Allah Akbar jazakallahu kheir Sh.Abdul Shakur mawaidha mazuri sana yatawafaa wenye kuzingatia alafu ayo maneno mawi umemalizia yamenikosha sana Allah atuwezeshe Inshallah. Nimekuskiliza kutoka Egypt.
Subhana Allah, skhehe umesemake, Allah atuhifadhi na maaswiya, AMII, ALLAH AWAZIDISHIE ELIMU YENYE MANUFAA AMIIN
@destineluna576827 күн бұрын
Shehe lashaallah allah akupe janat fridaus
@rmdhnhmz51225 күн бұрын
Aamin
@nsaguyeclaver311410 күн бұрын
mungu atupe mwisho mwema
@maftahmusa9513Ай бұрын
احسنة برك الله فيك يا شيخ
@AishaAisha-vt3ng23 күн бұрын
Barakallah sheikh wetu Allah awahifadhi ma shekh wetuh nyooote kwa jumla bila ya kuchaguwa
@HabibaSwalehe-bx4wr20 күн бұрын
Asante sana Sheikh kwa elimu yako nzuri nimekuelewa vzr Allahu atakulipa
@CishahayoCishahayo25 күн бұрын
Jazakumullahu janah Aamiin!
@user-qv8uo3bc6o21 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah shukran jazaqa Allah khayra
@user-sr8nc2kq5x11 күн бұрын
Imana imuhe amahoro nimihezagiro
@HakizimanaSalima-sg7cv12 күн бұрын
Jazzakallahu khayra Sheih shaqur
@nubianqueen670023 күн бұрын
JazakumAllah khairan!
@JUBRANBULAYHl-yb4ke15 күн бұрын
Kandi kurinda, n'umutekano, n'ubumenyi, n'ibihome, n'ingabo, inkota, icumu, n'amaboko akomeye, no gukumira ibibi n'akaga, ni We Nyirububasha na Nyirububasha. Turamushakira ubuhungiro mu bibi roho n'imyuka, Mana we, uri Umwe uhagije kandi uri uwishingikirije, kandi uri Imbere na Manifeste, Uwa mbere n'uwa nyuma ukomeye, Nyirububasha, Umutsinzi, kubwicyubahiro cyawe nicyubahiro, ibiremwa byose birayoboka. . Umugaragu wawe w'umukene, wicisha bugufi, wicisha bugufi, yewe Wahab, mpa umucyo mu mutima wanjye, ubwoba mu maso yanjye, amacakubiri mu gituza cyanjye, no gushishoza mu mutima wanjye Kandi uburinzi kuri wowe hafi yanjye n'amahoro kuriwe kuri njye, Benshi Nyirimpuhwe, Mana, kubwa Q M H E E Kuri S K K F N Q D R S Kh D L Y B na Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana iteka ryose, yewe ubaho, yewe Mbaraga, O Nyirububasha, yewe Nyirububasha, yewe Nyirububasha, yewe Mutsinzi, Mana we, Mana, utsinde buri mukandamiza, umunyagitugu, n'umunyagitugu Ku isi no munsi y'ijuru kubwa Muhamadi, amasengesho y'Imana n'amahoro bibe kuri we n'umuryango we wose hamwe nabagenzi. Mana, nyereka ibitangaza byubushobozi bwawe, imbaraga, gukandamizwa, nigitugu mubagaragu bawe bakandamiza, b'igitugu, Bin Yamin Netanyahu, hamwe nabasirikare ba Zioniste bakandamiza. Mana, tanga abamarayika bubahwa, Gaburiyeli , Mikayeli, Israfil, na Azrael, abasirikare b'Imana bashyizweho.
@KaburaAbediKapangaAbdulRahmans26 күн бұрын
Sheikh Abdul shakuru Ramadhani
@DalianaMussa16 күн бұрын
Shekhe unatoa dawa nzuri Mashaallah.
@NiyonkuruYazidi16 күн бұрын
🎉MashaAllah shukran
@ayubumasudi838028 күн бұрын
Maashallah❤❤❤
@migoshimself320420 күн бұрын
Mashaallah nimejifunza kitu apo ❤❤❤ najivunia kuwa Muslim
Sasa kweli utakereka nguo mtu anayovaa bc utakereka San mwenzangu mavaz yanayomkera mtu ni Yale wanayovaa baadhi ya wanawake Hali ya kuwa wako uchi kabisa hicho ndicho kinachokera tu bc sio kuwa kavaa kofia kaisogeza mbele ndio ni uhuni tunakosea waislamu tujirekebishe maneno yetu hasa kwa watu watukufu km Hawa mashekhe tujitahid kuchunga ndimi zetu kwao wao sio km sie tuelewe jamni nyiii
@rehemarashid98295 күн бұрын
Kweli kabisa
@Zanha58226 күн бұрын
Mashallah mashallah mashallah shekhe Allah akulipe heri
@SeifAlly-g9iАй бұрын
Vizuri Sana sheikh kutoka huko Burundi ahsant
@amimwinni482925 күн бұрын
kweli sana kweli
@user-fp9ei8gg8s29 күн бұрын
Mungu akujalie insha allah
@Mydearyasin6 күн бұрын
Huyu shekh nampenda kwa ajili ya Allah/ jina lake pls
@KHIDMAONLINETV3506 күн бұрын
Sheikh AbduShakur
@AliHassanAli-jd9ruАй бұрын
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh
@yunusrashid932210 күн бұрын
Allaikum salam warahmatullah wabarakatuh
@ednamachocho305912 күн бұрын
Sheikh Kishki tafadhali hiyo kofia yako yakera sana uvaaji wako. Mbona unaficha kope. Sisi wake ndio tunastahili kuficha kope. Pole kama nimekuudhi.(Nisamehe Sheikh wetu mzuri)
@salumuseif332412 күн бұрын
hehehehehehehehehheeheheh
@mvuyekureabbas544127 күн бұрын
Huo niukumbusho sio Mara yakwanza kuyasikia ao kuyajua
@shadidumabote926225 күн бұрын
Hongereni Sana mashekh zetu, Kuna kitu huwa chanikera Sana ni uvaaji wa kofia Kama huu wa kishki huu niuhuni Tena huu uhuni wanao ahlu Sunnah, huu uhuni ndo fasheni yao we mtu unapanda mimbari kofia umeeka kwa kope za macho, Kama mwatamani niqabu mseme tuwanunulie
@HemediJafari-if3od24 күн бұрын
Haikatazwi mtu jufanya jambo ambalo kinakukera wewe, ingekua linamkera mungu ilikua haifahi sheikh kuvaa kofia hivyo, Tupunguze ukali wa maneno,masheikh zetu hao ndo warithi wa mitume Alhabiby....
@shemsasalum-yn4zc24 күн бұрын
Chuki tuu , kuvaa kwake kunakukera wapi!! Vaa wewe yako kwenye komwe lako
@shadidumabote926224 күн бұрын
@@shemsasalum-yn4zc sikumsema kwa chuki na kishki mannhaji yake ndo ya pia dini inaendeshwa kwa nasaha so kiushabiki,, mifumo ya wasomi Hawa wakisasa katika suala la mavazi wanaharibu utaikuta shekh kava nisfi saq. Mashaallah lakini Kama ni suruali mnyonyo, Kama nikanzu imebanwa imeshep mwili, kofia wanavalia kwa kope za macho sasa kofia inavaliwa kwa kope, dini si kujifananisha na watu au mtu, binafsi nimakosa hayo, sikumoja mwalim wangu Allah amraham, shekh sariko, alimkosoa kijana flani tukiwa darasani kutokana na uvaaji huu huu, hicho ni (kibri) utake usitake hicho ni kibri,
@Ayuminchasi22 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅komwe lake @@shemsasalum-yn4zc
@jumahamad372322 күн бұрын
Taratibu isiwe na lugha chafu jamani@@shemsasalum-yn4zc
@cornerstone1079113 күн бұрын
Inyigisho nziza
@mariamkai270522 күн бұрын
Kwel kabsa
@hamadKhamis-p6k17 күн бұрын
Jamn watu musiwaambie mashekhe kuwa wanapovaa vivaz vyao kuwa ni uhuni hamna tuelewe tu kuwa Kila mtu anavaa anavopenda Kwan hakuna wanapovaa kanzu fupi na wengine refu sasa Kila mtu na mapendekezo yake
@mvuyekureabbas544127 күн бұрын
Usiseme yakwamba hayajawahi kusemwa
@mvuyekureabbas544127 күн бұрын
Maaana Yake nikwamba kipimo ça ucamungu wa mtu ni pesa
@Assiya3926 күн бұрын
Ni kweli binaadamu akipata pesa ndo kipimo cha uchamungu wake wengi wao hubadilika sana 😢
@user-rs1bo1ic7j26 күн бұрын
A.ww . Yeah mimi yalinikuta . Myaka 8 tulikaa bila tatizo kwa sababu Hana kazi . 1999 mpaka 2007 . Na 2007 ndiyo mwaka alipata kazi ya maana tena nzuri . 2008 nilipata ujauzito . Alihama mji akasema yeye siyo wakukaa kwenye mtaa hule. Kweli alihama bila kuniaga . Kiukweli aliikaa sababu ikifika kunako mwezi wa 11 mwishoni ima 12 lazima Ahamiye mjini town .na kwenye kazi nyingi huwa mwishoni mwamwaka huwa wanapewa Mishahara miwili . Kwahiyo yeye anaviziya mwishoni mwa mwezi 11 anazuwa kisa kisha anahama . Mnamo mwezi wa kwanza ima mwezi wa pili kama tarehe 10 anarudi na nguo zake pesa ya mwisho wa mwaka imekwisha . Patamu kazi mimi ndiye niliyo imtafuriya . Kulipa nyumba halipi . Masomo ya watoto halipi .katika mwezi mtukufu wa ramadhani tunafunga siku 14 hajahemea futari awo daku .awo hata sukari . Nikisubutu kumwita ndani nakumwambiya mbona leo tunataka kugawa mwezi hujahemea futari ? Basi kesho atakuja saa nne usiku tayari yeye kisha futuru huko huko . Kwakweli mungu ni mwema . Leo hii Hana kazi hadi ahata pesa yakupanga chumba Hana. Bali analala barazani kwa mama yake mzazi . Watoto wamesha kuwa na umri wa 20 . Na myaka 15 . Kwakweli mungu analipa hapa hapa duniani .
@AishaAisha-vt3ng23 күн бұрын
Sisi wote ni wamoja
@toyikudratullah146615 күн бұрын
Kwani kofia inakipo chakuvaa acheni kupotosha
@MwinyimvuaOmary26 күн бұрын
Assalaam alaykum jamani Mimi ni imamu massjd SIRAAJULMUNIRI MAJANI MAPANA BAGAMOYO MJINI Nilikua nauliza shekh huyu wa kigeni tunawezaje kumpata huku kwetu bagamoyo? Wabillahi tawfiq
@Niget-us1np23 күн бұрын
Kashaondoka tayari
@FazilKarim-nm8vd13 күн бұрын
Atarudi tena ;uku darasa zake tunafata
@user-sr8nc2kq5x11 күн бұрын
Imana imuhe amahoro nimihezagiro
@khairatabbas852325 күн бұрын
Mashaallah
@mvuyekureabbas544127 күн бұрын
Huo niukumbusho sio Mara yakwanza kuyasikia ao kuyajua
@SheikhYussuf-iv6lo27 күн бұрын
Bas umekumbushwa na ndo maana Mtume صلى الله عليه وسلم aliambiwa akumbushe
@Sh_Taqee15 күн бұрын
Unataka mapyaaaaa au unatakiwa kusikiliza na kutii ya Allah?