Рет қаралды 89,027
buy the machine here: amzn.to/36IeZps
Nunua machine hapa: amzn.to/36IeZps
ingredients
3 cups grams flour - 270g
1 cup water (minus 4 tbsp)
1 tbsp oil
1/2 tsp cumin powder
1/4 tsp tumeric powder
1/4 tsp black pepper powder
salt to taste
1/4 tsp baking powder
a pinch of salt
oil for frying
1 cup peanut
fresh curry leaves
mahitaji
vikombe 3 vya unga wa dengu - grams 270
maji kikombe 1 (toa vijiko 4)
kjk 1 cha kula mafuta
nusu kjk kidogo bizari nyembamba
robo kjk kidogo bizari ya mchuzi
robo kijiko kidogo pilipili manga
chumvi kiasi
robo kijiko baking powder
ncha ya kijiko baking soda
mafuta ya kukaangia
karanga kikombe 1
majani ya mvuje
_________________________________________
▫️For more updates please join my social media family ❤ 👇
✔instagram: @jifunze_mapishi : / jifunze_mapishi
✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
__________________________________________
✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
_____________________________________
✔More videos to watch;
🔴✅jinsi ya kupika keki ya machungwa/ Orange cake video 👉 • ORANGE CAKE / KEKI YA ...
🔴✅ Jinsi ya kupika chapati laini na za kuchambuka bila kukanda unga sana/ How to make no knead soft chapatis 👉 • Jinsi ya kupika chapat...
🔴✅ Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka / How to make delicious and fluffy cake 👉 • Jinsi ya kupika cake l...
🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 • Jinsi ya kuchoma kuku ...
🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele / Rice pudding 👉 • Mapishi ya pudding ya ...
🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉 • Jinsi ya kupika mkate ...
🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 • Jinsi ya kutengeneza I...
#tambizadengu #gramflournoodle #shunaskitchen