No video

SIMBA HAIMTAKI MANULA KISA KIPIGO CHA 5-1 KUTOKA YANGA/ HANA MAISHA MAREFU/ HUENDA AIENDE PRE-SEASON

  Рет қаралды 8,871

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 33
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
MANULA CY KOSA LAKE HAPO KOSA LA VIONGOZINA KOCHA WAO NDY WALIOMPANGA MANULA ACHEZE KWENYE DABI. MNAMPANGA WAKATI AMETOKA KWENYE UPASUAJI MKUBWA. KOSA LENU VIONGOZI NA KOCHA. HAPO MLITAKA KUMTAFUTIA SABABU TUU
@bestman8182
@bestman8182 Ай бұрын
Wasaliti hawana nafasi Simba.
@user-hy4zb3eg1z
@user-hy4zb3eg1z Ай бұрын
Msimu huu tunawapiga 7 mech ya kwanza ya Agosti 8
@julaimalidadi6394
@julaimalidadi6394 Ай бұрын
Tumewatoa wale ambao ni duka la utopolo kununua
@ismailyaru679
@ismailyaru679 Ай бұрын
Hana mpango Anauza sana mchukueni nyinyi mpelekeni katika timuyenu
@murshidyabdallah1356
@murshidyabdallah1356 Ай бұрын
shida ni moja midia za bongo ivi kwan hamna mada nyingine kila mda simba kafungwa 5 kwan simba hiyo aikuwai kufunga yanga 5 au ni ivo tuh kwakua mmebaki kua mamluki wa yanga acheni ushamba fanyeni kazi mnaoijua uchambuzi wa mpira hamjui
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 Ай бұрын
Kama watamshtumu manula kuhusu 5 em turudie mchezo tuone Kama yeye anahusika Adi ufungwe ni waz kua waxhezaji 10 wote walishindwa kuficha mpira adi watu wanafika golin
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 Ай бұрын
Waaache lawama kikosi kilikua kibovu tu sio kumlaumu manula
@SunguraMmarekan-bs2lr
@SunguraMmarekan-bs2lr Ай бұрын
Msituoangie anzisheni team yenu
@bestman8182
@bestman8182 Ай бұрын
Mwambie akafanye mazoez coco beach 😅
@bestman8182
@bestman8182 Ай бұрын
Si ameshapata duka? Yanga wakampe nafasi😅
@rosenyoni6426
@rosenyoni6426 Ай бұрын
Duka la yanga kwa kipigo Cha 5-1 hapana aiseee
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg Ай бұрын
Yanga wampeleke
@patricknkinga7720
@patricknkinga7720 Ай бұрын
Msitupangie kama vip anzisheni timu zenu nyie mnao kafanya vizur kupigwa goli 5
@Niika870
@Niika870 Ай бұрын
Utopolo bhana 😂😂 Hatutaki maduka yenu msilete porojo zenu hapa baada ya maduka yenu kufungwa, Hatumtaki Manula tosha
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Ай бұрын
Haswa WALISHA jua maduka YAMESHA fungwa Sasa Wana haha wapi watapata mtu wakuvujisha habari za Simba akae bench atalipwa mshahara wa bure hakuna shida
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Ай бұрын
WW AKILI HAUNA GOLI LA KWANZA CHE MALONE ALIMUACHA MUSONDA ANARUKA FREE HEADER LA PILI MAXI ALITOKA MBALI NA SHABALALA AKAPIGA ANGLE AMBAYO HATA BABA YAKO ASINGEDAKA LA TATU BEKI YOTE ILIVUGWA NA MZIZE KI KAWAPIGA TOBO KAPOMBE CHE MALONE NA NGOMA LA NNE SHABALALA KAZIDIWA UBAVU NA MZIZE V PASI GOLI LA TANO PENATI HAPO MAKOSA YA MANULA YAKO WAPI FALA WW PIA WANACHOSEMA WAMRUHUSU AENDE AZAM SIMBA HAWATAKI NI ULOFA KM MADUKA BASI TRY AGAIN NDIO DUKA KIBWA LA YANGA MBONA HAMUFUKUZI
@amanisalum1638
@amanisalum1638 Ай бұрын
Hatutaki kushauriwa.Alikuwa kipenzi chetu.Ametuumiza na kutuudhi. Hivyo tuacheni na mchezaji wetu tutajua wenyewe. Mnasimama upande wa mchezaji pasina kujua alikuwa akipewa Kila alichostahili Kwa mujibu wa mkataba wake.
@michaelkamaghe5046
@michaelkamaghe5046 Ай бұрын
Unapofanya ubaya ujue unayemfanyia ujue akijua u ubaya wako atakumiza zaidi ,manila avumilie kama alivyofanya ,huo ndio mshahara wake
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Simba haiwezekani ipigwe goli 5 na Utopolo
@user-bv9cx7xe5o
@user-bv9cx7xe5o Ай бұрын
Ndio kashapigwa tiali
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂 .... Kwan kapigwa au hajapigwa ?
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Kbsaa
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf Ай бұрын
Bwana kitenge tatizo Lao walijenga ufalme kiasi ilifika wakati waliona wao ni wakubwa kuliko timu
@alexoswald1725
@alexoswald1725 24 күн бұрын
Anuari unaongea huku unaumia na simba yako
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Ай бұрын
Wasenge nyie mna mtetea manula KWANI MSHAHARA SIANA LIPWA SHIDA NINI KAMA VP MVUNJIENI MKATABA YAENDE ATAKAPO AU MPENI USHAURI UAVUNJE MKATABA YAENDE ZAIDI YA HAPO YAWEKE TAKO CHINI MSHAHARA ATAPEWA HATA KAMA HAJAFANYA KAZI
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Ай бұрын
Hajaisha ila ni msaliti we umetoka majeruhi ya mda mrefu hujacheza hata mechi moja halafu udake dabi duka hilo
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Umetoka majeruhi alafu unataka udake dabi??? Engineer Hersi aje achukue maduka yake mengine yamebaki huku.. Ndo maana Dube alikuwa anawakamia sana Simba lakini akikutana na Yanga hamna kitu,vile vile na Chama na Baleke walikuwa wakikutana na Yanga wanakosa magori mengi sana .. Bora alivyochukua watu wake
@user-hy4zb3eg1z
@user-hy4zb3eg1z Ай бұрын
Kojoa ulale
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Ай бұрын
Kwani magoli yale yote kasababisha manula?beki yote ilikuwa mbovu hakuna goli la manula pale la 1 musonda free header la pili che MALONE alimuacha maxi anatembea na mpira hadi goli la tatu wachezaji watatu walikula Tobo kapombe, che malone na ngoma ka nne mzize kamzidi nguvu shabalala v pass goli ka Tano penati hapo nakosa ya manula yako wapi duka la Yanga ni mo dewji na Try again ndio waliuza mechi
@tumainimuna8755
@tumainimuna8755 Ай бұрын
Hatumtaki tuu hata kama mnamtetea kihivyo, akauze duka
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
Viongozi wa Simba wanawaacha wachezaji ambao ni bora
@MabenaKishapu
@MabenaKishapu Ай бұрын
Anzisha timu yako
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 104 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 3,7 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 243 М.
AHMED AFUNGUKA KINACHO MKWAMISHA MUKWALA| AMWEAGIA SIFA ATEBA
5:54