SIRI YAFICHUKA: Muungano ulivyopitishwa Zanzibar - mjumbe wa Baraza la Mapinduzi atoboa siri

  Рет қаралды 4,576

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Жыл бұрын

Katika mahojiano ya kipekee, Maria Sarungi Tsehai alifanya mahojiano na Hassan Nasoro Moyo mwaka 2014 kabla ya kifo chake
Mzee Moyo alikuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na miongoni mwa wachahe walioketi kupitisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Alieleza mazingira waliyopitia hadi Muungano kupitishwa Zanzibar
Tunaomba radhi kwa ubora wa video unaotokana na mfumo wa zamani wa kurekodi video hii.

Пікірлер: 11
@connan9923
@connan9923 3 ай бұрын
Siasa mchezo mchafu Tuishi tu kwa kupendana hamna namna majirani zetu wa Pwani 😅😅
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Baada ya Rais Nyerere kupeleka jeshi lake Zanzibar, alimlazimisha na kumtisha Rais Abeid Karume kukubali Muungano ingawa wote hawakuzaliwa Zanzibar.
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 2 ай бұрын
Alimtishaje? Unaweza kuweka evidence?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 ай бұрын
​@@frimatuslupimo2031Ahsante kwa suala linalohitaji tafakuri. TAFAKURI YA MUQADDIMAH 1) Kujua lengo la Watanganyika walioishi Zanzibar na kuunda Chama Chao Cha WAHAMIAJI na pia kujiita WAFRIKA kabla ya Afro-Shirazi Party kuundwa. 2) Kujua kwa nini Nyerere baada ya kuunda Tanganyika African National Union (TANU) aliunda Afro-Shirazi Party. 3) Kujua lengo la Afro-Shirazi baada ya Uhuru wa Zanzibar. 4) Kabla Uhuru wa Tanganyika Nyerere alisema anataka kuiburura Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi. Na baada ya Muungano kaiburura Dodoma. 5) Mapinduzi yaliandaliwa kwa Siri kubwa Tanganyika na ombi la Nyerere kukhusu Muungano ilikuwa Siri na Karume. Wote hawakuzaliwa Zanzibar. 6) Sababu za ukweli za kufanya Mapinduzi zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa. 7) Sababu za ukweli za kufanya Muungano zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa. 8) Baada Muungano taarekhe ya Zanzibar na Tanganyika hazisomeshwi. Inapotoshwa na wengine kupotosheka. Baada ya Dibaji hiyo nitakujibu kwa ufupi kifungu kwa kifungu. KAA CHONJO
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 ай бұрын
👊✌👍.
@abbymwangomile392
@abbymwangomile392 Жыл бұрын
We liongo
@jaafarwibonela7402
@jaafarwibonela7402 Жыл бұрын
Kama yeye kaongopa, wewe ukweli unao?
@nasipmuhamed2390
@nasipmuhamed2390 Жыл бұрын
Ukweli unauma ndugu yangu utake usitake
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Ukweli upo wapi??
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Жыл бұрын
SI ndio maana lukuvi akasema watanganyika hawawezi Kuiacha Zanzibar, sababu Ina waislam 99% kumbe Nyerere,alikua ana agenda ya ukiristo, ndio maana anatakiwa apewe utakatifu, awe Saint Nyerere, kwa kazi nzuri alioifanyia kanisa katoliki,tusilishane matango pori!
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 ай бұрын
MUUNGANO NA UKATOLIKI✝️ ​@Zainabnoor0087-ze UKWELI MTUPU.Sababu za Mapinduzi na Muungano ni PROPAGANDA TUPU zinasomeshwa✝️ Utawala wa Nyerere kwa faida Kanisa lake na Washauri wake kuanzia Skuli ya Msingi mpaka Ikulu Tanganyika na Zanzibar.
MAPINDUZI ZANZIBAR
29:55
Bin Seif
Рет қаралды 42 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA  MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR
25:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН