Kama na wew hii historia imekufundisha kitu gonga like👍twende sawa
@Abcs5386 ай бұрын
Nmekuja kuicheki Leo 2024, February..Baada ya kuona shishi kapost kweny IG page yake.... Hongera Sana Shishi, Maan halisi ya Mwanamke mpambanaji🎉🎉
@RyanzabronАй бұрын
Alikuwa mwembamba mzuri kwelii… unene mbaya haswaa 😂
@user-zd5pc5nc9cАй бұрын
We acha tu
@fatmazullu4933Ай бұрын
@@Ryanzabron yaani mi ndo naangalia leo hii tar 14/6/2024 daaah nawaza sana, Shishi mwili huu ungei maintain jamanii ungeuwaaa
@thomasjohn2554Ай бұрын
Mi leo ndo naona 21
@nover80356 жыл бұрын
Mwanamke akiwa na watoto ambao wanamtegemea yeye lazima awe jasiri kama shilole😊😊 nawapenda wakina mama wote
@reginamassawe33004 жыл бұрын
Bongo Covers nikwli
@liliansamson6744 жыл бұрын
Bongo Covers nikweli
@superdeeboy61003 жыл бұрын
Shukran kaka ake kwa niaba ya wanawak
@oman1oman17911 ай бұрын
Asante
@user-xh7xf2ki3r4 ай бұрын
Ahsante sana kaka
@agathathobias86904 жыл бұрын
Kwel maisha ni kujituma leo 2019 umepiga hatua Mungu ndo muweza wa yote
@nover80356 жыл бұрын
mbali na kujituma Kwako, urembo wako pia umechangia ufanikiwe.....wasichana wengi warembo hawapendi kujishusha wala kufanya kazi wakitegemea uzuri wao tu, mwisho wa siku wanaishia kuchezewa
@christineadam90638 жыл бұрын
wow!! 👏👏it's soo encouraging..... ukifanya kazi kwa bidii, Mungu anakuinua...... ubarikiwe sana shilole 💐💐❤❤😘😘
@saidmohamed46198 жыл бұрын
iko sawa sana ,ni story ya vijana wa tz kuifata ,hadikufikia ndoto zetu ni safarindefu sana ,ahsante sana kaka millard ayo
@hildatemba14887 жыл бұрын
Sister shilole nakuaminia sana dada , piga kazi team shilole babee
@memorykateko514Ай бұрын
Safiiiii sana role mod wa wadada wanaojitambua
@JuliusTanzania5 жыл бұрын
Hongera sana Shilole kwa historia yako nzuri, hakika umepitia kwenye changamoto nyingi za maisha. Mungu akubariki sana lakini unajitambua sana
@getrudapoul3855 жыл бұрын
Mungu amekubariki shilole nami napitia majaribu hayo Dada angu
@anithaasajile13218 жыл бұрын
a hard working woman always lazma afanikiwe.,nakupenda sana shilole yan
@kibibigroult52748 жыл бұрын
Mfano mzuri kwa wanawake,shilole i respect you,God bless you and the work of your hands.
@donaldsinkamba48675 жыл бұрын
Ingependeza wengine waige au wajifunze kuhoji kama Millad, big up brother.
@user-xh7xf2ki3r4 ай бұрын
Anajua sana huyu @millad
@r.m6387Ай бұрын
Very inspirational, from what you went through, to who your today. WEWE NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA WA KIKE NA KIUME. Hongera Shishi
@irenemmary3208 жыл бұрын
Ayo .... I was disappointed not to hear the whole story, she is an inspiration.I. love her work more if she came all this long .
@beatharayza30336 жыл бұрын
your the best women ever seen....shilole may the almighty GOD shower his blessings upon you.
@neemmremi52987 жыл бұрын
it teach us more shilole always life without pass in difficult place is not life
@isaacluwondo45063 жыл бұрын
Hivi shishi yule baba mwenye nyumba aliyekusamehe kodi ya nyumba umewahi kumshukuru kwa chochote?
@user-hb2nn3nf8p4 ай бұрын
Nimeicheki leo umenifunza kit my 2024 ❤
@gloriajoseph10025 жыл бұрын
Nakupenda sana shishi hongera sana umepitia mbali unajiamini Yaani nimekuelewa natamani kuongea nawe Zaidi km hutojali
@sophiayahya68897 жыл бұрын
Hakuna msanii wakike komando kama shilole
@NellyFrancis-nn3qbАй бұрын
Mmh dada hongera
@ymusic8034 жыл бұрын
2011 mwishoni nilikutana na shilole na queen darlin hakika walikuwa simple sanaa na walikuwa hawana ubaguzi
@hafsakawilo36908 жыл бұрын
Nakupendaga sana we dadaa 💮💯
@mkolamambo49848 жыл бұрын
congratulate my daer blessing u for all work! love u mmwaaaaaaaaaaaaaa!
@taturamadhani87564 жыл бұрын
Duh wanyamwezi kwangumi nooooma kama unakubaliana na hilo like hapa
@nasrasumayya6136 жыл бұрын
Nakupenda sasa Dada hangu shilole hongera sana kwa ujasir ulonao
@user-fz1ph3cn4sАй бұрын
Hongerah saba Shilole. Today is 2024, uko mbali. Ni binti wa luogwa.
@muthamikamaupianist80338 жыл бұрын
I like this girl Shilole😍
@mofungoya97295 жыл бұрын
Hongera Sana shilole kwa kuonyesha ujasiri wa kimaisha
@omarmwinyi64848 жыл бұрын
Thanks Millard
@calvinbrown52878 жыл бұрын
dats awesome interview
@jumahatibu50458 жыл бұрын
Luv her life story
@waldayusuph9806 жыл бұрын
juma hatibu me too
@victormkello95758 жыл бұрын
Shilole hapa unasema unataka marafiki wa kukufanya uwe na akili ya uchangamfu, siyo wanataka mwende klabu na mitoko ya daily, eti siyo maisha uliyochagua lakini kwa sasa inaonekana ndo maisha unayoishi mara baada ya kutemana na Mziwandah.
@ssayima8 жыл бұрын
Ndio namsikia kwa mara ya kwanza, I'm sold.
@petrophilip22794 жыл бұрын
Same here
@mbarakabdallah46314 жыл бұрын
Milad ayo big up kaka kwa kzi nzuri
@fettylishaz23848 жыл бұрын
upo vizuri shilole nakupenda bure
@linusmalekela9606 жыл бұрын
Ray hajakungonga kweki
@khadijaabdul50293 жыл бұрын
😍😍😍😍😘😘😘 nakupenda bure ❤️ shilolee
@akitoboi27344 жыл бұрын
Much love
@salhamrisho81383 жыл бұрын
Shilole karikuwa karembo jamanini 😘😍😍
@menalikechildren88364 жыл бұрын
Wallah interview za wabongo czipendi hata kdg ila story ya shilole nimeipenda sana very inspirational
@ashleyissa64833 жыл бұрын
Da shilole nakupenda bule
@farhatmohd97695 жыл бұрын
Nakupendaa my xhilolee
@dapinitiative2451Ай бұрын
Leo July 2024
@ashasaid38286 жыл бұрын
nakupend shish bebi hakuna ambacho unanpag moyo kam uchesh wako tu na uchapakazi.kaz na malengo
@TheSalma19996 жыл бұрын
Kumbe wewe bouncer hutaki mchezo nimekupenda sana shishi your like me but wewe ni shujaa
@arenajamahanga89815 жыл бұрын
Dd shishii waoooo
@ngulathfundikira42056 жыл бұрын
nice interview
@peninathamani61058 жыл бұрын
hongera shishi mungu akuzidishie.
@mariamsaid16868 жыл бұрын
impressive
@ladoceurtony15676 жыл бұрын
Love you shishi
@husnajohn74666 жыл бұрын
I love you shishi I'm proud of you,keep going my sisy we're together
@tiffarmasawe54745 жыл бұрын
Nakupenda San
@zaituniddy63156 жыл бұрын
Hongera sana
@mwanamutemi7 жыл бұрын
that lady is beautiful
@mariamseif89084 жыл бұрын
Namlaumu Sana mwanaume aliykuach mwanamk mweny akili I love you shishi
@kasimuyahaya40104 жыл бұрын
Safi Sana shishi
@saidanhassan60036 жыл бұрын
jaman nimempenda bure shishi naomba mnisaidie namba yake,shilole anamoyo anaweza nisaidia na mm pia napenda kuimba,na ninajua
@user-ux3xu9gs8dАй бұрын
Kembamba ila sauti yake aipote aipotei ongera sana dadang.pambana safari bado
@R10_RajabАй бұрын
Ila Zuwena mashine yako ishatumika sana MashaAllah