Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART I)

  Рет қаралды 42,834

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

5 жыл бұрын

Пікірлер: 639
@sportsentertainmentvideo6633
@sportsentertainmentvideo6633 5 жыл бұрын
Innalillah wa inna ilayhi rajiuun!! Yaa ALLAH Wape hidaya hawa wanao jiita Mashekh!!! Shekh unashindwa hata kujua misikiti yoooote ni ya ALLAH... Unamilikisha mtu!!! Kwa sabababu tuu! Anausimamia....!!!
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Maskin shekh nurudini aallah akuhifa dhi nahusda amin
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 5 жыл бұрын
Jazaakallah kheyr Al allama Sheikh Muhammad Iddi endelea kuwaweka sawa, na maashaallah kila siku wanaendelea kukana kauli zao zilizopita, linalowasumbua ni kutaka umaarufu tu, na umaarufu unapatikana kwny fani nyingi waende huko si kwny dini, Dini inataka ilmu , uadilifu na ucha Mungu.
@yussufismail2822
@yussufismail2822 5 жыл бұрын
Abuu Iddi Huyu kijana achana nae hoja zake zinakubalika.
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu ABU IDDY vinavyokusumbuwa ni roho mbaya,choyo na husda vinakusumbuwa dhi ya mwenzako,hakuna lengne,ningetegemea ujibu au utoe hoja za kimsingi,m mungu akutoe kwenye ubaya wa mawazo hayo,na ole wao wanoijuwa dini ikisha wakaipotosha watakavyo wao
@almasonlinetv8672
@almasonlinetv8672 5 жыл бұрын
Shekh umesema kweli kabisa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ana element za kikafiri!!!
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 alooo yan umepatia kbx yan husda ndo yake uyo mtu
@luqmanhamed9710
@luqmanhamed9710 4 жыл бұрын
DAH SHEIKH ELIMU HAINA MANUFAA KWAKO......UNAMWITA KISHKI MPOTASHAJI KUMBE UNA ROHOOO MBYA UNTAJA MAMBO ANAYOMILIKI.....RUDI KAMUOMBE MSAMAHAA.........na Umejuaje kma Sudeis hajiii pengine ni amechelewa tu.
@nurasalimu2403
@nurasalimu2403 Жыл бұрын
Nampenda nurudini kishiki Allah amhifadhi shekhe wetu mumuache
@khalidalmosty8087
@khalidalmosty8087 5 жыл бұрын
Sh Mohd idd umekosea sana kwa ulokifanya. Mas'ala hapa ni ikhtilaaf kuhusu siku ya Arafah ambalo lipo nchi kadha sio Tanzania tu. Busara ni mashekhe wetu kukaa na kuwafikiyana so kusosowana mitandaoni na kuwachanganya waumini na kuwapa faida maadui. Zaidi umeanza kwa huonyesha Husda juu ya mafanikio ya mwezio na Fitna kwa Mufti. Tuogope ghadhabu za ALLAH.
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Uko sawa sana shekh, sasa san nidhama za kizazi chaleo adabu hakina
@habibuhabibuzahoromakamezahoro
@habibuhabibuzahoromakamezahoro 3 жыл бұрын
Tatizo ww ni sufiii na yule ni suniii ni tofauti sana Acha husda ww unajizalilisha shekh rurdin kishki yuko sawa kabisa
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Sunni nani suhf nan, soma dini kwanza ndugu yangu.
@Mofaiz_11
@Mofaiz_11 2 ай бұрын
wamaanisha wewe ni sunni yule ni wahabi
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 5 жыл бұрын
nyinyi masheikh wanafiki hamuwasemei mashekh wako magerezan mmebaki marumbano kazi yenu majungu tu
@matumbistanmikau2895
@matumbistanmikau2895 5 жыл бұрын
Kazi unayo sheikh. Haki siku zote uwa wazi na batili ujitenga.
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Usifunge mjadala sheikh ikitokea kujibu basi jibu ss tunosikiliza hoja za pande zote mbili tunapata faida sana
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Ahsante sana kiboko wa wapotoshaj wabishi wasojua ilimu
@mkude
@mkude 5 жыл бұрын
Sheikh hili swala lina ikhtilaf ungeenda moja Kwa moja kwenye hoja,lakini namashaka unavyozungumza Mali Mali inaonekana kama unahusda vile, ALLAH AKUONGOZE WEWE NA SISI WOTE.
@ahsamislamictv342
@ahsamislamictv342 3 жыл бұрын
Wew shekh wew unaunafiki na husda
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv 5 жыл бұрын
Umemsifu saana sheikh kishki mashaa Allah kumbe kishiki jembe
@fetysukafetysuka8811
@fetysukafetysuka8811 5 жыл бұрын
jembe naam shekhe wa kimataifa allah amulipe mema
@saidshamuhuna9237
@saidshamuhuna9237 5 жыл бұрын
Sheikh Idd Abuu Idd nakukubali sana, Kishki ni muongo sana tena sana, anapenda kujisifia sana wakati elimu yake kidini ni yakawaida
@selemanadam8642
@selemanadam8642 4 жыл бұрын
@@saidshamuhuna9237 mawahabi yote hayana akili wala Hamna elimu ya ddiin toeni fatua sio akilizenu nendeni mkasome SHEKHE atoa dalili ninyi mnashindwa nn kutoa dalili,wore mko kwa ajili ya kupotosha watu hiyo ni aibu ya mawahabi looooo aibu hamna
@selemanadam8642
@selemanadam8642 4 жыл бұрын
Sio jembe Bali ni mpini town fatua mbona vitabu vipo shida iko wapi we hapo ulipo huna elimu et amsifu kishki
@nassoraliy1882
@nassoraliy1882 5 жыл бұрын
Sheikh wewe ni kaka yangu kwa umri lakini nakushauri kwa ajili ya Allah uje zanzibar usome,,kuna watoto wadogo sana watakupa elimu,,naamini utaridhika
@rajabmussa6913
@rajabmussa6913 5 жыл бұрын
ww ushasoma kwa hao watoto
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
Kbx
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 3 жыл бұрын
Acha upimbi boya wewe znzbr kuna masheikh? mi naon wamejaa mashoga tu huko.
@mussajangwa4878
@mussajangwa4878 3 жыл бұрын
Jaahil murakkab ww Hivi hujapata kujua mpaka hapo kwamba huyo ni sheikh?????? Et njoo Zanzibar???? Kwa lip wabaguzi wakubwa nyie
@abdurazaqhamisi4576
@abdurazaqhamisi4576 5 жыл бұрын
Hahahahaha ya sheh nakushukuru sana.Allah akupe afya nzema tena akulinde
@allyhamisi4709
@allyhamisi4709 5 жыл бұрын
Washukur lipi la faid alilolisem
@fetysukafetysuka8811
@fetysukafetysuka8811 5 жыл бұрын
mwenyezi mungu humhifadhi anaehifadhi aibu za watu huyo shekhe ni nimaaruufu mwenye wivu ajinyonge allah akusamehe kweli umevuka mipaka kumuumbua shekhe kishki usifumbe sema bayana
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 5 жыл бұрын
Ila anawaambia ukweli,,, dunia aijawai kufunga siku moja, tangu enzi ya mtume,,, waahaabi ni ovyo???,,. Tufuate mwezi..
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 3 жыл бұрын
@@allyhamisi4709 bora umuulize 2
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 3 жыл бұрын
@@kondesaidi2040 sasa ndo amwite mwenzie mpotoshaji huyo bonge nyanya hapo?
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 5 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله يا شيخنا الفاضل محمد عيد حفظك الله ورعاك
@rajabuharuna6390
@rajabuharuna6390 5 жыл бұрын
Mwombe allah amuongoze huyu hasidi wewe
@jumamichuzi4321
@jumamichuzi4321 5 жыл бұрын
Mbona wengine natukana matusi ivi kweli niwaisilam
@musapazi7806
@musapazi7806 5 жыл бұрын
Subhaana allah unaweza ukasoma na usielimike,ashraadwu ssaa
@ommarymgeni1536
@ommarymgeni1536 5 жыл бұрын
asalam alykm ndungu zangu mashekh zangu kwastayle hii hatutofkaa ivi wasokuwa waislam wanaatuonajee napia nyinyi n mashekh n heshim zenu kaeni chini mjadili mamboo ya kidin inshaallaaah
@salminisekiondo7951
@salminisekiondo7951 5 жыл бұрын
mzee ingia kwenye mada kwaiyo we ulitakataje kwani wivu wako tu kama wataka kumlekebisha mfuate acha husda na maisha ya mtu wislam gani uwo
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Umemuona mpaka anatetemeka kwa husda ulivyo mjaa eti naye shk
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
Hasidi hana sababu ile zeee hasidi yan kinachomuumiza ni mafanikio tu jitu mwenyew lina mtizamo wa kiyahudi ilo masharubu mama mlokole
@mohamedmzeeassuufiyy1334
@mohamedmzeeassuufiyy1334 3 жыл бұрын
Ngoja akosolewe public .. Yani aharibu public kisha akosolewe private .. We VP ?
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 11 ай бұрын
Ah wee sheh Mungu anakuona allah atuongoze
@alimohd2686
@alimohd2686 5 жыл бұрын
Shekhe muogope Allah
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
sheh iddi watakuchanganya mwisho wake umkosee mungu ww achananao wenye kuelewa wataelewa hayo madhehebu niyakigeni
@matambwekhaalidun1473
@matambwekhaalidun1473 3 жыл бұрын
nyinyi nno coment wengi mna sema ana husda lakini wewe una mfatilia kweli shekhe kishiki
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Mwanaharakati Huru
@khadijashabaniiddy4137
@khadijashabaniiddy4137 5 жыл бұрын
Allah akuhifadhi yaa Abuu Iddy umaarufu wa kamera kama msanni tu, wapo masheikh wenye ikhlaas kama akina Uthmaan maalim hawanaga mbwembwe kama za huyu msanii, Sheikh Maalim na masheikh wengine ni maarufu kwa elim zao ila huyu yeye ni maarufu kwa ujanja ujanja wake tu. maana elim siamini kama anayo kiasi hicho, alikalishwa kimya na Sheikh wa Mombasa kwenye swala la Maulid, sasa kwasasa ameangukia mikono ya Sheikh muhtaram Abuu Iddy Muhammad Iddy. 🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅
@salumngoma8710
@salumngoma8710 5 жыл бұрын
khadija shabani iddy soma ujue dini yako
@saidijumahoza2456
@saidijumahoza2456 7 ай бұрын
Naam
@jumaakhalfan485
@jumaakhalfan485 5 жыл бұрын
Asantee Abuuu Idd naamini Shekh mohmad Ayub amefanya kz
@nassoraliy1882
@nassoraliy1882 5 жыл бұрын
Assalaamu alaykum,,jamani lakini nimechunguza kua hata masheikh wana hasad
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 5 жыл бұрын
Alhamdulillah wengi waliokusikiliza wamejua unafiki wako
@maotv8884
@maotv8884 5 жыл бұрын
Allah atuhifadhi
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Hapa abuu idd Ana makosa Sana kuingilia katika shakhsiyat za mtu ila kielimu yuko juu
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 5 жыл бұрын
MWENYE elimu hayuko hivyo
@abdurazaqhamisi4576
@abdurazaqhamisi4576 5 жыл бұрын
Umesema kweli
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
@@msafiriduwiya7765 laa sio hvyo kuwa na elimu haimaanishi ndo ucha Mungu elimu ni kusoma tu
@ridhiwaniamour1469
@ridhiwaniamour1469 5 жыл бұрын
Kwahyoo jamaa anawapinga hao maimamu wa3? Subhana Allah, Allah atuhifadhi
@salumngoma8710
@salumngoma8710 5 жыл бұрын
Ridhiwani Amour yani we acha tu
@zuhuramusa9296
@zuhuramusa9296 5 жыл бұрын
Masharubuuu ha ha haaa eti mashindano yao shule yao daa tumejua kinachomsumbua shee wetu ,ALLAH ATUIFADHI MASHEHE NA MICHAMBO WAPI NA WAPI?
@mussajangwa4878
@mussajangwa4878 3 жыл бұрын
Sheikh Muhammad iddy mtu mwingine kukuelewa ni ngumu sana Lkn kwa hakika unayo yasema ni sahihi sana Unajua binadamu wengi tumezigawa dhambi kwa rangi zetu, Nurdin kishk hana ilmu ya kutosha na sisahh ktk mengi anayo yawasilisha yanataka ufafanuzi wa kiilmu Weng wanachoangalia ni rangi na UKABILA Sheikh Mohammed Usiogope kumradd mtu yyte anayo thubutu kuzungumza jambo la dini kwa matamaniyo yake!!!!
@issamohd9955
@issamohd9955 5 жыл бұрын
Shekhe mm naona ww ushapagawa nanjaa inakusumbua natena unapupa yahicho unacho ahidiwa kwahao wanao kutuma nimekukubali kwenye suala la funga yasiku ya arafa lkn kwahaya mengine sasa tunakuachia mwenyeo mpaka mashindano ya Qur-an yashawauma subhanallah hio ni husda ya waziwazi jirekebishe maisha mafupi akhera ndo yenye kubakia she kishki tunakupenda natutazidi kukupenda usivunjike moyo upo katika njia yahakki ww hivi nivibakwata tu vinanjaa wao niunafki na husda Allah atustiri nao waumbuke wao
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 3 жыл бұрын
Nawashangaa kwanini nyinyi MASHEKH ambao tunawaamini mnapiga vita na vijembe kweli dunia imeisha nawaomben msituchanganye nyinyi wasomi wakileo acheni tabia mbaya hiyo mungu haridhiki na mfumo huo
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 5 жыл бұрын
Huu ni msiba Mashekhe mnadhalilishana mitandaoni,wallah hizi ni alama za kiama, Kwanini msikutane mahali pa heshima na mkafikia azimio la pamoja,kuliko kuushia kutukanwa mitandaoni na waumini,pamoja na kudharauliwa na wale waliokufuru?
@rajabungowo3306
@rajabungowo3306 3 жыл бұрын
NINACHOKIONA HAPA SI KINGINE BALI NI JUHUDI ZA WAZI ZA KWAKO SH.MOHAMMED IDD ZA KUUGAWANYA UMMA..SIJUI KAMA UNALITAMBUA HILO..NASIKITIKA SANA HEKMA YAKO IMEKUA NDOGO SANA..TENA UMEJIONA BORA SANA NA MWENYE AKILI ZAIDI KULIKO SH.KISHKI NA MASHEKHE WENGINE..PIA UMEDHIHIRISHA CHUKI YA WAZI KWA SH.KISHKI KWA JAMBO LA KHILAFU....NATAMANI UJUMBE HUU UUPATE WEWE MWENYEWE...UNAONEKANA KUTAFUTA MASHABIKI ....KILA SHEIKH ANA UDHAIFU WAKE LAKINI WEWE UNAJIONA MBORA SANA NA MWENYE AKILI KUWAZIDI WENGINEE....
@alimaalimahmad837
@alimaalimahmad837 5 жыл бұрын
Asante Sheikh kwa kuweka sawa mambo
@hamadshein8272
@hamadshein8272 5 жыл бұрын
Masheikhe wengi hawana elimu ya kuraan.wanaelimu ya madhehebu.na ndo maana mnaleta vurugu mechi za maneno.achen kucma madhehebu.
@duniaileile5522
@duniaileile5522 5 жыл бұрын
Asante sheikh wapeeee wajieleweeee Hawa watiaji comments ni mawahabiiiji ama ummmmah mzima ushapata faida na maneno yako kupitia kwenye hoja sahihi zinazotegemewa Hata mashekh zao wanawakanusha Ni maajabu haya, lkn ndio kawaida ya miwahabi 😂😂😂😂kwao ni ubishi tuuuu
@shabanoman8955
@shabanoman8955 4 жыл бұрын
Wewe ujue nini maana ya wahabi? Wacha ushabiki
@eastelldev
@eastelldev 3 жыл бұрын
Mashekhe hawa wana Hassad sana na wengi wao ni makhurafi
@abdulazizmohamed3715
@abdulazizmohamed3715 5 жыл бұрын
Sina elimu ya usheikh lakini tujikite na kuijenga uislam sio kubomoa Hakuna mkamilifu Allahu aalam.
@lolubokhalifa8277
@lolubokhalifa8277 5 жыл бұрын
Mashallah
@mohamedmnjeja70
@mohamedmnjeja70 5 жыл бұрын
Shekh umejaa upepo,,, alelim hikma
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 5 жыл бұрын
una jua dini sana wapotoshaji wametukana mnoo
@salumngoma8710
@salumngoma8710 5 жыл бұрын
habiba khalfan anajua dini hipi huyu analipwa mshahara huyu
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 жыл бұрын
Asante sana Sheikh endelea kuwapa elimu uzuri wako unajikita kwenye hoja
@nurumohamedi9972
@nurumohamedi9972 5 жыл бұрын
Michango niloiona miingi ni ya mashabiki hakuna wajuzi ktk elimu ya arafa na mwezi utadhani siasa wachangiaji walivyo hata adabu wengine hawana.
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Wajibu wooote hao lkn huwezi kumjibu Sheikh kasim mafuta wala Abu Hashim, Ushauri wangu ni kua nyoa sharubu na uanze kufuga ndevu.
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Kama wenye elimu wamejibiwa itakuwa wajinga hao kassim mafuta
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Mjinga nani?
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
@@TheIslam1681_ kassim mafuta sio mjinga kwa mana Hana akili LA mjinga kwa maana Hana elimu
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Ndio mafundisho yenu hayo mashia na masufi kutukana wanazuoni. Allah akuineshe haki.
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
@@TheIslam1681_ wallah Si kweli kassim mafuta ni mwana Wa chuoni Wapi? Kwa insaaf tuende pole pole nimetanaazal
@allyabdallah4898
@allyabdallah4898 5 жыл бұрын
Ovyooo kabisa
@maryambintukhadija1604
@maryambintukhadija1604 3 жыл бұрын
We fitna ndo imekujaa sanaa
@calvinceodhimbo6628
@calvinceodhimbo6628 5 жыл бұрын
babdeo kama unatafuta views sio kwa kutumia ikhtilaf baina ya masheikh....subhanaAllah
@BABDEOMILADU
@BABDEOMILADU 5 жыл бұрын
We una wazimu? Kwani hao nimewafata au wameniita kuwa na adabu views zinanisaidia nn mm
@neemajaylani9068
@neemajaylani9068 3 жыл бұрын
@@BABDEOMILADU hahaha
@mahmudumuhammed8174
@mahmudumuhammed8174 5 жыл бұрын
Unataka kurekebisha ikhtilaf kwa kumkashfu mwenzie akielezea tocauti ya Arafa.mche allah shekh
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 жыл бұрын
Mtihan kwel huyu shekh
@mohamediiddi761
@mohamediiddi761 5 жыл бұрын
Sema kweli japokuwa chungu.
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Hana kweli mpumbavu tu
@mohamediiddi761
@mohamediiddi761 5 жыл бұрын
Yy anasoma vitabu. Itakuwa hao waloandika vitabu ndo wapumbavu... Changanua ushahidi wa vitabu na maneno matupu.. Kazi kwako. Ndo utajua kwann mazinge ni profesa.. Kinacho takiwa ni ushahidi uoneshe. Fata ushabiki utatumwa gas kwenye kiroba.
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 жыл бұрын
Sheikh mimi nimeskiliza hoja za pande zote mbili na nimejikinaisha kuwa Arafa inafungwa kwa mujibu wa mwandamo wa mwezi wa sehemu uliyo. Hoja za msingi niliziskia kwa Alhabib Mbarak Awesi na zikaingia akilini mwangu. But ukweli umekosea sana tena sana kwa hili ulilofanya. Huwezi kumwita Sheikh mkubwa kama Nurdin Kishki eti mpotoshaji. Allah akusamehe na ikibidi kamuombe radhi.
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 3 жыл бұрын
Nurse for life ahsant sana umeonaeee
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
@@khaulatmohammed3765 naam, kwa uhakika
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
maashallah !! cku zote abu id akieleza jambo hueleza kielimu
@ashaally7593
@ashaally7593 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
hemed harouna unamkubali sababu huna elimu
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
@@nasibumaiko3425 Sasa Ww hapo ulipo Una Elimu gani mbwa koko Ww
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
hemed harouna hata sura yako inaonyesha we mtumwa wa mganga
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
hemed harouna mvunja Nazi njia panda wewe kafiri mkubwa
@mysamkhalfan6912
@mysamkhalfan6912 5 жыл бұрын
Choyo ni maradhi mabaya sana
@salumngoma8710
@salumngoma8710 5 жыл бұрын
Mysam Khalfan hahaha
@muhammadabbasi5025
@muhammadabbasi5025 5 жыл бұрын
Dah! Mtihani!!!
@maotv8884
@maotv8884 5 жыл бұрын
Sub'hanAllah
@abuushaukan9828
@abuushaukan9828 5 жыл бұрын
Umejuaje kama kaghairisha
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
Huna kazi ya kufanya mpaka uanze kuongea masheikh wakubwa mitandaon
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 5 жыл бұрын
mtu anatoa elimu ww unasema hana kazi
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
@@husseinmtima6106 elimu gani anayoitoa mjinga tuu uyo yan ata haoni aibu kukaa mitandaon akataka mtu fulan aonekanwe mbaya
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 5 жыл бұрын
sheikh jaribu kujiheshimu umri uoni kama umeenda
@abdullathabithemed9377
@abdullathabithemed9377 5 жыл бұрын
Nakukubali sheikh Mueleweshe Maneno yako yanaingilika akilini Ieleze dunia ukweli Uongo utakimbia tu Hawawezi kukujibu chochote sababu hawana marejeo hao
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Pole kama ndo shk wako huyo
@jabiromary3276
@jabiromary3276 5 жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@abdulshakuurmwenda7519
@abdulshakuurmwenda7519 3 жыл бұрын
*💢انظرْ إلى الحق والنصوص ولا تنظرْ إلى الباطل والشخوص (1)💢* *💢ANGALIA KWENYE HAQQI NA DALILI NA USIANGALIE KWENYE BAATWIL NA WATU (1)💢* *قال الإمام ابن باز - رحمه الله تعالى - :* *🔶Amesema Imaamu Ibnu Baaz ALLAH Aliyejuu Amrehemu:* *《 عليك أن تأخذ بالحق وأن تتبع الحق إذا ظهر دليله ولو خالف فلاناً ، وعليك أن لا تتعصب وتقلد تقليداً أعمى 》.* *🔷Jilazimishe Kuchukua Haqqi na Kufuata Haqqi Wakati Itakapo Dhihiri Dalili Yake na Hata Akienda Kinyume (Na Haqqi) Fulani ,Na Jilazimishe Usiwe Na Taaswswubu (Kuwa Upande Wa Mtu Na Kumnusuru Mtu Na Kuwa Pamoja Na Mtu Hata Akiwa Ktk Makosa) na Unafuata Ufuataji Wa Kipofu (Kumfuata Mtu Ktk Jambo Fulani Moja Kwa Moja Bila Kujua Usahihi Wake,Pasina Kupunguza Wala Kuzidisha ktk Hilo Jambo).* *📓📔 مجموع الفتاوى ( 343/1 )* *📓📔Maj'mouul-Fataawaa (343/1).* *🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:* *🔸Hakika Kweli Kabisa Ulamaa Ni Warithi Wa Mitume Juu YAO Rahmah na Amani.* *🔹Wanafanya Kazi Waliyokuwa Wakifanya Mitume Ya Kuwaelekeza Watu Ktk Haqqi Na Mambo Ya Kheri Anayoyapenda ALLAH Na Kuyaridhia.* *🔸Sheikh Bin Baaz ALLAH Amrehemu, Anatoa Nasaha Muhimu Sana Kwa Waislamu Kuhusu Kufuata Haqqi Inapodhihiri Dalili na Haifai Muislamu Kuwa Pamoja na Mtu Na Kumshabikia Na Kumtetea Na Kumnusuru Hata Akiwa Ktk Baatwil na Kumfuata Mtu Kama Kipofu Hajui Anakoelekea Au Anakoelekezwa.* *👉🏾Jitahidi Uangalie na Ujue Haqqi Iliko Uifuate na Kuwa Na Watu Wa Haqqi Kwa Dalili na Usiangalie Wingi Wa Watu Ktk Baatwil.* *👉🏾Usimfuate Mtu Yeyote ktk Baatwil Hata Akiwa Ni Sheikh Wako na Jitahidi Kufuata Haqqi na Kufuata Qur'aan na Sunnah Kwa Ufahamu Wa Waja Wema Waliotangulia (Salaf Swaaleh).* *👉🏾Kuna Baadhi Ya Waislamu Wanawapenda Masheikh Zao,Mpaka Akiambiwa Sheikh Wako Amekosea Ktk Jambo Fulani, Anakasirika na Kuongea Maneno Mabaya Na Matusi Na Kuona Watu Wanamuhusudi Na Hawampendi Sheikh Wake Na Anadhani Watu Wanataka Sifa Na Ukubwa.* *🔹Tusiwe na Ushabiki Ktk Kufuata Dini Kama Ushabiki Wa Mpira Wa Miguu Au Siasa Za Urongo.Dini Yafuatwa Kwa Dalili.* *🔸Jitahidi Ewe MUISLAMU ,Upende Haqqi Zaidi Kuliko Kumpenda Mtu Yeyote Ktk Dini.* *👉🏾Ujinga Ktk Dini na Matamanio Mabaya ya nasfi Nimiongoni Mwa Sababu Kubwa Zinazopelekea MUISLAMU Kuipinga na Kuikataa Haqqi Inapodhihiri na Kufuata na Kuikubali Baatwil.* *🔴IKIWA KUNA MAKOSA,TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA KUWA MUELEWA NA MSIKIVU NA WASILIANA NA MUHUSIKA.* *👉🏾ALLAH NDIYE MKAMILIFU ZAIDI NA MJUZI ZAIDI.* *👀IMETAFSIRIWA NA:* *👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY AL-HAMBALIYY (حفظه الله تعالى ورعاه وسدده).* *💢Mombasa,Kenya🇰🇪.* *🌹WhatsApp: +255713444054.* *🌹Call: +254724992753.* *📆27/Dhul-Hijjah (12)/1439 H.* *📆07/09/2018 M.*
@salehabadsalehpur796
@salehabadsalehpur796 5 жыл бұрын
Simkubali Sheikh Mohamed Iddi katika mambo mengi ila katika hili kuhusu kauli za viongozi wa dini wa Saudi Arabia yupo sawa, Masalafi na Maanswar Sunna lazima mkubali tatizo lipo kwa Viongozi wa dini wa Saudi Arabia kwanini hili hamtaki kukubali?Bakwata siwakubali ila katika hili wapo sawa kwasababu wana nukuu kauli za Viongozi wa dini wa Saudi Arabia ambao wanataka watu wafuate viongozi wao wa dini katika nchi zao, hawaoni umuhimu wa Umoja katika Waislamu. Ila swali langu kwa Sheikh Mohamed Iddi na Bakwata hizo nchi zaidi ya 100 zinazofuata Saudi Arabia hawasomi hivyo Vitabu unavyonukuu? Kwanini bado wanafuata muandamo wa Saudi Arabia? Tena wengine wamepishana nao masaa wakati sisi na Saudi Arabia wakati mmoja bali hata wakati wa kuzamaa kwa jua. Kwa kifupi: 1, Kwanza tukubali tatizo lipo Saudi Arabia na Viongozi wa dini Saudi Arabia kwa sababu hawataki na hawaoni umuhimu wa Waislamu kuwa na Eid mmoja. 2, Bakwata nao Wanatumia mapungufu ya viongozi wa dini ya Saudi Arabia kwa sababu zao binafsi na hasa Umimi wa Uswahili kuliko Umoja wa Kiislamu.
@tamimusaidi1326
@tamimusaidi1326 4 жыл бұрын
Salehabad Salehpur shukran
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 3 жыл бұрын
Hili kweli sufi
@khamisissa252
@khamisissa252 5 жыл бұрын
Kwanza nyoa masharubu na ufuge ndevu ndio sunna
@abdalahmtula3639
@abdalahmtula3639 4 жыл бұрын
Shekh abuu idd we jembe mawahabi wao wenyewe hawana adabu ktk kauli zao kwa wengine hili linabainika kupitia comments zao humu wamekutukana mno badala ya kujibu na kutafakar hoja zako nzito nzito! Hoja zako shekh zimewadidimiza wameshindwa kujibu wanabak kutapatapa tu! Hovyooo!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Watu wa bidaa nyie!!!
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Allah awaifadh mashekh wwtu lkn nawaomba san msirumbane sana mashekh tuna wategemea san kwenye hii din lkn mutoe elim tu
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 5 жыл бұрын
UKIONA SHEKHE MWENYE TUMBO KUBWA NI BAKWATA HAWANA HATA HOSPITAL WALA NYUMBA ZA MAYATMA WALA MASHULE WALIYOJENGA KUJUA FITNA tuu
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 жыл бұрын
Mmeshindwa kusimamisha Hukmullah mnapigana mapanga mitandaoni
@mrafm7285
@mrafm7285 5 жыл бұрын
Njaa inakusumbua tu
@kazuamkangara7619
@kazuamkangara7619 5 жыл бұрын
Mi naomba mashekhe waandae mdahalo wa mojakwamoja watu wabishane kwa hoja ili tujue wapi Kuna hoja zilizotimia
@azizamkindi1784
@azizamkindi1784 5 жыл бұрын
Asalym alykum dalili ya sku za mwisho usiweke mjala kwenye mtandao pia unafiki unazungumzia kwenye mitandao ungemfata sio vizur huo ni unafiki AllAH hapend madhila husda ungemfes usifaidishe watu ni unafki AllAH hapend shehe iddy pia sio vizur pia kosa likowap kwake wote waislam
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Hakuna kufatana unaweza ukakatwa mapanga nikujibishana kwambali mbali tu
@mashrabusaidi3047
@mashrabusaidi3047 5 жыл бұрын
Sawa mzeee wa kiki ila umefulia
@jumashukan1173
@jumashukan1173 5 жыл бұрын
Shida yenu Nini mbona mwaazirika , wacheni ujinga uwo, ndiyo maana mm nampenda Sana shehk Athuman maalim ,Ana tym yakujibishana na mtu yy utupa dhahawa ,
@luuabbdalla1631
@luuabbdalla1631 3 жыл бұрын
Kishki Yuko vizuri
@abuuhudhayfah5108
@abuuhudhayfah5108 5 жыл бұрын
Subhaanallah, mche Allah dunia yawezekana kufunga siku moja siyo lisaa limoja, Elewa tofauti ya siku na saa,
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 3 жыл бұрын
Sheikh hzo husdaa
@mrsghanim1186
@mrsghanim1186 3 жыл бұрын
Hasidi Hana sababu
@amirybeka9602
@amirybeka9602 5 жыл бұрын
nenda kasomee daw'aah bado hujawa kumbe. innallillah waiinnalillah rajiunn.
@ibrahimomar1073
@ibrahimomar1073 4 жыл бұрын
Nakunasihi Shk Abuu Iddi tambua Shk kishki yuwatoka kwenye kabila mtume swallahu Alaihi wasallam huenda ukajitafutia balaa.
@ibrahimismael1933
@ibrahimismael1933 3 жыл бұрын
Urongo kishki sio wa kenya na sio sharifu
@solemba595
@solemba595 5 жыл бұрын
Abuu Iddy omba tawba kabla hujafa, huo sio Uslubu wa Daawa. Jaribu kuwa muungwana katika kulinganiwa. Punguza husda itakupeleka pabaya...
@princeshaq3181
@princeshaq3181 5 жыл бұрын
dataCom Kamanda mwambie sasa mambo ya shule yake na msikit wake na Mali zake vinamuhusu nn iyo husda hatauseme nn Sisi tutafuata Aarafa ya Saudia bac. Kauli ya upotoshaji sio nzur hata muhamed issa alikwambia lkn shekh wewe kibur wewe mbona huitwi mpotoshaj maimamu waliopita walihitlafiana mbona hawakuitana wapotoshaji. Mpotoshaji wakwanza niwewe unaetulazimisha tukufuate hatukufuti shekh ukula wachuya hiv hujisikii vibaya. huoni kama unawapatisha dhambi watu kukushambulia jambo lilishakwisha wewe umelifufua upya dhima hiyo omaba toba shekh kama utakua umetuka dhambi zitakujia mwenyewe
@kanyasicongo7918
@kanyasicongo7918 5 жыл бұрын
Shekh usikosee kumuita mpotoshaji mutlaqa muite mpotoshaji kwa jambo la aarafa.
@masoudwaziri.nimeipenda1462
@masoudwaziri.nimeipenda1462 4 жыл бұрын
Duniani tunapita 2
@AbuuRuudaynaa
@AbuuRuudaynaa 5 жыл бұрын
Yetu masikio na macho tu
@fakikombo7114
@fakikombo7114 Жыл бұрын
Nyinyi ni viongozi acheni kuitia kuuteketeza uislam una khitlafu na shkh flani mfate mkatowane shaka acheni hiki mnacho kifanya
@husseinomari9556
@husseinomari9556 5 жыл бұрын
Mnafiki sana ww
@husenhassain9425
@husenhassain9425 3 жыл бұрын
Shehe umechemka
@khadjahakamali-njufsk-7827
@khadjahakamali-njufsk-7827 5 жыл бұрын
SubhanaAllah hiyo ni fitna, chuki, wivu, na haifai katika dini yetu tukufu, kama umeona vitu vyote hivyo, ni bara ungezungumza naje badala ya kuzungumzia kwa social media, muogope Allah.
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
ukhty khadija huu ni mtihani sana kwetu
@davisrotich116
@davisrotich116 5 жыл бұрын
doo! twawaskiza tu
@khamisalbimany3721
@khamisalbimany3721 5 жыл бұрын
Hongera sheikh abuu...kwa kumjibu sheikh kishk...salam zimefika..lakini huu wa kwako ni upuuzi.. sana...uliojaa choyo na husdaa!! Hivi kuna tatizo kwa mtu kumiliki kitu..huo ni uchoyo..jifundishe japo kufuga ndefu..huna jipya..
@abdulabdl7308
@abdulabdl7308 5 жыл бұрын
Huyu atakuwa ulamaa wa dola.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ana element za kikafiri!!
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 5 жыл бұрын
Huyu shee kweli.ana husda sasa mali za mwenzie zinamuuma nini ..
@bekas2739
@bekas2739 5 жыл бұрын
Maajab Wallah
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Hapa kidogo mtihani umeanza kumpata abu idd kwa ushauri tu haya mambo achana nayo
@yasinimohamed5307
@yasinimohamed5307 5 жыл бұрын
Wewe ndio mpotoshaji
@mohapromo6114
@mohapromo6114 5 жыл бұрын
Zingatia mambo ya quran
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 5 жыл бұрын
Quran inasema tazama mwezi kwenye nchi yako na ndo maana saudia wanatazama mwezi na sisi tunahesabu tarehe kwa kufata mwezi hajj ipo makka nchi zingine hakuna. Ingekuwa kufata saudia wangewafuata kwanza oman ndoà ambao ht time zao ziko sawa hawawafuati
@mohapromo6114
@mohapromo6114 5 жыл бұрын
@@fatmaabdallah8743 uko Oman Kuna kaaba ama nn unamaanisha wewe
@mohapromo6114
@mohapromo6114 5 жыл бұрын
@@fatmaabdallah8743 arafa ni moja hamna nyingine, ndio maana inasemekana kua if siku ya kiyama karibu, dini zitagawanyika sana. Ndio hii sasa
@rajabungatanda3749
@rajabungatanda3749 5 жыл бұрын
Mashekhe munapotoka nyote Kuanzia wewe Abuu iddi "Kilemile " kishki" n.k Nawachukia kwakua munatia aibu uislamu wangu Kwanini mubishane mitandaoni Wakati kitabu chenu kimoja Dini yenu moja Tena ninauhakika kitabu cha mola wangu kimetimia Kama tulivyoambiwa ktk Qur'an ذالك لكتاب لاريب فيه) Maanayake> hiki ni kitabu kisicho shaka ndani yake " Alafu pia tumefundishwa اليوم اكملت لكم دينكم واتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم لاسلام دينا Maanayake> Leo nimekamilisha dini yenu na nimetimiza neema yangu kwenu na nimeridhia uislam dini yenu" Sasa nyinyi mashekhe ndowenye upungufu Wa fikra Tafadhali acheni upuuzi Wa mitandaoni kaeni chini bila utashi wala ushabiki muelewane
@hajisalum5287
@hajisalum5287 5 жыл бұрын
Innalilahi wainailayhi rajiuun badala yakuendelea kuelimisha watu unaingiza na mambo yasiokuwepo kunaugonjwa mmoja unaitwa husda shekhe jikague huenda unao huu unaitwa uchochezi dhahili umepotea shekhe msikiti wake mashindano yake shule yake tena unaingiza nafamilia
Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART II)
31:57
BABDEO MILADU
Рет қаралды 61 М.
Sheikh Mohamed Idd
35:09
Hatibu Nkonga chanel
Рет қаралды 3,3 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 26 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
RADDI KWA ABUU IDDI MUHAMMAD IDDI
7:30
DAARU SSALAFIYAH
Рет қаралды 2,7 М.
MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar &  Denis Mpagaze
27:25
Maisha Na Jamii Tv
Рет қаралды 205 М.
MAJIBU MARIDHAWA KWA MPOTOSHAJI KASIM MAFUTA BY Shk Abuu Idi
30:33
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 28 М.
SHEIKH MUHAMMAD IDDI AWAJIBU TENA WAPOTOSHAJI KUHUSU ARAFA.
34:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 86 М.
NGUZO TANO ZA NDOA  ZIKIFAFANULIWA VIZURI NA SHEIKH IDDI MOHAMED IDDI
37:51
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 5 МЛН
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,4 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 7 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 27 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 5 МЛН