SEG: 2 Elimu kuhusu coin ya Pi jinsi itanufaisha watanzania, sikiliza hii elimu itakusaidia sana.

  Рет қаралды 18,790

wave tv tanzania

Жыл бұрын

___
KARIBU U LIKE NA KU SUBSCRIBE CHANELI YETU ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI NA MAFUNDISHO MAZURI KUTOKA WAVE TV TANZANIA

Пікірлер: 61
@FranceMaiko-cs6il
@FranceMaiko-cs6il Ай бұрын
Mkuu najiungaje je inafanyaje kazi pia naomba uniunge
@clediblechoice8
@clediblechoice8 2 ай бұрын
Nice!
@philoteuslwena3082
@philoteuslwena3082 2 ай бұрын
Nimechelewa kuijuwa pi aiseee Nimeumia ila naanza kuichimba sahz
@clemenceernestshooga
@clemenceernestshooga 7 ай бұрын
Nimekuelewa sana mwalim yaan nataman sana nije nishuhudie naenda yard nakuta naambiwa Nissan Forest inauzwa Pi 0.00003 mbona nitanenepa mie😂😂
@siniriweprotais7201
@siniriweprotais7201 Жыл бұрын
God bless us
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd 10 ай бұрын
Naomba nitumie namba za simu au ziwe mtandao Kwa ajili ya kuunga vikundi
@stanfordmwakibasi7511
@stanfordmwakibasi7511 Жыл бұрын
Tuwee makin hapa kwa pi inaonekanaa ni nzuri ila mimi nahitaji ufafanuzii mzuri
@godiusrugaimukamu453
@godiusrugaimukamu453 2 ай бұрын
Naomba nielekezwe namna ya kujiunga na kuanza kuchimba
@middymsamba8847
@middymsamba8847 Жыл бұрын
Hii Pai ni hatari Sana lakini mtu unaweza ukaichukulia poa lakini sio poa poa kama unavodhani Yaani atakuja kutajirika mtu mpaka utashika mdomo kua ivi ndo yuleyule flani
@williamdonald5488
@williamdonald5488 Жыл бұрын
Kabisa
@middymsamba8847
@middymsamba8847 Жыл бұрын
Naomba kuuliza kaka unipe mwanga katika jinsi ya kuaplai KYC lazima tuwe na kitambulisho Cha NIDA mini binafsi Sina kitambulisho ninayo tu namba ya NIDA inakuaje
@middymsamba8847
@middymsamba8847 Жыл бұрын
Yaani apa navurugwa kaka kwamba inakuaje namba ya NIDA ninayo ila kitambulisho ndio Bado havijatoka na juzi nilifatilia NIDA wakanambia Bado nawaza Sana juu ya hili
@middymsamba8847
@middymsamba8847 Жыл бұрын
@@williamdonald5488 Naomba msaada nielewe katika kuaplai KYC lazima uwe na kitambulisho Cha nida mini binafsi Sina Nina namba tu vitambulisho Bado havijatoka nafanyaje
@middymsamba8847
@middymsamba8847 Жыл бұрын
@@williamdonald5488 ninaomba kama Kuna option ya wenye namba ya NIDA kuweza kuaplai KYC
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 Ай бұрын
Safi sanaaaaaàa
@salumungaruburwa9867
@salumungaruburwa9867 2 ай бұрын
Safi
@NaomiRaphael-xf2bv
@NaomiRaphael-xf2bv 8 ай бұрын
Namba zenu
@amaniupendo1078
@amaniupendo1078 7 ай бұрын
Napenda sana Pi. Congratulations kwa ku organise event hii. Pioneer from DRC
@BARAKAMACHIBYA
@BARAKAMACHIBYA 4 ай бұрын
Hello
@amaniupendo1078
@amaniupendo1078 4 ай бұрын
@@BARAKAMACHIBYA hello
@BARAKAMACHIBYA
@BARAKAMACHIBYA 4 ай бұрын
Yes
@rev.pasteuraimablebaobabt.v.
@rev.pasteuraimablebaobabt.v. 8 ай бұрын
Pinetwork best
@ismaelkaleko2954
@ismaelkaleko2954 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@ERICKMSABAHA
@ERICKMSABAHA 7 ай бұрын
Ok
@jemasigala8627
@jemasigala8627 Ай бұрын
Mimi nipo makambako nina alama 21 za mine
@omaryaltezza169
@omaryaltezza169 2 ай бұрын
Uyu mwalimu anajikuta mkali ...wa wakaliii kumbe kawaida tu 😅😅😅😅
@aamirydutch6656
@aamirydutch6656 2 ай бұрын
kyc pi sanatuu,
@Ibrahimkihanza
@Ibrahimkihanza Ай бұрын
Matajiri wakubwa
@FranceMaiko-cs6il
@FranceMaiko-cs6il Ай бұрын
Mkuu pia naomba unifundishe forex
@barakaayoub3480
@barakaayoub3480 Ай бұрын
Nahitaji kujiunga na pi nisaidie
@nassormasoudi8546
@nassormasoudi8546 22 күн бұрын
Link ya pi
@marthaThomas-in2gu
@marthaThomas-in2gu 2 ай бұрын
Tunaomba namba za wanaotoa Elimu kwa kutupatia elimu zaid kuhusu pI
@Pips_Lab-v2f
@Pips_Lab-v2f Жыл бұрын
Zuluu.....
@NUHUONLINETV
@NUHUONLINETV 8 ай бұрын
uongo tu hapa mtakufa
@floribertndikumana3088
@floribertndikumana3088 Жыл бұрын
Pi nikitu gikubwa hap burundi igihanza ntahanziya kugari 😂🤣kbx
@user-sp5mq1vh5v
@user-sp5mq1vh5v 6 ай бұрын
Niunge
@CosmasSanya
@CosmasSanya 2 ай бұрын
Nilichelewa wapi jamani
@komboarts7110
@komboarts7110 Ай бұрын
Namba Gani Sasa boss niwekee namba
@komboarts7110
@komboarts7110 Ай бұрын
Namba Gani Sasa boss niwekee namba
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ... Pi hoyee, aya masuala sio mihemko jamani ... Umejua tu kidogo badi ushaona mwalimu wa wasiojua ... Shame upon you, .. Pi coin its a phishing tool project for legit project participants to be pawned
@komboarts7110
@komboarts7110 8 ай бұрын
Links zingetumwa tubonyeze basi nani yupo twende sawa
@Al-jamaalIslamicFoundation
@Al-jamaalIslamicFoundation Ай бұрын
Nitafute WhatsApp nikutumie
@komboarts7110
@komboarts7110 Ай бұрын
​@@Al-jamaalIslamicFoundationNamba ni ipi
@petermgaya9693
@petermgaya9693 Ай бұрын
Mbona sielewei. Bado hajasema PI ni nn? Anazunguruka tu
@joinet339
@joinet339 20 күн бұрын
Pi ni sarafu ya kimtandao.
@VivianDamian-nn6vn
@VivianDamian-nn6vn Жыл бұрын
Kwasiku unabofya mala ngapi jamn naomba kujua
@yvonnirashidi3560
@yvonnirashidi3560 Жыл бұрын
Hata mara 10 ni weye tuu kikubwa usikose bando
@japhetmathayo2499
@japhetmathayo2499 Жыл бұрын
Mara moja
@MichaelDanda-rk2zv
@MichaelDanda-rk2zv Жыл бұрын
Mara moja tyuu after 24 hrs
@BarakaKandonga
@BarakaKandonga 8 ай бұрын
Kwa siku mala moja tu
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 ай бұрын
Kila baada ya masaa 24 toka muda ulioanza kufanya mining
@FranceMaiko-cs6il
@FranceMaiko-cs6il Ай бұрын
Mkuu najiungaje je inafanyaje kazi pia naomba uniunge
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 51 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН