Sangula dance 💃

  Рет қаралды 63,302

Demetus Kamguna

Demetus Kamguna

5 жыл бұрын

Sangura ni ngoma ya kienyeji yenye asili ya kabila la wapogoro; pia kabila la wandamba na wabunga kutoka mkoani Morogoro hususani katika wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero.Ngoma hii huchezwa wakati wa furaha- sherehe mbalimbali hususani baada ya shughuli za mavuno. Na huchezwa na rika zote ingawa pia ziko aina ya sangura tunaweza kuziita za kizazi kipya ambazo mara nyingi huchezwa na vijana zaidi.

Пікірлер: 41
@mimamelchior7821
@mimamelchior7821 5 жыл бұрын
Safi sana kaka kamguna
@annahfernand9016
@annahfernand9016 4 жыл бұрын
Mau nyagoooo
@kelvinmazyeta1566
@kelvinmazyeta1566 3 жыл бұрын
Dah Raha Sana najivunia kuwa mpogoroooooh.dah najiona Kama Niko mbinguni vileeeeh....
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 7 ай бұрын
Wapogoro amazing 👏 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@kulwafarajikilumanga2862
@kulwafarajikilumanga2862 Жыл бұрын
W/done Kamguna
@vickyclarence5232
@vickyclarence5232 3 жыл бұрын
Atomic mtimbira hood
@raynelson4231
@raynelson4231 4 жыл бұрын
Rahaaa sana ukisikia hizo filimbi zina radha flani hivi sweat .
@user-ic8iq6rb3f
@user-ic8iq6rb3f 9 ай бұрын
Ukayooooooo
@subzzero5585
@subzzero5585 3 жыл бұрын
Daa sisi wapogoro ni noma Sana apo ata disko likasome
@sweetymamu6568
@sweetymamu6568 3 жыл бұрын
Ashu ashoooo msambu gunoga
@njengasam9344
@njengasam9344 3 жыл бұрын
Hayii walonguu ndo sangula yenii OG, kutoka Mtimbira Usangule
@mdmtanzania
@mdmtanzania 4 ай бұрын
MTIMBIRA ONE
@meshackyovini6094
@meshackyovini6094 5 жыл бұрын
Mwabaho wayangu mwemweeeeee kaaa
@gaudencemkude7168
@gaudencemkude7168 3 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana
@judithjudithmtunda1738
@judithjudithmtunda1738 5 жыл бұрын
wapogoro hoyeeeeeeeeeee
@emilymagambo3163
@emilymagambo3163 4 жыл бұрын
Wapogoro juu uu. ....
@minamina8024
@minamina8024 3 жыл бұрын
oyeeeeeee
@saidylikangasimba3243
@saidylikangasimba3243 5 жыл бұрын
Nimekumbuka nyumbani mwaya home sweet home najivunia kuwa mpogoro
@allanchilongav3064
@allanchilongav3064 5 жыл бұрын
Msambo kunoga awu mwemwemwe
@osbethdaniel7835
@osbethdaniel7835 5 жыл бұрын
Kitambo hio we njoo na muzik wako watu hawana hbr piga sangula tuuuuuuuuuuuuu pogoro oyeeer
@PauloSulutya-xk7pk
@PauloSulutya-xk7pk 2 ай бұрын
Ukaya bam
@mumyhamisi1855
@mumyhamisi1855 5 жыл бұрын
Apana chezea wapogo tupo juu
@RobertSada-wd7os
@RobertSada-wd7os Жыл бұрын
Wa Mtimbira naomba tufahamiane
@florafilimon6686
@florafilimon6686 5 жыл бұрын
Nyanyi sana
@hadijaabdallah5879
@hadijaabdallah5879 5 жыл бұрын
Saafi sana
@halimakhamis2725
@halimakhamis2725 2 жыл бұрын
Hilikuwa wap hii
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 3 жыл бұрын
hao nwanajiita ATOMIC JAZ wana wa pakaya from Usangule, Mtimbira, Malinyi
@njengasam9344
@njengasam9344 3 жыл бұрын
Nyinaa mwatuu aka AKULU GWEKA, DaaaH, nawaona akina TUMBUSI, MATANJI, OSKA, NGOROKI, CHAPA, BI MATANJI WA Mbinji nahis ndo MWe shughuli sio kwa Miluzi hii. Had Twangatwanga, Nguku na Malobaloba toka Munga walienda ng'ambo
@josephmkanyaga8694
@josephmkanyaga8694 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiii
@bilalmvamba9310
@bilalmvamba9310 5 жыл бұрын
Nimefulai kuampogoro mwakashina mayangu nawaona wakurungwangu
@paskalijuliass5279
@paskalijuliass5279 4 жыл бұрын
Duu
@sylvanusw.limbeala6714
@sylvanusw.limbeala6714 4 жыл бұрын
Yina mtwa tudinge ngoma za ukaya
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 5 жыл бұрын
Nikuyiza kuvina neni vinu mayangu
@subirajohn728
@subirajohn728 5 жыл бұрын
Zulfa Saeed mayaa .ga shi shi mwatu
@subzzero5585
@subzzero5585 4 жыл бұрын
Saf
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 жыл бұрын
@@subzzero5585 haya mwatu 😂😂
@asmahamadi8975
@asmahamadi8975 4 жыл бұрын
Namuona bibi yangu sangura ya mtimbira
@RobertSada-wd7os
@RobertSada-wd7os Жыл бұрын
Km wa Mtimbira naomba tufahamiane
@jamhurilibawa6505
@jamhurilibawa6505 4 жыл бұрын
waganafu mkashinaaaa?
@ngendelucas9230
@ngendelucas9230 5 ай бұрын
Asu asu asu
@HashimHabdalla
@HashimHabdalla 2 ай бұрын
Mwenga wapogoro kwe guleki tu
chunda kwa mkonza part1
2:51
Hussen Mkonza
Рет қаралды 29 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
Sangula Dance-Igawa-Malinyi  Ulanga
8:02
Demetus Kamguna
Рет қаралды 54 М.
Wapogoro-Dada Helena1 (SANGURA)
5:16
Mpogoro og
Рет қаралды 22 М.
Sangula ya Mahenge na Masista
2:18
aakipandula
Рет қаралды 38 М.
Ngoma ya wapogoro (sangula)
7:26
The Ewin2.
Рет қаралды 75 М.
GO BUILSA 🙏👍
2:52
DADA JACOB
Рет қаралды 94
MBEWA KANA WANA CLIP BY WATOTO WA KIPOGORO
1:23
RAWISO WANGUNGE
Рет қаралды 8 М.
Hiyo ni dogori kutoka uzaramuni
4:13
kisimba thomas
Рет қаралды 30 М.
sangula
2:43
Innocent Lipambila
Рет қаралды 132 М.
SANGULA SIKU YA JUBILEI JIMBONI MAHENGE 125
3:39
Nikas Kiuko
Рет қаралды 25 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН