SHEIKH MOHAMMED ISSA "MCHAMBUZI WA MASUALA YA KIMATAIFA "AUZUNGUMZIA MKATABA WA BANDARI HAPA NCHINI

  Рет қаралды 5,164

Al Kheri  Online Tv

Al Kheri Online Tv

Күн бұрын

SHEIKH MOHAMMED ISSA AMEELEZEA MENGI KUHUSU MKATABA HUO

Пікірлер: 31
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 9 ай бұрын
Mmhh huyu sheikh sasa level zingine duu! Muhammad issa unatisha
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 9 ай бұрын
Sheikh Muhammad issa una nikosha sana
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Watu wengi sanaaa wamepotoshwa,shukraan Sheikh Mohammed Issa Kwa ufafanuzi mzuri
@ausiabdallah9961
@ausiabdallah9961 11 ай бұрын
Mawakili wa ndani nais wamekuelewa Mr mo
@tatyanaissa7094
@tatyanaissa7094 Жыл бұрын
Mbona kimya duhhh maneno mazito sanaaa kwa mwenye kufikiri
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 10 ай бұрын
Allah akuzidishie,naomba uombe Debate kati ya akana Madereka,Mwabukusi,Askofu ( wanasheria/Askofu- wanasiasa) ili mtuchambulie mbele ya Kadamnasi ili Pumba na mchele vionekane tuache kulishwa Matango pori
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 6 ай бұрын
Ukristo ni tatizo Africa
@jumu1964
@jumu1964 9 ай бұрын
Allah akulipe
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 9 ай бұрын
Sheikh wanyooshe wakatoriki
@AbdurrashidiMusa
@AbdurrashidiMusa 11 ай бұрын
Asantani
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 11 ай бұрын
Kila jambo Lina mwisho huwenda ni mwisho wa mfumo kiristo,inshaallah
@HamisiMndevu-rp3jd
@HamisiMndevu-rp3jd 11 ай бұрын
Shekh umeongea ukweli kabisa. Maaskofu kazi yao ni fitina na uvurugajj wa mamlaka zilizowekwa na mungu muumba.
@terevaelislla1713
@terevaelislla1713 10 ай бұрын
Wewe zungumzia mikataba sio mambo ya lugha kumbuka wazee wetu wanajitambua sana.ok sasa mambo lugha yatarekebishwa, sasa nenda kwenye points, kaka mkataba wa bandari upo wazi soma vizuri.
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 10 ай бұрын
Mchambuzi unewavua nguo wamezoea kusema uwongo kuwadanganya watu waovu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 ай бұрын
Uturuki sio warabu uturuki ni wazungu na hakujawahi kutokea vita uturuki wala ugaidi ulioko uarabuni
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Ukomavu
@user-lx9oi1zh1d
@user-lx9oi1zh1d 10 ай бұрын
HUNA MCHANGO WOWOTE
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 9 ай бұрын
Mpuuzi hawez elewa kitu
@paulndahanilyamunda6167
@paulndahanilyamunda6167 11 ай бұрын
Huyu ameokotwa na wakati kabisa! Hizi ni zama za demokrasia mzee! Huo udicteta ndo hautakiwi kwa sasa! Yaani unacho kuongea ni takataka kabisa! Nyerere angesikikiza watu waliokuwa wakimsaidia, hii nchi haingekuwa masikini hivi! Wewe ni hivyo kabisa! Yaani hayo mawazo yako ndiyo yaliyosababisha maraisi watangulize walikuwa wanakula rushwa na kufanya maamuzi ya ovyo, na kuuza mali za nchi, kisha wanaandika vitabu wakijitia! Wewe hivyo kanisa
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 9 ай бұрын
Umeona wasomi hao? Sio nyie watukanaji
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 11 ай бұрын
Wakristo siku zote mungu amewanyima akili wameungana na wanasiasa wajinga kbsa wasiokuwa na akili
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Hawa kusema Dubai si nchi wameuona ni kama huu Muungano wa Tanzania kuona Zanzibar si nchi na kujichukulia mamlaka yoooooote ya Zanzibar na kuyafanya ni Yao ndio maana wanasema hivyo!mzowea vya kunyonga vyakuchinja haviwezi"wajinga Hawa na si kama hawajuwi walitendalo!lkn wanawatumia wenye bongo za kuku Kwa maslahi yao
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 ай бұрын
Acha udini mzee
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 10 ай бұрын
Wewe ndio kipofu unaesema aache udini hujitambui Mzee yupo sawa ila kama upo nyuma ya akina Mwabukusi na akina Madereka na Askofu pamoja na X-Padri Slaa hapo huwezi kumwelewa Shekh Mohammed Issah
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 10 ай бұрын
Usipo juwa kitu nyamaza wewe
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
@@japharytwaha8552 mii najua ndomana nasema huyo mzee ni mdini hana uzarendo wowote katika tanganyika yetu wala hathamini hata utu wake kwajili ya warabu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
@@japharytwaha8552 warabu wanataka kuja kumuibia mali asili zake ili wajukuu zake waje kuwa maskini na watumwa wawarabu yeye anakenua meno tu anaunga mkono kuibiwa bandari na warabu kwa ujinga wa dini
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
@@japharytwaha8552 waislamu dini imewapumbaza sana kiasi kwamba wako tayari kuwa manamba wa utumwa kwa warabu ili mwarabu aliye waletea dini anemeke huo ni upumbavu
@hebronmwamwaja7660
@hebronmwamwaja7660 11 ай бұрын
Wewe ayo maoniyako
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
MOHAMMAD ISSA   UISLAMU NA UMAGHARIBI
1:24:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 94 М.
Mauti sio Mwisho wa Dunia | Sheikh Kombo Ally Fundi.
21:38
Qiblatain fm
Рет қаралды 370
KAMA HAMUWEZI BORA TUVUNJE MUUNGANO.MAKAMO WA KWANZA ZANZIBA AWAKAA.
37:30
Matt Kills Dexter's Deer | Dexter: New Blood S1E1 | #Shorts
0:51
Clashed PR
Рет қаралды 14 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 20 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 27 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
0:21
FASH
Рет қаралды 15 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
PAVLOV
Рет қаралды 19 МЛН