Kongole kwa ndaro na Steve for much creative they are like kwao tafadhali na yangu moja.
@Aisha-30030 Жыл бұрын
Nakubali Sana ndaro na Steve mweus
@josbrown199 Жыл бұрын
Me wa kwanza kila siku nasipati like leo naomba jmn
@Mlopa47_Mp Жыл бұрын
Uwe unakuwa wa 100 ndio utakuwa unapata like 😂😂😂😂😂
@SelemaneJamalJamalabdala-il7xo Жыл бұрын
@@Mlopa47_MpANA AS fotos Do teu Amigo Obrigado As Na ÀS Suas atividades Que
@josbrown199 Жыл бұрын
@@Mlopa47_Mp 😂😂😂😂 we mjanja blood dah 😂😂😂
@Mlopa47_Mp Жыл бұрын
@@josbrown199 unyama
@EustasheJoseph Жыл бұрын
@@SelemaneJamalJamalabdala-il7xo llll
@venaciokariuki4552 Жыл бұрын
Naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro😂😂😂😂😂😂😂😂 Humu Kenya hatuachi kucheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pascalbaya139911 ай бұрын
Mmj,,k,j,,j,,,j,,j,,,jj
@Yushimelody Жыл бұрын
Wa saba kuview wapi likes za ndaro ndugu zangu watanzania❤❤
@kladahmad3333 Жыл бұрын
Yani we acha tu❤❤❤❤❤
@spynations09 Жыл бұрын
na mim leo nimewah like za kutosha kwa stive na ndaro
@HAKIMASHAURI-ry6qz Жыл бұрын
Oy Steve na Ndaro pamoja Hajira na wengine big-up sana by Msukuma Mashauri the don
@Vincent-kj4iz Жыл бұрын
Stive napenda sana comedy zako ,, alafu huyo hajra mrembo sana ,,,na waza from kenya😅😅😅😅
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Palipo na Ndarooo na Steve mweusi Huwa mbavu zinauma kwa kicheko 😂😂😂😂😂
@Ismailyare16 Жыл бұрын
Ndaro mimi nakuanga mtu wa kwanza ku comment na si Pati like 👍 Naomba like 👍
@KirivoloKakule-hu7ge Жыл бұрын
😂😂😂 kweli hawa wajama watatuuwa kwa cheko mbavu zanguweeee😂😂😂😂
@djzygote349 Жыл бұрын
Habari za maisha familia 🤣🤣🤣🤣
@kadijaa77719 ай бұрын
Mami hajra watu husema wanawake hawasifiani ila dada nakupenda kwa ajili Allah mavazi yako yanaony3sha kabisa ww n8 msichana unae jiheshimu na kuheshimu dini yako kongole dada Allah akulinde na akuongoze uw3 mfana wawanawake wote wanao cheza sanaa ❤❤ from Kenya daer r
@francismuthiani349 Жыл бұрын
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪😅
@JohnsonAmos-py3wf10 ай бұрын
Steve mweusi nakukubali sana brother endelea kutupa fulaha watanzania 💯🙏❤️❤️
@chemicaliealvadon7669 Жыл бұрын
Sapoti kwenyu, Kisii, Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@Mariam-fm8vq11 ай бұрын
Akili zao hawa miamba wawili wanazijua wenyewe aki MUNGU awasaidie tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PacifiqueSumaili-xg5xk Жыл бұрын
Wa 21 ku comment, Ndaro na Steve nawakubali kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣, sapoti zangu zimetoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@macklineremmanuel1742 Жыл бұрын
Ha haaaaaaa haa nimecheka sana, Hawa jamaa jamani Mungu anawaona, hiyo ni kusalimia tu😂😂😂😂😂
@user-eh2jz8rw3o Жыл бұрын
Good job ndaro and steve mnajua sna ongeleni kuakutupa burudani Quatar Burundi ❤❤
@kimuu1586 Жыл бұрын
Huku Kenya hamadi kijijo kinakubalika😂😂😂
@mkombozierick7828 Жыл бұрын
Steve steve steve na ndarooo mtatuua aiseee😂😂😂
@anuarychuma5252 Жыл бұрын
Ndaro na stevin Moses mungu anawaona
@producerdyson2796 Жыл бұрын
Vijana talent sana 😂😂😂
@annasangaina9078 Жыл бұрын
Naikubali sana family mweusi stive❤ pamoja na ndaro
@estermwangoma6891 Жыл бұрын
Stevu ee mim n fans wako lkin mzee baba hizo nywelee zinaboa nyoa tu vizur kama vile mwanzon au tafuta mtindo mwingine afu mkiwa na ndaro mnauwaga hatariii unyama ni mwingiiii💯💯
@hannan27939 ай бұрын
Yani nyie mumeshinda matahira kwa kweli😂😂😂😂hajra umedamsh na gauni lako🎉
@gencychaniko8825 Жыл бұрын
🤣 "Halafu hii suruali ndo huyu mwenzake gauni"
@cyamatareealexis13737 ай бұрын
Guys your comedy iko kwenye another level
@aishaomar22877 ай бұрын
Chokochoko mchokoe pweza😂😂😂Steve 🙌 🙌 🙌
@athumanabdullah1526 Жыл бұрын
Baada ya kuwapa wote like dondosha na kwangu zifike 20 tu tuanze na ndaro na stev mwenyewe
@KelvinChengo-sv4zr Жыл бұрын
Kazi nzuri nakubaliii❤❤❤
@user-wu4jj7ms2c Жыл бұрын
Napenda steve mweusi na Ndaro waki collabo labini wasanii wa comedi wa collabo kama hizi mtafika mbali wasanii wa comedi
@mulababaz2232 Жыл бұрын
Sanaa babuu haina mpinzani
@Mz_photos Жыл бұрын
Ndaro umepoa sana yaani Auna Vibe
@allymukhsin29627 ай бұрын
Mwana ndo alivyo kila mtu ana talanta yake bro dzain ya mwana ni tofauti waga cool sana 😂😂😂😂
@MusaMetalame Жыл бұрын
dah kweli 2ngekua hvyo kwa wa2. dah wa2 wangeishi kwa wasiwasi xana. main bigupp mabrooooo
@MusaMetalame Жыл бұрын
toeni za ukichaa bac maana 2mezic ase
@user-hh1sy2qz1j4 ай бұрын
Ila wanavojifanya vibonzo😂 wanazengua tu kufurahisha aaaaasaah
@LinusEdward11 ай бұрын
Nakubali wanetu mnafurahisha
@manajr9155 Жыл бұрын
Mungekodisha tu Kisha nanyinyi mungeenda kukodi😅😅
@Davis-k Жыл бұрын
Nawapenda Sana natokea 254 🇰🇪🇰🇪
@user-be3ez8xv5t Жыл бұрын
Mbavu zangu swaleh mno😅😅😅😅😅
@cyamatareealexis13737 ай бұрын
Guys mbavu zangu mtalipa MTU atacheka mpaka lini jamani? Hhhh from Rwanda nawapenda sana
@KEMEATV25 Жыл бұрын
Unatuvuta kwanguvu unataka utufanye nini😅
@Goodboyofficially Жыл бұрын
Vichecheee 😂😂😂😂
@youngweezy3846 Жыл бұрын
Stiven ni kichaa aki😅😅😅
@hatibuhema5569 Жыл бұрын
wa kwanza mimi
@BakariNjembwe8 ай бұрын
Usipo cheka dai mb zako kwa ndaro na stive
@rehemamadembwe8890 Жыл бұрын
Nawapenda mnoooo ndaro na Steve
@katsuvakamatedaniel7893 Жыл бұрын
Eti mbali tumboni 😅😅😅😅😅
@user-om7tr3gs5q Жыл бұрын
Ahahaha hajahahhaha
@SmartVicenzo2 ай бұрын
Uyu ndaro eti unatuvuta Kwa nguvu ndani unataka utufanye nini😆😆😆
@user-dz4pi6np8i Жыл бұрын
Mwafurahisha sana nyinyi ❤❤❤
@user-kf6xn1ez8p Жыл бұрын
😂😂😂mnachesha sana
@user-ot6fv1oq1t5 ай бұрын
Dah uwakika❤❤❤
@zabronmarco1430 Жыл бұрын
Noma cn2
@JoshuaTajeu-xs9fv Жыл бұрын
noma sana😅😅😅
@agnesmwikali52147 ай бұрын
😂😂😂😂kenya tunawapenda
@EliasJohn-lc8nu Жыл бұрын
Machizi 2 na mboga zenu ndaro hajra Steve Hy best ake
@dukeonchiri5037 Жыл бұрын
Hapa Kenya uwezi kufanya upusi kama huo ndaro na Steve utachapwa
@user-xi9lj1gz2p Жыл бұрын
C comedy nawew
@annasangaina9078 Жыл бұрын
Naikubali sana family mweusi stive pamoja na ndaro
@KEMEATV25 Жыл бұрын
Hivi vichwa ni hasara tupu ❤❤❤
@user-wv9jf5kv6q10 ай бұрын
❤❤ ndaro na Stevu munatishaa huku kenya
@SulemaniWembofils10 ай бұрын
Wakali wa wooote
@user-ep2ir9df8q10 ай бұрын
Hi am Aydah from Kenya keep it up mabro
@jaydannychawaboy541811 ай бұрын
nani mwingine yuko hapa bado kama mimi🤣🤣🤣...❤️❤️❤️❤️
@user-ku5sb8cg8t11 ай бұрын
❤ naipenda kazi inayofanywa na ndaro na steve🎉
@patrickthuranira Жыл бұрын
Weh!! Vipi moses yuko wapi hamadi kijicho! Na za mkuranga kaka!?
@KambaleMagherya-hs1td10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nyinyi niwahuni kabisa mnanipendeza sana 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂 mnamusalimia tu
@moemaseti479 Жыл бұрын
Sijachelewa sanh naombaa like zangu😂
@alfredtebeka2497 Жыл бұрын
Musimuogope boss wenu😅😅😅😂😊😅😂 natokea drc Congo jamen😅😅
@nkurikiyearodiedavid625511 ай бұрын
Hii mmecheza kama chizi fulani hicho, mmejitoa akili sana
@Honest-nt4sb5 ай бұрын
Jamani mbavu zangu steve😂😂😂😂
@rehema-lg5cl Жыл бұрын
Halafu ndaro wewe unachekesha wenzako ila wewe hucheki😂, afadhali mweusi some time twacheka nae😅
@deogratiasmathias07482 ай бұрын
Ndaro nakukubal sna
@Fatma-to6rq11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Steve na ndaro mko na tabu sna
@estaphone Жыл бұрын
Steve utaniua😂😂
@user-wf6fx1ct3p10 ай бұрын
❤.mabrooooo
@FumbweAlfred5 ай бұрын
Naomba ushirikiyano ndugu zangu wa dar es salamu nimemis kuigiza Kabisa naomba viongozi zangu napenda kuigiza Kabisa naomba viongozi zangu napenda kuigiza Kabisa
@Jumanne65011 ай бұрын
Hahaha ndaro mnyamaaaa
@sylvanjosam3402 Жыл бұрын
Me nachka san mpaka nasahau kuishiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mathewskajela55702 ай бұрын
Wonderful 👍👍👍 one
@alexHussein-sy3br Жыл бұрын
Kilasiku tunaku sapot
@NuriaMct10 ай бұрын
Hebu wahii kwnz😂😂😂😂😂❤nakupend Steve mbv zinaum kw kucheek
@saimonmuhando Жыл бұрын
Nakubli san kaz yenu
@Gloriamu3995 ай бұрын
Ndaro ...Nakufata hapa Canada ottawa
@Gloriamu3995 ай бұрын
Mimi pia nawakubali tokea ottawa canada
@SulemaniWembofils10 ай бұрын
Kiukweli mbavu zaaangu zi napata shida
@denniswilliam92010 ай бұрын
Guyz you are really amazing.keep it up and much❤❤❤❤❤❤