SHEIKH ISSA Short Film.

  Рет қаралды 61,045

JITU LA MSITUNI FILMS

JITU LA MSITUNI FILMS

Күн бұрын

Shekhe Issa Ni Kijana wa Ki Islamu anayempenda sana Mwenyezi Mungu, ni kijana mchamungu anayependa Kujifunza mengi kuhusu dini yake, lakini Udadisi wakupitiliza unamponza Sheikh Issa, alitumia kila njia Kuhakikisha anaufahamu na kitu anacho kiona au kukisikia, kiu hii Ilimpelekea Sheikh Issa kufanya vitu vilivyo ishangaza jamii.

Пікірлер: 283
@fatmakhalef3450
@fatmakhalef3450 11 ай бұрын
Katika uislam unatakiwa ukifanya dhambi yeyote kwa siri na ukaomba msamaha basi ni vizuri hiyo dhambi iwe ni siri yako na mola wako basi. Allah anachukia kufanya dhambi na ukaitangaza. Allah anajua zaid
@maryamliame5968
@maryamliame5968 Жыл бұрын
Napendaga sana movie 🎥 zake uy mkaka mung azid kukuongza inshallah 🤲
@ivanbiswalo
@ivanbiswalo 2 жыл бұрын
Swadakta shekh issa Ila una den kubwa kwa watanzania sisi muendelezo WA #shekh_issa
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
😄😄😄Kaka hapo bado unataka Muendelezo
@bluechater
@bluechater Жыл бұрын
Am here again jmn good job
@niiteafsa8568
@niiteafsa8568 2 жыл бұрын
Nakupenda halafu nakupenda tena kwa ajili ya allha
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Amin,.,.Shukran sana sister
@valeriadaniel4229
@valeriadaniel4229 Жыл бұрын
Nakupenda wewe kaka kuliko neno nakufatia kuliko ninavojijua Mimi Mungu akuongezee Zaid ya Zaid hapo
@saifSaif-yj9uu
@saifSaif-yj9uu Жыл бұрын
Yan kaka wewe ujawai kukosea wallahi mafuzo mazur mashallah mungu azidi kukupabariki kaka nakukubari sana mpendwa ❤️❤️🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@user-bi7hz1mu7p
@user-bi7hz1mu7p 5 ай бұрын
Yan wew kak umefanana sana na mdg angu kama mapacha had kuongea had mwil sura dah
@angelkavishe5240
@angelkavishe5240 2 жыл бұрын
Big up My Brother Isarito Good job 💪💪💪💪👏👏👏
@zulphaiddy1191
@zulphaiddy1191 Жыл бұрын
Nakufuatilia sana Issa, hongera movie zko nzr nzr mno
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 Жыл бұрын
Sheikh khaaa umefanya dhambi zote ndani ya usiku mmoja... daa...aisee
@hansambenne4473
@hansambenne4473 2 жыл бұрын
Somo kubwa mno, wewe kila siku ni bora unastahiki. MUNGU azid kukufanya bora 🙏
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka
@user-hr2it9gc1n
@user-hr2it9gc1n 2 жыл бұрын
Unajua na unajua tena issa💜❤💚💛👏👏👏👏
@danielmkama24
@danielmkama24 2 жыл бұрын
Super star #Isarito 💥💥💥💥💥💥💥
@amirijuma4539
@amirijuma4539 Жыл бұрын
Broo tuko pamoja mwanzo mwisho nakufwatilia muvi zako zote nzuli sana
@herson9343
@herson9343 2 жыл бұрын
Hongera sana ndugu yangu. Umetoa meseji kubwa sana . Pombe ndio mama wa maasi. Natamani siku moja nikupe mkono wa pongezi kwa kuwa wewe ni muigizaji Bora tanzania
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka 💪
@aishadaudi8894
@aishadaudi8894 2 жыл бұрын
MashaaAllah
@shanizuberi4221
@shanizuberi4221 Жыл бұрын
Movie ni ya moto 🔥🔥 sn gonga like km umeielewa
@sadaoman591
@sadaoman591 2 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka isarito
@athumanimohameditengeni603
@athumanimohameditengeni603 Жыл бұрын
Daah ndo mana kamili ya sanaa kaka ujumbe mzito kwa jamii yetu mola atuongoze katka mema
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 Жыл бұрын
Shukran sana kaka
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Mashallhhh muvi nzuri xna iki na mafunzo pombe haifai nimwana haramu Allha atuepushie inshallah Kwa ss na vizazi vyetu aminy aminy Aminy inshallah 🙏🙏🥰🥰🥰😭😭😭
@fakihmohammed3923
@fakihmohammed3923 Жыл бұрын
Aamiin
@StevenPascal-cf8ck
@StevenPascal-cf8ck Жыл бұрын
Nakubali kazi yako kaka
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 2 жыл бұрын
Ni mmoja ya wanamapinduzi wa kweli ktk filamu za Tanzania. Hongera Sana nakuona mbali mno siku zijazo. Keep moving
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka
@samsonkunyambanya7620
@samsonkunyambanya7620 Жыл бұрын
@@jitulamsitunifilms6387 bro salute kwako Mungu akupandishe ukawe juu zaidi
@Mayah600
@Mayah600 11 ай бұрын
​@jitulamsitunifilms6387 Sir isarito WAGWAN WAGWAN gud job I dnt not realize if if ni ww
@Mayah600
@Mayah600 11 ай бұрын
​@jitulamsitunifilms6387 Sir isarito WAGWAN WAGWAN gud job I dnt not realize if if ni ww
@Mayah600
@Mayah600 11 ай бұрын
​@jitulamsitunifilms6387 Sir isarito WAGWAN WAGWAN gud job I dnt not realize if if ni ww
@user-lz2sg5ju2b
@user-lz2sg5ju2b Жыл бұрын
Mashallah kaka issa
@saidyzubery3061
@saidyzubery3061 Жыл бұрын
Kwakwel oko vzr kka unakipaj
@boratz271
@boratz271 2 жыл бұрын
dah kaka hongera sana kila hatuwa ya safari yako duwa ameen inshaallah
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Amin kaka shukran sana
@hudhaifamohamad7919
@hudhaifamohamad7919 3 ай бұрын
NDO NAONA SAA HII KAKANGU😂😂😂😂🎉❤
@FatimaFatima-wz2qt
@FatimaFatima-wz2qt Жыл бұрын
Nivyema mkasilimu mkawa waislam kweli
@OmarKipanyakhamis-pe2qx
@OmarKipanyakhamis-pe2qx 10 ай бұрын
❤❤❤❤mashallh
@rashidiharoun4199
@rashidiharoun4199 Жыл бұрын
Mashaa ALLAH kaka ujumbe mzuri sana keep it up
@zenangongoro574
@zenangongoro574 Жыл бұрын
Big up bro #isarito kaka unajua mpaka basi yani 🔥🔥🔥
@charafimmuidine4131
@charafimmuidine4131 2 жыл бұрын
dah kaka hongera sana umiweza kaka duwa inshaallah
@elishageorge492
@elishageorge492 2 жыл бұрын
UWEZO,UBUNIFU,UIGIZAJI MKUBWA SANAA SHOUT OUT TO MY DIRECTOR RAMAL AND MY ACTOR BROTHER ISARITO KAZI KUBWAAA MNOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana ndugu yangu
@user-vn5ew3zx9n
@user-vn5ew3zx9n 8 ай бұрын
Mimi nakukubali kwenye sanura ww kiboko ya mzee kisasi
@BOSSLADY3656
@BOSSLADY3656 Жыл бұрын
Wow bro big up🙏🙏👊
@omaryothman7060
@omaryothman7060 Жыл бұрын
Unajuaaaaa Sanaaaaaa Broh Ww Na kund Lako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😊
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Dulla wa sanura nakupenda xna kwa ajili ya allha ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 Жыл бұрын
Shukran sana mashaAllah Allah akujaalie kheir inshaAllah 🙏😍
@rashidkhamis4306
@rashidkhamis4306 Жыл бұрын
Nakukubali kwakeli saluti kwako
@bitumusaid7845
@bitumusaid7845 Жыл бұрын
Hii ndio curiosity kills the cat...inaelimisha sio Kila kitu lazima ukifanye ktika dunia ndio ionekane umeishi maisha😅big up! God bless....
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 Жыл бұрын
😊😊😊💪💪Nakubal
@saadamansoury1520
@saadamansoury1520 2 жыл бұрын
Nakubali sana kazi zako kaka
@yowtz5450
@yowtz5450 2 жыл бұрын
aise mwamba umetisha aise,,ujumbe mzuri sana na umeuwasilisha vizuri mno,,,
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka
@hamisikijombo6044
@hamisikijombo6044 2 жыл бұрын
Unajua af unajua tena🤝🤝🤝🤝🔥🔥🔥🔥🔥
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 Жыл бұрын
Asante 😊💪
@bravehousemedia1915
@bravehousemedia1915 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana broo mapambano naona yanaendelea
@castleofhits
@castleofhits Жыл бұрын
Ni filamu nzuri,Hongereni Jitu la msitu film
@rahmatonystan2691
@rahmatonystan2691 Жыл бұрын
Kazi nzur Sana🔥🔥
@ZahraZahra-jm2pk
@ZahraZahra-jm2pk 2 жыл бұрын
Mashallah nzuri sana
@phanestandabila3490
@phanestandabila3490 2 жыл бұрын
nakumoyo🥰. great work mwaisa unyama sana
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Nakubal Wanyumban
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Masha allah movie imetulia 🇮🇶kondoa 🇹🇿
@anaelmiraji
@anaelmiraji Жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri sana kaka ISSA, na mm Nina kipaji kama Chako naomba msaada naitwa Anael miraji tokea Mbeya
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah twaonba Allah atuongoze nas katika njia ya kher tukumbuke duwa kila muda. Amin thumma amin
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Amin 🙏
@zamzamhaji1229
@zamzamhaji1229 2 жыл бұрын
Nice movie 🙏👌🇴🇲🇴🇲💯
@kinglee6777
@kinglee6777 Жыл бұрын
👑👑🔥🔥🔥
@ukhtyrahma2714
@ukhtyrahma2714 2 жыл бұрын
Big up sana my brother
@venturebown6983
@venturebown6983 2 жыл бұрын
Big up 💥🙌🙌🙌 bongo
@fesbwom7261
@fesbwom7261 2 жыл бұрын
Kumbusha hakika ya ukumbusho utamfaa kw mwenye kuamini.. mm ni muislam imenigusa sana.. na imenifunza sababu nishapita uku. Lkn kuua sijawai .. lkn nimechoka sana pale shekh ABDUL alipokwambia kuwa ktk dhambi zote 3. Hujawai kufanya ata mojo? matokeo yake ukafanya zote 3 Kwa ucku mmoja.. I like this short movie.♥️♥️♥️🔥🔥🔥
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka ubalikiwe sana
@twalibumoon3544
@twalibumoon3544 2 жыл бұрын
Mwambaaaa a.. Sheikh Issa
@mackrinaerenesto6402
@mackrinaerenesto6402 Жыл бұрын
Mung akupandishe zaid nam nataman sana kuigiza now lakn sna namna bc napenda sana kukufatilia san kaka na nakpenda mnoo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@saidikalama1828
@saidikalama1828 Жыл бұрын
I filam Ina funzo kubwa sana HONGERA BRO
@Iceefilmstv
@Iceefilmstv 2 жыл бұрын
#MbeyaBegani safii kaka
@richardalfred1214
@richardalfred1214 2 жыл бұрын
My favorite actor keep it up bro
@Mayah600
@Mayah600 11 ай бұрын
Ghai dula
@rahelkiteka
@rahelkiteka Жыл бұрын
Nachokukubal huwa unafanya kaz zako pasi na kujilinganisha na wengine haimaanishi kuwa huon wafanyavyo,..la hasha!
@user-lz2sg5ju2b
@user-lz2sg5ju2b Жыл бұрын
Dulls Wa sanura huwaga nafurahi Sana nikikuona Katika sanura
@hadijamwekilinga2270
@hadijamwekilinga2270 Жыл бұрын
Mashaallah
@Mhinaog
@Mhinaog 2 жыл бұрын
A very nice short film
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 2 жыл бұрын
Weee jamaa nomaaa kwa kuigiza,nakuona mbali sana sana kidunia huko mbeleni,maana kwa Bongo huna mpinzani kwa sasaa
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana sister
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 2 жыл бұрын
Kazi mzur 💥💥
@mariambakari7796
@mariambakari7796 2 жыл бұрын
Shekhe lssa jaman eti bia tamu
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Kwaiyo umeona bora ukaujue utamu wa pombe na kuuwa namke wamtu pia😂😂😂😂😂😂😂😂Kaz mzr bro
@hamisiabdallah778
@hamisiabdallah778 2 жыл бұрын
Much love from 254
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 жыл бұрын
Nacheka na uo mwendotu mie move ipo.safii
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
😄😄😄
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 жыл бұрын
Jamani kwani ISARITO MUSLIM. kapendeza balaaa.hongera sheikh ISSA.kazi nzuri MashaAllah ❤❤
@rahumalraqad2305
@rahumalraqad2305 2 жыл бұрын
Mkristo ila ameuvaa uhusika
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 жыл бұрын
@@rahumalraqad2305 ok
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana but me mkristo
@thepoppadaily
@thepoppadaily 2 жыл бұрын
Wow😯👏🏽🔥🔥
@tungozamswahilijk4656
@tungozamswahilijk4656 2 жыл бұрын
ujumbe mmoja Mzuri Sana
@taharamohd2515
@taharamohd2515 2 жыл бұрын
Kweli kila jambo Lina sili yake
@ramaahseif1354
@ramaahseif1354 2 жыл бұрын
Sheikh cku Moja madhambi yote matatu 🙌
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
😄😄😄😄
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 Жыл бұрын
Kkkkkk shekhe jamaanii kaona isiwe tabu bora amalizeee dhambi zote kkkkkkk
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 2 жыл бұрын
Kazi nzur sana luka Mungu akuzidishi kila la kheli.
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana
@azizaomary4604
@azizaomary4604 2 жыл бұрын
Mashaalah 🙏
@nyotafcusewepwani5811
@nyotafcusewepwani5811 2 жыл бұрын
ipo vizur sana brò Ubunifu mwingi noma
@user-yp4cs6ok1r
@user-yp4cs6ok1r 7 ай бұрын
Yote hay ni makosa mtu hufanya kwa ushawishi mbaya wa nafsi yake sabbu kila mtu huw n wandan wawili mmoja anaamrisha mema na mwingine anaameish maovu Allah tunakuomba watie nguvu wandani wetu wanaoamrisha mema wanyong'onyeze wanaotuamriaha mabaya na uturuzuku tawba qabla ya kujiw n umauti na ufanye qalimatu tawheed ndiy neno let la mwisho
@esperancesudi2842
@esperancesudi2842 Жыл бұрын
To be continued
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Aiseee Kaz nzur mafunzo kama. Yote
@vancykhan234
@vancykhan234 2 жыл бұрын
Actor of the year
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
💪💪💪
@haleemaadnan169
@haleemaadnan169 2 жыл бұрын
Mashaallah movie nzur san kaka Issa
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana sister
@hamisihalfani6374
@hamisihalfani6374 2 жыл бұрын
Guuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuud ujumbe mzury
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana
@musajuma2159
@musajuma2159 2 жыл бұрын
King ov bongo movie
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
😊😊😊💪
@susanchebet3298
@susanchebet3298 2 жыл бұрын
Pombe Ina madhara makubwa mno, big church boy #Luka
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana
@fatumaissa5364
@fatumaissa5364 Жыл бұрын
🥰🥰🥰💞💞💞
@ramaahseif1354
@ramaahseif1354 2 жыл бұрын
Kaz nzur kk you deserve it Ila Kuna kpande Cha pale mcktn ulipoongea na sheikh Abdul Hamkusalimiana Waislamu wakionana salamu huwa asalaam aleykum warahmatullah wabarakatu
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Ooooh sawa kaka Asante sana kwa maoni yako
@Cambarada
@Cambarada 2 жыл бұрын
ni kweli wamekosea, hata hivyo wamejitahid hongera kwao ingawa kuna makosa mengi mfano ukiwa makini kuangalia kuna muda Sheikh Issa na ulemavu wake alikuwa anakosea mara tunaona anauvuta mguu wa kulia na muda mwingine anavuta mguu wa kushoto pia maneno wanavyoyatamka hawako sahihi sana bila shaka Isarito ni mkristo lakin ujumbe umefika na una mafunzo ndani yake
@mwakahassan7685
@mwakahassan7685 2 жыл бұрын
@@Cambarada kweli kbs ila alhamdulilah wamejitahid sanaa Allah awalet kweny din ya haki
@mingarazack5693
@mingarazack5693 2 жыл бұрын
Movie nzr san
@jenifagerald1822
@jenifagerald1822 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🥰
@vancykhan234
@vancykhan234 2 жыл бұрын
Sana broo
@mwanayussuf8526
@mwanayussuf8526 2 жыл бұрын
Kali sn
@doreenrajab6548
@doreenrajab6548 2 жыл бұрын
Ni motoooo
@ayubumeme4831
@ayubumeme4831 2 жыл бұрын
Very nice 👌
@ibrahimsaddam2575
@ibrahimsaddam2575 2 жыл бұрын
Ujumbe mzito
@saidabeid6411
@saidabeid6411 Жыл бұрын
Nakubali kazi zako comrade,all the best.mimi ni yule one of your fans ukanipa link ya kazi zako lamu.
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 Жыл бұрын
Respect kaka 💪💪
@salhaaa4996
@salhaaa4996 2 жыл бұрын
Daaaar
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 18 күн бұрын
We luka zambi ulizoambiwa we umepiga atrick kama Ronaldo 😅😅😅😅😅😅😅
@saadamansoury1520
@saadamansoury1520 2 жыл бұрын
Mm nakukubali sana bro
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana
@abdisingle3854
@abdisingle3854 2 жыл бұрын
Karibu katika ukweli Sheikh issa
@mhagamaphilip5048
@mhagamaphilip5048 2 жыл бұрын
uongo uko wp
@obadiahkissoki8367
@obadiahkissoki8367 2 жыл бұрын
Keep it up broh ujawahi kutuangusha ukanda wa mbeya
@jitulamsitunifilms6387
@jitulamsitunifilms6387 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka
@pembapemba215
@pembapemba215 2 жыл бұрын
Masha allha
BANTU SHORTFILM
15:04
JITU LA MSITUNI FILMS
Рет қаралды 62 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,1 МЛН
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,6 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 48 МЛН
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
6:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,5 МЛН
MLINZI FULL MOVIE 2022 1080p with Eng Subtitle
1:52:47
JITU LA MSITUNI FILMS
Рет қаралды 1,8 МЛН
Dunia ya tatu sehemu ya kwanza. (episode 01)
25:05
OG tv
Рет қаралды 518
JASIRI
30:02
PEPFAR FILMS TANZANIA
Рет қаралды 84 М.
SHUJAA Ep. 1 || Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies
23:34
MWANGA sehemu ya kwanza
18:53
MPAYU FILM
Рет қаралды 38 М.
Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011
44:51
Swahiliwood
Рет қаралды 468 М.
AISHA VIKO
7:48
JITU LA MSITUNI FILMS
Рет қаралды 10 М.
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
36 Pictures
Рет қаралды 169 М.
UMECHELEWA [FULL MIVIE][FULL HD
1:16:14
KING MEDIA TZ
Рет қаралды 255 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,1 МЛН