Hizi ndizo nyumba 10 (wanazoishi watu/makazi) zenye zenye thamani kubwa zaidi duniani

  Рет қаралды 14,756

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Tunakuletea orodha ya nyumba 10 zenye thamani kubwa zaidi duniani. Hizi ni nyumba wanazoishi watu yaani makazi ya watu.
Orodha hii imekusanywa na tovuti ya wealthygorilla.com ambao nao wametumia vyanzo mbalimbali vikiwemo Architectural Digest, Veranda & Arch20.

Пікірлер: 68
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Duuuh unaweza jikuta unaishi jalalani 😀 kuna watu wanaishi bwana 🙌🏽 #dontskip
@johnsekimweli4080
@johnsekimweli4080 4 жыл бұрын
Tatizo kubwa la watanzania wengi tukufatiliao hatujui thaman ya dola kama uisemavyo,jaribu na kubadilisha na Tsh ili kuipa radha zaidi na kuelew zaid ujumbe uuletao kwetu! Ajsante
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Daahhh mm sijui nakwama wp mana sio kwa mijumba hiyo ngoja niendelee kupambana na mm
@chilowechilowe8153
@chilowechilowe8153 4 жыл бұрын
Lete niungane nawe tupambane hakuna alie zaliwa tajili
@khalidmbarouk6962
@khalidmbarouk6962 4 жыл бұрын
Gonga laik hapa mm ndo wamwanzo
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 жыл бұрын
Kuna watu wanayo ela jmn mmh ukilala kwenye izo nyumba unahic haupo dunian 🙌🙌
@ashanalinga8719
@ashanalinga8719 4 жыл бұрын
Duh iyo nyumba ya pili noma yaani kama office 🙌🙌watu wanaishi bana
@swalloonpoint2306
@swalloonpoint2306 4 жыл бұрын
Thanks bro unatupa chakula ya ubongo
@elizathomas3055
@elizathomas3055 4 жыл бұрын
Hatariiii ...sanaaa
@jejufima4887
@jejufima4887 4 жыл бұрын
Hivi hao wanaomiliki hiyo mijengo wanapiga kura kweli.. 😳alafu sie tunakaa juwani kutwa kuchagua viongozi badala ya kutafuta pesa dooh🥴...#kurayakonihakiyako2020 🇹🇿
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@namnyakiabell3818
@namnyakiabell3818 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 Жыл бұрын
😍😍😄😄🤩🤩🤓🤓
@salumshakespeare
@salumshakespeare 4 жыл бұрын
Hbr z kikubwa
@deusntobi1450
@deusntobi1450 4 жыл бұрын
Kitu kizuri sana ombi langu endelea na kutuletea vitu vya kidunia na uctume vjana simulia mwenyewe maana sauti yako pekee ni kivutio
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 жыл бұрын
Mwandishi unaongea na watanzani, kwanini hutaji hizo dola Kwa thamani ya pesa yetu? Tutajuaje kama inathamani wakati hujataja ni kiasi gani cha shilingi?
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
Jisemee mwenyewe, mimi nimemuelewa, kwanza hizo pesa kwa kiswahili zitamchanganya tu.
@johnyagat973
@johnyagat973 Жыл бұрын
Mukesh nae ni balaa
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Gabixtz
@Gabixtz 4 жыл бұрын
🤜🏿🤛🏿
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 4 жыл бұрын
Duh kuna watu wanaishi kweli
@lalasalama6720
@lalasalama6720 4 жыл бұрын
Kweli tz hatuna tajiri, utajir wa nyumba moja ni zaid ya utajir wa mo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Hapn sio kweli
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 4 жыл бұрын
Duuuu tutafute hela jaman
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Daah kuna watu wanaishi dunian na wengn wasindikizaj
@ochellahchembe5195
@ochellahchembe5195 4 жыл бұрын
wa nne kucomment
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 4 жыл бұрын
kuna nyumba nyingine nzuri sana ipo sehemu maarufu ya Tanzania iitwayo Madongokunama. Nasikia ndo namba moja duniani.
@mpoleclassic160
@mpoleclassic160 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 4 жыл бұрын
😂😂😂
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 4 жыл бұрын
hhh
@mwishee84abdallah99
@mwishee84abdallah99 4 жыл бұрын
Balaa
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 жыл бұрын
Weka pia nyumba za thamani Zaid Tanzania
@yaazkha0690
@yaazkha0690 4 жыл бұрын
Miongoni wa wamwnzo kuangalia video hii ,pls bonyeza profile yangu hapo then bonyeza neno jekundu🙈ni upendo wako tu 🥰
@shabilbosco8144
@shabilbosco8144 4 жыл бұрын
daaah balaaa...sema ungekua unatuambia izo )$$ kwa hela za kibongo ni shingap ndo ingenoga zaidi😄😄😄
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 4 жыл бұрын
sky kuna nyumba mbili au tatu za kimarekani zina desrve io top 5 ...maana ni above 400 mill usd na ni modern kuliko izo ...nahic io list ya zaman kdogo
@twahirnasa1574
@twahirnasa1574 4 жыл бұрын
Jumba langu litaitwa
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
🤔🤔
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Wafanykz Mia 600 kwaajili ya Familia tuu na chumb cha ice cream LooI.!
@abuubakarmasoud5602
@abuubakarmasoud5602 4 жыл бұрын
SNS hii orodha iko pw unajua jinc wa2 wanaishi vp kifahar
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Tuletee za Tanzania
@blasskameta944
@blasskameta944 4 жыл бұрын
Zote nzur an duuh
@justinmwene3669
@justinmwene3669 4 жыл бұрын
Atari
@saisaikalyasi5998
@saisaikalyasi5998 4 жыл бұрын
Nmekaa nkisubiri jumba la msanii au mchezaji ila mmhh...🏃🏃
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 4 жыл бұрын
wafanya biashara weng weng sana wana pesa kuzd wasanii na wachezaj wakubwa
@livingstonemichael42
@livingstonemichael42 4 жыл бұрын
Daa yaa sisi tunaishi stoor
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@benedicttiago3413
@benedicttiago3413 4 ай бұрын
😂😂😅🙌🙌
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 4 жыл бұрын
Nimekaa nikisubiri mtataja nyumba kutoka nchi za uarabuni sijaona
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 жыл бұрын
Nimependa kwa malikia Wa wingeza Sky kuna watu hawajui Monaco iko wapi waeleze ni kisiwa kidogo cha kifalme kinamilikiwa na Grimaldi Kiko karibu na france
@hajikishuwa1078
@hajikishuwa1078 4 жыл бұрын
Kwaiyo hao matajili wa dunia mbn sijamsikia hata mmoja inamaana hawana nyumba za kifahari
@jacklinetheobald6781
@jacklinetheobald6781 3 жыл бұрын
In umeme maana siyo kwa mijengo hiyo nyumba kama binge la tz du sijui tutafikarini kwa hali hii kuna watu wanajua raga tu yaan adhanii wala kufikilia kama kuna shida duniani sasa MTU kama bill gates nahisi ajui shida
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 4 жыл бұрын
Vyumba 795 duuuu
@samtelah7578
@samtelah7578 4 жыл бұрын
Ungesiconvert kwa pesa ya madafu tsh story yako ingevutia zaid
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 4 жыл бұрын
Hakuna mwaarabu mwéńýë nyùmba ipo kwènýè 10 bora đúņíæñ mààñà co kutusimanga wana hela alafu wana miilik vibanda vya kuku ťùù
@user-tq5yo7uc2l
@user-tq5yo7uc2l Жыл бұрын
Hasa da tu ndo ulokuwa nayo hakutajwi kitu unarukia warabu. Utabaki hivo hivo na chuki zenu. Na ikiwa kwa nyumba kuna nyumba na makasir kuliko hizo na wafanyie utafiti wao vizuri. A cheni ubaguzi kila kitu warabu warabu. Hao hao wanakufa Eni fyuu
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Chumba kwaajili ya ice-cream 😳
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 жыл бұрын
🤭😃
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Jeuri ya hela
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 жыл бұрын
Kwahiyo jumba la #Drake na #Sharukhan hamna kitu? 😁😁😁
@fehthysigalla-ep9tu
@fehthysigalla-ep9tu Жыл бұрын
yani ukimtaja uyu jamaa adi kichwa kinastuka namkubali miaka 100 srk.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Ninyumba zamasupaster? 🤔
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 4 жыл бұрын
wafanya biashara na wenye vyeo
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 жыл бұрын
Hiyo Mumbai ndio Kali zaidi
@dosantosjunior9787
@dosantosjunior9787 4 жыл бұрын
Sasa leo ndo nmegundua kwann ukienda kupanga ukapewa mkataba unakuta imeandikwa unapangishiwa PANGO na sio NYUMBA 😅😅
@lilianleonard8106
@lilianleonard8106 4 жыл бұрын
😹😹😹😹😹
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 4 жыл бұрын
yh
The Most Expensive House In The World
11:24
Mr. Luxury
Рет қаралды 12 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 103 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 72 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН
Boti, ndege, na treni ya KIVITA: Jinsi KIM JONG UN anavyosafiri nje ya nchi
10:29
Ifahamu MITO 15 mikubwa zaidi DUNIANI
14:15
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 90 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 103 МЛН