Ya Allah tujalie imani katika nyoyo zetu kama waliotutangulia angalawoo tupate nusu ili tunusulike na Adhabu zako ya Allah tusamehe waja wako Sisi na vizazi vyetu ya Allah wewe nimenye kurehem mola wangu Allah Akbar
@asiaabdulkhalaq5882 күн бұрын
😊 7:25
@aminaabood28983 ай бұрын
Mashallah Allah akuhifadh masheikh wetu woie kwa kutupa darsa.. Asante
@zuhoor-mc7hq2 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra nimesikiliz kisa mpk mwisho... Yaa rabbi tufishe tukiwa waislam tukakutane peponi pmj na Mtume wetu Muhamadu na swahaba zake wote amiin mola akubariki shekh Othman uhibukii fiy llah kathiyra... mawaidh yenye mazingatio ahsante Sana.. nimejifunza meng alhamndulillah mola atujaalie tuwe wenye kuyafanyia kazi amiin yaarabbali ghalamiina
@user-id1wh8lz5j5 ай бұрын
Masha Allah Allah tupe nasie uwelewa Kama ulivyo wapa mashekhe elimu nasi tuweze kuelimisha kwani roho inaniuma sijui kitu Allah nifungue Mami unipe Mambo mazuri
@allanshira759027 күн бұрын
Allah akbar mungu atujaalie mwisho uliokuwa mwema na tukiwa waislaam inshaallah na awaweke meshekh wetu ili waendelee kutupa darsa ameen 🙏
@waynejohn22394 ай бұрын
❤❤❤ Allah ukupe mwisho mwema all so Muslim
@user-jb2hw5zz6l2 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu❤❤❤❤❤
@noormohamudshegu35396 ай бұрын
Mashallaah jazakhallaah kheri
@IbrahDone072 ай бұрын
Mungu akupe mwisho mwema ostadh
@antarsangali44566 ай бұрын
Nakupa mkono wa hongera sheikh Uthman Maalim
@user-lz9mi1ut7q3 ай бұрын
Allah akubaarik kwa nahasa Zako Sheikh wetu mpendwa❤
@fardoshnassor78476 ай бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@user-wj6ii6wx1i6 ай бұрын
Ewe Mola wetu iwokowe dini yako na waliyo ku amini wote waghufiriye !
@salsashmomy2 ай бұрын
Aminñ
@rachidissa-pf7fn6 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema amiina
@ZainabAbdullah-bc6pu4 ай бұрын
Amiina 🤲
@shaanin5mancom5656 ай бұрын
Upanga in lazima ustaz
@rebeccakengele7292Ай бұрын
Hongera shekhe
@user-sn4zr9ip9qАй бұрын
Allaah atujaalie iwe miongin mwa kushikamana na dini ytu
@zaynabmustwapha35506 ай бұрын
Jazzaka llah khair
@MoodyBundo2 ай бұрын
MashaAllah
@jimjam-xg7rv7 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 🇰🇪 💚💚💚
@zvpOnlineTv7 ай бұрын
Mashaallah
@user-bv7vr7qj1f5 ай бұрын
Mungu muweke shekhar wetu taupe dawa
@kabotakabota7 ай бұрын
Maaashaallah
@FabianTebekaАй бұрын
Ya Kareem tujalie wajawako na kauli nzuri na matendo mazuri katika hii dunia utunusuru na Moto wa jahanamu na utujalie katika Pepo ya Firdausi
@mmadimohamed54415 ай бұрын
Allah akbar Maah challah ❤❤❤
@Izonecommunity5 ай бұрын
Allahu Aqbar
@zahraadan54464 ай бұрын
hongera kuwako ustad😍🥰💯
@shadhilmakame4 ай бұрын
Maashallah
@fatumahamisi16042 ай бұрын
Ya Allah tujalie kheri zako tutakase nyoyo zetu tuwe miongoni mwa wenyewe kusameewa madhambi yetu yarabil alamin
Ndio maana tanganyika imeidhoofisha zanzibar 😢kiuchumi
@janvierkabeza67842 ай бұрын
🎉
@mwamba-4 ай бұрын
01:59:12 MTU MWENYE KUMLIPIA NDUGU YAKE DENI... MTU MWENYE KUMFATILIA SHIDA ZAKE NDUGU YAKE NI BORA KULIKO ITKAF MIAKA 10 NDANI YA MSIKITI WA MTUME SAW
@ashrafkhamis10514 ай бұрын
l jee wajua fadhla za kuketi itikaf ndani ya msikiti wa Masjidi nnabawi?
@mwamba-3 ай бұрын
@@ashrafkhamis1051 NAOMBA NIFAHAMISHE NDUGU
@OmarMustafa-tn7to5 ай бұрын
Ewe mwenyezimung tujalie sisi wajaa wako
@user-cy8eh1rq1c6 ай бұрын
Good teachings but so much one ended bollocks..demeaning other religions doesn't give islam any authority or supremacy in humanity.
@moxasaidi33986 ай бұрын
Reality 😂😊
@alihaidary41437 ай бұрын
Mbona umetoka kwenye mada yako kusu vita va badiri
@motiveperson1437 ай бұрын
Kuwa subra 😊
@nuhukenny71836 ай бұрын
Hayakuhusu, Sheikh ndiye mwenye anajuwa ginsi iko anatufundisha.
@LumolaSteven6 ай бұрын
Sheik Othman Ma'alim ni katika MaSheikh wazuri sana tatizo lake kubwa ndio hilo kama ataongea masaa matatu basi mawili yote atakuwa nje ya mada akiongea nusu saa dakika 20 atakuwa nje ya mada na yasiyohusiana na mada huyaelezea zaidi na akirudi kwenye mada huelezea juu juu sana. Mara chache huwa ana-stiki kwenye mada isipokuwa mara nyingi hutoka kabisa kwenye mada. Allah kamjaalia kujua vitu vingi sana Maa shaa Allah lakini mtihani wake ndio huo hawezagi kabisa ku-concentrate kwenye mada japo anasimulia visa vyenye faida tunashukuru japo kwa hilo ila tu ni ngumu sana umsikilize huyu Sheikh halafu upate faida ya mada uliyokusudia direct haiwezekani.