Summer time jua linachelewa kuzama, sometimes mpaka saa nne ya usiku bado kweupe, were baba ulayaaa🇬🇧🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sentaboy27 күн бұрын
Hadi saa 7 ya Usiku sometimes 😂😂
@cherryjoe958526 күн бұрын
Duuuh 🤡
@idrisashelimo30727 күн бұрын
King kiba gud job 👏 🙌🏿 unajua 🙌🏿
@KajoloJohn26 күн бұрын
Be up Big brother king 👑👑👑
@BukuluTheBosscomedy24 күн бұрын
Kiufup Kuna chakujifunzaa kupitia king kibaa one love king
@user-kh7bc4js1m27 күн бұрын
Safi cna bba keyan
@beatricejoseph234727 күн бұрын
Majira kwa Eu Sasa hivi giza linaingia saa4 uck
@omarymtotela375127 күн бұрын
Hata kigoma tu hapo saa moja bado kweupe
@user-by2gj2bw9f26 күн бұрын
Noma sana king kiba ❤❤❤❤❤
@jeffmwagala-q1l27 күн бұрын
unyama xn
@user-qz8gn6bn6r27 күн бұрын
Noma
@Legends_Interviews27 күн бұрын
Nchi za wenzetu ikiwa kipindi cha jua mpk saa 4 usiku kweupe hoi sio show ya.mchana tizameni jua lilivo
@Djroja_mo27 күн бұрын
Hawajui hilo nataman hii hali itokee tanzania ili waone
@theresiagideon217827 күн бұрын
Ni kweli naishi canada, kwasasa huku ni summer time jua kwasasa linazama saa nne na nusu usiku, na watu ndio mida yao ya kuenjoy kwasababu hali ya hewa inaruhusu kukaa nje so it’s true
@ce-0827 күн бұрын
@@Djroja_mo😂😂 mzee watoto wanaweza wasirud nyumban wakaendelea kucheza huko mpka ucku
@VEGOSTER23 күн бұрын
Diamond noma sana kzfaq.info/get/bejne/odJmitZhravDe2w.htmlsi=cg4XOdNPhqfH6gLZ
@surusuru199427 күн бұрын
Naona kama African ❤🔥🔥🔥
@msina620026 күн бұрын
Iyo ni Afro fest
@shikuhata27 күн бұрын
Safi sana
@salamSalehhhhh27 күн бұрын
Kibarua😘😘😘😘🙌
@user-lo3ey9co9y27 күн бұрын
Ukiona jua alijazama ujue Ni mchana usiku hauna jua
@AllyBabu-kr6lg27 күн бұрын
😅😅😅😅
@user-ji7sy2wi7b26 күн бұрын
Kuna vingi huelewi kuhusu ulaya na Amerika kaskazini... Kwa kipindi summer jua linazama saa tatu usiku. Nenda ukaone hata zile mechi za Euros 🇩🇪 utaona saa mbili usiku kwa saa za ujerumani bado jua lipo
@Juliusantipas27 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mjsaidkeya27 күн бұрын
King 🔥🔥🔥🔥🔥
@momextv574627 күн бұрын
❤❤
@Queen-be1uf26 күн бұрын
Naishi UK na huku kwetu ikiwa summer usiku unakua mfupi, na mchana mrefu. Jua linachelewa kuzama. Linazama saa 4 kasoro usiku . Saa 2 usiku jua kali bado
@modykimaro548027 күн бұрын
❤❤❤
@shabanimara544927 күн бұрын
Kwammi naona mchana io
@modykimaro548027 күн бұрын
Nouma sana
@user-nc4uk1hq2n27 күн бұрын
Kwenye nko ni saa 9 usiku na kuna jua
@ussenemajiacunde-dp7tw26 күн бұрын
acha u K wew ukiona bado kuna mwanga wa jua ujue ni mchana
@IssaTayari26 күн бұрын
Waambie
@williamnyankongo965525 күн бұрын
🔥🔥🔥✅fayakunfaya
@SabraJoseph-xn7ql27 күн бұрын
❤
@sebastiannwaka584727 күн бұрын
🔥🔥🔥
@cherryjoe958526 күн бұрын
Unyama sana
@yasinichambuso643626 күн бұрын
King🎉
@sadruhsnow563725 күн бұрын
Dua and Unyama
@christinainnocent318424 күн бұрын
Ni kawaida ya huku ulaya summer jua linachelewa kuzama huku hadi saa 3 usiku ndio jua linazama ila winter huku ulaya jua linazama mapema yaani saa 11 jioni ni giza totoro
@user-qo5it1uc9m26 күн бұрын
Ali salehe kiba
@auntiemylee315727 күн бұрын
Summer season
@ZakariaMachibula27 күн бұрын
🔥🔥
@Peterkelson25 күн бұрын
Kaua
@shabanimara544927 күн бұрын
Io ni mchana kweupe musitudanganyebapa tunaliona jua ilo
@babiddi862027 күн бұрын
Sio mchana iyo ni jioni
@msina620026 күн бұрын
Bro huku jua linazama 21:00
@TM.Sullusi26 күн бұрын
Tafuta hela ujue Dunia. Usiku Ni masaa sio issue ya jua tu😂😂😂
@SuleAmber-lw2tx26 күн бұрын
Ona mwanga wa taa wewe boya mchana taa haziwaki hvo pimbi wewe
@zuleikhaomar46579 күн бұрын
Jamani hamjui huku summer
@jcrackcrack166925 күн бұрын
Wenzetu jua lazama saa tatu usiku ulaya mwanzo
@BilaliBilaliamri26 күн бұрын
Aaaah ndomana alimtetea mondi kumbe aiseee nimeamini alikiba mnafiki sana mi nilitaka nishangae imekuwa vp alikiba amtete diamond nyooooh
@WahuBoth26 күн бұрын
Pole kwa kua mgeni wa social media 😆😆 mm sijawai ona kiba Ana mponda uyo mwakitombi anaye kutoa povu adi kwenye boxa😆
@djalasaleh26 күн бұрын
2018 Ali kiba aliperform Canada. Na palijaaa
@shabanimara544927 күн бұрын
😢😂😂
@Nyaruking127 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@jeremiahcharles602727 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@JojyLuhasa26 күн бұрын
Uyo kiba ni babu
@ayobow5626 күн бұрын
Alikiba mala yake ya pili kufika Canada na kuuuwa shoo kari
@emmanueljohn725327 күн бұрын
Kama jua halijazama unawezaje kusema usiku au usiku unaamuliwa na nini?
@taseleli918127 күн бұрын
Muda
@BenjaminNickson27 күн бұрын
Mbona maelezo mengi
@jumasaleiman26 күн бұрын
Hapa Germany juwa kipindi cha sama linazama saaa 4
@timothykaiza32726 күн бұрын
Ulaya wakat huu mchana huo ni mrefu sana jua hadi saa sita usk.
@user-um4fk5ls3v26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂💪❤❤❤❤
@eddsonjeremiah666927 күн бұрын
Kwa diamond mnaponda kwa huyo mnajieleza mwache unafiki 😂😂😂😂
@malishjimmy952924 күн бұрын
Hey Millard Ayo, That was Afrofest, not Alikiba show, a free Afro-Canadian annual music event and has always been like that without Alikiba. Afrofest Toronto is Canadian annual event promoting African musical culture established in 1990 when Alikiba was barely 4 year old. You've got to report honest to fans of Alikiba and any celebrity. Any wrong report you publish about artist is gonna impact on their source of income and deter their career.
@Bboy-ek8vn26 күн бұрын
Mchana hakuwez kuwa na taa au huoni we unaesema mchana acha wivu alikiba ni mkubwa
@richkaja331726 күн бұрын
Kiba hana lolote afanye kazi kwa juhundi
@AbuuMkabugo27 күн бұрын
Inge kuwa daimond angesemwa oo kapewe mchana sasa uyo jeee
@RomanMwinyi27 күн бұрын
angalia Ina fanana na ya dada Yako ilikua kama ivyooo chokowee
@ConfusedAlien-xk3sh27 күн бұрын
Ya mond ilibuma 😂😂
@taseleli918127 күн бұрын
Kwani lazima umlinganishe na huyo Mond??😂😂😂😂
@user-td4le3xf7h27 күн бұрын
Wandishi wa bongo kweri mtihani kwai na wewe vido unaona kama umeongea point. Ivi unaelewa nini kuhusu mziki
@ivantompoo-p1w27 күн бұрын
Kwanza haujui kuandika rudi shule
@VEGOSTER23 күн бұрын
Alikiba noma sana kzfaq.info/get/bejne/odJmitZhravDe2w.htmlsi=cg4XOdNPhqfH6gLZ