SOKA KIJIWENI: Ngassa afunguka alivyonusuru nyumba zake zisichomwe kwa kuifunga Simba

  Рет қаралды 33,623

Azam TV

Azam TV

3 ай бұрын

KARIAKOO DERBY: Nyota wa zamani wa Yanga, mrisho Ngassa ameeleza kisa kizima jinsi alivyoweka ahadi akitaka nyumba zake zichomwe moto endapo hataifunga Simba kwenye #KariakooDerby ya Oktoba 23, 2013 iliyomalizika kwa sare ya mabao 3-3.
Lakini kabla Ngassa hajasimulia, Dody ameanza na mwanahabari Said Morandi ambaye alihusika katika taarifa ile iliyochukua nafasi kubwa kwenye magazeti.
Hii #SokaKijiweni maalum kuelekea Kariakoo Derby ya leo Aprili 20, 2024.

Пікірлер: 22
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 3 ай бұрын
Mwamba nliekuwa namkubali sna ww na neyma nd wachezaj wangu wa mda ote ata kama ulisitafu ww n mchezaj wangu wa mda ote respect Bro
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 3 ай бұрын
Kweli Ngasa alikuwa winga mzuri, lakini huwezi kumlinganisha na Lunyamila.
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 2 ай бұрын
Ajengewe mnara kitaifa 💪💪💪 Ngasa,Ngasa Anko
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 2 ай бұрын
mchezaji wangu pendwa ngassa alikuwa hatari sana
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 2 ай бұрын
Natamani japo arudi msimu mmoja akacheze Yanga tunampenda huyu Mwamba wetu 💚💛💚💛🌷🌷
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 3 ай бұрын
Iliisha 3/3
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 ай бұрын
Natamani Leo ungekuwepo kwenye Yanga ya Leo yaani
@kaktimezone
@kaktimezone 3 ай бұрын
One of the greats
@AbdallahMsangi-od5ro
@AbdallahMsangi-od5ro 3 ай бұрын
Nice
@user-el5lx5ot4m
@user-el5lx5ot4m 3 ай бұрын
Jamaa alikua anajua , management yake iliyokua inamsimamia jau huyo ndo alitakiwa awe mchezaji mkubwa katika historia ya soka letu alipata bahati ya kufanya trial westham pia na kule Canada lkn ndo hvo. Jamaa alikua anaipenda yanga sio mchezo alikataaa hela za wasudani kisa kubaki yanga😂 ila ngasa😂😂😂😂😂 hatare sana enjoy soccer #anko
@jumamata9918
@jumamata9918 2 ай бұрын
Cmpng uncle 16
@user-el5lx5ot4m
@user-el5lx5ot4m 2 ай бұрын
@@jumamata9918 nwamba alikua anajua halafu anacheza direct football mzee hataree
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 3 ай бұрын
Anko 🙌🙌🙌🙌🏆
@MAGEMEYOHANA
@MAGEMEYOHANA 3 ай бұрын
Unyama
@beatuskihonza7206
@beatuskihonza7206 2 ай бұрын
Ni kweli hamna kama Ngassa hajatokea
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 3 ай бұрын
Sio siri ile mechi ilikua ngumu
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 3 ай бұрын
Si amesema mwenyewe
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 3 ай бұрын
Alikuwa anajua soka toka utoto tukicheza chandimu
@RiphatiYasini
@RiphatiYasini 2 ай бұрын
Namkubali xana
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 3 ай бұрын
Ngasa kama ngasa
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 3 ай бұрын
Namkubali mchezaji huyu kuliko yoyote
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 3 ай бұрын
Alikua mgonjwa ila anakitu mwilini ngasa
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 293 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
JINSI YA KUJIUNGA NA TIMU ZA VIJANA ZA AZAM FC
9:56
Azam Football Youth Development
Рет қаралды 17 М.
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI KINGWENDU NYUMBANI KWAKE
18:31
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 271 М.
Messi and Ronaldo Act of Kindness ! Who Deserves To Be GOAT ?
0:39
Messi & Garnacho💔🇦🇷
0:18
SkillerHome
Рет қаралды 7 МЛН
this picture 🥶 #cr7 #edit #football #trollface
0:22
FOAR7
Рет қаралды 5 МЛН
Стань Роналду 🤯
0:27
MovieLuvsky
Рет қаралды 481 М.