Sheikh Ponda uso kwa uso na Tume ya Haki Jinai kutoa Mapendekezo

  Рет қаралды 1,558

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Katika hatua nyingine, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda Issa, alisema jumuiya imependekeza ikitokea mtu amemuua mwenzake basi adhabu yake iwe kifo na si vinginevyo.
Sheikh Ponda alisema alisema mahakama za Tanzania zimehukumu watu walioua lakini Rais asaini ili hukumu hizo zitekelezwe. Hata hivyo, katika mapendekezo yao Ponda ametaka wahusika wamshauri Rais ili adhabu hizo zitekelezwe.

Пікірлер: 7
@Msemakweli2024
@Msemakweli2024 Жыл бұрын
Mmm dini hizi.. ? Je nafasi za wazazi ziko wapi katika kuamua kuozesha watoto wao? Au ndio mambo ya kuolewa na bikira? Kazi mnayo!!!????!
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Kwaio dini na wazazi kipi muhim? Na kuolewa na bikira sindo usahihi au unataka watomolewe kwanza ?
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 Жыл бұрын
We mzee hamia Afghanistan,
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
anza wewe
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
hatahamia huko ni mtanzania ana haki kama mtanzania mwengine na ni sauti ya watanzania ni mtu mwenye umuhimu sana
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 Жыл бұрын
Ana haki ya kutoa maoni sawa, ila sio unatoa maoni ya karne ya 6 kwenye karne ya 21.
@JafariAbdallah-ot9gp
@JafariAbdallah-ot9gp 9 ай бұрын
Muache Mzee wetu we endelea na Karne yenu ya uchoko za kubariki ndoa za jinsia Moja kanisani na ndoa za uzeeni
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 21 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 17 МЛН
Democracy at Work: Curing Capitalism | Richard Wolff | Talks at Google
1:25:34
Talks at Google
Рет қаралды 3,2 МЛН
Rais Magufuli atema cheche sakata la sukari ya viwandani
12:03
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 264 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН