Sifa 8 za mke mwema katika Uislamu - Ukht Fatma Mdidi

  Рет қаралды 53,616

Kalamutz

Kalamutz

Жыл бұрын

Hii ni Part 01 ya sehemu ya tano na ya mwisho ya Darasa la ndoa

Пікірлер: 64
@FatimaMbeyu-mn7yf
@FatimaMbeyu-mn7yf 6 ай бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, shukran sana ukhty Fatima kwa Kutujuza mafunzo mema ya Allah Subhanna Tabaraka wa Taala .Na kzr kipewe sifa yke MashaAllah Tabarakallah yan mawaidha yko yaezamfanya mtu akabadilisha matendo yke kutoka kwenye maovu hadi kuja kwenye mema kulingana na imani yke na kumcha Allah Azza wajallah na Allah akulinde na Shari za Dunia na akuzidishie umri mrefu AAMEEN. JUMMAH MUBARAQ KWAKO
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu Ukhty Kwa ajili ya ALLAH Mwenyezi MUNGU Numuomba ALLAH Amtunze Duniani na kesho Akhera AMIIN
@eddymaphy
@eddymaphy 4 ай бұрын
Aamin yarabbil'alamin
@khadijahhamisi1882
@khadijahhamisi1882 Жыл бұрын
Inshaallah mungu atatuajalia tuwe miongoni mwa watu wema mashaallah dadaa fathima mungu akuzidishie Inshaallah mungu akipenda na sisi tukingiia kwa ndoa tuweze kujitahidi kwa uwezo wa mungu
@frdosr5794
@frdosr5794 9 ай бұрын
Takbir!MashaAllah tabarakalah!Mafundisho mema kabisa,JazzakAllah khayran fii duniya wal Akhera InshaAllah dada.
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 Жыл бұрын
Masha Allha nakuelewa vizur Ostazati wetu
@AishaB-gm7to
@AishaB-gm7to 4 ай бұрын
Mashaa Allah shukran jazakallah
@khadijahhamisi1882
@khadijahhamisi1882 Жыл бұрын
Ukthi fathima mashaallah nimependa sana hicho kisa cha fatuma na mke wa bilali unayoongea ni kweli dadaa watu wengi wanaishi maisha yakuigiza mungu akulinde popote ulipodadaa waongea na mdada kutoka kenya kwale County
@jumaamwamajeni1907
@jumaamwamajeni1907 5 ай бұрын
Mashallah Shukran kwa mafunzo mema mazuri mola akuhifadhi na akuzidishe Elmu.
@safiasaif9741
@safiasaif9741 Жыл бұрын
Mashaallah ukhty nakupenda kwa ajili ya Allah
@user-xh9su4qc6d
@user-xh9su4qc6d 5 ай бұрын
Maasha Allah tabarakillah ❤❤❤ Allah azidi Kuku hifadhi dada yetu mpendwa .Barakallahu fiiki
@mwanzegelekalu7092
@mwanzegelekalu7092 7 ай бұрын
Wallah Allah inshaAllah azijaze nyoyo zetu hima ya kuyatekeleza yoote yq faidha tunayopewa na dadaetu, ukhti wetu fatma. inshaAllah Mola amlipe mema kwa juhudi kubwa aifanyayo...
@allymgombela6927
@allymgombela6927 Жыл бұрын
Allah awatie nguvu muwaanze kuwafundisha watt wa kike wanaokuwa ili Baadae waje kuwa wake wema kwa Waume zao,
@twalaataib7337
@twalaataib7337 Жыл бұрын
Mashallah ukhty maneno mzr sana Jazakallah kheri Frm Kenya
@rodgersomar6597
@rodgersomar6597 Жыл бұрын
Mashaa Allah ukhty Allah akuzidishie ilimu
@ommyjh8225
@ommyjh8225 Жыл бұрын
Tsfadhali Uhkty naomba unitafutie mchumba🙏
@mhamadaldo7338
@mhamadaldo7338 6 ай бұрын
Allah atuogoze tuwe wake wema kwa waume zetu
@user-oq6hb9hh2b
@user-oq6hb9hh2b 3 ай бұрын
Mimi nilimpa taarifa mme wangu mama yngu amevunjika mguu amelazwa kesemc alikaa kimya. Nkamwomba ruhusa nikamwone. Mama. Yngu amelazwa. Alinijibu huyo siyo mama yngu akanijibu huyo ni mama yko mama yngu ameshafariki kesho yke pamekucha. Nikamkumbusha. Aliyonijibu Jana usiku. Akarudia vilevile alichosema sikuenda kumuona. Mama yngu mpaka alipo toka hospital. Nilipewa taarifa maendeleo y mama Basi nikamwachia mungu
@kalamuMedia
@kalamuMedia 3 ай бұрын
Pole
@eddymaphy
@eddymaphy 4 ай бұрын
MashaAllah ❤
@user-xh9su4qc6d
@user-xh9su4qc6d 5 ай бұрын
Mimi nina shida ya namba Yako ya sim dada yangu mpendwa ❤ kwa ajili ya Allaah .Naomba
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Assalamu alykumu warhatualla wabarakaatuh
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅Kweli kabisa hongera sana 💕💕💕💕💕💕💋
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Mimi nakupenda sababu ume towa fundisho vizuli bila ku cheka cheka nafurahi sana lakini tena umenifunza mengi asanteni nakupenda bure umeongea vizuli
@rashidngumbao3346
@rashidngumbao3346 Жыл бұрын
Asaalam aleikum nashukuru Sana kwa dharsa yako Allah kuongoza kwa njia ilio nyoka na akuzidishie elimu
@zaidahadhieno1171
@zaidahadhieno1171 Жыл бұрын
Ma sha Allah hayo mawaidha jazakallah kheir
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 6 ай бұрын
Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh maisha Allah mawadhah mazuri sana
@maimunahhassan5132
@maimunahhassan5132 Жыл бұрын
Tunashukuru kwa darsa zuri ukht
@SayyedMusungu
@SayyedMusungu 7 ай бұрын
Mashaallah
@aishabashirbashir-vv9lk
@aishabashirbashir-vv9lk Жыл бұрын
Mashallah
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@saidiabdi6993
@saidiabdi6993 Жыл бұрын
Mashaallah waoe elimu
@jamalkishangu
@jamalkishangu Жыл бұрын
Huyo ni sheikhat aliye ujua Uislamu, anawarekebisha wanawake na wanaume, Ili wote wajitazame katika kioo cha Uislam.
@user-ss8hr9bz5g
@user-ss8hr9bz5g 5 ай бұрын
Mm nauliza je ipo hukmu ya mke kukataa kuenda ukweni
@ommyjh8225
@ommyjh8225 Жыл бұрын
As salaam Alaykum warahmatulullahi wabarakaltu Uhkty Fatma
@abdulragmababdulsalam5107
@abdulragmababdulsalam5107 Жыл бұрын
Mashaallah
@salmachabani3895
@salmachabani3895 Жыл бұрын
Asant san mama💖💖💖💖💖
@mshenzigamer2645
@mshenzigamer2645 Жыл бұрын
Jazaka Allah kheir.
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 Жыл бұрын
Siku hizi wanandoa wengi wanaishi kwa maudhui ya tamthilia za kijahili na mitandao potofu ya kijamii.
@MaryamSaid-lj2sz
@MaryamSaid-lj2sz 10 ай бұрын
BaarakaAllah
@allymgombela6927
@allymgombela6927 Жыл бұрын
Ukhty wanawake kama hao kwa karne hii hawapo, Na hawatakuwepo. Mupo wachache sana munaotambua hayo.
@sadasaid7212
@sadasaid7212 Жыл бұрын
Usiseme hivyo akhy, wanawake wema wapo, ifanyike tu juhudi kwa kila mzazi kutengeneza familia Bora itakayowatoa waume na wake wema! Kwa msaada wa Allah pekeyetu sisi hatuwezi
@mkanaonlinetv2994
@mkanaonlinetv2994 Жыл бұрын
Allah Karim unajitahidi mno
@allymgombela6927
@allymgombela6927 Жыл бұрын
Wanaume Wengi kwa sasa tunalia Sana Kupata wake wema wanaoweza kufanya hayo lakn ni mtihani kupatikana, Kikubwa wanawake Wengi hawataki kusoma Dini na Kupata Muongozo wa Dini yetu ya Kiislaam
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Njooo unioe mie.
@jamalkishangu
@jamalkishangu Жыл бұрын
Ni sheikh wangu wanawake wanaofuata mafundisho ya Kiislamu kwa sasa ni wachache sana. Wanapenda kujitambulisha kama Waislamu lakini sio kuufuata Uislamu. Wanawake wa Kiislamu hawaolewa kwa ajili ya dini, wanaolewa kwa kile wanachoita kutoa mkosi.
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 Жыл бұрын
Hadjati tunashukuru mnoo ila kwa hawa wa leo
@aliamour4970
@aliamour4970 7 ай бұрын
Kwanini kama sauti ya mwmke ni awra mtume akawaruhusu masahaba kwenda kuchukua elimu kwa kijanakike chekundu akimaanisha mama aishaa?
@sumeyaahmed4187
@sumeyaahmed4187 Жыл бұрын
Naomba namba ya ukhty fatma mdidi
@farmah9685
@farmah9685 Жыл бұрын
Pole nani kakuruhusu sauti yako kusikika kwenye mitandao sauti pia ni awra
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 Жыл бұрын
Umepata faida au umeangalia uchi
@womar4125
@womar4125 Жыл бұрын
Hapo sasa watu wangapi wamepata faida Alhamdulillah mungu amuweke ukhty wetu
@jamalkishangu
@jamalkishangu Жыл бұрын
Uislamu ni jambo zito sana. Uislamu haumkatazi mwanamke kufundisha, sio kusikika sauti yake tu anaruhusiwa kukaa na wanaume na kuwafundisha, upo utaratibu wake. Rejea historia ya bi Aisha binti Abubakari swidiki r.a wakati maswahaba wakubwa walipopiga magoti kwake kupokea maarifa ya dini yao. Uislamu ni mwepesi kwa Kila muumini.
@dhulfikariftikar7736
@dhulfikariftikar7736 9 ай бұрын
Hajasoma uyo na wala haelewi lakini pia na choyo anacho si unajuwa wanawake? Chuki tu hizo na mwanamke kama huyo kibri hata kwa mumewe
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Sisi tu naye ishi huku uarabuni mbona wanawake wa huku hawati hizo tabia za muke mwema wanaitaga wa umewao majina yao hawapikii waume ao chakula hâta nguo hamuandalii ni sisi tu wa fanya kazi njo tunaudumia nyumba nzima wanawake wote huku ni kutazamatu sim ao téléphone nakula
@chantalalia4811
@chantalalia4811 Жыл бұрын
Unaongeya vizuri dada yangu nahuko warabuni njokwenye chanzo cha dini mbona umesahau kutandikia kafiri yani boss hhhh wake wawarabuni feki sana Allah awanuru
@sadakimwaki9791
@sadakimwaki9791 Жыл бұрын
Huku arabuni ni mtihani
@winnieanyango3951
@winnieanyango3951 Жыл бұрын
Pesa zinaongea
@ruhaymanllymuhammed2094
@ruhaymanllymuhammed2094 Жыл бұрын
Subhanalla nikweli nduguzetu wamejisahau sana
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Sio kila muarabu ndio bora laaaa m bora wenu mbele yawenzimungu ni mchamungu sasa wewe fanya wewe kama wewe
@BarakaChirume-wn9mi
@BarakaChirume-wn9mi Жыл бұрын
Xx
@MwanaKombo-sh5hf
@MwanaKombo-sh5hf Жыл бұрын
Mashallah
Sifa 8 za mme mwema | Bora - Ukht Fatma Mdidi
23:17
Kalamutz
Рет қаралды 19 М.
Mambo 10 kila Mzazi anapaswa fanya - Ukht Fatma Mdidi
1:06:30
Kalamutz
Рет қаралды 18 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 15 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 68 М.
SIFA TISA ZA MKE MWEMA-MCHUNGAJI.FARAJA HAMULI
47:30
NY TV
Рет қаралды 11 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:51:47
Mke ndio Daktari namba moja wa Mume
35:52
Kalamutz
Рет қаралды 127 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 15 МЛН