Simba SC 1-1 Power Dynamos FC | Highlights | CAF CL 01/10/2023

  Рет қаралды 271,421

Azam TV

Azam TV

10 ай бұрын

Simba SC imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Power Dynamos na kufuzu hatua ya makundi barani Afrika kwa faida ya goli la ugenini.
Hii ni kufuatia sar ya mabao 2-2 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Zambia na kufanya matokeo ya jumla yawe sare ya mabao 3-3.
Katika mchezo wa leo, magoli yote yamefungwa na wachezaji wa Power Dynamos wakianza dakika ya 16 kupitia kwa Andy Boyeli na kisha kujifunga dakika ya 68 kupitia kwa Kondwani Chiboni.

Пікірлер: 157
@mfongehngwa4257
@mfongehngwa4257 10 ай бұрын
Simba you have learnt a lesson, next time don't play a friendly against your future opponents
@ashavostar1871
@ashavostar1871 10 ай бұрын
Simba mtaniuwa jamani kazeni buti maana naipenda sana simba ❤❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 10 ай бұрын
Hongera cn simba myama❤kwa kutinga robo this is simba na alaf namkubali cn baraka mpenja full burudani❤❤❤
@ricklandennis
@ricklandennis 10 ай бұрын
Jamani mpaka tuanze kuwatukana ndio mjue mnatuzingua, japo sisi sio makocha lakini timu ikicheza vizuri tunajua hata km imefungwa. Ila mnachofanya sasa ni ufala watu wavivu mnakabia macho timu haina mwendo mamae😢😢😢 halafu kocha unashida gani na phili maana ss tunamjua uwezo wake bwege ww
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 10 ай бұрын
Tuna shukur m.mungu kwa matokeo
@Japhary-sx3je
@Japhary-sx3je 10 ай бұрын
Simba wamecheza vizuli asante mungu asante boko
@jeviounipers
@jeviounipers 10 ай бұрын
Hakika. Bless you
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 10 ай бұрын
VZR YA NYOKO. MPIRA GANI ULE SIMBA AICHEZ HV
@collectionline6055
@collectionline6055 10 ай бұрын
Kuna simba nyingne labda
@aminata3702
@aminata3702 10 ай бұрын
Tuachage kupaka mavi rangi ,Simba imecheza hovyo
@saidmkinga5140
@saidmkinga5140 10 ай бұрын
Nimependa comment yako, unajua Mpira bro
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 10 ай бұрын
Wanao mlaum kipa hawajui mpila
@OmaryAthuman-sf6is
@OmaryAthuman-sf6is 10 ай бұрын
Shida nikoch bwana wanacmba tunaumia kwa mpira ule ukizngatia cmba nitimu kubwa Africa masharki
@alisuleiman9627
@alisuleiman9627 10 ай бұрын
Timu imecheza vizuri isipokuwa bahati ya nafasi ndio tatizo
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 10 ай бұрын
Simba mko vizuri nusu fainali naiona hiyooooo
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 10 ай бұрын
❤️ALHAMDULILLAH❤️🇹🇿🇦🇪
@marksammiy
@marksammiy 10 ай бұрын
Simba mnajisahau wachezaji Wala sipo kosa la kocha wachezaji wanacheza kistar Sana lazima mvurugane
@JosephSanga-ri5lq
@JosephSanga-ri5lq 10 ай бұрын
Kocha asiondokee yupo vizurii mana moto ni tumewapelekeaaa hawa mbwa ,,, alafuu hata Aly ahyal alianzaaa ivi ivi naaakachukua kombeee so 👍👍👍Simba nguvuu mojaaa
@rozinasabuni666
@rozinasabuni666 10 ай бұрын
Kwa goli la kujifunga
@athumanfuko199
@athumanfuko199 10 ай бұрын
Kabisa cha moto wamekiona sema uwanja umetubana sana.❤
@athumanfuko199
@athumanfuko199 10 ай бұрын
​@@rozinasabuni666siyo goal au
@meshackmlaki2066
@meshackmlaki2066 10 ай бұрын
John boccco
@EREVUKATV
@EREVUKATV 10 ай бұрын
Kumbe kuna mashabiki wengine wa simba ni maku sana yan kichwan hamn hata chembe ya aibu unaandika ujinga gan huu badala umshkuru Mungu unaongea ujinga
@ricklandennis
@ricklandennis 10 ай бұрын
Sasa wachezaji wamesimama km mistimu, jamani kipa afanye nn. Timu ina shida
@user-ii9sc7bz2k
@user-ii9sc7bz2k 10 ай бұрын
Simba naipenda pambana mungu atawalinda
@LoniaNawakwi
@LoniaNawakwi 3 ай бұрын
You gave them a run boys
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 10 ай бұрын
Ila mishuti mingi wamekosa wachezaji 🤣🦁🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️unyama mwingi go champions 🦁🦁🤸‍♂️
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 10 ай бұрын
goal tulilofungwa sio kosa la goalkeeper nikosa labiungo namabeki
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 10 ай бұрын
we kdg unajua mpr maaan kuna mbwa znamlaumu kipa wkt Pale kipa yyt anafungwa tu
@shanmlawa
@shanmlawa 10 ай бұрын
Iwe isiwe kipa nae hamna kitu
@ibrahimalharthi4599
@ibrahimalharthi4599 10 ай бұрын
Simba walivutiwa na kocha Mbarazili pale timu yake Viper ya Uganda ilipoishinda Mazembe wakati kumbe Mazembe ili 7:35 kuwa taabani na mpaka leo hii bado inajikongoja
@kehenguc
@kehenguc 10 ай бұрын
Hii Simba ya "Park Bus" itatuua kwa pressure, maana tia-maji-tia-maji na na come-back ya kukomboa goli kila wakati aibu yake haitakuja kusahaulika kwa muda mrefu...
@user-qr4lo5xe5l
@user-qr4lo5xe5l 10 ай бұрын
Asnt chama langu na asnt golie kwa baadhi ya mashut uliyo yadaka asante boko papa kwa kas yako🎉🎉🎉🎉🎉
@ashavostar1871
@ashavostar1871 10 ай бұрын
Simba oyoooooo ❤❤❤
@EREVUKATV
@EREVUKATV 10 ай бұрын
Simba leo imecheza vibaya zaid katika vipnd vyote viwili yan Kipind cha kwnz na cha pili! Kuliko hata ilivochez vbya kipnd cha kwnz kule Zambia yan wamechez mpira unawez kudhan wao ndo wageni! Kwa mwendo huu msitegmee maajabu kama haya yaleo kama yanawez kujirudia
@user-ny4sv7hm8g
@user-ny4sv7hm8g 10 ай бұрын
😔😔😔 tumeshinda lakin macho yangu ni Mekundu
@MasumbukoMaulidi-wc6od
@MasumbukoMaulidi-wc6od 10 ай бұрын
Sorry 😔😔
@user-gk6hr1pn7q
@user-gk6hr1pn7q 10 ай бұрын
Asante mungu timeouts
@naiellyliakimu9162
@naiellyliakimu9162 10 ай бұрын
Simba wamecheza vizur bhna
@ibrahimalharthi4599
@ibrahimalharthi4599 10 ай бұрын
Waulizwe wachezaji bila ya shaka wao ndio hakika wanaojuwa tatizo lilipo
@user-vg3id5xl9j
@user-vg3id5xl9j 10 ай бұрын
Simba awaja cheza vizuri kabisa watani wangu ila ongereni
@user-sx2sr6vl5v
@user-sx2sr6vl5v 10 ай бұрын
kacheze ww vizuri
@JuliusMboya-sm7el
@JuliusMboya-sm7el 10 ай бұрын
Jamani wachezaji tunao tena ni Bora sana ila tatizo ni kocha anafanya sabu akiamua aendi na upepo wa mpinzani alaf kipa pia aende kabisaaaaa mbona kipa tunae mzuri tu ni lazima mzungu atudakie tutafeli mapema.
@matombotv1507
@matombotv1507 10 ай бұрын
atukutakiwa kwenda makundi daynamo wametulazimisha kwenda makundi😅
@user-bd1sg6kn1h
@user-bd1sg6kn1h 10 ай бұрын
Aaaa kwagolikipa huyu hapana Simba tuta feli
@selousniassa1854
@selousniassa1854 10 ай бұрын
Mimi ni Simba kindakindaki lakini kwa kocha huyu mmm! ngumu kutoboa aquater final of caf champion league aondoke na hilo shati lake la golini eti wakumwita Ayubu mmm! siopw wanu by Frank Nchimbi naipenda sana Simba lakini uzembe siupendi viongozi wa club mujitathimini hii sio pw.
@franknyaganya1453
@franknyaganya1453 10 ай бұрын
Tutajie kocha unaemtaka
@walengamwamaua-ws6io
@walengamwamaua-ws6io 10 ай бұрын
Awajacheza vizuri simba, goli la kupewa
@ashaabdi4026
@ashaabdi4026 10 ай бұрын
et kama minazi😂😂🙌
@colethanyaku1077
@colethanyaku1077 10 ай бұрын
Kwanza viongoz wakae na wachezaj wajue shida iko wap jambo la huyu atumtak jambo kocha aondoke kabla ya Nyerere day mrudishen mgunda makocha hawa tulionao watatua mashabiki kwa pressure Lakin mashabiki tutakua na uvumilivu kidogo tu kwa uwanja wachezaj awajauzoea kama kwa mkapa . Kama ingekuwa kwa mkapa leo kocha ingebid aondoke ata leo .
@rockygappi1018
@rockygappi1018 10 ай бұрын
Mmmmmh wachambuzi mmekuwa wengi siku hizi kha😂😂😂 Eti kocha aondoke..aondoke kwa lipi sasa??😂😂 kama we una presha zako we kaa pembeni hufai kwenye vita tuachie simba yetu
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 10 ай бұрын
Kwa mkapa mlishaficha uchawi wenu.
@rockygappi1018
@rockygappi1018 10 ай бұрын
@@yakobokuzenza6837 lazima utakuwa ilishirikiana nao kificha huo uchawi kwani we umeyajuaje hayo..kigagula mkubwa wewe😆😆😆😆
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy 10 ай бұрын
Saivi Simba wanacheza UPUMBAVU MTUPU.
@user-ob2ku9tq1p
@user-ob2ku9tq1p 10 ай бұрын
Huyu golikipa HAMNA kitu na kocha anazingua Robertino aondoke tuu tutafutiwe uchebe 😢😢
@saidjuma9885
@saidjuma9885 10 ай бұрын
Marking ya Simba Ni mbovu Sana
@shadrickchilolo8185
@shadrickchilolo8185 10 ай бұрын
Power dynamos is better than Simba to be honest and Simba is not going far in group stage i close my case.
@ramadhannamkoveka8709
@ramadhannamkoveka8709 10 ай бұрын
Power Dynamo is better team and that is why Power dynamo is going to the group stage. you need to learn how to analyze football between result and performance matters most and also to play to the objective football.
@SamGesta-fy2rs
@SamGesta-fy2rs 10 ай бұрын
Hawa power dymoo wangecheza na Singida wangefungwa nje ndani wala sio wazuli sema simba mbovu ndio mana wanaonekana wazuli lkn timu akuna
@JosephSanga-ri5lq
@JosephSanga-ri5lq 10 ай бұрын
Unafkirii iini timu ya vilema wale wa Sudan mlio cheza naooo ,ila nyuma mwiko bhana mnaaaaumia sana Simba kuvukaaa 🤪🤪
@JosephSanga-ri5lq
@JosephSanga-ri5lq 10 ай бұрын
Ulishindwa kumaliza mchezoo mapema ngao ya jamiii0:0,power katufunga jumla ya mabao matatu ,,,manake ww ni mbovu kwa power ,,,nyuma mwiko ww
@Damarry-FX
@Damarry-FX 10 ай бұрын
Singida iko wapi?. Pumbavu kabisa
@user-ft2pw8nl6y
@user-ft2pw8nl6y 10 ай бұрын
Harry Maguire wa Africa😅
@kadmc9124
@kadmc9124 10 ай бұрын
Bora mgunda.
@francisjonas8973
@francisjonas8973 10 ай бұрын
Kwenye mchezo wa jana lawama ni za Coach kikosi halialibu baaada ya kushindwa kumvumilia Jian Baleke kwa dakika kama 65 ivi.
@user-uq2pz6yh3x
@user-uq2pz6yh3x 10 ай бұрын
Amna Cha kocha timu mbovu
@AminaRamadhani-gx8yr
@AminaRamadhani-gx8yr 9 ай бұрын
Simba mmetutia aibu kubwa,manila katuangusha naihisi bado ajapona haaa
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 10 ай бұрын
Kwa kipa huyu simba tumepigwa
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 10 ай бұрын
tangu mgunda aondoke simba imepoteza mpira wake
@JumaMagenda-dv5ph
@JumaMagenda-dv5ph 10 ай бұрын
Tumepigwa kwa robertinho
@user-od8es5ys5y
@user-od8es5ys5y 10 ай бұрын
Aaaaah, huyo kipa wenu simba siyo
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 10 ай бұрын
Hii timu KWa UCHEZAJI HUU.. eti WAFINYU WA FIKRA na akili wanasema kocha ni mzuri.. benchi lots hovyo.. kocha WA VIUNGO nae hamna kitu...
@elinamikileo4011
@elinamikileo4011 10 ай бұрын
Kabisaaa KOCHA WA VIUNGO ni hewa tuu Fitness Bado IPO chini saaana
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 10 ай бұрын
Msemaji wenu yule shoga anamsifia kocha kila kukicha.
@RachideLawama
@RachideLawama 10 ай бұрын
Like hapa jamani
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 10 ай бұрын
Kocha mzawa Mgunda alud kundini
@SaraJonathani-ko4ku
@SaraJonathani-ko4ku 10 ай бұрын
Hatuna kochaa hapAa
@user-qt7dw7rx8i
@user-qt7dw7rx8i 10 ай бұрын
Kocha anajua
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 10 ай бұрын
Moses phiri jmn mbona huyu kocha hata kumpa nafasi shida nn lkn😪
@BarakaWaya
@BarakaWaya 10 ай бұрын
Goli Ni kosa la beki
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf 10 ай бұрын
Viongozi wa simba msichezee tena uwanja huo
@reubenismail385
@reubenismail385 10 ай бұрын
Simba ni sikieni!kocha hapo hayupo ipo siku mtanikumbuka!mtoeni huyo kocha mapema sana maana tunaenda kupata aibu ya mwaka!pili wakina kapombe na shabalala wanacheza mechi nyingi sana hivyo tupate mbadala
@LoniaNawakwi
@LoniaNawakwi 20 күн бұрын
Simba almost lost
@MichaelMdolo-md8ie
@MichaelMdolo-md8ie 10 ай бұрын
Yanii Simba kila upande mbaya yani maludio huwezi kuangalia pila halivutii kunani jamani
@user-ey2vc8dq9g
@user-ey2vc8dq9g 10 ай бұрын
Mh mm sielw guy koch
@magomakabanja480
@magomakabanja480 10 ай бұрын
Kocha Hatuna wala Kipa huyo Hatuna siku nasema kua Kocha ni Mbinafsi Sana na Anaubaguzi
@Damarry-FX
@Damarry-FX 10 ай бұрын
Ubaguzi gani mkundi wewe.
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 10 ай бұрын
Kipa shati
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 10 ай бұрын
Nimepita kwenye Comment nyingi ila sioni Watu wakidai Kocha aondoke nimegundua Tatizo la Simba tunasubiri mpaka Tufungwe Ndio tuanze Kususiana Timu Mi Binafsi naona kwa Kocha huyu kwenye makundi tunaweza kushika nafasi ya mwisho hana Kocha Msaidizi mzuri hana mshauri mzuri Mi Naona Bora Simba wavunje mkataba wake wamlipe mamilioni yake kuliko kukosa Mabilioni ya Robo Fainali.
@mashakahamsini2007
@mashakahamsini2007 10 ай бұрын
Huyu Kocha mi nahisi kachoka anahitaji mkataba uvunjwe alipwe asepe
@JOSEPHMAASA-sx4wh
@JOSEPHMAASA-sx4wh 10 ай бұрын
Huyo gorikipa wa timu ya simba ni tatizo lililowazi kabsa hata ambaye hajawahi kucheza mpira anaona kabsa,lakini kocha na viongozi wanaojua mpira na waliosomea mpira wanamuona kuwa kipa yuko vizuri!!...AMA KWELI ILE KAULI YA ALIYESOMA NA ASIYESOMA WOTE NI SAWA NDO HIYO...mbumbumbu mzungu wa reli!!!
@BarakaWaya
@BarakaWaya 10 ай бұрын
Kafanya kosa gani Sasa kipa
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 10 ай бұрын
Kipa hakufanya kosa lolote kosa ni lawachezaj sio kipa
@ricklandennis
@ricklandennis 10 ай бұрын
Kipa hajafanya kosa walinzi viungo wanakabia macho huoni ndugu
@JohariNgailo-ry3mn
@JohariNgailo-ry3mn 10 ай бұрын
Simba..mtatuua.. Nn..shida
@revocatusadrian9262
@revocatusadrian9262 10 ай бұрын
Timu yenu,coach wenu,kipa wenu,mo wenu siwapangii cha kufanya🙄
@dodomar.i.prajabu8800
@dodomar.i.prajabu8800 10 ай бұрын
Kocha aondeke kipa anaumuhimu aondek
@pauljuma4384
@pauljuma4384 10 ай бұрын
Benj la ufundi lapaswa kujidhatimin
@ismaelvicent2619
@ismaelvicent2619 10 ай бұрын
Huyu coach asepe tuui alud mgunda
@user-ii9jb4ly8v
@user-ii9jb4ly8v 10 ай бұрын
Kwa ufup simba ni Zaid ya man u maan so kwa uzembe na kiwango chao punguf sahv jaman
@nehemiarodrick5347
@nehemiarodrick5347 10 ай бұрын
Mmmmmh kocha atupishe
@user-iz3im2nf2j
@user-iz3im2nf2j 10 ай бұрын
Amn ki2 apo kocha afai hqn mbinu
@beriasmasanga6859
@beriasmasanga6859 10 ай бұрын
KOCHA HUYU HANA MAHUSIANO NA WACHEZAJI,MNAOMTAKA MTAISHI NA KIHORO
@meshackmlaki2066
@meshackmlaki2066 10 ай бұрын
Mabeki wa simba kumanina zenu mnashindwa kukaba mnamlaumu Ayubu mbwa nyie😢
@dastaniminja4972
@dastaniminja4972 10 ай бұрын
Kocha mbovu
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 10 ай бұрын
haijalishi unapitia njia gani kinachotakiwa ni kukamilisha malengo tutukutane kwenye makundi
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy 10 ай бұрын
AYUBU sio kipa Mzuri kushinda manura Wala Aly Salim.
@Iddymaryam08
@Iddymaryam08 10 ай бұрын
Ila kwenye goli hili lawama ziende kwa viungo na mabeki. Hebu angalia kwa makini mfungaji aliachwa free sanaa
@Damarry-FX
@Damarry-FX 10 ай бұрын
Ambavyo hamjui mpira unamlaumu kipa, unashindwa kulaumu viungo na mabeki kushindwa kublock mpira. Tanzania bado sana kiushabki.
@beriasmasanga6859
@beriasmasanga6859 10 ай бұрын
TATIZO KOCHA,HAJUI CHOCHOTE
@user-ls1js5wo7j
@user-ls1js5wo7j 10 ай бұрын
Mabeki wasimba wamesimama kama minala wapumbavu nyie
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 10 ай бұрын
Kipa hamna
@alidangote9260
@alidangote9260 10 ай бұрын
Simba iweke kipa mwingine itafanikiwa
@GosbertHamka-zz9us
@GosbertHamka-zz9us 10 ай бұрын
Kweli
@user-qr4lo5xe5l
@user-qr4lo5xe5l 10 ай бұрын
Kipa mzuri ila wachezaj wenyewe wanasizi Sana kipa siyo wakumlaumu walaumi wakabaj wanajisahau
@issambarak8931
@issambarak8931 10 ай бұрын
Kocha aondoke jamani hatufai jamani
@franciskasanga3491
@franciskasanga3491 10 ай бұрын
Sio kweli
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 10 ай бұрын
Kumbuka mlimleta kwa ajili ya kuifunga yanga.Mbona mnakuwa vigeugeu?Mwacheni awasaidie kuifunga yanga.
@renatuschigobolela8626
@renatuschigobolela8626 10 ай бұрын
Apo Gorkipa hadikocha wasepeeee
@ramadhannamkoveka8709
@ramadhannamkoveka8709 10 ай бұрын
tatizo si la golikipa, angalia wachezaji akina chama wanavyomuacha mfungaji afanye anavyotaka. Golikipa sio kosa lake kabisa
@user-fc2nv1ib1c
@user-fc2nv1ib1c 10 ай бұрын
Goli la simba sijaerewa amefunga nani au wamefungiwa
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 10 ай бұрын
Hujaelewa au hujaerewa 😂
@user-fc2nv1ib1c
@user-fc2nv1ib1c 10 ай бұрын
@@edsoneliah2802 kamaulivyo elewa
@MasumbukoMaulidi-wc6od
@MasumbukoMaulidi-wc6od 10 ай бұрын
Axhaelewa
@user-fx2wh2zo2u
@user-fx2wh2zo2u 10 ай бұрын
M nafikiria simba kocha atoke pmbafu zake haiwezekani kkos bila ashinde kupata matokeo mchezo m na kchz vzul
@CosmasCosmas-tz8ys
@CosmasCosmas-tz8ys 10 ай бұрын
Kusema kweli simba leo haijacheza vizuli
@DBIRobotics
@DBIRobotics 10 ай бұрын
Sio Leo tu,hata Zambia hawakucheza vizuri,hatuchezi vizuri toka huyu kocha amekuja
@user-zh1rr4hr6v
@user-zh1rr4hr6v 10 ай бұрын
@@DBIRobotics maoni yako nani hafai kwenye hii tim
@user-ii9jb4ly8v
@user-ii9jb4ly8v 10 ай бұрын
Yaan ni maajab ndugu simba inashinda gan sahv kwan
@user-zs4qz4wm2n
@user-zs4qz4wm2n 10 ай бұрын
Kipa na mwalimu wanazingua
@EmanuelAkaro-gr8hg
@EmanuelAkaro-gr8hg 10 ай бұрын
Siyo Leo tuu ila Simba msimu huu hawachezi vizur
@RESTITUTANGENDO
@RESTITUTANGENDO 10 ай бұрын
Mdogomdog tutafik
@AtanasMnkondya-qq7vh
@AtanasMnkondya-qq7vh 10 ай бұрын
Nina maon
@jamesraphael9581
@jamesraphael9581 10 ай бұрын
Wachesaji wetu ovyo tumefugwa goli la kijinga hawakabi.wamesimama tu
@challyclassictz5929
@challyclassictz5929 10 ай бұрын
Makundu
@StephanoCharles-nq8tf
@StephanoCharles-nq8tf 10 ай бұрын
Alfu unakuta mtu anakumbia gorikipa mbovu jmni kweli
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 10 ай бұрын
Hii team yetu saiv haina tofauti na man u vituko vyao sijui shida ipo wapi kwa kweli ni maumivu tuu
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 10 ай бұрын
Wamekosea kucheza uanja mmoja na yanga ni wachawi sana na walifanya uchawi tangu asubui kuwatuma Azam wafanye mazoezi asubui Ili waweke vizuri uchawi na Azam waliumia kutoka mapema Ile kuungana yanga singida Azam ni kutaka kuiangamiza Simba ndo maana ahmedi Ali hakwenda umeona jana
@E.MendyStephano-pv2uo
@E.MendyStephano-pv2uo 10 ай бұрын
😂😂😂😂 Mbna unaandika utumbo tuu
@E.MendyStephano-pv2uo
@E.MendyStephano-pv2uo 10 ай бұрын
😂😂😂😂 Mbna unaandika utumbo tuu
@Nirata121
@Nirata121 10 ай бұрын
Dah polen sana sio wote wanga
@hamisimkilalu9563
@hamisimkilalu9563 10 ай бұрын
Kipa tumepigwa apa
@gabrielimmari7527
@gabrielimmari7527 10 ай бұрын
wachezaji wanalumbana uwanjani, hamna timu apo kila mchezaji anajifanya mjuaji
@ramadhannamkoveka8709
@ramadhannamkoveka8709 10 ай бұрын
bora Mkuu umeona jinsi wachezaji walivyokosa maelewano na kusababisha timu kutocheza vizuri. Wachezaji wajitathmini
@franccoz94
@franccoz94 10 ай бұрын
WACHEZAJI WA SIMBA NINAN ALIYE WAROGA
@MickyAluis-y3m
@MickyAluis-y3m Ай бұрын
Nimependa kipindi chapili
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 36 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 64 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 52 МЛН
Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
10:34
Японка тяжело перенесла проигрыш Узбечке 🇺🇿
0:12
Haaland Respect Moments 🥶
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 3 МЛН