We kaka muadhini nipe no yko ya cm nikutunze akika ww ndo mshindi wa hile siku ya mashindano umeadhini vzr sna
@sulebabalao38123 ай бұрын
Mashanlah
@user-fw8ut5se1k3 ай бұрын
Mungu. Awalani waliomfanyia hiyana
@user-fo3nl6id3u3 ай бұрын
Huyu maalim yuko vizuri sana
@laysonartgroup3 ай бұрын
Kwa kweli huyu ndo ana paswa kua mshindi mashaallah
@user-bg2rp2gd3t3 ай бұрын
Mashallh❤❤❤❤
@HamadHatibu-we9zm3 ай бұрын
Mashallah..
@user-sj8ti3nu9o3 ай бұрын
Nice.❤❤❤❤
@saidothman45273 ай бұрын
Mashaalaah mashaalaah
@yusufismailali69143 ай бұрын
Good
@yassirdushim63163 ай бұрын
Jamaa amedhulumiwa. Mungu yupo 😢
@SwaleheSelemani-tt4vg3 ай бұрын
Jamaa ni noma sana uyu nimemkubali
@user-bn8zj6hs6q3 ай бұрын
Mshindi wangu huyu hapa
@ahmedhamis3 ай бұрын
Kubebana hata kwenye dini, kwisha aaaa😢
@user-jl7jx5dm2f2 ай бұрын
Yupo vizuri sana apewe haki yake
@saidybhoky-lb7hg3 ай бұрын
angetakiwa awe number moja
@abduljecha77793 ай бұрын
Alizimwa sauti
@alawi67963 ай бұрын
Wamepelelka m2 hata kuadhini hajui kumbe dogo yupo vzr xana
@ramadhanhassan52853 ай бұрын
Huyu nimempa kura yangu na ndie anastahili nafasi ya 1
@AishaSaleh-uc2cs3 ай бұрын
Kweli haki yake apewe kajitahidi sana
@MohamefMullah3 ай бұрын
Ikiwa ni kweli na wao huyo mtu wao hakupita alishindwa
@mussakhatibhassan64303 ай бұрын
Kanzu t ilimyima ushindi😢
@user-ie2sv4dr2q3 ай бұрын
Ndo maana siku ya mashindano ya Adhana huyu walimkatia umeme ili tusimsikie...ila huyu jamaa naona ndo angekua mshindi siku hiyo...
@allysaid46793 ай бұрын
Nami nilikuwa sijamsikia sasa nikajuwa sm yangu mbovu wacha nihangaike huyu ndo mshindi
@NoorynMuddy3 ай бұрын
Nikwel hyu kaazini vzr sna
@ngidajuma35613 ай бұрын
Kweli
@NkeleiMabadiliko-of4ppАй бұрын
Huyo alirudia rudia mara mbili tatu lakini hakitambua kosa lake kwaio haikuangaliwa sauti iliangaliwa sunna ya adhana vitu vya kielimu kama hujui nyamaza
@user-hi8le2vb7z3 ай бұрын
ANAJITAHIDI ILA WALE WENYEWE WAMESHINDIKANA
@fundiissa50173 ай бұрын
Yaan kosa lake nipale Hayya Alaswalaah hakumalizia na tau
@user-is8vm9tl2u3 ай бұрын
Nikwel huyu ndy mshind hiv jaman hawkuskiy kwel hat km hakukuwa naumem? Ubinafsi tu uliwaamdama
@AbuuFurqaan-sd4ew3 ай бұрын
Namsapot
@user-fw8ut5se1k3 ай бұрын
Haha. Haha kwenye dining piano. Uchawi jamani unafiki. Chenille watching mungo alowajalia vipaji vyao vitumike. Miizee Michael tu mungo akudhalilisheni duniani na akhera
@shaabanramadhan3 ай бұрын
Tupo nawe
@user-kd7kh1io9k3 ай бұрын
Ukupoa ila umekopi saana
@aliabdalla92973 ай бұрын
Ulitaka iwe vpkweli chuki hazijifichi
@fatmaabdallah77093 ай бұрын
Huyu ndo alikuwa mshindi wamempa bayhak kwa upendeleo. Huyu angekwenda kushindana na mmoroco angeshinda huyu kwakweli
@MwansityMikidadi3 ай бұрын
Yaani huyu bhn mdogo ameadhini vzr mno kama nikweli wamemfanyia hvy wanapeka wawakishi wao hawafiki kokote
@ShabaniMilonge3 ай бұрын
Huyu ilibidi ndio mshindi
@user-jd3ey7fv6h3 ай бұрын
Kuweni na akili sasa ikiwa umeme ulizimwa hio sauti inavyotoka ya eccho inatoka wapi na sauti haiwezi kujiridia bila ya maiki na hasa chumba kikiwa na watu wengi ndani hio ni sauti ya kuedit Sasa hata hamtumii akili ?naona comment zishakua nyingi
@SoudShuraim2 ай бұрын
Sio editing ni yy mwenyewe
@user-jd3ey7fv6h2 ай бұрын
@@SoudShuraim hujui chochote kuhusu mambo haya waachie wenye hii Gani ndio wakajibi nakusema hivyo ...Sasa ikiwa umeme ulizimwa hapo wakati anasoma na sauti imetoka hivyo au mdomoni mwake ndio Kuna Echo?kuwa na akili usiropokwe tu
@user-ll9vy5xn4i3 ай бұрын
Du kwani uyu sio mshindi nani sasa pale anaemuwe wamemzulumu dogo
@ShukuruHashim3 ай бұрын
Hauna maana kama hata kwenye jambo la kheri mkafanya uhuni kwa nini umeme ukatike kwa mshiriki m1 tu