No video

SNAKE BOY 23

  Рет қаралды 79,686

DIRECTOR KAKOSO

DIRECTOR KAKOSO

Күн бұрын

#clamvevo #snakeboy #comedy #apple #stevemweusi #afrakoma #africawedeytv #akabenezer #akabenezercomedy #mwanamke #kakoso

Пікірлер: 309
@Safarikenga-tf3si
@Safarikenga-tf3si 2 ай бұрын
Bila snake boy KZfaq inaboesha kama unakubaliana na mm gonga like Kwa director kakoso
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 2 ай бұрын
hapo nikweli kabisa
@benardkipkoech9506
@benardkipkoech9506 2 ай бұрын
Ukweli
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
Kweli
@castromedia123
@castromedia123 2 ай бұрын
Nafurahi sana clam kuwahusisha wakongwe kwenye filamu....ni njia mwafaka ya kuwawezesha kupata kipato....mungu akubariki....wapi like zangu jameni
@EricKambale-dl7pj
@EricKambale-dl7pj 2 ай бұрын
❤ kazi nzuri kiongozi alaki mnachelewesha sana❤
@Safarikenga-tf3si
@Safarikenga-tf3si 2 ай бұрын
Na Imani kesho mutaachia kombora la 23 bigs up xana wakuu
@user-ue8lt8if7o
@user-ue8lt8if7o 2 ай бұрын
Kazinzuri sana lakini munachelewesha sana kaka vevo asante 🎉🎉❤❤
@crediblebios
@crediblebios 2 ай бұрын
Mmekauia sana this time round
@elishaochami
@elishaochami 2 ай бұрын
Kweli
@Ibrahshayo
@Ibrahshayo 2 ай бұрын
Wamekawia lkn umeletewa ndefu we Huja enjoy tuvumilie kuandaa seriz kama hii ni kaz ngum sana
@elishaochami
@elishaochami 2 ай бұрын
@@Ibrahshayo sawa
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 2 ай бұрын
Kazi kubwaa na Siku zote kitu kizuri kinahitaji muda.. snake boy is the best movie in Africa.. big up Clam vevo gang
@herongwikwi1021
@herongwikwi1021 2 ай бұрын
Huyo mzee wanae mpk masizi , akiekti mchawi ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥
@user-kw2kp3yo9k
@user-kw2kp3yo9k 2 ай бұрын
Kazi ni nzur san ila inachelewa san. Mnafanya mda wote tuingie KZfaq kuchungulia mzigo kama upo hewan ila wap🔥🔥🔥🔥
@barakajackson549
@barakajackson549 2 ай бұрын
Mnachelewa sana kutoa muendelezo tuna wapenda msije mkapoteza mvuto
@user-by9qr6ov7n
@user-by9qr6ov7n 2 ай бұрын
Nawakubari San ila mnachelewa sana Kim nakukubari sana
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 2 ай бұрын
Kakoso maliza changamoto si kawaida yako najua Kuna changamoto sehemu , tunausubiria mzigo Kwa hamu sanaaa, tupeni rahaaaa
@mustaphampelembe1575
@mustaphampelembe1575 2 ай бұрын
Mnachelewa sana ad tunasahau kama Kuna movie
@edindzeko6256
@edindzeko6256 2 ай бұрын
Nilikua nishasahau kama kuna snake boy duhhh😂😂
@khamismbaruk0017
@khamismbaruk0017 2 ай бұрын
Kakoso unatunyima Raha Sana ndugu yangu Sisi watu WA Kenya kakoso wachia mzingo kwa hewaa banaaweee
@tabithamutisya6664
@tabithamutisya6664 2 ай бұрын
Am sure it won't take long.....eagerly waiting for the next episode
@nzoyodeson7232
@nzoyodeson7232 2 ай бұрын
Same to me
@Hirammbindyo
@Hirammbindyo 2 ай бұрын
Loading...... 🔥
@FrolaSwila
@FrolaSwila 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana clam pamoja na team yako nzima mungu awaweke
@Moisesmoceya
@Moisesmoceya 2 ай бұрын
Kazi nzuri tunatazama kutoka kenya❤🎉
@user-um1wq3df7t
@user-um1wq3df7t 2 ай бұрын
hao wazee mmewatoa wapi sema mnatisha sana hamn bongo comedy au move kam hii more than nc
@Nams-Mtengwa-bl9ux
@Nams-Mtengwa-bl9ux 2 ай бұрын
Waigizaji mnakawia Sana kutoa sehemu zinazofuata Hadi watazamaji tunasahau filamu
@nabilabdul
@nabilabdul 2 ай бұрын
Hatuezi juwa pengine wanaleta masaa mawili 😂😂😂
@kingcicero1708
@kingcicero1708 2 ай бұрын
Au sio😂😂😂​@@nabilabdul
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 2 ай бұрын
😅😅
@AbdulnasoloNasolo
@AbdulnasoloNasolo 2 ай бұрын
Mnazinguwa sanaa jmn pakaa inatutokaa moyonii Sasa achienii Leo bx
@KhadijaNassorJuma-ck8qq
@KhadijaNassorJuma-ck8qq 2 ай бұрын
Mbon clam unacherewaaaaa vitu vzr mnatuchereweshea jamnii
@alekhkabaridi
@alekhkabaridi 2 ай бұрын
Chapati Na maharagwe,, vipi😂😂😂vitu vinachelewa sana
@user-rn4ti4eh4v
@user-rn4ti4eh4v 2 ай бұрын
Fanyeni chapu basi round hii mmekawia sana❤❤
@Ibrahshayo
@Ibrahshayo 2 ай бұрын
Respect kubwa sana kwa hawa wazee ni mmetishaa
@user-qg1hh3jg6p
@user-qg1hh3jg6p 2 ай бұрын
Tamaaa imezidi mkuu kakoso angusha mzigo😢💌💝
@SIMONHERMAN-qv2ln
@SIMONHERMAN-qv2ln 2 ай бұрын
Mnakera... Maana mnachelewa sana
@unleloo7616
@unleloo7616 2 ай бұрын
Aiii huyi mzeeee sas mbn anatishaaaaao😅😅😅😅
@user-ed5gt1gj9g
@user-ed5gt1gj9g 2 ай бұрын
MBNA mnazingua,imekawia sana
@salimkombora2742
@salimkombora2742 2 ай бұрын
Kazi nzuri Sana na kubwa kwa sasa bongo 💪
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 2 ай бұрын
Mnacheleweahaa snaa bwanaa
@kashinjesingu
@kashinjesingu 2 ай бұрын
Mnachelewesha sana Hadi mnoboa si Bora tu muache kutoa sasa yaani Leo siku ya 9 nothing going on 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@jamesbonaventure4708
@jamesbonaventure4708 2 ай бұрын
Mm nampenda mwasi ana mashavu ad laha na washiliki wote na boss clam vevo 😊😊😊😊😊
@omarybashiry5930
@omarybashiry5930 2 ай бұрын
Mnakaa Sanaa mpka tunasahau
@Ushindipeter
@Ushindipeter 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana courage
@user-bj1vr5sl7f
@user-bj1vr5sl7f 2 ай бұрын
Jitahidi kuwahi mnachelewa sana mpaka tunasahau
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 2 ай бұрын
vile mmekawia najua mnaleta ikiwa mrefu, tunangoja
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 2 ай бұрын
Eeh kumbe kinywa chote ulikua unamtafuta mzee wa sumu good job my brothers😅
@hasnahasna581
@hasnahasna581 2 ай бұрын
Tunawapenda sana kaz nzur lakin mnachelewesha mno
@user-ov3rl3yn8q
@user-ov3rl3yn8q 2 ай бұрын
huyo babu nae ni nani anatisha au kiboko ya zinga
@chittamileissa1650
@chittamileissa1650 2 ай бұрын
Tunaisubiria Snake boy 24 had tunachoka sasa jmn, Director Kakoso unatukosea sana kwakwel
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 2 ай бұрын
Ila mtihani tuu kiukweli Hakuna kazi rahisi kwakweli hata wachelewe ni Sawa jamani kikubwa uzima na tuwe na subra 🙏🙏kichupa kinakuja inshallah ♥️🙏tunawapenda Sana fans wenu kazi nzuri Sana
@Mustafa-fc3rv
@Mustafa-fc3rv 2 ай бұрын
Mtaka mawili ushauri wangu ungekua unatoa Moja adi inaisha ndio unaleta nyingne maana unawaza mke alaf na hii snake boy
@LucyLucy-me5ge
@LucyLucy-me5ge 2 ай бұрын
Yani mmeamua kutuacha njia panda etii😂😂😂😂😂😂
@user-ic8ys7gs1v
@user-ic8ys7gs1v 2 ай бұрын
Kaz ina washinda eeee tunakaa Tuna wasubur nnyinyi na mvua Hamna
@hafidhisaidi-zd6qd
@hafidhisaidi-zd6qd 2 ай бұрын
Nakubari sana ubunifu wenu director... Hiko kiti Cha plastic naomba kama kisionekane kwenye seen
@user-cr8rx7wt8e
@user-cr8rx7wt8e 2 ай бұрын
Mnalewa sifa,mtapoteza mvuto
@HappyRajab-wm3eq
@HappyRajab-wm3eq 2 ай бұрын
Jamani mnachelewa sana mpaka mnajisahau
@marthaphilipo7242
@marthaphilipo7242 2 ай бұрын
Tunasubiri sana hata usiku wa manane tukiamka tunaitafuta ĥatuikuti 😂😂😂
@user-th9vv3pk6u
@user-th9vv3pk6u 2 ай бұрын
Yaheeeee mbona mwatutesa hamutuleteiiiiii
@Chacha-dk2fz
@Chacha-dk2fz 2 ай бұрын
Sijapenda😔mmechelewa saana
@user-xk5md8gc2j
@user-xk5md8gc2j 2 ай бұрын
Clam, bana wateu tumesubiri hadi tumechoka
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 2 ай бұрын
Mmechelewesha sana Muda huu
@AbdulKimwaga-bm5xe
@AbdulKimwaga-bm5xe 2 ай бұрын
Shida ya bongo move😂
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 2 ай бұрын
Napenda vile kakoso anaelekeza Actors
@unleloo7616
@unleloo7616 2 ай бұрын
Mmechelewesha sanaa hii23
@DIRECTORJOHN435
@DIRECTORJOHN435 2 ай бұрын
Kwenye I sounds umetukumbusha Big boss tunaisubiri kwaamu sana
@BrianBirya-dn6kv
@BrianBirya-dn6kv 2 ай бұрын
Inachelewa sana fanyeni mpango
@robertmuthuvi7106
@robertmuthuvi7106 2 ай бұрын
Shinda iko wap mmetueka sana
@khadijaabubakar2330
@khadijaabubakar2330 2 ай бұрын
Tunakusubiri snake boy kwa hamu kubwa sana😢😢😂🎉😊
@RENAHKUSH
@RENAHKUSH 2 ай бұрын
Location manenos jua njaa kuchoka hongereni Sana 🌹🌹🌹
@user-fu6ue6du6v
@user-fu6ue6du6v 2 ай бұрын
Mbon mnachelewa san mpk tunasahau kabisaa
@BijouxBulose
@BijouxBulose 2 ай бұрын
Mumechelewa vibaya hadi mumalize mwezi bila ku posti vipi clam umekwama wapi nije nikusaidiye😂😂😂😂
@desirempawenimana2031
@desirempawenimana2031 2 ай бұрын
Bwana kakoso mnatueka sana hadi tunasahau last episode
@mazambilucien
@mazambilucien 2 ай бұрын
Mr kakoso macho yanaishiya njiana kwakweli mumetuacha nakiwi kikubwa saana ila tunaomba mukiachiya kawe karefu ili tu enjoy
@shadyarif653
@shadyarif653 2 ай бұрын
Shida mnatuweka sana bhana baada ya kurelease next part na hajapenda😢
@user-rv1xw7el5q
@user-rv1xw7el5q 2 ай бұрын
mnapoteza arosto yawatu wengine hatunywi pombe tunapenda vitu kamaivi
@ibraaahmwanyello6233
@ibraaahmwanyello6233 2 ай бұрын
daaah yan nawek bando linaisha naweka linaisha naweka linaisha hamtoi tuuuu😢😢
@user-hi3yb9dy3r
@user-hi3yb9dy3r 2 ай бұрын
Unakawiza aditunasahawu kabisa
@muhammadmasoud5202
@muhammadmasoud5202 2 ай бұрын
Kiukweli mnaupoza uhondo mpaka tunasahau jitahid basi kazi zenu ni nzuri hata ikitoka kila siku bado inavutia
@mashinebinhawaa8776
@mashinebinhawaa8776 2 ай бұрын
Kazi imeanza kuwashinda sasa
@user-ct8kv9gs8s
@user-ct8kv9gs8s 2 ай бұрын
Kivip
@patrickmboma5712
@patrickmboma5712 2 ай бұрын
Wanakawia saana
@salimkombora2742
@salimkombora2742 2 ай бұрын
Kitu kizuri hakitaki haraka kuweni wapole mwapikiwa ngoma nzito
@user-ke5yq8qf4k
@user-ke5yq8qf4k 2 ай бұрын
Ekujee mkuu 🙏🙏,tumeingojaa
@danjoelkenya1609
@danjoelkenya1609 2 ай бұрын
Naona tutakosana na hawa watu😂😂
@josphatndegwa6619
@josphatndegwa6619 2 ай бұрын
Mnachelewa Sana wakuu
@eliaisack156
@eliaisack156 2 ай бұрын
Mnacherewa sana jamani duu😢😢
@saudasada6379
@saudasada6379 2 ай бұрын
Mm nashinda tu You tube kuona kama snake boy imeachiwa ama 😂😂😂😂😂❤❤fanyeni mambo fromkenya 🇰🇪 nawakubali sana ❤
@jrsingham
@jrsingham 2 ай бұрын
Clam hawa wazee sjui anawatoa wap😂😂
@OmarySaidy-lf3jy
@OmarySaidy-lf3jy 2 ай бұрын
Nahisi kunak2 akipo sawa mana hata ntanzii mwenyewe hayupo online
@CathelinIsdory
@CathelinIsdory 2 ай бұрын
umejuaje kama ayupo onlin😂
@user-ce1vh4rl5c
@user-ce1vh4rl5c 2 ай бұрын
Jamaniiii adi nimesahau nilipo ishia 😢😢😢😢😢
@carolinemwandike
@carolinemwandike 2 ай бұрын
Hii snake boy inakawia sana adi tunasahau. Director do something
@nurucinemax
@nurucinemax 2 ай бұрын
Leteni hyo 23 bana❤❤
@BrownMwombeki
@BrownMwombeki 2 ай бұрын
Mmekawia sana round hii
@EmmahWilliam255
@EmmahWilliam255 2 ай бұрын
Tunataka movie acheni maneno mengii
@user-hi3yb9dy3r
@user-hi3yb9dy3r 2 ай бұрын
Kakosa kwakweri umezidi sana
@user-rs9zo8fm2b
@user-rs9zo8fm2b 2 ай бұрын
oya nakubaliana na ukimya wenu najua kizuli nilazma kiwe na mwendo wa kinyonga .ombilangu naomba mzigo uwende mbaka 100 tupo tayali kwenda sambamba na nyinyi dairckter kakoso
@user-rv1xw7el5q
@user-rv1xw7el5q 2 ай бұрын
fanyeni msiboe wadau bwana
@user-om8dg9ls5f
@user-om8dg9ls5f 2 ай бұрын
Kiukwel mnaboa saiv mnachelewesha sana 😢😢😢
@johnndivi9956
@johnndivi9956 2 ай бұрын
Achilieni kitu nimegoja sana😂😂😂
@Simba1-Tz
@Simba1-Tz 2 ай бұрын
Sema kak me mwenyewe comedy nahii season naitamn sana kama kuna gep nifosie utakua umetisha mnooo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@dedoxinmatola2811
@dedoxinmatola2811 2 ай бұрын
Mmachelewa sanaaa
@tiberiousmogendi3863
@tiberiousmogendi3863 2 ай бұрын
aiiih imekawia sana bana
@EdwinRutozy
@EdwinRutozy 2 ай бұрын
Mnachelewesha sana
@paulsylvester7877
@paulsylvester7877 2 ай бұрын
Mnakawia sana mnakosa kuwa na constiency hii hatarr kwa mashabiki😢
@QeenPrince-lm7ci
@QeenPrince-lm7ci 2 ай бұрын
Clam vevo kz zako nzur ila unachelewesha sana unafeli wapi mwamba
@BabyKwamboka
@BabyKwamboka 2 ай бұрын
Kazi ni kazi
@PurityMusyoka-um8dg
@PurityMusyoka-um8dg 2 ай бұрын
Mmi hadi nmechoka kusubiri
@AmigoBlack-we3fy
@AmigoBlack-we3fy 2 ай бұрын
Mnakawia kutoa mpaka mahalamia wanatulia mb zetu burebure
@gwesojuma8395
@gwesojuma8395 2 ай бұрын
Hata kama ndo kuhitaji muda kuandaa kazi nzuri kimsingi mpaka mnaboa aisee
@danjoelkenya1609
@danjoelkenya1609 2 ай бұрын
Hata nyinyi mumetukausha sana mumekawia sana niambieni pole kwanza we kakoso
@BBBTv-om9qz
@BBBTv-om9qz 2 ай бұрын
Mumetuweka sana we need nxt episode to drope
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 281 М.
MY MOTHER EP 03  | Sad Story 💔💔
20:32
BUSATI TV
Рет қаралды 19 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,9 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 4,6 МЛН
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
6:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,5 МЛН
Harmonize ft Bara boy  -Mtu na nusu visualiser
3:39
Baraboy
Рет қаралды 12 М.
BIG BOSS |1|
12:23
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,8 МЛН
THE GAME (5) #kakoso
18:54
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 21 М.
KUPASHA
10:54
Joti TV
Рет қаралды 164 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 225 М.
MKOBA WA MAMA  Episode| 1 |
22:24
TANU PLUS+
Рет қаралды 281 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН