SIMANZI YATANDA..Kijijini kwa MREMA | Ndugu na majirani walilia kwa mengi

  Рет қаралды 7,239

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Moshi. Wakati wananchi wanaoishi kijiji cha Kiraracha Marangu wilaya ya Moshi wakimwelezea Augustine Mrema kama alikuwa mtu mwema na mkarimu, nyumbani kwake hadi leo Agosti 21,2022 hapakuwa na harakati kubwa za msiba wake.
Hii ni kwa sababu Mrema aliyekuwa mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP) na Mbunge wa Vunjo, kuwa na makazi mengine Jijini Dar es Salaam ambako alifariki dunia akitibiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) leo asubuhi.
Wakizungumza na Mwananchi Digital katika kijiji hicho cha Kiraracha baada ya kupokea taarifa za msiba huo, majirani zake walimwelezea kama mtu mwema, mkarimu na anayependa kusaidia majirani bila kujali itikadi za kisiasa, kiuchumi, jinsia au umri.

Пікірлер: 5
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba rafiki Mungu akurehemu naumia sana RIP amen
@neemamollel2943
@neemamollel2943 Жыл бұрын
hivi ni kweli jamani mbona kama siamini😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-id1me9ve1o
@user-id1me9ve1o Жыл бұрын
Innalinlah wainnalillah rajiuni Anllah amlehemu na amuhifathi 😢😢😢😢💔🤲🤲
@davidmrabu7226
@davidmrabu7226 Жыл бұрын
Tuweni pole Seto jamani,kutoka Kenya tunahusuni pia
@zaharamussa161
@zaharamussa161 Жыл бұрын
Bibi na kikombe chake polen sana
Mauaji ya kutisha: Watatu wauwawa kikatili, wauwaji wajinyonga
8:11
Mwananchi Digital
Рет қаралды 546
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 67 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 35 МЛН
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 301 М.
HATIMAYE RAIS AZINDUA TRENI YA MWENDOKASI DAR-MORO-DODOMA.
25:00
SE MEDIA TV
Рет қаралды 2,2 М.
Rejected total Orphan with family living alone in the forest
18:22
Bosongo Vibes
Рет қаралды 1,1 М.
Mchungaji anayedaiwa kuua aendelea kusota mahabusu, upelelezi bado
2:55
Dunia Yetu Leo | Agosti 01, 2024 | Asubuhi
7:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,2 М.
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 200 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН