No video

SNAKE BOY 24

  Рет қаралды 40,851

DIRECTOR KAKOSO

DIRECTOR KAKOSO

Күн бұрын

#clamvevo #snakeboy #comedy #apple #stevemweusi #afrakoma #africawedeytv #akabenezer #akabenezercomedy #mwanamke #vevowood #thelies

Пікірлер: 57
@hassankalu540
@hassankalu540 2 ай бұрын
Mtukufu hua akiona wali na maharage ya nazi akili za mruka kabsa 😂😂😂😂 much love team vevo kutoka Mombasa
@zuluRaphaelItangishaka
@zuluRaphaelItangishaka 2 ай бұрын
kakoso wewe ndo director bora tanzania akuna mwengine zaidi yako!big up sana mzee wangu.love from burundi❤❤❤❤❤
@reginamathayo4956
@reginamathayo4956 2 ай бұрын
Director Kakoso NAMI naomba nipigie kwenye movie yako Moja, napenda na nataman sana kuingiza na kipaji kipo.
@Chazbaba_tz
@Chazbaba_tz 2 ай бұрын
Hiii itatoka mwez wa sabaa Sjui mmejipata maan mnachelewaa knoma😅
@OmarmamudoBaissa
@OmarmamudoBaissa 2 ай бұрын
Kweli
@23Maryamu
@23Maryamu 2 ай бұрын
Kweli wanabowa sana😢😢😢
@OmarmamudoBaissa
@OmarmamudoBaissa 2 ай бұрын
@@23Maryamu umeona neeeem!
@issuthegoldissukijanamwema8761
@issuthegoldissukijanamwema8761 2 ай бұрын
Naona Sonia bby
@ksaskaka
@ksaskaka 2 ай бұрын
Mwaboesha ss
@faustinemarco29
@faustinemarco29 2 ай бұрын
Kakoso angalia sana zumba atakutafuna fala yule anaupwiru😅😅😅😅
@23Maryamu
@23Maryamu 2 ай бұрын
Mbona unatutisha🥺🥺 nilijua imetoka🥲🥲
@LopaDieudonne
@LopaDieudonne 2 ай бұрын
Tunai subiri
@MichaelCharles-uo6rw
@MichaelCharles-uo6rw 2 ай бұрын
Da jaman tumemis clamo bas hata kidogo
@Innocentfilm
@Innocentfilm 2 ай бұрын
Safi sana ni wenu director Innocent kutoka Congo,🇨🇩
@anualhemed6808
@anualhemed6808 2 ай бұрын
Inarushwa lini hiii maana unyamaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@Innocentfilm
@Innocentfilm 2 ай бұрын
Jambo dugu naomba SUBUSCIBI yako mimi ni director Innocent kutoka Congo 🇨🇩
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 2 ай бұрын
Tunategea sanaaaa.. movie kubwa
@muhamedsaid4177
@muhamedsaid4177 2 ай бұрын
Nyiye mafala sana mwaboesha bwana hata sifatilii tena hii
@MundhirSheni
@MundhirSheni 2 ай бұрын
Fanyen muitume tena musiyeke sana na hii ikawa kiporo
@Innocentfilm
@Innocentfilm 2 ай бұрын
Jambo dugu naomba SUBUSCIBI yako
@KITUFE
@KITUFE 2 ай бұрын
Unyama huu apa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EdwinRutozy
@EdwinRutozy 2 ай бұрын
Muitoee jamaniii
@MoTalentTz
@MoTalentTz 2 ай бұрын
Kakoso mtu wa kazi
@Innocentfilm
@Innocentfilm 2 ай бұрын
Jambo dugu naomba SUBUSCIBI yako mimi ni director Innocent kutoka Congo 🇨🇩
@user-il2up6ig4j
@user-il2up6ig4j 2 ай бұрын
Umuhimu wa chaupele mutuonyeshe alifuzu haraka katika mafunzo kumshinda zinga....
@user-oz2nt8yy3g
@user-oz2nt8yy3g 2 ай бұрын
Courage on est👉👭 ensemble nous vous soutenons à partir de la RDC
@RivaTata
@RivaTata 2 ай бұрын
Mbona mungekua na toa ata 3 ama 2 mara modja kuliko modja modja na 24 date gani djo muta zitoa? Ok suis au congo drc na lingi bino trop❤❤
@ummialey6391
@ummialey6391 2 ай бұрын
Ndo msitueke sana. Bas
@LudeofficialXworldwide
@LudeofficialXworldwide 2 ай бұрын
Musiicheleweshe Sasa, iwahi maana ile ilo Isha Al most karbia week mbili, nawaomben hii iwahi please 🙏🙏
@ZawadiDenise
@ZawadiDenise 2 ай бұрын
We are waiting for it probably this week
@lilianmutheki3077
@lilianmutheki3077 2 ай бұрын
Wueh nmeona mtanzi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 ай бұрын
Kazi ikiwa nzuri bana 😂 zile dakika zooote niliona kama dakika 10 tu 😂 kusema kweli Director Kakoso kwasasa inabidi waigizaji wanaotaka kushiliki wamlipe sio yeye awalipe 😂 maana ukishiliki hii Tamthilia tu unapata umaarufu mkubwa. ❤❤❤ NAITAMANI SANA HII TAMTHILIA AYSE! ningepata nafasi....😂
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr 2 ай бұрын
Hata mm😂😂😂😂
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 ай бұрын
@@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr 😁 umeona eee!!!? 😁😁😁
@bisengoalexis9050
@bisengoalexis9050 2 ай бұрын
Jamani munakawiza 24
@litosaide2377
@litosaide2377 2 ай бұрын
🎉
@user-bo2ps8xx2v
@user-bo2ps8xx2v 2 ай бұрын
Minawapa tuzo kwakuchelewesha
@anualhemed6808
@anualhemed6808 2 ай бұрын
Inatokea lini hii🎉🎉😢😢😢
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 ай бұрын
Inatoka lini director sisi wengine tuko mbl na tz
@mosantudiasscrimi1177
@mosantudiasscrimi1177 2 ай бұрын
🇨🇩
@hun_sen_139
@hun_sen_139 2 ай бұрын
DIRECTOR KAKOSO PUNGUZA SCENE YA KUTEMBEA UNATUMIA MDA KWENY KUTEMBE KWENYE EPISODE ZAKO UNATUCHOSHA WATAZAMAJI WAKO😢
@KITUFE
@KITUFE 2 ай бұрын
Twende saw mpka kitaeleweka kaa
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 ай бұрын
🇲🇫
@muthioraanderson13
@muthioraanderson13 2 ай бұрын
Waiting this week
@tembatembele5332
@tembatembele5332 2 ай бұрын
Tunapita nayo
@Alexissimbatv
@Alexissimbatv 2 ай бұрын
Sasahivi mnatukawiza xana Nini xhida
@OfficialRemdin254_
@OfficialRemdin254_ 2 ай бұрын
Kakosa picha chakula haraka tunanjaa naona 24 itakuwa moto
@annandajilo2831
@annandajilo2831 2 ай бұрын
IWah jmn
@TipAntonio
@TipAntonio 2 ай бұрын
Tunataka kumuona clam vevo katika kazi yako🙏 from 🇲🇿🇲🇿🇹🇿❤️
@jaywils3710
@jaywils3710 2 ай бұрын
Natamani nifanye kazi na wewe
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 2 ай бұрын
Halafu hii iandikie kitabu
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 2 ай бұрын
Kakoso the Super Director tunaomba zawadi ya Eid tushushie episode 24
@salimsatia5498
@salimsatia5498 2 ай бұрын
Liko jikoni lapigwa epi 24 au vipi !
@user-hj1go1cx9l
@user-hj1go1cx9l 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@samiuhassan8153
@samiuhassan8153 2 ай бұрын
Hapa mnapo ichezea hii movie ni wapi?
@user-qy2dp7kv5w
@user-qy2dp7kv5w 2 ай бұрын
Msicheleweshe sana
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 280 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 78 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 45 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 22 МЛН
MTOTO WA SHULE
8:02
CLAM VEVO
Рет қаралды 564 М.
Invasion of the Mermaids | Fantasy Action Movie | HD | Full English Movie
1:18:25
Bizzarro MONSTERS
Рет қаралды 1,5 МЛН
DRUNKEN MASTER (Nigerian Version) part 1 De General Film
12:35
DEGENERAL FILM
Рет қаралды 514 М.
ODUNLADE & KAMO STATE  🤣🤣🤣
10:57
CKAMO STUDIOS
Рет қаралды 90 М.
GIRLS & BOY - KELVIN EZIKE , ANNABEL APARA , ANGEL UNIGWE , TREASURE UCHECHI
1:15:52
THE GAME (5) #kakoso
18:54
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 21 М.
MKOBA WA MAMA  Episode| 1 |
22:24
TANU PLUS+
Рет қаралды 281 М.