No video

SHEIKH MZIWANDA AWARIPUA MAASKOFU NA WARAKA WAO, KWANINI UWE KANISANI? NA KWANINI KATOLIKI?

  Рет қаралды 178,994

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
KZfaq: / @babdeomiladu

Пікірлер: 2 300
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 Жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun, waislam wa Tanzania hatujitambui wengi miongoni mwetu ni waislamu wa kurithi, hatujitambui hata kidogo tumetawaliwa na hofu tunawahofu makafiri kuliko Allah. Tubadilike waislamu.
@AllyhHassani
@AllyhHassani Жыл бұрын
Upo sawa
@iddibakari8000
@iddibakari8000 11 ай бұрын
Heko
@GloryDamian-ey2ii
@GloryDamian-ey2ii 11 ай бұрын
We n mpumbavu uliekosa kufunzwa na mama ako nahs mama ako ndio kafiri
@sephaniayoram645
@sephaniayoram645 11 ай бұрын
Angaza amani Allah atakujazi
@user-rp7pq3vv5h
@user-rp7pq3vv5h Күн бұрын
Makafiri ni nyie mnaolipuka, ebu kaeni chini msome huo waraka!!!
@boniphace.mark.2033
@boniphace.mark.2033 Жыл бұрын
Maaskofu level nyingine, wanaelimu ya kuchambua mambo na hakurupuki katika mambo yao. Yesu Kristo ndiyo mwenye nguvu. Imeenda hiyo.
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 10 ай бұрын
😂😂😂 imeenda wapi??? Nini maana ya Pauline church.
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 10 ай бұрын
Wapi wewe yesu kwetu sisi waislam ni nabii hana zaidi ya cheo icho ipo siku mtaenda kueleza kwanini mlikuwa mnamwita mungu inshaalwah wakristo hawana elimu zaidi ya waislamu waislamu ndiyo bunadamu wenye hekma zaidi duni8
@TukhiAlfalakh
@TukhiAlfalakh 6 ай бұрын
Ngoja Sasa tukianza kuwachinja ndo mtajua
@sadicksince2008
@sadicksince2008 Жыл бұрын
Marhum ustadh Iman Petro, Mwenyezi Mungu amrehemu, aliweka wazi kuhusu kanisa katoliki. Wanapiga vita uislamu.
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 10 күн бұрын
Akili (kwa Kiingereza "intelligence") ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo wa binadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 Жыл бұрын
Hapa tulipofikia mungu asiposimama Kuna hatari ya nchi hii kuingi kwenye vurugu we mwenyezi mungu tusaidie
@beddaathanas3150
@beddaathanas3150 Жыл бұрын
Muogope mwenyezi Mungu, mtume hakuyaishi haya unayoyahubili.itukuze misingi ya mtume kwa kueleza yaliyo mema kiongozi wangu
@user-tn8jn2kh3d
@user-tn8jn2kh3d Жыл бұрын
Tulia mwache aseme
@Salum85
@Salum85 Жыл бұрын
Kwenye dunia iliyobadilika kunahaja ya kuendana na mabadiliko mema na sio maovu. Leo ukisema mtume hakuzungumzia hayo unakosea sana na utapotea ndg yetu.
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 Жыл бұрын
Allahuma barik yaa shekh unajitahid waamshe waislamu wamelala unajitahid mungu akupe nguvu tumungeni mkona mashekh amkeni semeni na nyinyi ww kishki na wenzako semeni
@aerobicdanceandtaekwondotr371
@aerobicdanceandtaekwondotr371 Жыл бұрын
Natamani kama ungekuwa na huo mkataba utusomee na sisi Waislam tusiojua kingeleza tupate ufumbuzi ili tukiamka kutoka kwenye huo uoga tuwe na ushahidi wa kupigania uislaam wetu.
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Kwamba pakiuzwa Waislamu mnafaidika na nini or mkataba ukiendelea kama ulivyo, Waislamu watapoteza kitu gani na Wakristo hasa Wakatoliki watafaidika na nini? Bandari haina uhusiano na dini, ni upuuzi uliopitiliza kufikiria kwamba eti ili tuendelee lazima kila kitu kiuzwe, sasa tuligombania uhuru wa kazi gani? Namshukuru Mungu, watu waliokua wakisiliza wala hawakukupa kampani katika hili. Bandari ni ya Watanzania, sio ya Wakatoliki or ya Waislamu, hata wapagani inawahusu
@franklinmsamila1347
@franklinmsamila1347 Жыл бұрын
Fadhili hongera sana kwa comment yako wewe ni mzalendo mwenye mtazamo chanya wa kiakili. Hongera sana.
@viwehamad
@viwehamad Жыл бұрын
Usifanye watu wehu katoliki ni walaji wa zamani serekalini
@hamzaabdallah8637
@hamzaabdallah8637 Жыл бұрын
Hujielewi wewe ni fadhili jina tu mlevi usiye Sali
@faridamapogolo2892
@faridamapogolo2892 Жыл бұрын
Kwaiyo nahao waarabu wakiuziwa bandari mtanufaika Nini??nakama Kuna manufaa mbona bandari ya Zanzibar haijatiwa ktk huumkataba nawao ndio bandari yao ipo karibu na bara la huko arabu?na dini yetu ya uislam imeshikwa sana huko makanisa machache lakini mkataba wa mwarabu hawaja husishwa
@omarinurdin261
@omarinurdin261 Жыл бұрын
Nikubaliane na ww kwamba bandari haihusiani na dini, je unawashauri Nini wakristo wenzio walotoa waraka?
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Imani bila mpango ni bure imani uenda na vitendo ni kuomba duwa sana umoja uwepo na ukweli kwenye mambo ya maendeleo ni bora kutetea maendeleo ya taifa
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanasema Waislamu mazezeta!? Zezeta ni yule anatulazimisha tuamini 1+1+1=1(poor arithmetic).
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Жыл бұрын
@@ahmadmzoa74 Hivi Kwa nini tunashindwa kutumia wafadhili matajiri tulionao kujijengea Mahospitali ya rufaa vyuo vikuu vitega uchumi na mashule bora kama wenzetu.Huu si uzezeta??!
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@hashimchaoga9566we nae hujielewi,zezeta mwenyewe
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Жыл бұрын
We unayesema shkh Hana shule Kwa kigezo kipi nyie ndo ambao mmmekosa akili mnatubu Kwa watawa badala ya mungu , acheni hapa hoja c bandari ni udini tuuuuu!!! Ninyi ndio cku zote mnajiti kimbelembele kwenye Kila jambo Sasa safari hii mmeyakanyaga kongole Kwa shkh salute!!!!!
@Zanzibar-LandOfBlacks
@Zanzibar-LandOfBlacks Жыл бұрын
Mimi maoni yangu, mama asiwatie waislam lawamani, swala la bandari aliwache, wanaomshauri na kumsukumasukuma hawamshauri vizuri, wanautia lawamani uislam, au kama kuwekeza bandari wangeipa kampuni ya kizungu tu au ya kichina. Ukweli ni kwamba, wenzetu wanataka kuifanya tanzania ni ya wakristo, waislamu ni watu wa daraja la pili. Jambo litakalokubaliwa na wakristo ni sawa lifanyike, lakini wakilikataa wao ndio lisiwe. Mahakama ya kadhi kwa kua hawakutaka wao na halikuwa. Wanataka kuifanya tanzania waislamu hawana kauli, na hawataki ionekane hivyo kweny uwanja wa kimataifa. Hili si jambo la sawa.
@LucinusTirutangwa-ez8kv
@LucinusTirutangwa-ez8kv Жыл бұрын
Ndugu zangu wakatoliki mnaotazama video kama hivi msirudishe neno ili kuulinda umoja cha muhimu tuwapende na mwisho wataelewa nia ye maaskofu ilio njema kama tukikaa kimya basi watatuelewa na hakutakuwa na uchochez wa kidini tena ndugu zetu waislam sisi ni ndugu kama walikosea basi nanyi toeni ushauri sisi tunataka lililo bora haijalishi limetoka kwa nani ndugu zetu tunasikitika mmetuelewa vibaya
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Жыл бұрын
"Kama wao wametoa waraka usomwe makanisani ,na sisi sasa tutoe waraka tusome misikitini"... Sheikh Mziwanda. Hapo sasa ndio waislamu wanapofeli ,kufanya jambo kama majibu kwa wakiristo wakatoliki ,badala yao kufanya mambo yao.
@Hancymtembo
@Hancymtembo Жыл бұрын
Waislam akili zenu za kupepwa, wale wametoa waraka wa kupinga uwekezaji wa milele usio na mwisho nyinyi mnatoanwalaka wa uislamu na bandali mnaakili kweli?
@SebatianKisokola-hy7qs
@SebatianKisokola-hy7qs Жыл бұрын
Wengne wanaongea juu ya bandari ww unaongea juu ya uiaslam pumbavu ww mdini mkubwa ww kama hutaki vaa bom
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@Hancymtembowe are conscious
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Жыл бұрын
Shekh wetu uko sawa kabisa
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Жыл бұрын
Kabisa shekh uko sawa 13:06 13:07
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Nakupenda sana Sheikh Mziwanda uko Modern sana lakini kikubwa kinachonivutia kwake haogopi kusema as long ni ukweli tu. Achana na hao kina Walid tangu zamani wako vuguvugu na sasa hivi ndio amemezwa na mfumo kabisa kucheka cheka tu mbele za watu. Basi shule mlibaniwa hata kusema ukweli tu bado mpaka leo mnafundisha kuoga janaba tu
@saidPeace-xq1ld
@saidPeace-xq1ld Жыл бұрын
Kwa hili waislam Hawa wezi kusema kwani Kwa sasa robo3 ya viongozi walioko mdarakani Kwa sasa niwaislam Sasa wakristo wamegundua mtego wenu waislam, tuwaache wakristo waongee mungu awape njia zaidi 🙏
@user-qx4dz5kx3g
@user-qx4dz5kx3g Жыл бұрын
Mashee wangu wakati wote mpaka mnamaliza kutoa dawa hamtaji hata robo ya kifungu chochote chamkataba, lkn niwakumbushe uwe udini au siasa chanzo ni mkataba,.Mwenyezi Mungu awasaidie mkumbuke kunukuu na vifungu.mtatusaidia sana sana.
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
Mashekhe walikwisha taja zamani sana vifungu vinavyo hitajika marekebisho rejea hutuba ya shekh Ponda na hao Maskofu katika waraka wao hawakutaja kifungu hata chochote wao Wamesema uongo eti wataanzania wote wameukataa mkataba huo. Hilo ndilo liloleta tabu wao kama akina nani kuwasemea watanzania eti hawautaki mkataba😢 hapo ndipo kanisa katoliki linapoleta vurugu
@edyi9187
@edyi9187 Жыл бұрын
Rejea waraka vimetajwa vifungu zaidi ya 8 acha uongo
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Hawana elimu ya darasani
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Жыл бұрын
Hatuna haja ya kifungu. Kwani nyie makafiri hamsemi. Kazi yenu kusema eti bandari imeuzwa basi. Mbona hamtaji bei?
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
@@user-ki4sg8yz9j basi huo ndio ujinga wenu,maana mnapinga msichokijua,wengi wenu shule hakuna,mnabaki kusema kafiri kafiri kwenye mkataba kuna mambo ya dini yenu pale,washezi Sana mnachojua kufuga majini
@user-od1et5ii1k
@user-od1et5ii1k Жыл бұрын
Shehe sema kweli waislamu tumegeuka samaki aina ya pono
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Жыл бұрын
😂😂😂
@silvaraphael9327
@silvaraphael9327 Жыл бұрын
😂😂
@omarikessy2339
@omarikessy2339 11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde sheikh mziwanda
@clethbarnaba923
@clethbarnaba923 Жыл бұрын
Shehe asante kwa mawaidha yako, ila yanakarosoro kidogo. Sisi sote ni wana wa Mungu. Chukua Muda kidogo ujaribu kuusoma waraka wa Maaskofu bila kuweka mawazo udini. Ukiweza kuondoa udini utakuwa unamuhubiri Mungu wetu sote aliyetuumba. Mungu ni mmoja tu. Mungu/ Allah atusaidie tuweze kudumisha umoja na undugu wetu.
@masala8099
@masala8099 Жыл бұрын
Shekhe umeongea vizuri shida humu ktk comments watu vichwa sifuri
@hamadsalim5641
@hamadsalim5641 Жыл бұрын
Kuna msamaha wa kid hapo ndio maana wanahof WANAFAIDIKA Sana nayo ndio MAANA wanapiga KELELE Sana
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Mkisikia katolik mnasikia hasira ya kutapika,isomen hata misikitin wakina ney wameongea ukweli lakin hamtafut mnataj katolik peleken ujinga huko
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@aliemdogokwahiyo dini yenu ukweli wake upo kupitia wasanii
@user-hd5yl5ej4v
@user-hd5yl5ej4v Жыл бұрын
MaashaAllah Sheikh Wangu Mungu Akuzidishie Na Akulinde Dhidi Ya Fitna Za Hao Uliowapigilia Misumari
@rasnchimbi
@rasnchimbi Жыл бұрын
Aje na vifungu vya mkataba siyo story ubwabwa😂😂
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Hawa makafiri(wakristo) wanaiharibu nchi sana kanisa ndo linajifanya kuisimamia kila serikali inayoshika hatamu kama kwamba hii nchi ni yao peke yao.hawa mbwa sana.Sheikh Mziwanda yupo sahihi sana.hawa waislamu wa leo na hasa wa tanganyika ni wajinga sana hebu amkeni nyinyi hawa makafiri watakulalieni siku moja na ujinga wenu. Kazi kucheka cheka ovyo.
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 Жыл бұрын
Weee jionee huruma kwanza ,kabla yakumpongeza huyo shehe wako soma mkataba huo acheni ujinga naudini wakimasikini ,,,wale maaskofu wamesoma kuliko hao mbuzi wenu wawili samia na kikwete ,,,bandari siyo juzuu wewe niusalama wanchi,,,
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Hapo unaposemema seriki inasaidiwa na kanisa katoliki umekoseya isipokuwa kanisa kstoliki linapendelewa na serikali munapewa zaidi ya bilioni 32 kwa mwaka tokeya mwaka 1992 rudiya gazeti la mwananchi la mwaka1992
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@julianamasunga3458Kama unaweza kutukana viongozi wako wewe wa Nini Sasa hata adabu ya kunywea maji huna
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazin ijengwe Arusha tuachane na KCMC na hospital ya Kanda ya ziwa ijengwe mwanza tuachane na Bugando zilipe Kodi
@munawwaradam8993
@munawwaradam8993 11 ай бұрын
Mashaallah masheikh watoeni tongotongo waislam ni waoga hawajitambui, sasa umefika wakati wa kujitambua
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
from Kenya,namuelewa sana huyu sheikh,last month nlisoma nakala ya huko kwenu TZ,ati Kanisa la Lutheran wameanzisha Dispensary alafu inalaumu serikali ati wamecheleweshwa mishahara,sasa nkajiuliza hospital ya kanisa lakini wanalipwa na serikali ya tz,inakuaje aje wakati huo ni mpango wa makanisa? watu waamke kweli including us Kenya
@oscarakepha8374
@oscarakepha8374 Жыл бұрын
Huku kwetu kuna mkataba wa serikali kuunga mkono juhudi za mashirika ya Dini kwenye idara ya Afya , kumbuka Hiyo Dispensary iko kwenye eneo ambalo hakuna huduma na Wananchi wote ni wanufaika ,mshahara haiungii kanisani analipwa mtumishi anayehudumia Watanzania wote ,shida iko wapi? Mashirika ya Dini yanaisaidia serikali kufanya majukumu yake ,hayo ni makubaliano yapo tu ,Taasisi yoyote ya Dini ikajenge Hospital vijijini itoe huduma bila ubaguzi kwa watu wote itapata baadhi ya nafuu kama hizo
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
For sure
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
@@oscarakepha8374 waislam hawakubaliki kufanya ivo kwa ubaguzi wa wakristo
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Жыл бұрын
Si Kenya si Tanzania kote Waislam tumelala tena ni aibu. Tunakazania tu kujenga misikiti madrasa na kujengewa visima. Wafadhiliatajiri Wa mafuta tunao na tunashindwa kuwatumia kujijengea mahospitali ya rufaa vyuo vikuu vitega uchumi na mashule bora yanayopasisha kama wenzetu. Afadhali Kenya mnajitahidi sana kutumia nafasi za kiislam katika elimu ya juu kwani nilisikia MNA wanafunzi wengi wamesoma na wanaosoma katika vyuo vikuu vilivyopo katika nchi za kiislam nafasi ambazo hutolewa na has a shirika LA dini likiziomba huku kwetu tuna Bakwata ambayo haina juhudi ya kuomba na kuzitafuta hizo scholarships na kuzitangaza .
@clarencebitegeko7079
@clarencebitegeko7079 Жыл бұрын
Homeboy ​@@oscarakepha8374 nimekukubali. Nyayooo
@AliMohd-qc4go
@AliMohd-qc4go Жыл бұрын
ASANTE SHEIKH ALLAH AZIDI KUKUPA NGUVU ZA KUUTETEA UISLAM TUNAWASIHI NA MASHEKHE WENGINE WAMUUNGE MKONO SHEKHE MZIWANDA WASIMUACHIE KILA KITU ASEME YEYE
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Shida ni bwakwata kukaa mfukoni mwa ccm
@dimothunderitikeri9140
@dimothunderitikeri9140 Жыл бұрын
Mtego wa bandari umefikka kwenye dini, Waislam msisahau kua kama tukiwapa waarabu bandari zetu Uislam utatawala muanze kuwanyanyasa Imani nyingine, ilo tunalijua vizuri na Waislam wazalendo na nchi yao hawawezi kwenda na mawazo yako
@zainabuibrahim4766
@zainabuibrahim4766 Жыл бұрын
Mashaallah hakika ktk wanaume kuna mume nawewe uko miongoni mwao shukrani sana Shekhe wetu pointi yangu niliyokuelewa zaidi nikwanini(KATOLIKI?)
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q Жыл бұрын
Katoliki ni maisha
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Жыл бұрын
Naona hatari sana mbele Ni km linageuzwa kidini
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 Жыл бұрын
kazi tunayo
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 Жыл бұрын
Nashukuru sana Sheikh unavyowaamsha Waislam, kujitambua , kupigania haki zao na kuongeza uchumi wao! Hili suala na kiuchumi waislamu wetu ni jambo la muhimu sana!
@emmanuelbendu6625
@emmanuelbendu6625 Жыл бұрын
Kwan hapo umepingwa mkataba au waislamu RC sio Mara moja kutoa waraka ata kipind Cha maguful walishatoa waraka kua nchii iongozwe kwa democracy
@eladymwakanyamale
@eladymwakanyamale Жыл бұрын
Wamezungumzia mkataba,, Mkristo na Muislam ni ndugu,, hizi ni Imani TU Kila mtu anayake.
@EmmanuelThomass
@EmmanuelThomass Жыл бұрын
wengine tukisema mtatuona tuanawabagua acha ninyamaze lakin tambuweni ninyi ndio mnaanza kutubagua sawa
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline Жыл бұрын
Nakukubali Sheikh wangu. Haki isemwe. Waislam bado tunajadili Maulid yanafaa au hayafai - tunatukanana.
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 Жыл бұрын
maulidi ina kujaje sasa au una leta upuuzi hapa
@HabshyawadhiSalimu
@HabshyawadhiSalimu Жыл бұрын
Ww nawee maulid Na huku niwap nawap unazungumza nn
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 Жыл бұрын
@@HabshyawadhiSalimu huyu ana penda ujinga ujinga
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x Жыл бұрын
Acha uchochezi
@vedastovaleliani8153
@vedastovaleliani8153 Жыл бұрын
Samahani jamani Mimi sijaelewa naomben mnisaidie, Masikofu wamepinga, mkataba mbovu, kwanini huyu shehe analalamika kwamba waislam tuamuke tutetee nchi yetu ote tuna haki, kwani kwani mkataba no wadini ya kislam au ni was Dubai.
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Жыл бұрын
Huyu shehe ana udini sana kuliko uzarendo
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 Жыл бұрын
Kachanjwa huyo😂 matokeo hayo
@rahushussein1402
@rahushussein1402 Жыл бұрын
Bora huyu msema kweli, kuliko maaskofu wanaojificha kwenye uzalendo kumbe wanafiki wana UDINI na roho mbaya kuliko IBILISI
@daudimahede6014
@daudimahede6014 Жыл бұрын
Subiriii ujibiwe
@user-hj3gr2lw9o
@user-hj3gr2lw9o 11 ай бұрын
Unataka waislam wanyamaze Tu muwapande kichwani hii nchi ya dini zote kwann akandamizwe mmoja tu
@user-vt4eq2ho9v
@user-vt4eq2ho9v 11 ай бұрын
Uzalindo nininii???
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Shehe umesema kwel akikamatwa mkiristo hafiki wiki anaachiwa lakin akikamatwa shehe wataekwa miaka tele na waislam wanakaa kimya kazi yetu mungu yupo waislamu na sisi tuamke tuungane yakitokea mambo Kama hayo #
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 Жыл бұрын
Sheikhe uko sawa kabisa yaani hayo makristo yanataka mikataba iwe Kwa wazungu tu lakini Kwa mwarabu hafai ni wakuda saana
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 Жыл бұрын
Pamoja shekh watajua hawajui pamoja sana
@leonardgalila3032
@leonardgalila3032 Жыл бұрын
Kwenyi hili tusilete udini tujadili mkataba na tujibu hoja za mkataba huu udini tunataka tuhamishwe kwenye leri
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@leonardgalila3032nyie ndio mmeanza
@danielmpaka
@danielmpaka Жыл бұрын
Waislamu tuweni makini na hawa mashekh kama aina ya mziwanda hawa ni aina ya watu wasiopenda amani ya nchi yetu hata maneno anayotoa ni makali ni vile watanzania tunaustahimilivu wa asili,mtu mwenye maadili ya kiimani na mpenda amani ya nchi yako huwezi ropoka pumba kama hizo,hata hao wakatoliki wenyewe hawakuzungumzia dini ya mtu zaidi ya kukosoa mkataba wenye vipengele vya kuuza nchi hivyo kama maaskofu waliopo tanzania wanaupinga labda ubadilishwe,na hata hao mashekh waliokaa miaka sita jera aliyewaweka ndani ni Kikwete so kwanini hamkumlaumu kikwete,lakin leo baadhi ya mashekh wamekuwa wakitaja sana suala udini,hapa ktk suala la bandari hakuna udini zaidi yakulinda rasilimali zetu,kama bandari kunawezi ndo maana hatufaidiki basi serikali iliyopo madarakani ndo imeshindwa kuzuia uwizi huo na sio kukabidhi wageni ambao hawana faida kwetu😢😢 ❤tanzania nawapenda watu wote waislamu na wakristo,mkataba wa bandari ndio unaendelea kutugawa,tumeishi kwa pamoja na udugu ila mali zetu zisitugawe kamwe kama serikali imashindwa kuongoza nchi bora ikaachia ngazi kuliko kuendelea kutupeleka shimoni,kipindi cha JPM hapajakua na masuala ya kuongela mambo ya udini,alipenda dini zote na kuhimiza kule kwake Chato pia ukajengwe msikiti akijua kuwa dini ni inamarisha amani,shekh mkuu mwenyewe alishangaa Rais mkatoliki anamsihi ajenge msikiti na chato alijua jpm amekuwa muislamu,ila viongozi tulionao sasa hawajui nchi wanaipeleka wapi pindi mashekh kama hawa wanaporopoka masuala ya udini,MUNGU ATUSIMAMIE WATANZANIA WOTE WA DINI ZOTE TUKUMBUKE SOTE NI WATOTO WA BABA NA MAMA MMOJA ADAM NA HAWA.
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Anachozungumza kina ukweli na udini umeanza na wengine na vyama vikawashabikia
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
Wewe Hilo jina lenyewe Lina mashaka
@MaatumKadhi-dl8xg
@MaatumKadhi-dl8xg Жыл бұрын
Maneno hayo waambie maaskofu na mapadre ndiyo mada lla cku makanisani mwao cc kaongea shehe mziwanda mmoja mnambwela mbwela
@desderiushaule4264
@desderiushaule4264 Жыл бұрын
Kwa habari ya kuwa na mahakama ya kadhi Tanzania rais kikwete muislamu mwenzako alipinga wazo Hilo alisema hivi, MTU anakamatwa ameiba kuku anahukumiwwa kukatwa viganja vya mikono yote mnamtia umasikini WA maisha yake yote pamoja na familia yake. Kikwete ni muislamu msomi na muelewa kuliko wewe sheikh mziwanda.
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 Жыл бұрын
Kwa hiyo kanisa katoliki kutoa waraka sio kuvunja amani???
@kzonealtupela63
@kzonealtupela63 Жыл бұрын
Allah akufanyie wepesii sheikh tusichoche itikadii zakidini walaah tusiongele swalaa la kuingiza dinii ongelea swala la mkabaa usiweke uchochezi wakidinii
@lucasndaganiwe5764
@lucasndaganiwe5764 Жыл бұрын
Damu ya YESU iku oshe dhambi zako za uchochezi
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Жыл бұрын
Shekhe wetu mpendwa huu mkataba haufungamani na imani yenu maana hata sisi tuna ndugu wa imani ya kiislam.Lkn wapo waislam na wakristo wanaopinga baadhi ya vipengele Tunasikiliza hoja tunafanya maamuzi .Huu waraka ni ujumbe kwa serikali
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu Жыл бұрын
Waraka haupingi tu vipengele, unataka mkataba ufutwe kabisa na wala si kurekebishwa hivyo vipengele wanavyodai vina kasoro! Hapa ni wazi kuna chuki dhidi ya wanaopewa mkataba na uongozi wa serikali uliopo kwa sasa!!
@yassinhamisi922
@yassinhamisi922 Жыл бұрын
Kuhusu huo mkataba wanaopinga uwekezaji wanamaslahi binafsi. Kuna baadhi ya mathehebu wanamaslahi binafsi. Km kuna vipengele virekebishwe na usifutwe maana kuna upigaji sana bandarini.
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu Жыл бұрын
Hili ni nchi ya ajabu kweli ,,kuna mikataba iliyofungwa kabla ya mkataba huu wa bandari ambayo ilikuwa mibovu na hivi sasa tunatakiwa tulipe penalti kwasababu ya kuivunja na imevunjwa na maccm ,,,kuhusu sheikh anazungumza kuingiza mizigo bila kulipiwa ushuru hilo si kosa LA watanzania ni kosa LA maccm ndio wanaoruhusu kupitisha miziigo bila kulipa ushuru ,,ccm mumeshindwa kuongoza nchi waachilieni wapinzani waongoze nchi ,nchi yote mumewauzia wageni kwa mikataba mibovu na hiii bandari munataka kuikodisha kwa mkataba mbovu sisi wananchi hatutaki,,,sheikh umetumwa na maccm ,usikubali kutumika sisi wananchi tunaakili timamu tushajifunza kwa mikataba iliyopita
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA
@davidsamson8204
@davidsamson8204 Жыл бұрын
Wewe shehe umeramba asali Ludi nyuma wewe si mtanzania ndiomana unaipigania Dpwd
@user-xf4cu3st5z
@user-xf4cu3st5z Жыл бұрын
Mnachanganya mambo haya na dini.mkataba huu unapingwa na wananchi kwa mapungufu yake na maslai makuu ya wananchi ya Tanzania.hapa hakuna dini.😊
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 Жыл бұрын
Wwe unapambana na waisilamu ?
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Ukiacha serikali Kwani walioanza kuongea huu mkataba ni nani. Maaskofu. Wakiongea mashehe mnadai wanaleta udini na wao wanyamaze basi hao maskafu na masheh watanyamaza tuachie serikali ifanya kazi yake msiipangie
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Wameanza katoriki
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Жыл бұрын
Unae ushahidi wengi ndio wanaepinga tatizo ni udini na wakatolliki baadhi yao viongozi wanapitishaga makontena bila ushuru sasa wanaona DP WORD anachukuwa bandari hakuna tena kupitisha makontena bure na nakuhakikishia DP WORD anachukuwa Bandari na huo ukiritimba wakupitisha makontena bure umeisha
@user-xf4cu3st5z
@user-xf4cu3st5z Жыл бұрын
Wanapitishaje bila mamlaka.nani msimamizi hapo? Kosa ni la Wananchi au mamlaka inayohusika? Ni hatua gani zilizochukuliwa na mamlaka kukomesha hali hii? Ni wananchi tena.inaonekana kosa ni la mamlaka husika.ebu tufikiri tu
@nicolausminja689
@nicolausminja689 Жыл бұрын
Kwani huu mkataba unahusiana na uislam!? Maana waraka ni ushauri kwa serikali kuhusu huo mkataba kwa lengo la kulinda amani ya nchi. Ushauri waweza upuuza au kuzingatia.uwekezaji sio mbaya ishu vipengele vinavyo lalamikiwa virekenishwe visikinzane na katiba.wakristu na waislam sisi ni ndugu msitugombanishe.Mungu ibariki Tanzania,🕌❤⛪🇹🇿
@kenedyamani5041
@kenedyamani5041 Жыл бұрын
Shehe umekosea sana sana,maaskofu wametoa walaka baada ya kukaa,ww toa walaka sio kutangaza udini,nan katukana,
@sativaamandus9281
@sativaamandus9281 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe umekashifu. Aisee, kweli wewe kichwani hamnazo
@muddycantona6286
@muddycantona6286 Жыл бұрын
Ww pia mbofuuu
@ibnuqassim1614
@ibnuqassim1614 Жыл бұрын
Acha lugha chafu ya kuwatukana viongozi wa dini
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Ndio dini yenu inavyowalea kutusi viongozi
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shehe wetu
@ozilismail7604
@ozilismail7604 Жыл бұрын
Kilichoongelewa ni bandali dini limetoka wp shekhe acha ushenzi nanyie nendeni nahoja zenu kwanza ww umesomea ndini sioshelia 😊😊 12:48
@WileTowo-jl5ke
@WileTowo-jl5ke Жыл бұрын
Pole sana kwa ushauli wako ujatupata pole sana ulitaka uwalaka uwo usommwe msikini
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Wala hakuwa na shida isomwe misikitini lakini maaskofu kuusoma makanisani wamekosea, wangewaachiwa wanasiasa tu
@neemataris3273
@neemataris3273 Жыл бұрын
Maneno haya ni hatari sana kwa mtu wa Mungu, Lakini hakusemwa mwislamu kwenye walaka au nilisikia vibaya
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
Ni wakati pia ya kuoji muungano wa Tanganyika na zanzibar Kama ni muungano tuwe na rais moja wa Tanzania bendera moja nchi moja katiba moja Zanzibar ilishajitenga, lina katiba yake, rais wake, bendera yake , mipaka yake na majeshi yake, na bado wananufaika na kumiliki ardhi ya bara ambayo siyo sehemu ya muungano huku watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar hivyo wazibari wasiongeleh ubaguzi pale watanganyika wanapoibua hoja ya kero ya muungano hoja za watanganyika zisibezwe hata kidogo au kuzikejeli tunaitaji Tanganyika yenye katiba yake, bendera yake, nembo yake, mipaka yake, rais wake, bunge lake na serekali yake itayosimamia maswala yasiyo ya muungano kama ilivyo kwa Serekali ya mapinduzi ili muungano uwe wa usawa kwa pande mbili siyo sawa rais wa muungano ndiye rais watanganyika
@salumbaa7378
@salumbaa7378 Жыл бұрын
sie wazanzibar tunataka hata kesho mjitenge watanganyika, sijui nani aliemshikilia mwenzake😂
@saiddaud3855
@saiddaud3855 Жыл бұрын
Watupatie Zanzibar yetu tufanye mambo yetu
@najaributest
@najaributest Жыл бұрын
Mbona wazanzibar miaka yote wanadai znz yao au ww umeacha kunyonya juzi nyie ndo mudai tanganyika sio wazanzibar wadai znz yao mzanzibar akizaliwa leo kesho akiulizwa atasema hataki huu muungano
@suleymandachi782
@suleymandachi782 Жыл бұрын
Tusiwe viziwi,kama wewe ni muislaam huwezi kuandika mambo ya kujitenga,shekh anahimiza waislaam tushikamane nyie mnaanzisha mjadala wakutengana, Tanzania visiwani,mombasa na Tanzania bara ni sehemu yenye waislaam wengi,kwanini tubaguane?
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Watanganyika wapo wengi wanaomiliki ardhi wengi Sana usiseme jambo usilolijuwa
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Sh. MZIWANDA NI Kipaji ALLAH AKUPE NGUVU KTK ELIMU NA HOJA NA USHINDI.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Amin
@johnmangula4832
@johnmangula4832 Жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli, ni vema kutetea masilahi ya wananchi wote na sio maslahi ya ya dini moja. Hongera sana baraza la maaskofu.
@rahushussein1402
@rahushussein1402 Жыл бұрын
Acha uongo wanatetea jambo lao na sio wa Tz wanatumia uchochoro huo kutimiza malengo yao
@salihinashamaghana513
@salihinashamaghana513 Жыл бұрын
Waislamu sisi sote mwongozo wetu ni Quran tukufu na Kiongozi wetu mkuu ni mtume Mohamed ,tuishi Kwa amani. na majirani zetu wa madhehrbu mbalimbali tuepuke aina yeyote ya uchochezi
@iddmwendotanzaniteexp5050
@iddmwendotanzaniteexp5050 Жыл бұрын
Hongera sana shekh...tunakuombea kila la kheri shekh...!!!
@fababindawood8363
@fababindawood8363 Жыл бұрын
Shekhe upo sawa sawa Wakristo wanaubaguz mkubwa sana na bandari walikuwa wakinufaika sana hawa wenzetu wakristo.shekhe angeuliwa tu kwa kauli ya kupindua serikali
@ameirameir4930
@ameirameir4930 Жыл бұрын
Kwa nn yesu alikataa kula nguruwe na akaamua kula tende mtajiuliza wakristo
@magnusraphael9007
@magnusraphael9007 Жыл бұрын
Knowledge is power ignorance is weakness
@ericf.simkwayi2564
@ericf.simkwayi2564 Жыл бұрын
Maaskofu mafilosofia
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@NassirMansour-zx2jd
@NassirMansour-zx2jd Жыл бұрын
Amani iwe juu yako sheikh mziwanda Allaah akuteremshie jeshi la ulinzi, yaarabbi tunakuomba umlinde huyu sheikh
@emmanuelrupaki4505
@emmanuelrupaki4505 11 ай бұрын
Huyu ni bwege sana
@malulufrank7871
@malulufrank7871 Жыл бұрын
Habari za leo Hakika Mungu aendelee kulipigania Taifa hili swala hili la Bandari limechukua sura ya dini ya viongozi wanavyolichambua na tumeshindwa kusikiliza hoja za maendeleo ya bandari yetu na tumegeuza mjadala huu juu ya nani kasema nini na je yule ni wa dini yangu au sio.Niwaombe watanzania mjadala huu tuuendee tukiwa na akili zetu na kumuomba mwenyezi mungu juu ya hekima na busara.Leo kuna mambo mapya yataibuka na hata bandari ni sehemu 1 ya nchi yetu lakini Amani yetu , Uzalendo wetu , Utu wetu umejengwa kwa wazee wetu kujitoa na kuiwekea nchi hii misingi ya utulivu. Upendo utawale .Amini
@ivorestkayingiriza3508
@ivorestkayingiriza3508 Жыл бұрын
Tuwe makini sana. Hii siyo mara ya kwanza kutoa waraka wakatoliki. Haya maswala ya udini mnayasema waislamu.
@user-oe1qc6wr6c
@user-oe1qc6wr6c Жыл бұрын
mama samia piga kazi umewakomesha majambazi
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 Жыл бұрын
Walewale wezi wa mali za taifa.. Usiwatetee waovu.. Amin dunian hapa s kwe2 n njia tu ya kmrdia Muumba we2..
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Maashaallah Sheikh mziwanda ALLAH Akuhifadhi. Watu wamepandikizwa chuki sanaa tunaunga mkono uwekezaji wa bandari kutoka kwa dubai
@roseyohana3500
@roseyohana3500 Жыл бұрын
Wenzenu hawajamtaja shehe hamnasela
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@roseyohana3500na wamesimama Kama kinanani?
@dainessgaspar6042
@dainessgaspar6042 Жыл бұрын
Unapoteza Muda tu, na uchochezi wako.
@josephlugome5845
@josephlugome5845 Жыл бұрын
Waelimishe wanadini wako, waelewe. Wafanye maamuzi sahihi. Sio kuburuzana kwa hofu ya dini. Badala ya kuwa na hofu na Mungu
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Endeleeni tu halafu ndio mtakuja kujua tunabutuzwa au vipi
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 Жыл бұрын
Maashallah Allah akulinde udini wameuanza kina tundulisu na wenzake
@hajisaid3024
@hajisaid3024 Жыл бұрын
Shekh wape ukweli wameila sana nchi nchi yetu wote
@AliMahmoud-tj2jb
@AliMahmoud-tj2jb Жыл бұрын
Kweli sheikh ,kilichobakia ss na sisi waislamu tuwe na msimamo mmoja tuckubali Hawa makafiri kuharibu nchi💪💪💪
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Nyie mnanchi gani wapuuzi nyie? Tena msilete ujinga na kama hamtaki nendeni Zanzibar.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
​@@AliMahmoud-tj2jbMakafiri ni wale wanaouza bandari yetu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Madalali wa kuuza bandari Sasa uislam na bandari vina uhusiano gani
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Chuki hizo wamekulaje ni awamu ipi ya dini zinaliwa
@musachongowe1695
@musachongowe1695 Жыл бұрын
Huo sio waraka wa kwanza kwa maaskofu,maskofu wanatoa waraka kilalinapo tokea jambo la kutatanisha,watu wameuwawa hapa waislamu hawajaongea wataongea nini kwa unafiki
@milcahkapan7932
@milcahkapan7932 Жыл бұрын
Yaan hawa huwa wanakurupuka,hivi hawajui TEC walikosoa kila kiongozi aliyekuwa madarakani wao wakiwa kimya tu,Magufuli kwenye kutokuvaa barakoa TEC walimkosoa,Mkapa kwenye ubinafsishaji wa airport TEC walimkosoa,Kikwete pia,Leo wameongea tena kwa data na facts kumkosoa Samia napo ni baada ya kuona serikali inaminya uhuru wa watu kuongea mnalalamika.TEC waliita waandishi wa habari muda wa kutoa Tamko lakini hakuna media yoyote kubwa iliyopost habari hizo ndo wakaamua tusomewe tamko nchi nzima makanisani of which is very right kabisaa na Taarifa imepenyaa Hadi huko vijijini chap na litasomwa kwa wiki nne mfululizo ili Kila muumini awe na taarifa
@maulidkhamis4442
@maulidkhamis4442 Жыл бұрын
Hakuna hata waraka mmoja uliotoka ukasomwa nchi nzima baada ya huu ni udini wa wazi wazi
@musachongowe1695
@musachongowe1695 Жыл бұрын
Hakuna udini waislam tuamke acheni fikra mbovu hakuna Alie taja uislam vitahii ni ya ukoloni mamboleo
@maulidkhamis4442
@maulidkhamis4442 Жыл бұрын
@@musachongowe1695 wewe huwajui hawa jamaa wadini mno aliyepita aliua democrs ila haukutoka waraka ulioambowa usomwe makanisa yote
@musachongowe1695
@musachongowe1695 Жыл бұрын
@@maulidkhamis4442 shida waislam hata wakipewa tende basi wanaridhika hawaangalii mbele.ccmwalivyo ona mambo magumu 2015 wakaweka kwenye ilani tutafanyia kazi mahakama ya kadhi baada ya hapo wali geuka Bado tunaurafiki na hii serikali tunajiongeza kweli,waislam wanatumika kwenye mapambano baada ya hapo wanakula wajanja sisi tunahubiri amani
@HezronSiwingwa-ny1gd
@HezronSiwingwa-ny1gd Жыл бұрын
MashaAllah,Alhamundulillah,SEMA shehe wangu😎😎😎💚💚💚💚💚💚💚
@maigengeme
@maigengeme Жыл бұрын
Wenzenu wamezungumzia mkataba mbovu, ni nanyie muelezee ubora wa mkataba watu waelewe, teteeni kwa hoja za mkataba tujue kama mkataba ni mzuri, mnaanza kutaja dini tena. Tuambieni uzuri wa mkataba na sio dini
@justusjulius9279
@justusjulius9279 Жыл бұрын
Toeni na nyie tamko sio kudiscuss matamko ya watu wengine
@najaributest
@najaributest Жыл бұрын
Usitufundishe jinsi ya kusema
@sheikhwalidalhadtv2950
@sheikhwalidalhadtv2950 Жыл бұрын
Mnatujua vyema msijisahau sisi tushadiscus sanaaaa kuhusu mustakbala wa nchi hii na ndio wenye damu ya machafuko Ohoooo! Wenzunu sie HATUOGOPI KUFA sie kifo kwa ajili ya dini yetu ni IBADA
@ibrahimmakasi4690
@ibrahimmakasi4690 Жыл бұрын
​@@sheikhwalidalhadtv2950wewe mjinga kweli yaani umwage damu kwa ajili ya waarabu? Dini yenu imekaa kiwizi Sana..
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Жыл бұрын
Hapo sasa wangenyoka na Yao wanautaka mkataba au hawautaki na sababu zao wao kudakia ya watu
@muhsinsasamalo987
@muhsinsasamalo987 Жыл бұрын
Ndio Hilo tamko lishatolewa😂😂😂
@placidiakambuga3508
@placidiakambuga3508 Жыл бұрын
Shule ni muhimu sana aisee, watu wanaongelea partmanent sovereignty ndio haitakiwa kwenye mkatana ww unaleta udini.
@rahushussein1402
@rahushussein1402 Жыл бұрын
Mnatafuta pa kujifichia yaliyo ndani ya mioyo yenu ni makubwa sana kuliko mnayotuonesha muache Sheikh aseme
@daudimahede6014
@daudimahede6014 Жыл бұрын
Fikiria kutumia utumbo
@WiliamMasalu-gs2ov
@WiliamMasalu-gs2ov Жыл бұрын
Kama mashehe wote wakiwa kama wewe basi nchi hii itakuwa na ubaguzi na udini sana. Hili jitu hakuna ucha Mungu kabisa ni jinga Fulani fulani tu.
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Жыл бұрын
Waislamu tuamke haya mambo yanaumiza sana ila wapo waislamu wengine hawapo huku wala kule
@kulwamiyonjo968
@kulwamiyonjo968 Жыл бұрын
Hakuna mahusiano yeyote hapa kati ya udini na siasa,kanisa katoliki limetoa tamko kuhusu Mkataba wa bandari hakuna siasa ya aina yeyote hapo,kanisa katoliki siyo mara ya kwanza kutoa matamko ya namna hii,Wakati wa utawala wa Magufuli kanisa lilishatoa Waraka zaidi ya mara moja kupinga utawala usiokuwa wa kidemokrasia dhidi ya serikali ya C.C.M bila kujali ukatoliki wa Magufuli,Mbona hatukumuona Rais mstaafu akitoa tamko la udini wakati huo.
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Жыл бұрын
Hawa ndg zetu nahis km hawajuhi kuwa si Kila mzungu ni padri au si kila mwenye kanzu ni shehe Hawa Wana mambo Yao kiuchumi hawaji kidin Huku wanakuja kupga pesa
@hamissantanga8849
@hamissantanga8849 Жыл бұрын
Sawa lakini mahakama ya kadhi walipinga, hata Tz kujiunga na oic walipinga na sasa Dubai kuwekeza Tanzania wanapinga haoao.
@mohamedichande-eb6jh
@mohamedichande-eb6jh Жыл бұрын
Kwa Nini waraka unatoka wakati wa utawala wa baadhi ya viongozi,acha uongo
@salumkatunda9694
@salumkatunda9694 Жыл бұрын
Hata kama hujui kusoma kuelewa je? Fursa iliyotolewa na serekali ni kuishauri kwa ambacho anaona kitafaa, Leo hii umekuja na tamko na umekwepa wajibu. Tayari Bunge limeishauri serekali mtazamo wa maaskofu wabunge wamewakataa wananchi! Nikuulize hao wananchi ni kina nani! Kama sio udini kipi kilicho lisukuma kanisa katika jambo hili? Kwanini huo uwe mtazamo wao taasisi yao nasi mtazamo padri au askofu mmoja mmoja? Kanisa Lina ham ya kuongoza ndio maana ya hata wanayofanya. Vinginevyo itambue kuwa taasisi yao so Muhimbili ktk mihimili ya kuongoza nchi yetu
@clememallya4257
@clememallya4257 Жыл бұрын
Jinga kubwa afanywe wewe mtumwa wa waarabu ukalishwe tende huko siyo watz tuachie nchi tuiendeleze km yamemshinda huyo aachie ngazi akale haluwa si hapa kz tu hatuhitaji za kupewa tunajitegemea tujifunie vyetu
@abdallaahabdallaahibrahim6719
@abdallaahabdallaahibrahim6719 Жыл бұрын
Tunausubir tamko la barazakuu la waislam TZ
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Tamko gani?
@abdulhussein7774
@abdulhussein7774 Жыл бұрын
Usipotoshe waislam mkataba mbovu
@timeofjesusministries9611
@timeofjesusministries9611 Жыл бұрын
Mkataba ni mbovuuuuu
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@abdulhussein7774we nae ni muislam?
@sefaniaslyvestertv1498
@sefaniaslyvestertv1498 Жыл бұрын
Nimesubiri uonyeshe uzuri wa huo mkataba sijasikia ispokuwa tu nimegundua una chuki na wakristo Mungu akusaidie
@enolimwagu77
@enolimwagu77 Жыл бұрын
Sheikh ana shida kubwa kichwani,anaudhalilisha uislamu huyu.Kwamba hayo ndio mawazo ya kiongozi wa kiislamu.
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 Жыл бұрын
Shukrani kaka Mziwanda Hakika Umesema Maneno Leo
@alexchamy2289
@alexchamy2289 Жыл бұрын
Kwani waraka umepinga dini yako, sijakuelewa unapigia kelele Nini!!. Waraka ule ni juu ya kuhoji, kukosa na kushauri serikali juu ya mkataba unaoingiwa kati ya serikali na mwekezaji Sasa wewe unaumia na Nini. Labda kama unahoja za kujibu huo waraka basi zitoe sio kuleta udini. In short kama uwekezaji utakuwa na maslahi basi yatawahusu aidha watanzania wote pasipo kujali dini na wawekazaji na haitakuwa na maslahi kwenu peke yenu. Na kama utakuwa na hasara zitawahusu watz pasipo kujali dini na sio RC pekee. Hivyo ni vyema na busara waraka uliotolewa ukasikilizwa, ukajibiwa au ukatumika katika kujitahadharisha. Udini tuweke pembeni yanapokuja mambo ya kitaifa. Mie Sina dini kwanza mkileta udini mnanichanganya
@rahushussein1402
@rahushussein1402 Жыл бұрын
Bado hujasema
@user-zd3ds6vt7u
@user-zd3ds6vt7u 11 ай бұрын
Yo anasababu naislamu wenziye siunaona anavyo waambia alishambuliwa sijui alishambuliwa nanini anajua yeye anasema waislamu hawakumsaidia kama hawakukusadia wakatoliki wanaingiaje hapo kama unata misaada yakatoliki mbona ikowazi wakatoliki siyo wachoyo sema usaidiwe siyo kuongea maneno hata hayaeleweki katoliki wamachungu nataifa wewenae unaleta udini hata wenzako wanakushangaa hawakuelewi unakuwa kama unampigia mbuzi kirtaa acheze haya weebwabwaja sasa labda hauna kaziyakufanya
@LawrenceGingo
@LawrenceGingo Жыл бұрын
Ongea point wew unaon gan maana unabwabwaja2 wanao taka kutugombanisha kwanjia yadin wamecherewa wakristo nawasiram kirasiku wanatiana mimba watagombanaje nanifamil hakuna udin hapa
@xcaliber8300
@xcaliber8300 Жыл бұрын
Kumbe ishu hapa ni dini!? Hivi kwenye mkataba wa bandari mwenzetu uko upande gani. Tumwombe Mungu atujalie ufahamu zaidi
@quwwangaemanuel7360
@quwwangaemanuel7360 Жыл бұрын
Shekh hujitambui hata kidogo 😢
@muhsinsasamalo987
@muhsinsasamalo987 Жыл бұрын
Unao waraka hapo?? 😀 😀
@ramadhanhassan3884
@ramadhanhassan3884 Жыл бұрын
Ww pia
@abubakarkassanura3515
@abubakarkassanura3515 Жыл бұрын
Wewe unajitambua? 😂😂😂
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Tuombe duwa jamani nyakati za mwisho tuombe rehema Tanzania
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
tumeomba sana ni kuamka na kupambana
@0CTOPUS24
@0CTOPUS24 Жыл бұрын
Uwongo banaaaaa uwongoooooooo. Mbona huku tunalima hatufi njaa. Shida tumeivamia roma badala ya hoja. Kama tumejikataa basi wacha watusemee
@shabanilijoka199
@shabanilijoka199 Жыл бұрын
Masha Allah bab Allah akuhifadhi
@ShimboPastory
@ShimboPastory Жыл бұрын
Kuna shekhe huko msikitini anafundisha watu kufanya mapenz, sijui kuwafikisha wanawake kileleni, mambo ya ovyo kabisa. Hapa maaskofu wanatetea maslahi ya watu. Kanisa linasimamia kitu tunaita INTEGRAL CARE OF THE HUMAN PERSON. hiyo ni principle. Yaani kuhakikisha kwamba maisha ya mwanadamu yanaendelea katika nyanja zote, kielimu, kiafya, kimaendeleo, kiuelewa, kiuchumi, na kijamii. Angalieni mchango wa kanisa kwenye jamii ya Tanzania kabla ya kuongea chochote.
@malikihemfaume3906
@malikihemfaume3906 Жыл бұрын
Wana mchango mkubwa sana ambao idadi ya walimu mashuleni kubwa ni wakristo na muda wa shule watoto kurudi mpaka saa nne usiku ili wasipate muda wa kwenda madrasa nayo ni mazuri kwa waislam sio.....
@maximillianmayani5119
@maximillianmayani5119 Жыл бұрын
​@@malikihemfaume3906kaka mie nimesoma Saint Marys mihayo tabora hakuna ujinga unaotaka kusema usipotoshe wengine tumesoma shule za kikristo acha uongo
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 Жыл бұрын
Muhimu c kuzini
@Osmanbey01
@Osmanbey01 Жыл бұрын
mchango wa kanisa kufungisha ndoa za mashoga hio n integral care ya kanisa pia
@Osmanbey01
@Osmanbey01 Жыл бұрын
Kanisa katoliki limezowea kuogoza nchi kupitia kanisa,,sasa kanisa limebanwa wanapanua midomo
@mwangajilemwangajile-hd9vj
@mwangajilemwangajile-hd9vj Жыл бұрын
Narrow knowledge is a very dangerous knowledge.
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 Жыл бұрын
Who is having narrow knowledge. The time has come really Muslims should wake up.
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
@@shukurukoll7269 ni sawa kubadili sheria za nchi ili ziendane na mkataba? Ni sawa kusain mkataba usio na vipengere vya kuuvunja? Waislamu anzeni kupeleka watoto shule sio madrasa, mnapishana na dunia, mzungu sio ndugu wa mkristo wala mwarabu sio ndugu wa muislamu. Bandari zikibaki mikononi mwetu zitawasaidia watoto wetu sote, ila tunakoelekea zitawasaidia watoto wa waarabu na vizazi vyao kwa maana mkataba utaisha bahari ikikauka.
@mohamedjuma9517
@mohamedjuma9517 Жыл бұрын
Sheikh muharram umeongea jambo la msingi sana hii dawa TEC itakuwa imewaingia vizuri sana
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 Жыл бұрын
Who has the mandate to count it! Stupid
@jumabeja956
@jumabeja956 Жыл бұрын
We ndo una elimu ndogo
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiiun,uko sawa shekh
@alexkitomo9259
@alexkitomo9259 Жыл бұрын
Shehe mdomo ni mali yako unautumia utakavyo.
@chancellornicholaus6545
@chancellornicholaus6545 Жыл бұрын
Sasa hayo ulioongea, nini maoni yako kuhusu mkataba wa bandari, sheikh, hapo unashambulia kanisa unatoka kwenye maada sisi tunawategemea kwa hekima mliojaaliwa na Mungu, juu ya hili. Lakin asante kwa maoni yako!
@salehemohamed2937
@salehemohamed2937 Жыл бұрын
MashAllah, umesema kweli,hakika ukweli unauma
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Жыл бұрын
Njooni na ufafanuzi kama wakatholic
@omaryissa2562
@omaryissa2562 Жыл бұрын
Ukatholic ndio nini Tuondoleeni ukatoliki wenu mwapenda kula kilaini sana ngoja wote tupambane mnapenda kugamia serekali sana nyinyi wakiristo
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
We Kama Nani
@jescakahabi10
@jescakahabi10 Жыл бұрын
Waje na fact cio kuonge afu maaskofu hawajawataka waislam bhn wametaja xababu xxa kupinga mkataba na xio vinginevyo lakn sheikh yuko bize kutamka kula tuuuu hahha hatari
@muhsinsasamalo987
@muhsinsasamalo987 Жыл бұрын
Walitoa ufafanuzi gani zaidi ya kukataa tu mkataba. Waambie walete takwimu za Wanaopina mkataba. Kuhusu vipengele Tata serikali ilishatoa maelekezo ya kufanyika maboresho
@muhsinsasamalo987
@muhsinsasamalo987 Жыл бұрын
​@@jescakahabi10Kuna mengi huyajui dadangu. The hammer doesn't remember the pain, but the nail will always remember
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
Umeuliza kwa nini wakatoliki? Jibu ni wakatoliki ni waanzilishi wa elimu duniani, mfumo wa shule umeanzishwa na wakatoliki. Ni wasomi, kuwa padri mpaka uwe na degree, je shehe? TEC wamesema "sauti ya watu sio wewe umewakoti vibaya umesema sauti ya wengi. Usishindane na ukristo ndio dini ya kwanza hapa duniani. Uislam umekuja baada ya miaka 600 baada ya ukristo. Unaposema Uislam unapenda wakristo sio kweli soma quran 9: 5 kill disbelievers.
@markojames7855
@markojames7855 Жыл бұрын
Tatizo ni waraka au tatizo ni mkataba na kama katiliki wamesema mkataba ni mbovu kwani matatizo yatakayo tokana na mkataba watayashiriki wakatoliki tu au tutayashiriki wote bira kujari imani zetu shule ni mhimu vinginevyo tende sana nyma ya ngamia sana duh bandari uislam ukatoliki udini tunakuwa kama senene kwenye kibuyu badala ya kujadiri tukitoboe kibuyu tutoke tunakulana sisi kwa sisi sijui mashehe wanaufahamu gani au wanataka uteuzi
@mawiluomari3975
@mawiluomari3975 Жыл бұрын
Tuko pamoja waislamu tuamke tushikamane ndivyo dini inavyotutaka هؤلاء يحبونهم ولا يحبونكم..... Hii ni Qur'ani inatuongoza hivi tukowapi sisi na kitabu chetu فالنجعل القرءان أمامنا لنهتدي به ولا نجعله في ظهورنا Tuijaalie Qur'ani mbele yetu ili tuongoke tuone tunapotakiwa kuhitajika kua Na tusiieke nyuma ya migongo yetu. Tutapotea
@CharlesLeoMgaya
@CharlesLeoMgaya Жыл бұрын
Mshikamane kuwasaport wanasiasa kuhusu uchafu wa mkataba au kusema ukweli juu ya udhaifu wa mkataba???
@RamadhanMwijage-ul2kj
@RamadhanMwijage-ul2kj Жыл бұрын
Shekh ongelea mkataba unasemaje?umeusoma na kujua mapungufu yaliyomo?
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@CharlesLeoMgayakupinga udini
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
​@@RamadhanMwijage-ul2kjsio kazi yake
@faridamapogolo2892
@faridamapogolo2892 Жыл бұрын
Kiukweli Mimi ni muislaam lakini hili lakuitetea mikataba mibovu sijasapoti shekh wangu,sioni sababu yanyinyi viongozi wetu wadini mrumbane hapa kunakitu,, ebu tuweke udini pembeni tuliangalie hili la bandari kwanza,,
@shersaid7988
@shersaid7988 Жыл бұрын
Shekhe umeongea maneno ya maana.Shukran.
@user-hp1im5ek4r
@user-hp1im5ek4r Жыл бұрын
W hujitambuli wengine wanapigania inchi nyie mnaleta udini au kwa vile anayepingwa ni mwarabu huwezi binafisha bandali za ziwani na inchi kavu nyie marofa wakubwa
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Жыл бұрын
Mimi ninacho Amin waisilam pia Kuna Wana Sheria waiteni wapeni mkataba huo wakupeni udadavuzi utagundua mkataba una ukakasi tatizo siyo nani anapewa mkataba tatizo anapewa mkataba Kwa mda gani Kwann mKataba mkataba uzuie uendelezaji wa bandari zingine kwahiyo tusifany maboresho Sehem nyingine mpaka wao waseme kwani wao ni nani hapa kwetu.lkn wanatakaje Sheria zetu zisitumike tutumie Sheria za Waingereza Kwan hapa ni Uingereza au Tanzania. Khehe ondoa udin kwenye maswala ya uchumi wa nchi.
@Kan332
@Kan332 Жыл бұрын
Ilibidi tutake ukakasi utolewe sio usitishwe.
@abuuyaasiriibrahimkyone.2911
@abuuyaasiriibrahimkyone.2911 Жыл бұрын
Jinga kweli wewe jamaa yangu, hilo kanisa halijaingilia maswala ya kiuchumi hapo?.
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
Wakristo wanaudini
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Жыл бұрын
@@abuuyaasiriibrahimkyone.2911 ndg yangu matusi ni Sehem ya ibada Yako kweli au umetenda dhambi
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 Жыл бұрын
Unaweza kututajia hicho kifungu kinachozuia bandari zingine kutokuendelezwa?
@user-bh8oq5ez2c
@user-bh8oq5ez2c Жыл бұрын
Mimi nashindwa kuelewa mbona ujinga wambie wafanye unachotaka. Mungu wangu huu sasa ujinga ukisikia haya maneno utajua kilichoko miyoni mwao. Sijaona popote palipo andikwa juu ya dini kwenye tamko. Sema unacho taka maana hapa hakuna bandari Bali ni machungu ya kutokuwa na elimu.
@hamisiramadhani3538
@hamisiramadhani3538 Жыл бұрын
Allah akuongoze sheikh mziwanda
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Watoleeni wakala miskitini watu au hamna elimu.kama tunavyo ambiwa
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Shekh huku mtaani kwa sasa tumegubikwa na wimbi la bandari. Kutaka kufafanuliwa zaidi ili kujua tunanufaika vp na mkataba huo na ukomo wa mkataba huo. Tena ni vyema ungekua na mkataba huo utuchambulie. Viongozi wa dini wa kiisalamu toeni walaka inapobidi kuhusiana na hili ili tujue umelizika na hili la bandari au laah. Maslahi ya taifa kwanza. Dini ni njia tu yenye muongozo kutokana na matakwa ya mungu kwa imani zetu. Please musituletee kutaka kutugawa kupitiaudini ktk hili. Tuambieni misimamo yenu ktk shwala la bandari.
@dickaugustino8238
@dickaugustino8238 Жыл бұрын
Very good ideas, udini tupakule ,wasome MIKATABA 36 yote iliosainiwa baada tu ya JPM kufa,majizi sio poa
@jerome3143
@jerome3143 Жыл бұрын
Pambaneni akuna neno udini hapo kaeni mtoe waraka na ninyi watu wausome
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Msitupangie
@ignatusjoseph4216
@ignatusjoseph4216 Жыл бұрын
Kwani ukitaka kujenga nyumba itakulazimu umjulishe aliyekuhuzia kiwanja na mkataba unaeleza ukitaka kuendeleza bandari mpaka uwajulishe wao hii sisawa
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3,1 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
EXCLUSIVE: AMANI KARUME ATEMA CHECHE, AFUNGUKA SAKATA LA BANDARI
25:11
Daily News Digital
Рет қаралды 62 М.
HASHIM IBWE KUMBE YUKO  VIZURI KWENYE QURAN SIO MPIRA TU
13:12
BABDEO MILADU
Рет қаралды 6 М.
KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024
29:36
Abu Shuraim
Рет қаралды 45 М.
UFUNDI WA SHEIKH MZIWANDA AKIIELEZEA BID'AA - SHEKH MZIWANDA
19:41
SHEKH MZIWANDA ONLINE TV
Рет қаралды 3 М.
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН