SHK RUSAGANYA DIAMONDI PLATNUMZ WEWE HIZI NYIMBO ZAKO ZINA MAANA GANI ETI AMABOKO SISI WAJINGA KWELI

  Рет қаралды 59,933

Adil TV

Adil TV

Жыл бұрын

#AdilTV #shkrusaganya
• SHK RUSAGANYA DIAMONDI...

Пікірлер: 35
@Zsdaughter
@Zsdaughter Жыл бұрын
Kaka anaechagua vichwa vya habari jmn. Hata picha hizo. Mdada huyo kavaa vby na watu wanaoangalia mawaidha most of them wanajaribu ku lower their gaze jmn. Tumeamrishwa kuinamisha macho. Hii kazi ya dini ukiweka kipato mbele zaidi utatupoteza na wee mwenyee utapotea. Khaa. Mungu atupe mwisho mwema wote Amin.
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 Жыл бұрын
Masha Allah ustadh mungu akupe afiya njema ili unufaishe umma
@abduomaly6827
@abduomaly6827 Жыл бұрын
Mungu aendelee kuidumisha afya yako
@najmaw.al-quddafi6752
@najmaw.al-quddafi6752 Жыл бұрын
Ameen
@asimakitambi3022
@asimakitambi3022 Жыл бұрын
Amina
@somane512
@somane512 Жыл бұрын
AMIIN YAA ALLAH INSHALLAH
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah Shukran saaana Sheikh Wang 🌹❤️❤️😍
@rashidimrang3463
@rashidimrang3463 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe tunakypnd kwajil ya allah
@AminaAmina-gv7sm
@AminaAmina-gv7sm Жыл бұрын
Ishaala mungu akuzidishie
@bakarkhamis5369
@bakarkhamis5369 Жыл бұрын
Mungu akuweke
@yasminhussein7426
@yasminhussein7426 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR 🤲 ya RABBI tusamehe
@bakirmakungu63
@bakirmakungu63 Жыл бұрын
Mungu akubarik akupe maisha marefu amin
@sweetylove9918
@sweetylove9918 Жыл бұрын
Amiin
@najmaw.al-quddafi6752
@najmaw.al-quddafi6752 Жыл бұрын
Ameen
@muniracheusi9955
@muniracheusi9955 Жыл бұрын
Amiin
@shufaambata257
@shufaambata257 Жыл бұрын
Mashallah Allah akujaarie pepo ya daraja la juu
@user-zb4py9rl9c
@user-zb4py9rl9c 4 ай бұрын
Subhanallah 😭 wallahi nimtihani 😢kweli😢
@shigellalambo9724
@shigellalambo9724 11 ай бұрын
Hapo shekhe nimekukubali
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Masha Allah 💕
@fahmyamour
@fahmyamour Жыл бұрын
Mashallah alhamdulillah
@classicboyrahib903
@classicboyrahib903 Жыл бұрын
ASAALAAM ALAYKUM ADMINISTRATOR WA HII CHANNEL NAKUOMBA UITOE HIYO THUMBNAIL SIO HUONI HUYO MWANAMKE YUPO UCHI? FANYA HIVYO SHEKH KWAAJILI YA ALLAH
@asiyahamisi7528
@asiyahamisi7528 Жыл бұрын
Baarak llahu fiik
@shangwemakampu2970
@shangwemakampu2970 Жыл бұрын
Napenda sana mawaidha
@somane512
@somane512 Жыл бұрын
MANSHALLAH
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️
@fundisalon2507
@fundisalon2507 Жыл бұрын
Ma nsha allha
@swahibumakasi1660
@swahibumakasi1660 Жыл бұрын
Naombeni namba za Sheikh huyu jamani
@Mshamba_Art
@Mshamba_Art Жыл бұрын
kwanza naipongeza chanel hii kwa kheri inayoieneza Na namuomba Allah azidi kuitia nuru ili nasi itung'arishie maisha yetu lkn kuna kitu nahisi kinakosewa kidogoo Na kinapunguza hadhi ya kheri zinaxorushwa Na chanel hii Na mfano wake Ni baadhi ya picha zinazowekwa ktk utambulisho wa video mfano ktk video hii kumewekwa picha za wasanii ambao hawako vizur Na kuwatazama kwao tuu tyr mtu anaingia ktk fitna kwa hiyo nashauri chanel inaporusha kheri kama hizi itizame picha za kuzieditia zitakazokuwa mbali Na shubhaa
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Жыл бұрын
Hhhhhhhhhh kweli ustazzi wangu Shukran
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Shehe nyimbo zote za mtu huyu zinachochea mapenzi
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Shekh nakukbl san mashaAllah lkn usisem chizi Allah ni mitihan yk ila tumiya lugha ya mgonjwa wa akil, na pia unawez ukampa achugw pes wal asichkw chocht Allah akulind shekh wang
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Matajiri mnashindwa shehe kumpa usafiriy mzuri kazienu kujipendekeza kwa wana siasa acheni upuuzi wapeni mashehe wasaidieni wanasiasa watakusaidieni nini mkiingia makaburini
@aboubakarmtanje9851
@aboubakarmtanje9851 Жыл бұрын
Darasa za kubembelezana bembelezana haztokuepo tena nimwendo wa kuamrisha to
@aboubakarmtanje9851
@aboubakarmtanje9851 Жыл бұрын
Sheikh reta fikra ya ku utawalisha uwislam Tuwe na Dola mambo yote yatakaa sawa Ukiwa kwenyebDula nikumwambia to mtu husifanye kharas
SHK.RUSAGANYA | WANAUME ACHENI KUGONGANA TUTAANGAMIZWA LIWATWI SIMCHEZO MZURI
35:40
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 15 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 46 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 32 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 15 МЛН