SHEKH BACHU USITAFSIRI UTAKAVO

  Рет қаралды 29,680

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

27 күн бұрын

Пікірлер: 348
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 23 күн бұрын
MashAllah sheikh Izudin ni mtu wa mana kabisa mwenyezi MUNGU akujalie afya njema na maisha marefu Amiin🤲🤲🤲🤲
@MistersalohSaid
@MistersalohSaid 26 күн бұрын
Masha Allah ustadh wangu Allah akujaze kher inn Sha Allah 🤲
@suuahmed71
@suuahmed71 26 күн бұрын
In shaa ALLAH na Arafa yetu ni tarehe 9 of Dhulhijja which is on Sunday. MUNGU atufikishe kwa salama atutaqabalie funga zetu. Amin
@ummusalim1991
@ummusalim1991 26 күн бұрын
Amiiiin Yaa Rabbbb
@user-vq2du7dv7r
@user-vq2du7dv7r 26 күн бұрын
AAMIN
@mohagurey2214
@mohagurey2214 25 күн бұрын
Hebu jisikiza eti arafa yetu? Kuna kuna arafa gani huku ? Akili umepeleka wapi brother
@abiabi9353
@abiabi9353 25 күн бұрын
​@@mohagurey2214wewe wahabi mwehu hata ukielezwa huelewi. Hapa hatuzungumzi arafa mahali.arafa mahali inawahusu mahujaji tu.hapa tynazungumza arafa siku
@mohagurey2214
@mohagurey2214 25 күн бұрын
@@abiabi9353 wewe shia unajiingiza story haikuhusu, ama unajipendekeza masufi ndugu zenu
@ismagatarama1285
@ismagatarama1285 26 күн бұрын
Aslm alkum walahamatullah wabarakatuh ya sheikh yahi ayo mabo yahitaji hakili yakuzaliwa sio kwenda shule allah akulipe mema kukutuelewesha
@ibraa1157
@ibraa1157 17 күн бұрын
Maneno yalijawa hekma Shukran sheikh Ikiwa n wa kuelewa ataelewa Sio kukimbilia kwenye mitandao na kujifanya yuajua na kumbe ni kina haulai
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 26 күн бұрын
Mohammed Bacho kwa sisi Wazanzibari tunamfahamu vizuri ni kijana ambae hajasoma na wala hakutaka kusoma na wala hataki kusoma.
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 26 күн бұрын
Sema kwa mimi mzanzibar sio sisi wazanzibar jisemee nafsi yako usiwasemee watu wengine
@habibmayike7463
@habibmayike7463 26 күн бұрын
@@suleimanahmadaali5989ww tu na mazuzu wenzako munamkubali bachu
@abiabi9353
@abiabi9353 25 күн бұрын
​@@suleimanahmadaali5989majority ya wazanzibar wanajua bachu hamna kitu
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 25 күн бұрын
hahahahaaa
@salumsimai642
@salumsimai642 25 күн бұрын
Usijitukuze nafsi yako Allah ndie anemjua mbora msidhhfishane nyny kwa nyny mbona Kila mtu amuona mwenziwe hajui na kujiona yy ndo mjuzi hiii ni sifa ya shetani
@yussufmwinyi4604
@yussufmwinyi4604 25 күн бұрын
Maasha'Allah Shekhe wetu, tunakuenzi. Ila tambua huyo kijana hana elimu, usijishushe daraja yake.
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 25 күн бұрын
SHEIKH IZUDIN USIPOTEZEE WAKATI WAKO KWA KUMUOMBA BACHU MUFANYE MUNAQASHA UTAJISHUKISHA HADHII YAKO WAACHIYE HIYO KAZI WANAFUNZI WA USTADH SAID WAMPE DOSI NYENGINE
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 20 күн бұрын
Bachu hanna kitu kwanza kusoma haku soma yule achanani nae anataka views ktk chanal yake ndio maana kafukuzwa zanzibar yupo kwa mashoga zake tanga na Mombasa kenya
@waladulikhlaas7870
@waladulikhlaas7870 26 күн бұрын
Sayyid izzu ddiin huyo kijana tuachie sisi tutamueka sawa tu....wala ww usijipe tabu sheikh wetu...huyo ni mtoto sana kwako
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 25 күн бұрын
Assalamu Aalykum Waramatullahi Wabarakatu. Alhamdulillah MashaAllaha MashaAllaha Sheikh wetu Izzudin Ahmad Alawy Mwenye Ezi Mungu akuzidishie ufafanuzi uko waziwazi na wakufahamika kirahisi kabisa na kama mtu hajafahamu huyo ana gonjwa la akili yatakiwa akaangaliwe upungufu wa akili. Bachu waitwa na Sheikh Izzudin akufundishe namna ya kusoma Ibara na kutafsiri na uvae kibinda usije ukakojoa kama kule kwenye mjadala na Ustadh Said Omar Ashirazy
@abdallahshariff2983
@abdallahshariff2983 26 күн бұрын
Hakika,umeeleza haya maswali kwa upana na uzuri.
@zulfaabdulrahman
@zulfaabdulrahman 26 күн бұрын
Allah... Allah... mungu akuweke nlkuwa live jana nlkupata loud n clear...
@ibrahimkhamis-jk8qf
@ibrahimkhamis-jk8qf 25 күн бұрын
Hawa ndo masheikh wa kutegemewa Sio porojo tu...Allah akuhifadhi
@alisalum8908
@alisalum8908 10 күн бұрын
Mohammad Bachu Unauporomosha Uwahabi tokeahapo hauna mashiko
@hamzahamu6011
@hamzahamu6011 26 күн бұрын
Masha Allah Sheikh izzudin alwy ❤
@ashrafkhamis1051
@ashrafkhamis1051 24 күн бұрын
Kweli hakika sayyid izu din somo la Fiqihi c mchezo la msingi zaidi ni azifahamu kufasiri ibara katika ya somo la fiqihi
@abdullali1789
@abdullali1789 25 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu,afya Bora,hikma na busara.(Ameen).
@MahmoudMwacharo
@MahmoudMwacharo 26 күн бұрын
Alhamdulillah..shukran jazeelah sheikh
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 26 күн бұрын
Mawahabbi walidhani hatunavyo Vitabu vya mashekhe wao na hatuvijuwi kumbe tunavyooo na tunavifahamu zaidi kuliko wao maaana wao hawasomeshwi bali wavisoma wenyewe tuu
@samxx411
@samxx411 26 күн бұрын
Msianze fitna kwa jambo dogo waislam, tusigombane wala kutofautiana kwa tofauti ndogo, sote ni wamoja japo mimi na wewe tuna msimamo mmoja
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 25 күн бұрын
@@samxx411sasa ya nini Bach adanganye
@Ustnaaman001
@Ustnaaman001 24 күн бұрын
Hahah kwelii
@abubakarswaleh5667
@abubakarswaleh5667 25 күн бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh Izzudin kwa elimu hii. Allah akujaze kheri nyingi
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 24 күн бұрын
shekh wangu wasikuumize kichwa hao mawahabi
@kahiyemohammed8556
@kahiyemohammed8556 25 күн бұрын
Hawa masufi watapotesa umma sana izzu diin gopa mwenyezi mungu, diini sio fikra pali nikufuata sheria...
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 25 күн бұрын
kahiyemohammed8556 mwambie huyo mwalimu wako bichwa koko asojua kusoma Ibara vizuri na kutafsiri kama kweli ya wezekana mwezi uwe wa kimataifa na Swala nayo kwa nini isiwe ya kimataifa na Swala ndio nguzo kubwa ktk Ibada zote tiyeni akili
@abdab8466
@abdab8466 23 күн бұрын
​@@abubakaromar6101wanashanganza Sana hawa,ustadhan anampa refence kila Aina na ushahidi mbali na hapo wanamkejeli
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 23 күн бұрын
​@@abubakaromar6101 sasa ndio unaongea nini? Hivi kuna miezi mingapi duniani? Mwezi ni mmoja tu ukitokea China sisi tunafuata sio huo upuuz wenu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 23 күн бұрын
@@mikekhalifaali7510 mwezi ni mmoja lkni haukai sehemu moja na kama mwezi ni mmoja wataka pale popote ukionekana watu wafwate na Swala nayo ni nguzo kubwa ktk Ibada zote kwa nini tusiswali time moja? Alafu hapa usidanganye watu eti ukionekana China mutafwata toka lini Saudia wakafwata mwezi wa Inchi nyengine hata si mbali miaka mi nne tu iliyopita hapa Oman waliona mbele ya Saudia na Saudia wakakata kufwata na ni Inchi jirani itakuwa China Iko mwisho wa ulimwengu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 23 күн бұрын
@@mikekhalifaali7510 nyinyi taabu yenu hamutaki kupiga goti kusoma mwataka ushabiki mukiona shekhe ana hamasa mwaona huyo ndio shekhe, hata hao maulamaa Saudia pia hawataki inchi nyengine ziwafwate nyinyi munalazimisha. Alafu nyinyi haya mas'ala ya mwezi mwafwatilia kwa kuangalia kwa kuingia Ramadani na Eidi mbili, mwezi unaangaliwa kwa mambo mengi moja wapo Mke alofiwa na Mumewe lile EDA lake ataanza kwa kuangalia Saudia au pale inchi yuko alipofiwa na Mumewe. Kapige goti kwa mwalimu akusomeshe sio kusikiliza mashekhe wa hamasa mitandaoni
@AbdulkadirAbdulrais
@AbdulkadirAbdulrais 20 күн бұрын
MashaaAllah❤❤❤❤
@ashrafkhamis1051
@ashrafkhamis1051 24 күн бұрын
Thanks sheikh izu din
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 22 күн бұрын
Elmu yangu ni ndogo Sana lakini nimegundua bachu nimurongo Sana
@swalehmohamedwaziri7499
@swalehmohamedwaziri7499 26 күн бұрын
Dini lazima uwe na inswaf sio unatumia ujanja kusudi lake liwe Elmu ni amana si unafanya utakavo kama nyamaza au sema sijui
@ummusalim1991
@ummusalim1991 26 күн бұрын
Amiiiin Yaa Rabbbb Alaamiiin 🤲
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 26 күн бұрын
Haha Bachu khabari hiyo Munaqasha Izzadeen akutaka muchambuwe kifiqh
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 25 күн бұрын
Hamuwezi Izuddin hata kidogo
@user-vq2du7dv7r
@user-vq2du7dv7r 26 күн бұрын
❤MIMI NINAKUKUBALI SANA SHEKH WANGU
@giltaemi4017
@giltaemi4017 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@binaamour318
@binaamour318 25 күн бұрын
Mmi nilisema bacho na ustadh said cio size yke aache Mambo kuparamia mashekh k umri k elimu !
@waleedahmed6530
@waleedahmed6530 26 күн бұрын
Shukran ustadh naomba uniangalilie kuhusu kuomba maiti na maulidi katika kitabu hicho hicho cha sheikh utheymen...utanijibu inshaAllah
@taurehassan7399
@taurehassan7399 26 күн бұрын
Kwn alojuzisha kuomba maiti ni Nan?na kuhusu maulid sheikh wko kakubali
@waleedahmed6530
@waleedahmed6530 26 күн бұрын
@@taurehassan7399 taratibu sheikh ni swali nimeuliza na nimemuuliza sheikh izzudeen sasa sioni dharura ya kunijibu wewe ambaye sie izudin
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 26 күн бұрын
Nawe Haupo MOLA Akurahamu.
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 25 күн бұрын
Ime kuchoma 😆
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 25 күн бұрын
Unaumia ukiwa wapi Akhy? 😜😜
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj 26 күн бұрын
Huu bachu ataka apate supu kolekole kwanza ndio aje tumfundishe nahau na swarfa
@MuhammadMuhammad-gr2qv
@MuhammadMuhammad-gr2qv 26 күн бұрын
KAMA NI MAMBO YAKUFUNGUA KWA TIME MOJA HATA KENYA PIA HATUFUNGUI KWA TIME MOJA. WALIOKO NAIROBI NA PANDE ZA BARA HAWAFUNGUI TIME MOJA NA MOMBASA. HATA LAMU PIA HAWAFUNGUI TIME MOJA NA MOMBASA SIO SAUDIA TU. USTADH POLE POLE ...
@abiabi9353
@abiabi9353 25 күн бұрын
Kwahiyo hoja yako nini
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 25 күн бұрын
​@@abiabi9353Hoja ni kuwa mombasa wasifunge kwa mwezi wa lamu na Nairobi wasifunge kwa mwezi wa mombasa
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 25 күн бұрын
😂😂😂 hoja yake mimi naona ameuliza swali kisha akajijibu mwenyewe 😂😂😂
@MuhammadMuhammad-gr2qv
@MuhammadMuhammad-gr2qv 25 күн бұрын
@@abubakaromar6101 ustadhi anaposema hatufai kufuta MAKAH sababu time ya kufungua pia HATUFUNGUI time moja na wao ... Jiulize hapa Kenya watu wafungua time moja? Na mbona MWEZi unapoonekana LAMU hamuwaambii watu WA Nairobi wasifunge sababu wao kule hawajuona na time zao zakufungua NI TOFAUTI na za lamu... Mijitu ya matwari AKILI ZENU zipo kwenye Ngoma Tu hiyo ndio shida yenu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 25 күн бұрын
Mwenyezi Mungu atuongoze maana kila Arafa lazma tupishane misimamo
@Ustnaaman001
@Ustnaaman001 24 күн бұрын
Alhamdulillah mashekhe zetu wamesoma hawabambanyi ila sasa tuje kwao mawahabi wengi wao hawana lolote madebe matupuuuu ust izzzu Deen Asante sana tusichoke kumfundisha uyu kinyago amekuja kuchafua mazingira Kisha ndio ujue wengi wao wooote wajinga mawahabi wenzake hawamwambii wanamwangalia tu shekhe Lao shekhe la mapite😂😂
@jeulihb8532
@jeulihb8532 26 күн бұрын
Jazaka allah Kher ❤❤
@AshishaNNS
@AshishaNNS 25 күн бұрын
Huyu bacho ataka kutoa watu kwenye twaa ya Allah angeachwa tuu, tuko katika miezi mitukufu angepuuziwa ingekua bora. Ama ajibiwe hii miezi mitikufu ikiisha.
@isaack100
@isaack100 24 күн бұрын
Kama amemkimbia ustadh said ambayo ni mwanafunzi,atawezana hapa?
@Ustnaaman001
@Ustnaaman001 24 күн бұрын
Assalam alaykum afundishwe maskini bachu mjinga hajui lolote zuuuuuzu wallai hajui kweli kabsaa sio eti ujanja yaani hajuuuuii ni zuuuuuuzu bumbumbum wallai pite na hataki kwenda kusoma sasa
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 25 күн бұрын
Amen amen 🕋🤲🤲 💙💙💙
@eshasaid3258
@eshasaid3258 19 күн бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤amini❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@QuranShortDawah_Global
@QuranShortDawah_Global 26 күн бұрын
May Allah make ease for us reach yawm Arafah... 🤲🤲🤲
@abzzfontalbo4952
@abzzfontalbo4952 26 күн бұрын
Allahu aalam ana la adhri
@fakifaki1760
@fakifaki1760 25 күн бұрын
Pole sana sheh
@SafiaHaji-fo3sl
@SafiaHaji-fo3sl 21 күн бұрын
nyny mashekhe msiwe kama wanawake kaz yenu kupeana mipasho
@anwarsaddat4063
@anwarsaddat4063 26 күн бұрын
Nairobi ❤Nairobi ❤inshaAllah monday al huda south B
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 26 күн бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚💚💚
@ismailabdalla7953
@ismailabdalla7953 25 күн бұрын
Kwani wewe utamweza mohamed bachu?
@Ustnaaman001
@Ustnaaman001 24 күн бұрын
Usimwite Mohammad bachu uyo ni shekhe la mazùzu
@adamhashim3352
@adamhashim3352 20 күн бұрын
Kijasho kilimtoka kiti kikalowa kwa said😅
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 25 күн бұрын
قـال الشيخ سليمان بن عبدالله رحمه الله : " وقد بين النبي صلى الله عليه و سلم بقوله : " وحده لا شريك له " تنبيهآ على أن الإنسان قد يقولها و هو مشرك ، كاليهود و المنافقين و عباد القبور ، فإنهم لما رأوا أن النبي قد دعا قومه إلى قول " لا اله إلا الله " ظنوا أنما دعاهم إلى النطق بها فقط . وهذا جهل عظيم . وهو إنما دعاهم إليها ليقولوها ويعملوا بمعناها ويتركوا عبادة غير الله . ولهذا قالوا : ﴿ أئنا لتاركوا آلهتنا لشاعر مجنون ﴾ [الصافات: 36] وقالوا : ﴿وأجعل الآلهة إلها واحدا ﴾ [ص: ٥]. فلهذا أبوا عن النطق بها. وإلا فلو قالوها وبقوا على عبادة اللات والعزى ومناة لم يكونوا مسلمين ، و لقاتلهم حتى يخلعوا الأنداد و يتركوا عبادتها ويعبدوا الله وحده لا شريك له ، وهذا أمر معلوم بالاضطرار من الكتاب والسنة والإجماع ." اهـ. - [ تيسير العـزيـز الـحميد شرح كتاب التوحيد ص ٥٦ ] و قال أيضا : " قوله " من شهد أن لا اله إلا الله " أي : من تكلم بهذه الكلمة عارفاً لمعناها عاملاً بمقتضاها باطناً و ظاهراً ، كما دل عليه قوله :﴿ فاعلم أنه لا اله إلا الله ﴾ [محمد: ١٩]. و قوله : ﴿ إلا من شهد بالحق وهم يعلمون ﴾ [الزخرف: ٨٦] . أما النطق بها من غير معرفة لمعناها ولا عمل بمقتضاها ، فإن ذلك غير نافع بالإجماع . وفي الحديث ما يدل على ذلك وهو قـوله : "من شهد "إذ كيف يشهد وهو لا يعلم، ومجرد النطق بشيء لا يسمى شهادة به." - [ تيسير العـزيـز الـحميد شرح كتاب التوحيد ٥١ ] وقال أيضا : " و لا ريب أنه لو قالها أحد من المشركين و نطق أيضاً بشهادة أن محمداً رسول الله ، و لم يعرف معنى الإله و معنى الرسول وصلى وصام وحج ولا يدري ما ذلك إلا أنه رأى الناس يفعلونه ، فتابعهم ، ولم يفعل شيئاً من الشرك فإنه لا يشك أحد من عدم إسلامه ، وقد أفتى بذلك فقهاء المغرب كلهم في أول القرن الحادي عشر، أو قبله في شخص كان كذلك كما ذكره صاحب " الدر الثمين في شرح المرشد المعين " من المالكية ، ثم قال شارحه : و هذا الذي أفتوا به جلي في غاية الجلاء لا يمكن أن يختلف فيه اثنان . انتهى - [ تيسير العـزيـز الـحميد شرح كتاب التوحيد ص ٥٨ ] .
@RukaiyaKhamis-ig2ud
@RukaiyaKhamis-ig2ud 24 күн бұрын
MashaAllah sheikh Izudin ukifa huwozi
@user-du2fy5sd5u
@user-du2fy5sd5u 25 күн бұрын
Shukran jazzilla
@user-tc9mf9om2b
@user-tc9mf9om2b 25 күн бұрын
Shekh mwezi ni MOJA dunia ni moja arafu MBONA muda sawa saudia na Africa mashariki
@abiabi9353
@abiabi9353 25 күн бұрын
Kama ni hivyo mbona hatuanzi kufunga na kufuturu mda sawa na saudi Arabia
@OmariMangale
@OmariMangale 25 күн бұрын
Mungu alimwambia mtume watakuuliza kuhusu (miezi) hivyo mungu ajui kua mwezi ni mmoja?.....usijisemee tu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 25 күн бұрын
user-tc9mf9om2b nakuuliza kama muda ni sawa na Swala nayo kwa nini isiwe ya kimataifa kuswaliwe muda mmoja? Tafakari
@spycley6127
@spycley6127 24 күн бұрын
Na kwanini mwezi ukiliwa saudia wao wanasali but africa mashariki hawaswali na mwezi unakua upo kawaida? Tafakari.
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 23 күн бұрын
​@@abiabi9353sasa katika kufunga na nyakati za swala kunaangaliwa jua au mwezi? Hebu tumia akili bana, utajuaje kwamba ni Fajr, au Dhuhur au wakti mwingine unazingatia jua sio mwezi
@suuahmed71
@suuahmed71 26 күн бұрын
Iko Idi ya 28 ya Mr Chief Kadhi. Si mara hii ameiruka tarehe 29 akafuata Suudia mawahabi wakawa tarehe 1 Dhulhijja. So tarehe 29 imekula kwetu
@ummusalim1991
@ummusalim1991 26 күн бұрын
😂
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 25 күн бұрын
Na hii ni Sheria Gani alotumia chief kadhi ya kuruka tarekh 29dhulqaada hadi tarehe 1 dhulhijja na mtume s.a.w. amesema mwezi ni hivivna hivi yaani ni 29 au 30 imepokewa hadithi na bukhari na Muslim riwaya ya ibnu Umar r.a. Sasa chief kadhi vimekuwaje Tena Sasa tushike ya mtume s.a.w. ama tushike yako jamanini huu ni upotoshaji ulio dhahir Wallahu aalam wabillahi taufiq
@sharifsayyidalmahdal
@sharifsayyidalmahdal 20 күн бұрын
Ashabul twaruqa wakijitetea msipoteze watu ,
@user-uy8en4fj6r
@user-uy8en4fj6r 20 күн бұрын
Shekhe izudin wewe ni m2 mkubwa achana na huyo kijana mkorofy akizungumza hazipaty maneno anayakoroga 2 yarabbi sitara
@khamisqassim5332
@khamisqassim5332 23 күн бұрын
Asalam Aleykum Warahmatullah hbib, Mm nko Bahrain na adhan hku ya swalatul fajr ni saa tisa na dkika kumi na saba asbuhi hao wnaofata saudia ama inchi zhuku gulf waamke wswali hyo time asbuhi
@user-qm4qd8yk2x
@user-qm4qd8yk2x 17 күн бұрын
mtume amesema tufunge SIKU ya arafa hakusema tufunge wakati watu wako arafa Sasa siku ili ikamilike lazima iwe na masaa 24 sio 12 kwanza kabisa kabla sijaanza hisabu kama Bahrain time yenu ni tofauti na Kenya basi Saudi na Kenya time ni moja inafaa twende pamoja sasa tuende kwenye hisabu ili siku iwe siku inakuwa na masaa 24 kwa mfano Saudi wakianza arafa asubuhi mpaka jioni hayo ni masaa kumi nambili kwa hivyo siku yenye masaa ishirini na inne bado haijaisha ikifika jioni huko saudi Sasa ule upande mwingine wadunia nao unabadilika unakuwa mchana kwaoo wanamalizia Yale masaa mengine 12 ikifika usiku wao masaa ishirini na inne yatakuwa yameisha sawa na alivyo sema mtume fungeni SIKU ya arafa. mpaka hapa utaona arafa ni moja duniani japo Saudi watatangulia na wengine wanafeata baadae lakini siku hiyohiyo ya arafa yaani siku hiyohiyo ya ibada ya arafa 1:50
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 25 күн бұрын
Ww bwana fiqhi Alhamdulillah
@MdUsman-nz6sd
@MdUsman-nz6sd 23 күн бұрын
Ukisikia aliekula nyama ya nduguye ndio hapo kwanini asimwiote mwenyewe akamuambia kuliko kumsengenya
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 22 күн бұрын
Yau nisba...3baadiiiii
@AlykhamisameAme
@AlykhamisameAme 25 күн бұрын
Mashallah sheikh wetu
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 25 күн бұрын
Wanaokomment hapa yaonyesha wengi wanafuata ushabiki na sio elimu maanalazima usimkashif mtu anakosea sana Izzuddin na anakosea sana Bachu na kilicho muhinu ni kusikiza dalili pande mbili zot bila ushabiki maananukipitiwa na arafa hasara yako mwenyewe na ushabiki ila.ukifanyankielimu Allah atakuongoza ujue haki sio akili wala swarfu wala nahau hata mashia wamepitia nahau naswarfa na hizo mantik na mapote yote kuna watu wa nahauna swarfa na mantwiq lakin Allah humuongoza amtakaye nankumuacha amtakaye apotee hasa akifuata tamaa ya mwili wake na cheo au hishma yake na leo dunia kila mtu anataka aheshimiwe na dini imekuwa kama kisingizio.
@allyhamza9969
@allyhamza9969 26 күн бұрын
muhimu kila sheikh aheshimu rai ya mwenzake.swali langu ni hilo; kwa mujibu wa hadithi inasem3kana Allah hushuka siku ya kisimamo cha arafa kusamehe watu waliojikurubisha kwake.sasa arafa hii ni siku ya tarehe ama siku ya kitendo cha arafa?
@HassanHassan-pk8or
@HassanHassan-pk8or 25 күн бұрын
Mungu husamehe mahujaji wote walio simama arafa wakiondoka wamekua weupe kama siku waliozaliwa mm na ww ni dhambi za miaka miwili Tu kama tutafunga siku ya arafa kwa muandamo wetu wa nchi yetu pale tulipo
@arafatally3723
@arafatally3723 25 күн бұрын
NAMI nakuuliza wale walio arafa hufunga kama wale ambao hawako Hajj?
@abdukhan4718
@abdukhan4718 25 күн бұрын
Tukizungumzia ARAFA sehemu katika uislamu . Basi haipatikani sehemu hiyo popote ispokua Makkah. Tukizungumzia ARAFA. ni siku. Basi ni mwezi 9 mfunguo 3. Sasa watu hawafungi Sehemu Itwayo ARAFA. Bali watu wanafunga Mwezi 9 mfunguo 3. Allah atusamehe makosa yetu na atuingize peponi kwa Rehma zake
@AbdallaJabal-jj1sm
@AbdallaJabal-jj1sm 24 күн бұрын
👍👍👍👍👍
@SalumKeya
@SalumKeya 19 күн бұрын
Arafa ni moja tyu
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 24 күн бұрын
Masha Allah Ustaz
@SirlemNasir
@SirlemNasir 26 күн бұрын
KUMEKUCHA TENA.... HAMUINI MIEZI YA VURUGU, ILA MUANDAMO WA RAMADAN, SHAWAL NA DHUL HIJJAH
@abiabi9353
@abiabi9353 25 күн бұрын
Mawahabi ndo wenye vurugu hutuchanganyia siasa saudi Arabia na dini
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 23 күн бұрын
Hizi ni hesabu zetu kila siku munapotulete tafauti yakutaka tufuate saudia ndio maana tunakua wakati.
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 22 күн бұрын
Swali la ufahamu ni kwamba, wewe unawaangalia mahujaji wakienda kusimama mlima arafati sasa je wale mahujaji wamefuata vigezo gani kutekeleza ibada ya kupanda mlima arafati??? Akili za kuzaliwa tu hata sio lazima usome saaana
@azizayassin3623
@azizayassin3623 26 күн бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@madhuru2554
@madhuru2554 25 күн бұрын
Hakuna kitu kama hiyo, Arafah ni moja na watu wanhimizwa kufuata pale watu wanapofanya ibada ya Arafah nyiye mufunge siku ya ijumapili halafu museme ni Arafah haiwezekani mgala muue na haki umpe.
@AbdulAzizSuleiman-cj9jg
@AbdulAzizSuleiman-cj9jg 21 күн бұрын
Kwahy sheikh kea Sisi Tanzania huk Zanzibar tushafutari kigoma wao bado VP hapa wao wafuate mwezi wa nchi gani
@rizikilukali1558
@rizikilukali1558 15 күн бұрын
Wafuate mwezi wa nchi waliowafikiana nayo. Alishafafanua hiyo kwa mifano ya Tanzania na Kenya
@rizikilukali1558
@rizikilukali1558 15 күн бұрын
Wafuate mwezi wa nchi waliowafikiana nayo. Alishafafanua hiyo kwa mifano ya Tanzania na Kenya
@hometownke.9658
@hometownke.9658 24 күн бұрын
Hakuna wasomi kenya amry ya matlahi hakuna kwa tukio la sehemu linalofanyika hadhir ambalo lafanyika na mahujaji sio mwezi wa ramadhani
@hometownke.9658
@hometownke.9658 24 күн бұрын
Siku ya tukio ni moja sio kila sehemu na siku yake communications ya zamani sio sasa sote twaona arafa ikifanyika
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 26 күн бұрын
Mawahabi wakilitaka jambo lao hua hawajali kupotosha wala kusema uongo
@muhammadkarama9996
@muhammadkarama9996 26 күн бұрын
😂😂😂 nashangaa na yule aliekuwa mufti wa misri duktoor Ali Gomaa nae ni wahabi?
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 26 күн бұрын
makhurafi mnashida nyie😢
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 26 күн бұрын
Kwahiyo yule kasoma ibara za shk uthaymeen? Lkn bachu,kishki,bahero... wote wamebambanya fatwa hiyo hiyo kutaka kuwachanganya waislamu
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 26 күн бұрын
Duktuur ali Gomaa hakusoma fatwa ya uthaymeen yale ni maoni yake kama alivyo ona chief qadhi wa kenya lkn sio sheria isemavyo
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 26 күн бұрын
Love you my love shekh
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n 19 күн бұрын
Kuna mambo wala hayahitaji elimu kubwa, Arafa ndio Hijja yenyewe kabisa Ila funga ni yetu tusiokuwa Arafa je inakuwaje hapa uchanganye vitu hivi😢?
@khamisali5942
@khamisali5942 16 күн бұрын
Dogo saiv ana ziara ya kidaawa akirudi tu mbona utaelewa sheikh izzudiyn wala usiwe na wasiwasi INSHAALLAH
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 16 күн бұрын
nitafrahi nikieleweshwa nakuomba muombe akubaali kukaa mm na yy anieleweshe . na mola atakubarikie . na mm natamani sana nipewe ilimu yakufaham haki zaidi . shukran
@khamisali5942
@khamisali5942 16 күн бұрын
@@IzudinAlwyDin tusubiri arudi halaf yyy mwenyew ataamua kukuelewesha kama ulivofanya we au kukaa chini we na yy mukaeleweshana ila me niseme tu sisi sote tunatafuta haqq kwaiyo tusiwekeane hassad sisi ni ndugu katika uislam
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 16 күн бұрын
@@khamisali5942 Nafrahi kuskia hivyo na nataka ujue mm na yy ni marafiki sana na twaongea vizuri hatuna chuki wala kinyongo kabisa namuhishim sana . ila haya nimambo ya kiilimu ni muhim kuiimishana ki ustarabu na kiadabu na kutovunjiyana hishima . na urafiki na undugu utabaki palepale .
@khamisali5942
@khamisali5942 16 күн бұрын
@@IzudinAlwyDin nashkur sheikh Izzudiyn kwa kutext na we namuomba Allah atupe elimu tuijue haqq na tufanye ibada vile mwenyew anavoridhia INSHAALLAH
@abdulsalum2852
@abdulsalum2852 26 күн бұрын
Sasa uo mfano hutokea kwenye sehemu za nchi moja uku Tanzania kuna pahali wafungua saa 12:30 lakini sehemu ingine wafungua saa 7;50 kwaiyo nahuku mwezi uo tofauti na ni nchi moja
@Muislamu
@Muislamu 26 күн бұрын
Sawa sawa mufti
@user-ke8km1tv9i
@user-ke8km1tv9i 26 күн бұрын
Sheikh Bachu, je tukiuona mwezi wa dhulhija mbele ya saudia hukmu itakuaje?
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 20 күн бұрын
Angalieni Sheikh Izzudin na wenzake wanaongea kwa upendo,geuka sasa uangalie upande wa Muhammad Bachu na wenzake wanavyoongea utafikiri ugomvi.
@salemaliy1963
@salemaliy1963 25 күн бұрын
Hili kapu la madhehebu .mawahabi ni potofu
@awadhally1052
@awadhally1052 25 күн бұрын
Nyie masufi ni majitu majinga sijapata kuona
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 26 күн бұрын
MPELEKENI BACHU KWA NGUVU MAMBRUI AKASOMESHEE NA USTADH SAID
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 25 күн бұрын
Huyo saidi mkata viuno😂😂
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 25 күн бұрын
Hataki sababu mbishi
@wardam.7959
@wardam.7959 26 күн бұрын
Mbona hamna sauti😢
@ummusalim1991
@ummusalim1991 26 күн бұрын
Sauti mbna iko sawa, Labda kwako tu
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 26 күн бұрын
Angalia simu yako
@HassanWato-er5bb
@HassanWato-er5bb 26 күн бұрын
Simu haina loudspeaker
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 26 күн бұрын
Sayid salih izudin bachu wachie watoto wadogo.bachu haina elimu. Hebu muitiye ustdh ahmad dede wa mamburi. Amnyroshe
@Shuu.A
@Shuu.A 26 күн бұрын
Huna elimu weye hujielewi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 26 күн бұрын
​@@Shuu.Awere unae jielewa lete ilimu yako ama wataka uwonekane umecoment
@Shuu.A
@Shuu.A 25 күн бұрын
Kahare uko weye umesoma lini au uonekane unajua kujibu mpuuz weei​@@saba-gv3mj
@Shuu.A
@Shuu.A 24 күн бұрын
​@@saba-gv3mjweye ndio nani kahare uko au ndio unajifanya unajua kujibu mpuuzi wee
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 25 күн бұрын
16:18 Kwa kauli hiyo basi tulioko mombasa tusifunge kwa mwezi wa Lamu kwa sababu twatafautiana kufunga na kufuturu
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 25 күн бұрын
Kwani hiyo Saudi Arabia nayo pia inatafautianamiji katika kufunga na kufunga mfano wakati wa winter Dammam wanafunguwa saum saa kumi na Moja kasoro na Riyadh ni saa kumi na Moja kamili ilhali makka ni saa kumi na Moja na nusu na Madina ni saa kumi na mbili kasoro na miji yote hayo yako suudia jee wasemaje kwa hili ama waona Kenya peke yake kuwa na inswaf Wacha taasub zako hino ni dini
@Husna34562.
@Husna34562. 25 күн бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂 bachu kayakanyaga mpka katajwa na jina
@warshysaid8564
@warshysaid8564 20 күн бұрын
Mtume s.a.w kasema tufunge tukiuona sasa kwa tafsir yko sheikh ina maana asieuona asifunge sasa mwaweza kuwa sehemu moja lkn wengine wakauona wengine wasiune kwahiyo wasio uona wasifungee? Je sheikh unaweza kutuonesha ktk hiyo hadithi ya Mtume s.a.w masafa ya kufunga pamoja ?
@husseinjeilan4681
@husseinjeilan4681 24 күн бұрын
Hahaha hamuezi kubali ukweli mukiambiwa masufi
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 26 күн бұрын
Arafa ni moja
@taurehassan7399
@taurehassan7399 26 күн бұрын
Alokwambia arafa ni mia ni Nan?
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 26 күн бұрын
@@taurehassan7399 utajuwa wewe lakini arafa moja hayo ya Mia wayajuwa wewe
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 26 күн бұрын
😂😂😂 mwambiye huyu jitu la mawahbii​@@taurehassan7399
@samxx411
@samxx411 26 күн бұрын
Mbona kipindi cha corona hija ilikuwa haikufanyika na kufunga tulifunga hamkufata makka
@aboujanomarion6121
@aboujanomarion6121 25 күн бұрын
Akili mbovu hizo
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 25 күн бұрын
Uki mskiza bachu aji funga funga haji elewi unless uwe huna akili ndio uta ona ana ma point
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 23 күн бұрын
Huna akili kweli ndio maana unaona hana point. Huyu Izudin ndio anasema nini sasa?
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 20 күн бұрын
Mbona ayo maelezo yanatoka tu kichwani ata aya hayana ya kurani wala hadithi ya mtume
@salemaliy1963
@salemaliy1963 25 күн бұрын
Je sis tukitangulia hio hijja hawatofanya watatufata sisi huku mwezi wetu
@uiavajiwgav5441
@uiavajiwgav5441 25 күн бұрын
Acheni kukosesha watu fadhla yasiku yaarafa hakuna sehemu yoyote mtume amesema tarhe ame sema siku yakisimamo cha arafa amatu ambieni muna arafa yenu mambrui ama riadha habari yakufuturu nyinyi lamu ama malindi hamufungui sawa nakisumu jamani musiikose arafa eti watu washa ondoka arafa wako mina kisha utu ambie leo niarafa taratibuni
@fakifaki1760
@fakifaki1760 25 күн бұрын
Wanaambiwa nani wakiuona wafunge waisilamu wa wakiristo
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 26 күн бұрын
Waislam katika uislam hakuna ikhitiraf katika ARAFA 1- ARAFA ni SEHEMU kuna minna mushtarifa na ARAFAAT Haya n maeneo huko Suudia jaman na watu wanaishi huko kuna barabara makazi n.k huko. 2- Alllah amepatukuza hapo ARAFA ukısmama ukıomba unasamehewa dhambi MtumeSAW amesema الصوم يوم العرفة Saumu ni siku ya Afara Hakuna siku iitwayo ARAFA katk kalemda ya kiislam wa Kidunya Mtume SAW amehusisha tukıo hılo linalofanywa hapo Eneo la ARAFa na Swaumu, sıo sıku ndugu zangu! Hivyo ss tucıenda huko ARAFA tunatakiwa Tufunge kıpındı Wenzetu wako hapo ili tupate Fadhila hizo!!!!!! Mbona iko wazi tu ! Kumbukeni mnaweza kukosa fadhila hizi kila mwakaaa kwa kukufunga kivyenu vyenu Allah atuongozeee
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 26 күн бұрын
1.Akhiy ikitokea sie tumewatangulia Saudia kwa Kuona mwezi yaani kwetu mwezi mosi dhul'hujjah na soudia hawajauona je! Unafikiri watatufuata sie? 2.Kabla ya utandawazi je! Uislamu ulikuwa hautekelezeki Kwa asilimia 100?
@malickyhussein9032
@malickyhussein9032 26 күн бұрын
Je wwtu amabo hawawezi kuioata hiyo siku..? Watu walio katija nchi ambazo mchana wa sudia ni usiku kwao hao hawapati Arafa…?
@user-en8qs2yp2n
@user-en8qs2yp2n 26 күн бұрын
@@AlhajiIssa-jb9hr wakufate kiaje na sisi hatuwafati kama saudia ni zile sehemu tukufu
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 26 күн бұрын
Basi kama tunakosa fadhila aliye sababisha ni shk uthaymeen
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 26 күн бұрын
@@user-en8qs2yp2n Nyoosha maelezo kulingana na ulivyoulizwa Akhiy haya ni mas' la ya kiilmu si ushabiki
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 25 күн бұрын
Masalafy uchwara Hawa tangu wameanzisha haya madhehebu yao kelele haziishi mitandaoni namitaani namaneno yakejeli kwawenzao
@dawud6065
@dawud6065 25 күн бұрын
Akhy Manhaj Salaf sio madh-hab hii ni Manhaj
@user-ke8km1tv9i
@user-ke8km1tv9i 26 күн бұрын
تسلم لسانك يا شيخ عزالدين
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 25 күн бұрын
Bachu hajielewi yeye hujiweka kifua mbele
@alesryyusuf267
@alesryyusuf267 24 күн бұрын
Assalamu alaykum, huyo bachu atwambie vipi ilikuwa zamani kabla ya simu na tv watu walikuwa wanajuwaje, kama leo arafa makkah
@khairatsaid-zu3hd
@khairatsaid-zu3hd 26 күн бұрын
Na jee yaumul hajjil akbar itakua lini?
@salimjawas8123
@salimjawas8123 25 күн бұрын
Haya mambo hayawezi kwisha, kila mtu afwate team yake. Kama wewe ni Man U utabakia Man U. Kama wewe ni Arsenal ni Arsenal, haiwezekani nyote mushabikie team moja. Hope mushaelewa
@AbdallaJabal-jj1sm
@AbdallaJabal-jj1sm 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SaleheKhamis
@SaleheKhamis 25 күн бұрын
Bachu nikama ndacha
@MdUsman-nz6sd
@MdUsman-nz6sd 23 күн бұрын
Arafa ni moja jaman hatakama hatujasoma lakin mambo yako wazi quran inatosha
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 19 күн бұрын
Ndugu ni kweli Arafa ni moja lakin kuna mpishano wa geographical
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 26 күн бұрын
Sis kama ahlu sunah walcamaj ahlu quruq sufiyah. Hatujali porojo ya mawahbii wahabii someni dini wacheni kutafuta umarufu😂
@elbattawy2864
@elbattawy2864 26 күн бұрын
bachu anajulikana kichwani hana kitu tulimuona kwenye mjadala wa maulid alikwama balagha haipo kichwani, Tunawashkuru masheikh wa Kenya jamaa akienda mchomo hawalazi damu wanamuanika hadharani
@mohcreative
@mohcreative 20 күн бұрын
Pumba 🥴
@ZuwenaSaid-ig2lv
@ZuwenaSaid-ig2lv 26 күн бұрын
Ndio sisi tumeambiwa tufunge mwezi tisa hatujaambiwa tufunge arafa
@Shuu.A
@Shuu.A 26 күн бұрын
Wanaikosa arafah
@abiabi9353
@abiabi9353 25 күн бұрын
​@@Shuu.Amawahabi ndivyo wanavyodanganyana
@abuunufaysah5328
@abuunufaysah5328 25 күн бұрын
Mmeambiwa na nani?
ISHI HIVI UTAFANIKIWA || SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED
32:08
امة واحدة ONE UMMAH
Рет қаралды 33 М.
MFUMO KAMILI ANAOTAKIWA MWANADAMU KUISHI SHEIKH MUHAMMAD BACHU
1:00:05
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 887
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 38 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
ULIZA UJIBIWE 24
1:08:15
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 8 М.
MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
20:29
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 7 М.
MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI
8:26
Alwiy Muhanna
Рет қаралды 10 М.
VITA HATARI ANAVO PAMBANA NAVO MUUMIN
27:52
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,7 М.
NASSOR BACHU   MADHARA YA ZINAA
52:32
rashidu24
Рет қаралды 113 М.
VIPI TUTARAKIBISHANA ?
20:36
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE (PART 04)
1:24:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 14 М.
MAJIBU YA DHARAU NA KEJELI YA MUHAMMAD BACHU KWA SHEIKH SAID ALI HASSAN || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
16:10
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 6 М.
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН