SAMAKI MBICHI /JINSI YA KUPIKA SAMAKI MBICHI (FISH CURRY) ROSTI LA SAMAKI /MCHUZI

  Рет қаралды 33,970

Tajiri's Kitchen Swahili Flavor

Tajiri's Kitchen Swahili Flavor

4 жыл бұрын

MORE FISH RECIPES
FISH CURRY /JINSI YA KUPIKA SAMAKI MBICHI KWA NJIA RAHISI SANA. • SAMAKI MBICHI /JINSI Y...
FISH TIKKA /JINSI YA KUPIKA SAMAKI WA KUPAKA MTAMU SANA. • Samaki wa Kupaka /Jins...
GLAZED SALMON FISH /MAPISHI YA SAMAKI TAMU SANA. • SAMAKI /MAPISHI YA SAM...
Ingredients
fish
tomatoes
onion
parsley
bell pepper
carrot
lemon
ginger
garlic
bay leaves
black pepper
garam masala
chili powder
salt
oil
This recipe is to simple and the fish is awesome.
FACEBOOK : TAJIRI'S KITCHEN
INSTGRAM : TAJIRI'S KITCHEN
*Follow me on Instragram - tajiriskitchen?...
*Follow me on Facebook - / tajiris-kitchen-100334...
#samakimbichi #fishcurry #tajiriskitchen

Пікірлер: 69
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Mashallaah
@a.856
@a.856 4 жыл бұрын
Thx my fav😋
@ericshelton3162
@ericshelton3162 4 жыл бұрын
My favorite
@fatmaahmedbashirfatmabashi364
@fatmaahmedbashirfatmabashi364 3 жыл бұрын
Nice👌
@sofialion4925
@sofialion4925 3 жыл бұрын
Thanks nice
@parmenamungatana5142
@parmenamungatana5142 4 жыл бұрын
Mmmh😋😋 tamu sana
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Tena sanaaa😋
@SipiweMkwandawire
@SipiweMkwandawire Ай бұрын
Puriz
@SipiweMkwandawire
@SipiweMkwandawire Ай бұрын
Puroz
@aymayusuf5409
@aymayusuf5409 4 жыл бұрын
Masha Allah,anakaa mtamu
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Tena sanaaa😋
@Wanyiha-G.1
@Wanyiha-G.1 4 жыл бұрын
I love your cooking Tajiri!
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thank you girl, I love yours too
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 4 жыл бұрын
Healthy recipes Thank you
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Most welcome
@georgegichemi8639
@georgegichemi8639 3 жыл бұрын
Cooked it ..best fish I've ever eaten..
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Thank you
@namusokekasifa6485
@namusokekasifa6485 Жыл бұрын
Thank you, I love the way you cook
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Most welcome
@leonardgichia6393
@leonardgichia6393 4 жыл бұрын
Awesome..it's so yummy
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thank you!
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 3 жыл бұрын
Asante sana Dada kwa maelezo yako,
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Karibu sana
@birtukaurban4855
@birtukaurban4855 4 жыл бұрын
Look yummy
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thanks hun
@sofialion4925
@sofialion4925 4 жыл бұрын
Nice
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thank you, dear.
@annemnyongesa658
@annemnyongesa658 2 жыл бұрын
napenda tajiri's kitchen so much
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 2 жыл бұрын
Thank you so much dear 😘
@neemanelson6057
@neemanelson6057 2 жыл бұрын
Yani nakupenda tu vyenye unaongea🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 2 жыл бұрын
Shukran sana dear ❤
@zahramauba4821
@zahramauba4821 4 жыл бұрын
Waw anavutia jamani ntapika wangu shukran dadaa
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Karibu sana tena utajiramba🤣
@sarahneema3376
@sarahneema3376 4 жыл бұрын
Asante
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Karibu sana
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 4 жыл бұрын
Mashaallah somu ni sabazie thuzi hilo na cma 😝😀
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Nakwambie weee hapo ni utamu kwende mbele😋
@kemsamohamed8832
@kemsamohamed8832 4 жыл бұрын
Loooove❤️❤️❤️❤️
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thank you 😍
@franciscarachieng2203
@franciscarachieng2203 4 жыл бұрын
🤗🤗🤗recipes ming zikuje tuwatch
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Zinakuja usijali😊 thanks for watching
@franciscarachieng2203
@franciscarachieng2203 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 I really love your recipes aki you are going far sijui ka kuna video yako sijawatch
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
@@franciscarachieng2203 Thank you so much my dear❤❤❤
@mwajumbetajiri3771
@mwajumbetajiri3771 4 жыл бұрын
Mchuzi waonesha ni mtamu sana
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Tena sanaaa utamu kolea hapo😋
@elinawilson5020
@elinawilson5020 2 жыл бұрын
Hayo mataw yanaitwaj na yanapatkn wap
@elinawilson5020
@elinawilson5020 2 жыл бұрын
Umewek fish masala au
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Salam alekum
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 2 жыл бұрын
Waaleikum musalam
@rezeekybeiby1519
@rezeekybeiby1519 4 жыл бұрын
Wow masha Allah nadondokwa na nyute anavyo unekana nimthamu
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣pole sana habibty
@elinawilson5020
@elinawilson5020 2 жыл бұрын
Hiyo n nn umeanzaa kuweka baad ya maft
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Mm napenda sana samaki
@alicemuli1764
@alicemuli1764 3 жыл бұрын
Gram masala naipataka wapidada
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 2 жыл бұрын
Maduka ya spices dear
@neemanihushi7826
@neemanihushi7826 4 жыл бұрын
Yan mpaka najiulizaga nilikuwa wap kuchelewa kuijua hii chanel
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aishakhalid007
@aishakhalid007 Жыл бұрын
Unaware ukaifry samaki mwanzo Kisha ukaipika
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Yes, unaweza
@mwajumbetajiri3771
@mwajumbetajiri3771 4 жыл бұрын
Hata kama ni mzuri unae kula ni ww na iyadh.sisi twamwanga nyute tu
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🖐
@hadijaathuman647
@hadijaathuman647 4 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@happynessmkuyu545
@happynessmkuyu545 4 жыл бұрын
Jina la hilo jani mpendwa tafadhali uliloweka kwenye mchuzi
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Happiness mkuyu ni Majani ya mdalasini 🤣🤣🤣 ilikua sijui jina yake kiswahili. Asante sana kwa kutizama video yangu😘
@marthajohn6532
@marthajohn6532 4 жыл бұрын
Samahani nasikiaga samaki wanaanza kumchemsha kidogo ndo wanampika sasa hapo imekuwaje
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Wewe waskia hivyo na mm hivi ndivyo ninanyopika Samaki wangu. Niko na mapishi tofatuti yakupika Samaki. Lakini hiyo yako ni geni kwangu.
@marthajohn6532
@marthajohn6532 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 sawa
@angelpritchard9399
@angelpritchard9399 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 hiyo mpiya yaan samaki umchemshe kwanza jamn
@marthajohn6532
@marthajohn6532 3 жыл бұрын
@@angelpritchard9399 kwani we hujui kama mchele mmoja mapishi mbalimbali.
В ДЕТСТВЕ СТРОИШЬ ДОМ ПОД СТОЛОМ
00:17
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Mchuzi wa samaki wa Nazi | Samaki wa Nazi
10:37
Abdallah's Kitchen
Рет қаралды 18 М.
jinsi ya kupika Wali wa carrot kwanjia rahisi
7:09
suna's kitchen
Рет қаралды 21 М.
jinsi ya kupika samaki mbichi wa mchuzi
12:42
Mapishi na Zuhura
Рет қаралды 20 М.
MAKANGE YA SAMAKI/ FISH MAKANGE (English & Swahili)
4:17
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 61 М.
Samaki wa kupaka / Grill Fish in Coconut Sauce / @tajiriskitchenswahiliflavo1723 #tajiriskitchen
2:14
Jinsi ya kupika Samaki Mbichi wa nazi.... S01E05
11:19
B's Magic Kitchen
Рет қаралды 29 М.
Jinsi Ya Kutengeneza Samaki Wa Kupaka
5:01
Farhat Yummy
Рет қаралды 29 М.
MAPISHI JINSI YA KUPIKA SAMAKI ROSTI
11:11
DAR MEDIA
Рет қаралды 14 М.
jinsi ya kupika samaki mbichi mchuzi mzitoo//fish curry.
6:46
jikoni kwa mama Swaumu
Рет қаралды 7 М.