Tamaha tu huyo mzee yusufhu hajiamin na maisha yake ibilisi Sana uyo jamaa
@othmanmasoud16726 ай бұрын
Unakuta mtu katoka makka kihijji utafikiri alikuwa kwenye bar anakunywa tabia mbaya roho mbaya ndio zake machafu ndio yake matusi na ujinga ndio wake
@user-uw4sz1lm3b6 ай бұрын
Allah njo mlipaj nasio watu
@othmanmasoud16726 ай бұрын
Asalaam alaykum . Siku hizi baazi ya waislam kama vile wanaenda makka kutalii tu sio kichukuwa faida
@user-uw4sz1lm3b6 ай бұрын
Allah njo mlipaji sio watu
@nasirmohamed15896 ай бұрын
Mi nadhani wengi huwa wanenda kutalii tu,make mcheki mtu aliyekuwa hija akarudi matendo yake yapo palepale kama alikuwa mwizi anaendelea kama alikuwa mzinifu anaendelea jamani watu wanahiji nn.