SUBIRA / IPO NA MAANA KUU MBILI / KUNGOJA / KUVUMILIA / SHEIKH WALID ALHAD

  Рет қаралды 28,967

DARSA TV

DARSA TV

4 жыл бұрын

SUBIRA / IPO NA MAANA KUU MBILI / KUNGOJA / KUVUMILIA / SHEIKH WALID ALHAD
USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUACHA MAONI YAKO KWENYE COMMENT KUFANYA HIVYO NDO KUTU SUPPORT SISI THANKS
SUBSCRIBE
COMMENT
LIKE
SHARE
THANKS

Пікірлер: 32
@Balahau_og
@Balahau_og Жыл бұрын
Sheikh Walid popote ulipo naomba utambue kua nakupenda kwa ajili ya Allah 🤝
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
MashaAllah...Allah akujaalie IKHLASW na ukupe ilmu zaidi uzidi kutuilimisha haswa kuhusu juu ya Mtume wetu s.a.w...na hilo koti lekundu mashaAlla mashaAllah mashaAllah.... kutoka kenya
@Nailafussy-kg7qz
@Nailafussy-kg7qz 2 ай бұрын
Kaaaa mm sisemi jamani NAMPENDA SHEHE WARUD SANA
@fetysukafetysuka9056
@fetysukafetysuka9056 3 жыл бұрын
Shukran shekhe langu Allah akupe umri mrefu wenye kheri
@jafaliimani6989
@jafaliimani6989 3 жыл бұрын
Maanshallah mwalimu warid nirianza kukuelewa nakukupenda katika albaini ya sheh mgaza rahmaturllah namuomba allah akupe umli mlefu
@MOHAMEDMUHINAIsssamavumbi
@MOHAMEDMUHINAIsssamavumbi 7 күн бұрын
Shek wald mungu akuweke
@seifchui4246
@seifchui4246 Жыл бұрын
Nakuelewa sana sheikh Walid, (cape Town)
@fatmafmly
@fatmafmly 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah ya sheikh pia mm namini kusubiri n ibada
@kingkijeyba9903
@kingkijeyba9903 4 жыл бұрын
Maashallah
@nadiasaidy863
@nadiasaidy863 Жыл бұрын
Mashaalah Mola akupe Maisha marefu yenye Afya
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 4 жыл бұрын
Allahu Akbar !! mwenyezi mungu akufanyie wepesi katika majambo yakoo
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 3 жыл бұрын
Shukraan na maa shaa Allah sheikh, ila kuonjwa kwenye hofu (uwoga) hii sijaipata maana vizuri
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 4 жыл бұрын
Darasa zuri sana Mashaallah
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Máashaa ALLAH. Sheikh nakuelewa vizuri Allah akulipe kila lakheri.
@fundimuniraa8351
@fundimuniraa8351 3 жыл бұрын
Mungu akujaaariee kila la kher
@zuwenahassan9040
@zuwenahassan9040 2 жыл бұрын
maa shaa Allah
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 жыл бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEKHE WARID
@nuhubashiramubashira7233
@nuhubashiramubashira7233 7 ай бұрын
Maashalaah
@yusramwadini
@yusramwadini 24 күн бұрын
😘😘😘😘😘😘😘😘
@abisahdamuyao1647
@abisahdamuyao1647 3 жыл бұрын
Mungu akupe umli
@user-ju1pl7rr8n
@user-ju1pl7rr8n 10 ай бұрын
Aslm alkm ww.... jazakallah kheir 🙏. Allah akulinde akupe umri furaha na mafanikio.
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 4 жыл бұрын
Well stated! Ningependa kuona darsa la kuwasisitiza waislamu kupenda kufanya kazi na kutafuta riziki za halali!
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
sawa maalim tumesikia
@hudhaifakatada6016
@hudhaifakatada6016 4 жыл бұрын
Assalam alykm waramatullah wabarakatuh tulikuwa tunaomba sisi waumie shekhe walid atuelezee kuhusu uwepo wake allah na sifa zake na tuamini vipi aya hii الرحمان على العرش استوا au ان ربكم الذى خلق السماوت والأرض ثم استوا على العرش je allah yupo juu?
@suffysuffy5073
@suffysuffy5073 4 жыл бұрын
doooh
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
ndio nyumba akauziwa nyumba jamii ya kabika mkabaa ndio mim nikwenda kushui ukambani pia kunajina la Babu yanguu naitwa feswal Salim said faraj hamudd ndio kukaitwa surtan hamudd oky
@hassanjumanne7853
@hassanjumanne7853 4 жыл бұрын
Mashaa Allah inspired brother sheikh huwa ananivutia sanaaa claps zake hua sikosi kuzitazamaa
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
shukraan
@abalqassimqay6297
@abalqassimqay6297 4 жыл бұрын
Qweli kabsaa
@barwani890
@barwani890 4 жыл бұрын
Mashaallah ustaadh waliid urith WA ustaadh alhad Omar Allahu bariik
@salmaally7607
@salmaally7607 2 жыл бұрын
hizzi. clip naaomba
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 13 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 192 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
EWE ULIEDHURUMIWA USIVUNJIKE MOYO KUWA NA SUBRA. SHEYKH; HAMZA MANSOOR
38:06
Al-hidayah online tv
Рет қаралды 18 М.
TAFSIR SURAT YASSIN (PART 1)
54:51
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 5 М.
Umuhimu wa Subra katika Maisha ya Mwanadamu - Sheikh Kilemile
33:50
Rashid Dilunga
Рет қаралды 70 М.
PAZIA LA KUJIKINGA NA MISUKOSUKO YA MAISHA - SHEIKH WALID ALHAD
37:29
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 75 М.
Tafsiri ya Suratul Maaun / Sheikh Walid Alhad
1:19:40
DARSA TV
Рет қаралды 15 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
0:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 22 МЛН
Во сколько смотришь? Заливаю в 10-22😉
0:36
Юлия Смирнова
Рет қаралды 2,6 МЛН