Kwa kilichomkuta huyu ndugu we ungeweza vp kuitunza afya yako 🤔
@benancejohn1198Күн бұрын
Hii nchi, changamoto sana 😢
@amemasudi573521 сағат бұрын
Nchi hii ukijaribu kusema ukwli tu unapotezwa yaani ukae kimya tu ila Allah atawalipa kila Dhulma mnayoifanya
@MohammedGabaye2 күн бұрын
Duuu era nyingi mno
@BenjaminMetanyau2 күн бұрын
Panya aaliye muimba roma kashaanza kufanya yake!😢
@haidhabushiri95582 күн бұрын
Dah
@mtzhalisi22322 күн бұрын
Ndio uhalisia huo.... Ilimradi apone tu arudi kwenye shughuli zake
@HalimaKassim-yz3we2 күн бұрын
Mungu afanye wipes inshallah
@jkifutu79362 күн бұрын
Walio mpiga wako wp sasa daah tanzania 🇹🇿 wp twaenda sasa
@DewGroupTech2 күн бұрын
TUNAOMBA TAARIFA ZA MABADILIKO YA MANUNUZI YA LUKU
@arafahhh55742 күн бұрын
Unachangia katika no. Gani
@mancholotrasco83502 күн бұрын
SA 🇿🇦 mtoto kuanzia anapo zaliwa analipwa mpaka akitimiza miaka18 ndio mwisho , mwenye ukimwi analipwa , mzee kuamzia miaka60 analipwa, kilema analipwa .. ukigongwa na gari baada ya miaka kazaa yani mmoja au miwili ujue wewe bosi ...unalipwa pia ... Tuamke watanzania nchi yetu inakila kitu cha kutufanya tutibiwe bule kwa gharama za serikali na kupata elimu bora na miundombinu bora tatizo ni hao tu viongoz mnaowashikilia
@kevicristian27382 күн бұрын
South Africa sio Tz. Nilisoma Social security law ni kiwa chuo kikuu na South Africa ilikua ni case study yetu✍️ Wale Katiba Yao nzuri