wanapaswa kuuliza. Hongera.
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 4 ай бұрын
Hajui kwamba chama ndo serikali na msrmaji amebeba chama
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 4 ай бұрын
Hilo swali lautekaj una taka makonda akujibu nn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 4 ай бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 4 ай бұрын
Yy mwenyewe mtekaji mkuu
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂anamtafuta
@happynathan8226
@happynathan8226 4 ай бұрын
Jamaa ana akili sana anajua ana muuliza swali muhusika😂😂😂 na Nina uhakika atalikwepa.
@binsherbal6089
@binsherbal6089 4 ай бұрын
Makonda huna majibu ya maana, sisi wenye Akili tunajua. Hatudanganyiki tunakumbuka mlikuja na Ngonjera ya Mawaziri mizigo. Nyie ni Wahuni tu.
@rogersiddy
@rogersiddy 4 ай бұрын
Kbsaaa watakao muelewa Makonda ujue mwanachama wa CCM uyo wakati wa awamu ya 5 ilikuwa kibano kupotea
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 4 ай бұрын
Tunaakiri vibaya sana mimi siwezi kufika kwa mikutano hiyo. Ya jamaa. Matatizo wamesababisha wao alafu wanakuuliza changamoto.
@user-tz9nb8tx9j
@user-tz9nb8tx9j 4 ай бұрын
Raisi hatuna kabisaaa kazi safari kila siku atakuja kwenda hata mbinguni huyu mama
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@elpistore
@elpistore 4 ай бұрын
kaa ww uende kilimanjaro
@hijazhija316
@hijazhija316 4 ай бұрын
Chuki binafsi
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂na sisi tusijue
@msabahaali758
@msabahaali758 4 ай бұрын
makonda lolote wewe mpokea taarifa tu ukimaliza unawaacha wananchi na shida zao na mattazo yao hufanyi chochote cha maana
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 4 ай бұрын
hili andishi la habari jingajinga sjui limeokotwa wap .
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 ай бұрын
Ujinga wake upo wap??
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 ай бұрын
Mpuuzi mmoja wewe… ujinga wake ujinga wake uko wapi? .. Anauliza maswali ya msingi sana sema kwavile haya mambo hayajatokea kwenye familia yako huwezi kuona umuhimu wake..
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 4 ай бұрын
@@noelbryson7840 linauliza swali halitoi muda wa kujibibiwa
@user-mn2mc4ro5k
@user-mn2mc4ro5k 4 ай бұрын
Mtekaji anaulizwa swali 😂😂🏃🙌
@rogersiddy
@rogersiddy 4 ай бұрын
Yaan nashangaaga watu wanavyomuona MAKONDA kama mtetezi wa wananchi ujinga mtupu
@AdamFundikira-jb9vq
@AdamFundikira-jb9vq 4 ай бұрын
Nyingi si chadema lazima mumuone makonda mbaya maana mko kisiasa​@@rogersiddy
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 ай бұрын
Alimteka nani?
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 ай бұрын
@@rogersiddy kaka ukweli ni kwamba bado tuna kundi kubwa sana la watu wasiojitambua, yani wanaamini huyu jamaa anaweza kuwasaidia kitu ambacho ni uwongoo kabisa.. Huyu ni msanii ndani ya siasa..
@rogersiddy
@rogersiddy 4 ай бұрын
@@noelbryson7840kweli kbs kibaya zaidi alivyomuongo mbele za Mungu kwa kujifanya anatoa machozi kbs mbele za watu na watu wanaamini kbs huyu mtetezi wa kweli hawajui awamu ya 5 alikuwa mtu wa aina gan huyu ila Mungu atusaidie juu ya mateso ya nchi yetu watu wachache wananufaika na hii nchi kikundi kdg sana wengi wetu tunaumia
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Rostam alisema simu Moja tu Kwa hakimu biashara inakwisha
@honestkassim5261
@honestkassim5261 4 ай бұрын
Maswali marefu namna hii yanaondoa maana ya swali husika na yanachosha kujibu .
@respiciusndyanabo366
@respiciusndyanabo366 4 ай бұрын
Kuna tatizo la uelewa spika hakuongeza muda kwa tatizo la umeme ila alisema kazi iendelee Kwa muda huo huo, bali bunge litahoji kuhusu tatizo la umeme ifikapo mwezi wa June
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 4 ай бұрын
Kutekwa sio jambo la kuupuzwa hata kidogo.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
Makonda ni botion tu hakuna kitu hapo wanatuchezea ngonjera
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 4 ай бұрын
Genius reporter, serious questions
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 ай бұрын
Mwenye utekaji wake swali limemfikia😂😂😂😂😂😂
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 ай бұрын
Yani kesi ya swala imepelekwa kwa chui 🤣
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 4 ай бұрын
Inachekesha kweli Kwa mujibu wa katiba mwenye majibu ya maswali hayo ni kiongozi wa serikali Makonda ni nani hata mumwulize hayo maswali
@silverman6930
@silverman6930 4 ай бұрын
Is that a question? Or a statement? I’m confused 🫤
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 ай бұрын
You were confused right away even before listening!
@kombidin..2583
@kombidin..2583 4 ай бұрын
No you're not confused, only that the question is incongruous and stupid
@albinombungu4294
@albinombungu4294 4 ай бұрын
Acha maswali ya test ndo umetoka kufanya test one nini?
@VascoKasambala-wb3ep
@VascoKasambala-wb3ep 4 ай бұрын
MAAASWALI MALEFU SANA KWANN
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 ай бұрын
Siyo malefu ni marefu..
@josephsisa8139
@josephsisa8139 4 ай бұрын
Sasa chama kimezaa serikari nando maana kina wanyoosha viongozi waserikali sababu sio ndo kilivyo wafundisha kufanya au kuwatima.Hayo maswali rudi kadome vzuri kazi ya chama
@immamfugale7835
@immamfugale7835 4 ай бұрын
Tundu Lisu akiona hizi mic anaweza sema za watumishi wa umma
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Mtekaji unamuliza habar utekaji 😂😂😂unategemea kupata majibu gan
@christopheritungi1228
@christopheritungi1228 4 ай бұрын
Hivi waandishi wanashindwa kuuliza maswali bila kutoa maelezo mengi.
@benoitniyukuri2105
@benoitniyukuri2105 4 ай бұрын
Wana nyumbunyuwa kwanza mpaka hata swali linakuwa sio swali inakuwa ni comment
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 4 ай бұрын
Makonda mtumishi wa Mungu wewe umezaliwa kwa Roho, huyo anaye Kijiji, ukimtazama vizuri ni uzao wa mwili na damu.
@pastadandan3569
@pastadandan3569 4 ай бұрын
Huyu badala ya kuuliza anahutubia
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 4 ай бұрын
Mbona makonda anafuta jashotu kwenye swala lautekaji naomba ulinzi jaman kwa muuliza swali.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 4 ай бұрын
Ulinzi wa nn ww huna ataa jero mfukoni
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 ай бұрын
JESHI LA POLISI LIMEFELI WAFUKUZWE KAZI WOTE HAO MARA MOJA 😮😮😮😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢
@PaulKabungo
@PaulKabungo 4 ай бұрын
Hamuna lolote hapo katiba mpya ndio suluhu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
wanaotaka katiba mpya ni wasenge tu , maana katiba ccm saivi wanaweza kupitisha katiba inayo weza kufuta vyama vyote vya upinzani
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Waulize wa Kenya wako na katiba nzuri LAKINI wanalia UGALI HAKUNA 😢😢😢😢😢
@Hamy1109
@Hamy1109 4 ай бұрын
Pamoja na kwamba Makonda anatuhumiwa sana kuhusika na hivyo vitendo vya kunyima haki za binadamu, ila mwandishi huyu anauliza maswali marefu sana. Hayupo organized. Ni kama hajui anachotaka 😒
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 ай бұрын
ILA WAPUUZI WACHACHE HAMUWEZI KUWAZIDI WEREDI WENGI WALIOMZUNGUKA NA WENYE MAPENZI NA MAKONDA...YANI NI NYIE MPAKA MSEME😊
@emanuelmaeda1714
@emanuelmaeda1714 4 ай бұрын
Mwenye kuulizwa swali ametosheka na maelezo anaweza kuanza na yeye story aipendayo. Hii huitwa SET UP. sina upande wowote najiuliza kwani huyu ni JOURNALIST au JANA LIZIMU
@frankjohn8706
@frankjohn8706 4 ай бұрын
Hivi mtu mwovu aweza kujisaliti aseme uovu wake anaoufanya angali akiwa na mamlaka?
@allyndebeye9053
@allyndebeye9053 4 ай бұрын
Sasa majibu yako wapi mbona na nyinyi wasafi mnakua washamba mnapo leta hoja za maswali kama haya basi msikatishe kripu bila ya majibu kujibiwa!!!! Wa hovyo sana aliyekata hii cripu hajui kujenga uandishi mzuri wa habari na matukio lengwa???
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 4 ай бұрын
Songa mbele mtumishi wa Mungu Makonda, huyo anaye kuhoji anaonekana kuwa mtu wa uzao wa mwili na damu.
@deusimakandi65
@deusimakandi65 4 ай бұрын
makonda utafuta jasho sana
@arafatsaid920
@arafatsaid920 4 ай бұрын
binafsi mimi nisingepata uvumilivu wa kuulizwa maswali mia nane ningemnyamazisha tu.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 ай бұрын
Swali ndefu kama treni Ya kwenda mwanza
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 ай бұрын
Wapi Azori Gwanda, Wapi Beni Sanane?
@lovsply
@lovsply 4 ай бұрын
Muite Bashite… Makonda ni jina la wizi
@hattusilli2225
@hattusilli2225 4 ай бұрын
😂 wote mliokua mnasubiri majibu yajibiwe kwenye clip hii
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 4 ай бұрын
Nasikia makonda ndie alimteka .moo
@Commentsplus
@Commentsplus 4 ай бұрын
Mwandishi duuu umeboaaaaaaaaaaaaa miswaliiiiiiii mireeeeeefuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 4 ай бұрын
Katiba mpya yanini
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 ай бұрын
Kenya wana katiba kama Digital ila inawasaidia nini?
@josephlorri431
@josephlorri431 4 ай бұрын
Mwuliza maswali anatafuta uteuzi.... hajajipanga
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 4 ай бұрын
Katimba mpya lazima
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 4 ай бұрын
watu wa chadema hawajui kuandika katimba ndio nini katiba
@makingongosha6738
@makingongosha6738 4 ай бұрын
Makonda atasaidia nini sasa
@user-ht6wt6kt5f
@user-ht6wt6kt5f 4 ай бұрын
Yy mwenyew mtekaji sasa Anaambiwa nn
@ismailsalumu1112
@ismailsalumu1112 4 ай бұрын
Mbona haulizwi seali
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 4 ай бұрын
Huyo muuliza maswali hajui kupangilia maswali yake
@ismailsalumu1112
@ismailsalumu1112 4 ай бұрын
Huyu haulizi swali bali anatoa hotuba
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
ukiona unakereka kura yako pigia chadema
@user-yh8ny1nf3f
@user-yh8ny1nf3f 4 ай бұрын
😂😂
@emanuelmaeda1714
@emanuelmaeda1714 4 ай бұрын
Mh
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 4 ай бұрын
Mbona kama mwandishi mwenyewe kapangwa
@josephsisa8139
@josephsisa8139 4 ай бұрын
Chama tawala nimzazi wa serikari kama ww ulivyo mzazi kwafamilia yako inapokosea unaiazibu tena mkome mnao sema makonda anaigiza,Kwani nyie mnapo azibu watoto wenu mna igiza?
@macksonmgoneko1945
@macksonmgoneko1945 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@deeruta9894
@deeruta9894 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@VascoKasambala-wb3ep
@VascoKasambala-wb3ep 4 ай бұрын
MASWALI MPAKA KELO
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 4 ай бұрын
Hayo ni maswali au ni maelezo ?? Maana huyu mwandishi anaboa
@HamisiMakasara-hb3nt
@HamisiMakasara-hb3nt 4 ай бұрын
Mamluki!!!
@benardbwakitare-wj1hr
@benardbwakitare-wj1hr 4 ай бұрын
Watekaji ndio hao machozi ni uongo kuwaada watu
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 27 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Lissu azungumza baada ya kuzuiwa na polisi Kibaha
2:30
Weyani Tv
Рет қаралды 23 М.
KALONZO MUSYOKA KUTHINGILIILA NDELIKANA NA SILIKALI YA MUSUMBI RUTO
5:57
Mutongoi TV / FM Official
Рет қаралды 510
#TAZAMA| MSAFARA WA RAIS SAMIA ULIVYOINGIA KWA MKAPA
1:38
Daily News Digital
Рет қаралды 9 М.
DAR ES SALAAM INAZIDI KUNOGA MTO N'GOMBE BOTI ZITAELEA JUU
6:29
Millard Ayo
Рет қаралды 20 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН