WAAMINI WA PAROKIA YA KUPAA BWANA WASIMAMA KUSHANGILIA WIMBO NIMEBEBA SIFA KUKUTUMIKIA ULIOIMBWA KATIKA IBADA YA UTOAJI DARAJA YA USHEMASI KWA MASHEMAJI 5 WA SHIRIKA LA WAMISIONARI WA DAM AZIZI YA YESU
Пікірлер: 10
@petermwambuja4359 Жыл бұрын
My new Parish, nafurahi kuona kwaya ya parokia yangu tarajiwa pindi niwapo Manyoni
@angelshauri8726 Жыл бұрын
My former parish,Mungu azidi kuwabariki
@ireneatieno842 жыл бұрын
Nice 🙏
@aminalimu51502 жыл бұрын
Amen 🙏
@joseeandrew73432 жыл бұрын
Mama zetu vigelegele viwe vya kiasi au visiwepo kabisa maana kuimba ni kusali mara mbili.jambo kubwa na zuri ni kuimba huku ukiutafakari wimbo ndani ya moyo wako kuliko kupiga vigelegele.wanakwaya Mungu wetu awabariki katika wito wa uimbaji huku mukiongozwa na roho mtakatifu ili muweze kukiishi kwa matendo kile munacho kiimba
@lindezanoe22982 жыл бұрын
🙏🙏Grande cantico e muito fantástico👌👌👌. Quero saber se fala de que? É cantico de que momento? Um forte abraço. 🇦🇴🇦🇴