No video

SHILOLE HAOGOPI! Sikia ALICHOSEMA Kuhusu KAJALA na HARMONIZE - "WAACHENI"...

  Рет қаралды 149,556

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SHILOLE HAOGOPI! Sikia ALICHOSEMA Kuhusu KAJALA na HARMONIZE - "WAACHENI"...
MWANAMUZIKI Mkongwe nchini, Lady Jay Dee, leo Februari 12 usiku wa kuamkia Februari 13 ameachia rasmi album yake ya 8 inayoitwa 20 (Twenty) ambapo sherehe ndogo ya kuzindua album hiyo imefanyika Serena Hotel..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 96
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 жыл бұрын
Shilole, Nimekupenda, Maneno mazuri, "Wameamua kupendana" Nyie yawahusu nn!? Shilole safiiiii,nimekupenda
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 3 жыл бұрын
Shilole leo unajibu kisomi kweli yani
@browntzmauzo4685
@browntzmauzo4685 3 жыл бұрын
Shilole💪💪💪💪
@sifahamisi5872
@sifahamisi5872 3 жыл бұрын
Kweli
@hawasaid6024
@hawasaid6024 3 жыл бұрын
Kubwa jinga ww
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Kwa sababu tabia zenu Moja kutoka na vitotot
@frankbrown6400
@frankbrown6400 3 жыл бұрын
machozi jasho na damu ni album ya professor jay nafikiri
@afrikanprincess1249
@afrikanprincess1249 3 жыл бұрын
😂😂😂 tatizo hili nalo...
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Hhhhh
@jessejulius9735
@jessejulius9735 3 жыл бұрын
True shishi amezingua kinyama
@sherlast3459
@sherlast3459 3 жыл бұрын
Hamonize yani kajala ni mwanamke bomba sana ni mzuri haswa endeleya kula bata nakuombeya kajala mzaliye mapacha hamonize
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 жыл бұрын
Konde ana penda wanawake wazito wazito jamani 😂😂😂😂
@abdullighaniyalley5436
@abdullighaniyalley5436 3 жыл бұрын
Utakuowa kweli uyooo
@alshabje7185
@alshabje7185 3 жыл бұрын
Hupendi umbea shishi nakupenda Sana usijali uko powadada
@mohamedkondo6392
@mohamedkondo6392 3 жыл бұрын
Love u shishi
@mchaganaduka
@mchaganaduka 3 жыл бұрын
Hiyo Jamaa wa shilole na vitisheti duh
@hawasaid6024
@hawasaid6024 3 жыл бұрын
Utakua na ndoa ngap we shilole
@fahmaali8945
@fahmaali8945 3 жыл бұрын
Huyu.shilole Ana sura ya kilevi Rudi L
@othmansalum4191
@othmansalum4191 3 жыл бұрын
shishi ni miongoni mwa wana dada mastaa wenye sura nzuri... hapa bongo... hio make up isikutie kengeza... panga pangua hatok 3 Bora.
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
@@othmansalum4191 Naam💯
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 3 жыл бұрын
Shilole nakupendaga mie jamani wewe dada
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
We mwenyewe watembea and vinuka mkojo
@jessejulius9735
@jessejulius9735 3 жыл бұрын
Professor jay njoo
@muzihiljabili8090
@muzihiljabili8090 3 жыл бұрын
Uchebe umeionaa iii
@nivicaspect3597
@nivicaspect3597 3 жыл бұрын
Una furaha gani we we Shilole feki tu. Tunakujua sana na kuna Sikh hizi tabia zako zitakuumbua. Sijaona muziki wako kwa hiyovusiseme eti Jay Dee analinda industry yenu. We na JD wapi na wapi jamani. Endelea kupika achana na kazi za wengine.
@sherlast3459
@sherlast3459 3 жыл бұрын
Kajala nilikuona live beach ya est cost ya znz ukiwa na hamonize yani umejaziya vizuri uko poa sana
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 жыл бұрын
Kwahio mnaendelea kuzini tu ndoa mpaka nov je umauti umefika nini mtamjibu Allah msiba huu
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 жыл бұрын
Mazingatio, MUNGU wape wepesi wafunge ndoa haraka
@emmanuelkapama8066
@emmanuelkapama8066 3 жыл бұрын
Huyuu Mwanaizombe kila kijana anayepga mkia lazimaa amuoee.. Duuh!! Ndoa ni ninii wananzengo??
@YOBOYSADIO
@YOBOYSADIO 3 жыл бұрын
Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni ✊🏾
@jeromejosia2220
@jeromejosia2220 3 жыл бұрын
Inatoka kila ijumaa hizo story book?
@estermwanilwa5469
@estermwanilwa5469 3 жыл бұрын
Uo wivu2 shilole na huyo jamaa wanalingana sema kwakuwa shilole bonge na pia amewah kuzaa achen umbea mikundu yenu fyuuuuu
@sharifahamisi9091
@sharifahamisi9091 3 жыл бұрын
We kigagula ukome kajala dada ako kweli pumbavu
@aminaally9156
@aminaally9156 3 жыл бұрын
Mmmh majanga
@sharifahamisi9091
@sharifahamisi9091 3 жыл бұрын
Amina tena yakwake mwenyewe wakiwa na huto tuserengeti twao wanajiona wadogo
@politehope5934
@politehope5934 3 жыл бұрын
FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni; Ø Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) Ø Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin(bayer), (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine) Ø Msongo mawazo (stress) Ø Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi Ø Kunywa pombe na vinywaji vikali kupitiliza. Ø Uvutaji wa sigara. Ø Kuto kula mlo kwa mpangilio maalumu Ø Kansa ya tumbo DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili kama; Ø Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula Ø Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo Ø Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa Ø Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu Ø Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu Ø Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito Ø Kushindwa kupumua vizuri. Kwa msaada wa tiba wasiliana nasi kwenda namba 062017078
@gaudensiayustini8669
@gaudensiayustini8669 3 жыл бұрын
😀😀😀😀Mapenzi yenyewe yakuokotana okotana kumuumiza flani ndio maan hamfiki mbali na mahusiano
@rabiaiddi5578
@rabiaiddi5578 3 жыл бұрын
😆😆
@radhiatmgozi4446
@radhiatmgozi4446 3 жыл бұрын
Eeehh shishi unajibu kisomi... Et kajala n dada yangu nendeni mkamuulize
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 3 жыл бұрын
Hahahahah
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Kwakweli shishi, mapenzi ni upofu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Tena sana.
@tz7976
@tz7976 3 жыл бұрын
Huyu mmama ana sura ya kilevi🤣🤣🤣🤣🤣
@ellyisidoli2192
@ellyisidoli2192 3 жыл бұрын
😂😂😂
@nasoursaleh1662
@nasoursaleh1662 3 жыл бұрын
Make up.nayo mby ni ya kilevi
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 жыл бұрын
K-vant
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@@nasoursaleh1662 hatar
@othmansalum4191
@othmansalum4191 3 жыл бұрын
Maku up is kutie kengeza.... shishi kibongo bongo ni miongoni mwa wanadada wenye sura nzuri... panga pangua hatok 3 Bora..!
@muddyville
@muddyville 3 жыл бұрын
Machozi, damu na jasho? Are you serious? That is Prof. Jeezy's album...
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Kajisemea tuu mradi Hewa imepita mdomoni
@othmansalum4191
@othmansalum4191 3 жыл бұрын
Ndio kakosea ila hajatoka mbali...Lady Jide Album yake ilikuwa inaitwa Machozi....! problem is long term memory...............!!!
@rabiaiddi5578
@rabiaiddi5578 3 жыл бұрын
Ila wabongo hatupendi ukubwa jamani mh! eti jide alianza mziki ukiwa bado mdogo na kajala ni dada ako kwa uzee wote ulionao 🤣🤣
@benjamindanielduday1246
@benjamindanielduday1246 3 жыл бұрын
😂😂😂 ndiyo maana alidundwa na uchebe
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 жыл бұрын
@@benjamindanielduday1246 akili hamna humo mwanamk gan lopo lopo
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
Yaani wanapenda kujidogosha sio kidogo!"sijajua wanapata faida gani??
@jumamakaja8802
@jumamakaja8802 3 жыл бұрын
Kajamaa Kana pua Kama kamekunjwa na praizi.
@lewajohnson7890
@lewajohnson7890 3 жыл бұрын
Hahahaha
@hawaabdallah4782
@hawaabdallah4782 3 жыл бұрын
Shishi mbona umekuwa mbaya
@zainasalum1110
@zainasalum1110 3 жыл бұрын
Make up ndo imemfanya hvyo ila shishi ni mzuri
@aishadjumaphones8877
@aishadjumaphones8877 3 жыл бұрын
amupendezi ka ma wew na uchebe
@josej9888
@josej9888 3 жыл бұрын
Kweli kabisa hawaendani.
@fatmafaki6163
@fatmafaki6163 3 жыл бұрын
Mmezidi jamani looh!!
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Kiki zngme za kingese kwel
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 3 жыл бұрын
Kwa Sababu na wewe ni cheka na watoto ndio maana unasimamia Hilo
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 3 жыл бұрын
Kabla ya ndoa hawa watakuwa wameshachokana
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Ni mtazamo wako tu
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Kwel
@awezayesu1779
@awezayesu1779 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Napita🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
@paulomgan2064
@paulomgan2064 3 жыл бұрын
Uyu dada mshamba machozi jasho na dam anajitambua uyu
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
😂😂😂
@festokomba4694
@festokomba4694 3 жыл бұрын
Mazinge alisema inawezekanaje kibudu kumwelekeza kibla na kumchinja ni halali?nsha chinjana hafu ndoa sio sawa,sie wakristo tunasemaga kubariki sio kufunga ndoa ili hali mengine mnayafanya
@benjamindanielduday1246
@benjamindanielduday1246 3 жыл бұрын
Mmeshaachana na uchebe
@mariammose7329
@mariammose7329 3 жыл бұрын
😄 kwani jaydee amekupita na miaka mingapi shishi?
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 3 жыл бұрын
We Komando na Shishi dah mbali labisa Jide mkubwa sana
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 3 жыл бұрын
Mpe basi hata mumeo Nafasi unaongea Sana shilole ww punguza
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
😂😂😂
@winfridamwamban1078
@winfridamwamban1078 3 жыл бұрын
Mmmm
@nurathissa1422
@nurathissa1422 3 жыл бұрын
Mapenzi ni upofu hata ukishikwa mkono unaona unapotezwa duh shi shii shiiii loolee
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Monde anatoka na bibi kwaiyo
@chany9950
@chany9950 3 жыл бұрын
Shishi umezeeka mama
@gracepaulo7354
@gracepaulo7354 3 жыл бұрын
Hata hawaendan
@jerikomwakakwale2558
@jerikomwakakwale2558 3 жыл бұрын
Mambo yenu ya ajabu tu
@aminakshamoona6900
@aminakshamoona6900 3 жыл бұрын
Shishi trump umeweza ha huyo asikupige km uchebe
@sadickrichard7849
@sadickrichard7849 3 жыл бұрын
majasho
@giftymadaraka6676
@giftymadaraka6676 3 жыл бұрын
Mkoswa akili wewe
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 3 жыл бұрын
Mipango unafanya ww au yy
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Hahaha anafanya shilole😂ye sindo bwana😂
@josej9888
@josej9888 3 жыл бұрын
Mbio zasakafuni.
@user-ws2sg7un7z
@user-ws2sg7un7z 3 жыл бұрын
😂😂
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Yani nini inaendeleaga TZ wamama simtafute wa baba wenzenu hua munani bore sana ati furaha
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 43 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 76 МЛН
SIMULIZI ZA  MAISHA YA MSOMERA KUTOKA KWA WAKAZI WALIOHAMA KWA HIARI HIFADHI YA NGORONGORO
27:50
ANAYESHIKAGA NDEGE ZETU APEWA CHA KUSHIKA
7:06
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 41 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН