Soko kubwa ambalo nafaka zote hukusanywa na kuuzwa sehemu mbali mbali hapa Tanzania na nchi mbali mbali Africa na Dunia kwa ujumla.
Пікірлер: 8
@shafiylota370410 ай бұрын
Soko lipo Dodoma vyie vp
@suwedinamga5813 жыл бұрын
Kibaigwa iko Dodoma mwamba
@shafiylota370410 ай бұрын
M mwenyewe najua lipo Dodoma
@SuperAussi35 жыл бұрын
Tafadhali tusaidie orodha ya nafaka zinazouzwa hapo soko kibaigwa
@mazaolink5 жыл бұрын
Mahindi,alizeti,ufuta,maharage,mbaazi,mtama,ulezi,ila mahindi ndio kwa sana.
@abuubabuu27554 жыл бұрын
Ila hapo soko la kibaigwa lipo dodoma sio morogoro
@JudyAkoyo-wf1on Жыл бұрын
Nauliza ndugu Niko Kenya na ningependa ninunuwe nafaka naeza kuwasiliana aje na wewe juu nafungua biashara ya nafaka Kenya na ningependa kununua na nyinyi