No video

Spoti Hausi: Mzee Akilimali Atoa ya Moyoni Kuhusu Manji

  Рет қаралды 8,898

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Katibu Mkuu Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Akilimali na kufunguka mengi kuangazia Mwenyekiti wao wa zamani Yusuf Manji na klabu yake na soka la bongo kwa ujumla.
KILA ALHAMIS USIPITWE SPOTI HAUSI, GLOBAL TV LIVE, SAA 10:00 ALAASIRI
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 7
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Okay
@rahimali1068
@rahimali1068 6 жыл бұрын
Nakubaliana na huyu mzee yanga haiwezi kuuzwa wala kukodishwa,kwa sababu tuna upinzani wa jadi kwa sababu kama tukiuza timu na tukikodisha timu yetu tutakuwa tumemuuzia mtu timu, halafu huyo MTU kapokea hela ataibisha timu itakuwaje.....yanga INA miaka mingi yanga hatuwezi tukamuachia muhindi huku ulaya tunawajua ,yanga tuachieni yanga....dar
@williamndizi6157
@williamndizi6157 7 жыл бұрын
Mzee Akilisimali unaharibu zaidi badala ya kujenga, mbona hatuoni msaada wako zaidi ya kuchonga tu. Kiukweli unachangia klabu kuwa na migogoro, acha hizo bwana.
@hamismwangi4642
@hamismwangi4642 7 жыл бұрын
hahaaa wazee wengine ni wakoloni balaa
@daybrelimite6126
@daybrelimite6126 7 жыл бұрын
huyu dingi huyu basi tuu
@ipyanamwakabungu4418
@ipyanamwakabungu4418 7 жыл бұрын
babu huyu hana lolote kazi kulopoka lopoka
@user-zl5vg9vt4e
@user-zl5vg9vt4e 7 жыл бұрын
hili zee hili duh
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 18 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 29 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 23 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 18 МЛН