God this is my neighbour😢...pole sanaaaaaa.....she used to sing alot aki...pole sanaaaa
@VeronicaNyamai3 ай бұрын
Mama wa kambo si mama ,,, pole sana baby girl,,,, God is there for you na kuna siku atakutafuta ..
@georgeokongo-zm8vx3 ай бұрын
This totally a lie I know this girl she is my cousin
@AssnnetMusuruve-jp5dv3 ай бұрын
Jesus are u sure 😂😂if u @@georgeokongo-zm8vx
@BenjaminKyalo-dn2yv3 ай бұрын
Mama wa kambo hakuna maisha Kwao.wakuwa wa laana lkn SI wote wengine ni mayai maozo.
@bellahomukhwaya36503 ай бұрын
😢😢😢
@jamesbarasa49673 ай бұрын
part2 iko wapi
@jackieharriet69123 ай бұрын
Beautiful girl.
@joskyshams47583 ай бұрын
Siamini nikisoma na kuishi Kibra. Maisha yake ya shule yanaoana na yangu😢
@jefflink98153 ай бұрын
She is actually my former classmate pale starays.... but after shule kila msee alienda Zake sikuwai kuja kuonana nae uku kibra ....but Dinah pole sana all will be well .life has a lot of up and down
@flashylynn83263 ай бұрын
Waluhya na Kiswahili,wueh! Msichana anajieleza wacha tu!
@luciahmwai35273 ай бұрын
😹😹😹😹😹😹😹😹
@timggdvs79813 ай бұрын
😂😂😂 Achana na mashemeji wangu😅
@FelixSlaker3 ай бұрын
Lakini ameiva, sindio😂
@sarahorengo32343 ай бұрын
Don't go there😂😂😂
@kalolenikilifi35543 ай бұрын
She's cute!
@emmaculatekyakashow3 ай бұрын
Ni uchungu sana
@angelinerioba74422 ай бұрын
Huyu mtoto ni mrembo❤
@ruthmokeira29003 ай бұрын
Mama wa kambo si mama
@alexsaidi39407 күн бұрын
Apo kwa kudungwa kisu then eti mabati ndo imekukata total lie
@georgeokongo-zm8vx3 ай бұрын
Aki hapa ile uongo nimeskia yote Ni Mungu tu
@yakubgowon2563 ай бұрын
Lulu tatizo sio mama wakambo ni mzee wa nyumba nimelelewa na mama wakambo na maisha wa just okay
@user-hy9iy4jt5q2 ай бұрын
Huyo ilikua wewe wengine tukuelezee about mama wakambo utatuonea huruma utawachukia mama wakambo mimi nachukia mama wakambo alinifanya nichukie hii dunia 😢😢
@user-ni4ui7kb6f2 ай бұрын
😊😂😂😂
@janemuthoni7232 ай бұрын
Kako na Kiswahili smart kama sio ya mluhya
@christineauma-jh3lz3 ай бұрын
Huyu ni mtoto wa pst yetu , aki Dina mbona uwongo hivi , mbona watoto wenyu wengine wanakaa na huyu mama, nani amekuambia uende kwa media ku expose baba hivo na venye babako anakupenda , wacha kujificha uko rundi home ukaombe msamaha kwa babako , na nyinyi watu wa citizen chunguzeni kitu kwanza before mkuje hewani, Dina hizi tabiya zako usipo siwacha utahukumiwa na mwenyezi Mungu , babako ako na machungu sana venye alikuona jana kwa citizen
@JoanLumunyasi-xp1sj3 ай бұрын
Wewe acha
@evasavai9562 ай бұрын
Pastor basi angewaweka pamoja aulize
@bobshakwilashow3 ай бұрын
Editors,??? Her phone number??? How is the show of help to her without her number??? Kindly work on that ASAP
@Kaygmtotowamungutv3 ай бұрын
They don't care bro what they want is content
@beatricenekesa73433 ай бұрын
Number iko pale kwa part two...Dinah amepeana number hapo kwa part two
@Kaygmtotowamungutv3 ай бұрын
Kwa Nini wasiweke hapa number yake pia?
@JACKSON254TV-kp1kw3 ай бұрын
😂😂😂🤗🤗
@tasneemhayati0923 ай бұрын
Because the story is not complete @@Kaygmtotowamungutv
@joskyshams47583 ай бұрын
Watu wanatoa wapi nguvu za kutesa mtoto mrembo kama huyu?
@BONFACEMUSEVENI3 ай бұрын
Uyu msichana ni muongo sana ametumiwa na mtu kuaribia babake jina
@christineauma-jh3lz3 ай бұрын
Hateswi ni yeye anatesa wazazi wake na kutoroka Kwa nyumba kila saa babake akimtafuta arudi Kwa nyumba kila saa, she's a grown up she can go and get married instead of telling people lies in the social media
@rabisahnafus47163 ай бұрын
Waluhya tu na mabibi, mtu akipata pesa kidogo the only thing he thinks is marrying another wife.
@evasavai9562 ай бұрын
Kwani waluyha pekee apana dadangu watu Wana genes zao
@hassanshariff48023 ай бұрын
Huyu dem ni mtulivu sana
@yakubgowon2563 ай бұрын
Hawa watulivu ndiyo wakora sana.
@BONFACEMUSEVENI3 ай бұрын
Ww ndio unajua ni mtulivu uyu ni kiruka njia
@ReubenAura-te1wj3 ай бұрын
This is my brothers daughter mtafute her father ako I can assist to get her father akuje hapo kwa studio
@Zainab-ts4mj3 ай бұрын
Aje afanye nini for sure😮
@DavidAmbani-qj1kb3 ай бұрын
It's disgusting that a media like Citizen does not do prior consulting before publishing such kind of shit such pupilliarity the girl has been used by someone to soil her father's name please consult her father
@georgeokongo-zm8vx3 ай бұрын
I know this girl is my neighbour kibra what's she is narrating is a lie