SHEIK MBOGO ARIPUKA NA USTADHI SHAFII MAADA YA DR SULLE KUTUMIA PETE NA MAJINI KAMA NABII SULEIMAN

  Рет қаралды 880

SIMULIZI ZONE

6 күн бұрын

TUMEPATA WASAA WA KUPATA ELIMU KUTOKA KWA MHADHIRI SULEIMAN MBOGO KUHUSU WAISLAMU KUMFUATA NABII SULEIMAN KATIKA TIBA NA MANABII WENGINE

Пікірлер: 14
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 6 күн бұрын
Mohamed akifundusha watu wake ju yakumfuata yeye kama mtume alisema mnifuate tu lakini hatamimi sina ukweli namfuta nani. Kumaniisha mungu wake hakua na imani nayee aliweka watu tu kwa Chama yake sio kwa mwenyezi mungu.Yesu ndie bwana na njia tu nikumpitia yeye.poleni lakini ndivio ilibyo
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 5 күн бұрын
mwisho tumufuate yesu kristo tuajane na mambo mengi
@BaruMasimango-zo2se
@BaruMasimango-zo2se 6 күн бұрын
Mashallah👌👌
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 6 күн бұрын
Mimi Mkristo lakini nampongeza..Sheikh Mbogo...Sheikh Mazinge..Sheikh Kinyogori...Sheikh Dr Sule..Sheikh Mwaipopo...Hawa ni mabingwa(CHAMPIONS of Islam) wa kiislamu
@ramadhanmgumba3680
@ramadhanmgumba3680 5 күн бұрын
M sioni 7b ya kuwatukana mashekh kwa7b kukhtilafiana walianza wana vyuoni wakubwa hawa wanaendeleza tu Ubu tuwaheshim mashekh zetu jaman kwa7b ukianza kwa huyu mbogo, shafii na dr sule wote wanafanya kaz kubwa katka uislamu kwa wanaofuatlia mijadala ya waislamu na wakristo watakuwa wamenielewa
@salehemimbi1895
@salehemimbi1895 6 күн бұрын
Wewe mbona haujatumia majini utajirike kama Sule na majini yake,umekaa na kutoa povu tu hapo
@salehemimbi1895
@salehemimbi1895 6 күн бұрын
Halafu mnashindwa kufundisha dini watu waijue sawa sawa,umekaa tu majini majini. Hakuna vitu vingine vya kuelimisha?
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 5 күн бұрын
Kwenye Biblia imetabiliwa nazani ni TIMETHEO 4:4 WATAACHA KWELI YA MUNGU NA KUFUATA HADITHI ZA UWONGO.
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy 6 күн бұрын
Sisi wa Islam tunamufata Muhammad ww hatumufate wamitume wengine ila tunawamini. Kama vile malaise wa ichi zingine tunawamini kama ni ma perezident sio wa ichi yetu.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 сағат бұрын
Oa wake 11 kama Muhammad
@salehemimbi1895
@salehemimbi1895 6 күн бұрын
Mbogo wewe,ni mshirikina,ukiamini majini Shafii yuko sawa
@salmaghalib5474
@salmaghalib5474 6 күн бұрын
Manno yako huna hata maana
@allyway999
@allyway999 6 күн бұрын
Huyu jamaa anatoa haya ya Quran kulazimisha sija soma mimi lakini najua kwenye quran kuna history geography science na alafu ukisikia faten Mila za nabii iblahimu Sasa unataka kusema mpaka jinsi yakuswali iblahm ilikuwa ni swala tano wakani Mtume wetu kapewa yy swala tano we vepe wew you talk no sense ukisikia mila iliyo maanishwa hapo maanayake alikuwa muislam na muamin na alikuwa simshirikina kama unavyo yaka wewe ndio lengo la Aya iyo we vepe
@allyway999
@allyway999 6 күн бұрын
Shke inanidi tukufundishe sis wanafunzi Sasa maana unataka kubisha vitu ambavyo hata mtoto anaelewa Sasa nasemaje kama ilivyo Allah anasema tufuate quran na sunna za Mtume Muhammad sio tumfate Sulaiman au kwavile aliwatumia Majin ndo kumg'ang'ania ivyo yaan wewe Akili zako Azina akili kabisa
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 104 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 40 МЛН
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42