No video

SHUHUDIA BABA LEVO AKIOMBA MSAMAHA MBELE YA DIAMOND LATNUMZ | ZEMBWELA ANENA MAZITO

  Рет қаралды 55,837

SamMisago

SamMisago

Күн бұрын

SHUHUDIA BABA LEVO AKIOMBA MSAMAHA MBELE YA DIAMOND LATNUMZ | ZEMBWELA ANENA MAZITO

Пікірлер: 153
@heriholder1625
@heriholder1625 4 жыл бұрын
Simba ana heshima Sana mungu akubaliki sana.
@marthainnocent9603
@marthainnocent9603 4 жыл бұрын
Poleni sana na tumepokea msamaha wenu Mimi nikiwa namba moja kwani nawakubali na pongezi sana kwa kujishusha, Baba Levo, Zembwala na Nasib .. mimi mama Ivan +183
@khadijamussa3996
@khadijamussa3996 3 жыл бұрын
Kwan ww mungu nyooo mfyuuu kushangilia ujinga t
@marthainnocent9603
@marthainnocent9603 3 жыл бұрын
Khadija Mussa 👎🏿
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 4 жыл бұрын
Poleni Sana mtakuwa Sawa kwa uwezo we Allah MOLA yupo na yy 🇧🇭🙏🙏🙏
@maryamjuma9816
@maryamjuma9816 4 жыл бұрын
Maa shaa allah chibuuu na bb levooooooh 👏👏👏💗💞💞💞💞
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 жыл бұрын
Nakukubal sana mr zembwela una maneno ya busala huwa najifunza vingi sana kupitia ww baba yangu mungu akupe afya tele p1 wasaf media ....diamond.mungu akupe afya tele kk yangu.coz unawainua watu wengi sana vipaji 🙏...Tunawapenda wasafi media
@smiththestoryteller
@smiththestoryteller 4 жыл бұрын
Baba kiherehere tuna kupenda😚 salimia Simba🦁 +254
@wowwow723
@wowwow723 4 жыл бұрын
Yani macozi yanitoka pole sana
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣eti kiherehere huhuhu but ni kweli bn ana kiherehere sana huyo 😏😏
@katabimazingo1767
@katabimazingo1767 4 жыл бұрын
Hongera wasafi,,poleni na we love you
@marthaemmanuel3323
@marthaemmanuel3323 4 жыл бұрын
Baba levo kawa mdogo kama pilton
@juniorcx0114
@juniorcx0114 4 жыл бұрын
Simbaaaaaaa
@mdogod3531
@mdogod3531 4 жыл бұрын
All in all
@nkeshelias4272
@nkeshelias4272 4 жыл бұрын
Pole sn ndugu yangu umekua mnyonge sn aisee hatujakuzoea hivyo
@farhadhassansaid1297
@farhadhassansaid1297 4 жыл бұрын
Utatia adabu baba levo, unafaa ujimakini sio kurupukwa manake umepata kazi ww relax na ufanye kazi manake ukisema ama kufanya kitu kibaya watakayoumia ni wote sio ww
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
Kwani amefanyaje?
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Muwe na adabu mkiongea kwenye media maneno yenu ya mtaani msiyalete kwenye media mjue wanaosikiliza na kuangalia ni wengi
@mwalihashaekyoci5812
@mwalihashaekyoci5812 4 жыл бұрын
Nice
@frenchygigi
@frenchygigi 4 жыл бұрын
Fanya ile ya delay isikue live so that you censor
@lionking3015
@lionking3015 4 жыл бұрын
Wasafi fm imekua Wahanangwa fm
@farhadhassansaid1297
@farhadhassansaid1297 4 жыл бұрын
Kuwa makini manake hapo umeanza maisha yako sio kiherehere chenye ulikuwa unafanya mwanzo
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
Kiherehere sana huyo 😏😩
@farhadhassansaid1297
@farhadhassansaid1297 4 жыл бұрын
@@selector728 kabisa, ila sai atakoma tu
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
@@farhadhassansaid1297 sijui hata ni mtu wa type gan huyu mtu unakua kidomodomo Sana😡😡😡🤔🤔
@farhadhassansaid1297
@farhadhassansaid1297 4 жыл бұрын
@@selector728 yani itikeli zake kama dada kabisaa, madada ndio wanafaa wawe hivo lakini rijali wa kawaida na tabia hizo lazima uwangaliwe sana
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
@@farhadhassansaid1297 wee icho kiswahil vp 😩😩🤣🤣
@sumamsafitv646
@sumamsafitv646 4 жыл бұрын
Poleni sana
@suleytz7280
@suleytz7280 4 жыл бұрын
Saf sanaa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
*ZEMBWELA* Babuuu 👍😀
@godfreythomas3931
@godfreythomas3931 4 жыл бұрын
Mshaambiwa hiyo clip ilikuwa zaman kabla ya kuajiriwa
@ozybizness3914
@ozybizness3914 4 жыл бұрын
Tumekusikia
@aishamuyama3856
@aishamuyama3856 4 жыл бұрын
😍👌
@masoudseif4962
@masoudseif4962 4 жыл бұрын
Nani mwengine alosikia milango ikifungwa
@beatsbywesternshaa1023
@beatsbywesternshaa1023 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@neemathomas2008
@neemathomas2008 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@silversindjalabakeni2533
@silversindjalabakeni2533 4 жыл бұрын
Uta omba msama mpaka basi kweki mwenye pesa siyo mwezako
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Acha roho mbaya msenge maziwa wewe mwenzio anatafuta hapo
@joookahjokah8430
@joookahjokah8430 4 жыл бұрын
@@ringoaskali7625 uyu msenge utazani ajawahi kukosea,roho mbaya imemjaa
@muhibulivemba7242
@muhibulivemba7242 4 жыл бұрын
@@joookahjokah8430 ndo mnajua leo kua kukosea kupo co kisa wasaf tu c mlixhangilia nyie kw clouds mbwa nyie😂😂
@joookahjokah8430
@joookahjokah8430 4 жыл бұрын
@@muhibulivemba7242 we kumamamako msenge acha ukuma, uliona nani kashangilia
@hellenmanzi4740
@hellenmanzi4740 4 жыл бұрын
We malaya mpuuz wew mwenzio anatafuta pesa hapo wew unachonga
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 жыл бұрын
Mr. Zebwela ako na maneno ya busara I say
@joshuajoshua7092
@joshuajoshua7092 4 жыл бұрын
Waooo
@Tiffany340
@Tiffany340 4 жыл бұрын
All in all.. imeisha iyoo
@itNeza
@itNeza 4 жыл бұрын
Calisah Na Wasafi Wapi na Wapi : Namuona Hapo.
@inxrabbit8454
@inxrabbit8454 4 жыл бұрын
😆😆😆ata mm nashangaa
@mwaminramadhan4959
@mwaminramadhan4959 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaa duuuh nimecheka kwa sauti
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 4 жыл бұрын
Beberu kweli wewe ni mtumzima dawa hold is gold
@nanahcute5524
@nanahcute5524 4 жыл бұрын
Jameni amesamehewa au badoo
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 4 жыл бұрын
Mwenzenu nimeimis redio yetu pendwa yani nimezima redio siwashi mpaka muniwashie
@semenitheclassic
@semenitheclassic 4 жыл бұрын
Usha haribuuu tayarii
@danneismail5442
@danneismail5442 4 жыл бұрын
Kivipi sasa mwenye pesa hashindwi ku bounce back Mr. Semeni
@ahmadozil2220
@ahmadozil2220 4 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH za uchebe zimeshaanza kukuzuru fala wewe. Huna maajabu ulitakiwa uwe kungwi wewe.
@fatumamzungu2716
@fatumamzungu2716 4 жыл бұрын
Kwel kbs na bado
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 4 жыл бұрын
Ndio mana unaambiwa mdomo uliponza kichwa Baba levo acha sifa Zimekuzidi
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 4 жыл бұрын
Amezid mdomo na bado utaomba sana msamaha
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
Bwana tusidanganyane ndoa ndio kila kitu km boss hana mke ofice haitokuwa naheshima Aige mfano kwa ALLY KIBA Aige mfano kwa HARMONIZE nadhan hapo atapata majibu
@danneismail5442
@danneismail5442 4 жыл бұрын
Good comment bro lakini ndoa ni Mungu atakaye mjalia
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
Danne Ondiek na je broo huku kuwapiga nje pia mungu ametujaalia ama ni ujana wetu??
@danneismail5442
@danneismail5442 4 жыл бұрын
@@juxjemc5768 bro hatuwezi jua shida iko wapi ni Mungu peke yake ndie anajua, kwetu sisi ni kujifunza mazuri kupitia kwake na mabaya hanayo yafanya tuna muombea dua lakini si kumponda kwa sababu sote hatuko sawa
@mariamuthobias4836
@mariamuthobias4836 4 жыл бұрын
Ndoa siyo matako kila mtu awe nayo
@chambimagele6726
@chambimagele6726 4 жыл бұрын
Ndoa ni wakati wa mungu ukifika siyo kukurupuka tu wala kuiga kwa fulani
@florisseba9638
@florisseba9638 3 жыл бұрын
Uyo baba levo ni umbwa mujinga
@abdulazizi3219
@abdulazizi3219 4 жыл бұрын
Hawa TCRA nao wajitathmini. Kosa gani hilo lakuwafingia watu wiki moja..??? Wameshindwa kuwapiga faini ya fedha tu labda na kuwapa onyo
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Tatizo ya kupatia kazi wambea wasiokua na elimu.
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Acha wivu tako lako kuna mbea kama wewe utajuaje wambea bila kuwa mbea
@shabanjohn3636
@shabanjohn3636 4 жыл бұрын
Inalihi wainalilahi lajun
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
Kuna nn?
@theboyofficial7441
@theboyofficial7441 4 жыл бұрын
All in all umechomowa battery walahi🤔🤔🤔
@zuwenahamoud7792
@zuwenahamoud7792 4 жыл бұрын
Makosa aliyafanya kabla yakuajiliwa
@mnaloogeorge7638
@mnaloogeorge7638 4 жыл бұрын
Simbaa
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 4 жыл бұрын
Kwani what happened to wasafi woie why were they barred??!
@countrywizzkid6129
@countrywizzkid6129 4 жыл бұрын
😓😓😓 wowo limetuponza wasafi wote
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 4 жыл бұрын
Ukome kiherehere
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
Kabisa
@khadijamussa3996
@khadijamussa3996 3 жыл бұрын
Kakoma kbx
@salumnassor3845
@salumnassor3845 4 жыл бұрын
Mzee una maneno ya busara sana ila hapo ndipo ninapoamini kuwa kuna haja ya kwenda shule baba levo alipikuja tu ndio ameharibu mambo yote shamw on u jirekebisha for real by the way umeeleweka
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
Mbona kama kuna msiba
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 4 жыл бұрын
Wewe n mtumzima sokila mahala pakuropoka kua na na heshima na hekila kwa wadogo na wakubwa busara ndokitu ambacho
@abiyudsimon7495
@abiyudsimon7495 4 жыл бұрын
Baba levo we unakihelehele tumia akili
@julessebintu6525
@julessebintu6525 4 жыл бұрын
wa Tanzania munaombaomba sana
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Jifunze kiswahili vizuri kwanza ok sisi sio ombaomba sisi tunajitegemea sana Tanzania nchi nzuri fully amani mkianza vita zenu course maraisi wenu ni waroho wa madaraka alafu mnakimbilia Tanzania leo unasema tanzania ombaomba mkundu wako
@gasanajacques2247
@gasanajacques2247 4 жыл бұрын
Kwani hivi wame omba nini jyamani??!!!
@gasanajacques2247
@gasanajacques2247 4 жыл бұрын
Ringo Askali ww huwezi mjibu mtu kwa busara nilazima umtusi?
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷
@abedileite4725
@abedileite4725 4 жыл бұрын
Msamaaa wa nini? Wakati CEO mwenyewe anaimba upumbaa.
@muhibulivemba7242
@muhibulivemba7242 4 жыл бұрын
kabxaa yaan utopolo😂
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Km nyimbo ya JEJE
@rahmakipingu2926
@rahmakipingu2926 4 жыл бұрын
Umezidi kuropoka sana sifa zitakuua
@mungamichael9354
@mungamichael9354 4 жыл бұрын
Tujigalagazee....😆😆
@ramasaid3322
@ramasaid3322 4 жыл бұрын
Tatizo unajifanyamtoto
@dullasalehe5811
@dullasalehe5811 4 жыл бұрын
Ha ha ha
@paskomangee8409
@paskomangee8409 4 жыл бұрын
We ni fala tu
@gramsraymond4643
@gramsraymond4643 4 жыл бұрын
Delete futa kabisa
@Mtangazaji
@Mtangazaji 4 жыл бұрын
Hilo neno lenyewe alilotumia la kuwaita wanawake sio neno sahihi,neno sahihi ni wanawake wanene,Kwa hiyo haya matangazo ya moja kwa moja ya kupitia KZfaq hawajazuiwa na TCRA?
@viva-roblox5222
@viva-roblox5222 4 жыл бұрын
Diamond Latnumz ndo nani
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 4 жыл бұрын
Baba lao
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 жыл бұрын
Simba
@viva-roblox5222
@viva-roblox5222 4 жыл бұрын
@@hassanmapenzi6188 Chibu
@viva-roblox5222
@viva-roblox5222 4 жыл бұрын
@@ashamohamed1461 chibu
@mikarospius8084
@mikarospius8084 4 жыл бұрын
Clauds ilifungiwa wasafi mkafulai usitune mamba kabla ujavuka mto
@beatricemkinga3351
@beatricemkinga3351 4 жыл бұрын
Wakati wanafurahia ulikua nao? Acheni utimu usio na maana
@khalfanhamad5669
@khalfanhamad5669 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 imefungiwa 🤣🤣🤣🤣 badoooo iyoooo 👌
@saidubwenga3608
@saidubwenga3608 4 жыл бұрын
si ulisema huusiki ww?
@abdulupatumwamba5814
@abdulupatumwamba5814 4 жыл бұрын
Ilo kosa alifanya kabla yakuajiliwa
@gamba4311
@gamba4311 4 жыл бұрын
Ilikua ni interview hata kabla ajaajiliwa
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
@@gamba4311 ni ipi hiyo mbona sijaijua
@gamba4311
@gamba4311 4 жыл бұрын
Ile interview aliyofanya the switch
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
@@gamba4311 ok nitaicheki au washaifuta wamiliki
@user-qo1go1tv3e
@user-qo1go1tv3e 4 жыл бұрын
Ndo mujue king kiba Ana heshima yke kwa maneno yake apende ujinga zenu
@asuminiwajadi15
@asuminiwajadi15 4 жыл бұрын
Uchebe alisema hawezi kubishana na mjinga. Dunia imemfunza chezea dua wewe
@najmohamed6950
@najmohamed6950 4 жыл бұрын
Sa apo alikiba anahuska vp wee nae😏
@user-qo1go1tv3e
@user-qo1go1tv3e 4 жыл бұрын
@@asuminiwajadi15 mtu mjiga
@user-qo1go1tv3e
@user-qo1go1tv3e 4 жыл бұрын
@@najmohamed6950 si likwa Ana msema Ali kiba hyo baba levo keherehere
@gifttarimo7803
@gifttarimo7803 4 жыл бұрын
King anaakili sanaaaa
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 4 жыл бұрын
Stupid man. Hujitambui...unadhalilisha wanawake. Radio pendwa sio wasafi. Wasafi bado hamfika hata top 5 hadi sasa.
@jibrildavis5664
@jibrildavis5664 4 жыл бұрын
Yakwako namba 1 nasisi WCB tuhache na nambazetu bwana mswana
@chambimagele6726
@chambimagele6726 4 жыл бұрын
Utakufa na chuki zako mwenzako anasaka pesa wew unasaka chuki poleeee
@lucasjoseph1909
@lucasjoseph1909 4 жыл бұрын
Hahah na we kajamaa ndo ungekua CEO wa wasafi basi masikini babalevo angekua fired tayari hahaha
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu zembwela ni mswahili haswa haya maneno aliyoongea katumia umri wake na busara zake na misamiati iliyo nyooka kufikisha ujumbe ktk hadhira husika
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Kwakweli 😀😀😀
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
Misamiati migumu
@rahmakipingu2926
@rahmakipingu2926 4 жыл бұрын
Umezidi kuropoka sana sifa zitakuua
@membatv7878
@membatv7878 4 жыл бұрын
Fala ww ujitambuagi
@tysondaud6301
@tysondaud6301 4 жыл бұрын
Hongera wewe unajitambua
@membatv7878
@membatv7878 4 жыл бұрын
@@tysondaud6301 bibi ako
@kalvarykyando7821
@kalvarykyando7821 4 жыл бұрын
Nawe mjinga
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 4 жыл бұрын
Mkundu huyo
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu kabisa acha wivu wa maendeleo mwenzio anatafuta pesa mkundu wako mwache baba levo atambe
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 20 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 4,6 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 144 М.
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05
Zanzibar lifestyle
Рет қаралды 80 М.
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 20 МЛН