Рет қаралды 537,646
00:00 Njooni Wapenzi tufanye shangwe
04:12 Bwana Yesu Kafufuka
07:30 Utukuzwe Ewe Baba
13:11 Tazama Mimi nipo pamoja nanyi
Happy Easter, watch best Catholic Easter songs Mix,
Njooni wapenzi tufanye shangwe, Mwokozi Bwana amefufuka
Na tufanye shangwe twimbe aleluya
Mwokozi Bwana amefufuka
Bwana Yesu kafufuka tumwimbie kwa furaha aleluya
Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe aleluya
Kwani Yesu mfufuka ametualika