No video

SHEIKH NASSOR BACHU - Madhara ya Zinaa

  Рет қаралды 6,125

Muslimu Tv

Muslimu Tv

4 жыл бұрын

Sheikh Nasoro Bachu
Allah (s.w) amrehemu atakumbukwa ni miongoni mwa masheikh aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye kueneza mawaidha ya dini ya Kiislamu visiwani Zanzibar na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki, akihubiri tapo jipya la dini hiyo lililofahamika kama Ahlu Sunna, akiwa na lengo la kurudisha mfumo wa maisha ya Kiislamu kama ulivyoasisiwa na kiongozi wake, Mtume Muhammad (S.A.W), na pia kuupa Uislamu sura ya kimataifa.
#SHEIKHNASSORBACHUMadharayaZinaa #mawaidhazinaa #sheikhnassorbachu #madharayazinaa

Пікірлер: 4
@samirsaid762
@samirsaid762 2 жыл бұрын
Allah amueke pema peponi shekhe wetu nassor abdallaah Bachu
@alwatanimjelledi2222
@alwatanimjelledi2222 2 жыл бұрын
Subhaana llahi wabihamdih Subhaana llahil adhwiim!!
@Katuni862
@Katuni862 2 жыл бұрын
Allahu akbar
@salimsaid3717
@salimsaid3717 Жыл бұрын
Allah amrehem sheikh wangu kipenzi sauti yake imenifanya nishindwe kusikiliza mawaidha ya masheikh wengine nimekua affected na sauti yake natamani mawaidha yote nisikilize kwa sauti yake
Ubaya wa Zinaa  - Sheikh Nassor Bachu
1:14:20
Islamic Kindness
Рет қаралды 16 М.
NASSOR BACHU   MADHARA YA ZINAA
52:32
rashidu24
Рет қаралды 114 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 43 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
UISLAMU HAUKUSIMAMA KWA UPANGA 2/2 - SHEIKH NASSOR BACHU
50:05
MUZDALIFAH
Рет қаралды 72 М.
AINA ZA MAJINI NA KAZI ZAO || BAYANA YA KHUTBAH YA IJUMAA || 12/8/2022
44:57
Ust Abuumuhammad Said
Рет қаралды 9 М.
HASSAN NYUNDO   MADHARA YA ZINAA 1
59:53
ALSHAFA
Рет қаралды 7 М.
Mawaidha mazito sana || Sheikh Nassor Bachu
29:43
Jiongezee Maarifa
Рет қаралды 41 М.
ZINAA NI MOJA YA DALILI ZA KIYAMA | SHK SLEIMAN BIN ABBAS
20:54
Majawabu muhimu kuhusu kuangalia nyota|Ramli|Muhammad Bachu
11:24
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 9 М.
Madhara ya Zinaa kisayansi
19:04
M BACHU'S FATAAWA
Рет қаралды 1,6 М.