No video

SUNGWI /EP 5/ Full Episode

  Рет қаралды 117,141

Dubu Tz

Dubu Tz

Күн бұрын

#clamvevo #snakeboy #wronghouse
Sungwi Ni Movie Inayo Muelezea Kiongozi Ambaye Anawetesa Na Kuwa Nyanyasa Wananchi Wake Na Anatokea Kijana Mgeni Ambae Anakuja Kuwa Msaada Kwenye Kijiji Hicho

Пікірлер: 431
@AngelSilas-yi3sd
@AngelSilas-yi3sd 2 ай бұрын
Huyo jamaa mwenye minywele ni mmbea kama kipara wa kwenye snack boy sezoni2 tunao fatilia snack boy sezoni2 tujuane😂😂😂
@zenasalumu8570
@zenasalumu8570 2 ай бұрын
Dada wa mtawala ananifurahisha sana kama sio mtu mzima😂😂😂 ananifurahisha mnooo mauwa yako🎉🎉🎉
@user-vo8wy4dw8c
@user-vo8wy4dw8c 2 ай бұрын
Unaililia yakoo 😂😂😂
@user-eu2xp4jg1e
@user-eu2xp4jg1e 2 ай бұрын
We uogopi
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 2 ай бұрын
Naisi chief kasahau km kuna mke we2 bado na yy anatisha zaid km ume gundua ilo weka like ❤❤
@user-dw4ek6uc3x
@user-dw4ek6uc3x 2 ай бұрын
dubu nicjek
@AminaAbdallah-kc2fs
@AminaAbdallah-kc2fs 2 ай бұрын
❤❤❤
@husseinkiture4860
@husseinkiture4860 2 ай бұрын
Alafu Wew Nimeumbuka Vibaya Naona Ata Aibu Weka Like Kam Unamkubali Nyani NgweNgwe
@user-ie8cu9vm6p
@user-ie8cu9vm6p 2 ай бұрын
Unaililia yako😂😂😂 nawapenda nyote kaz nzuri Mashallah
@user-bu5lm4kx6u
@user-bu5lm4kx6u 2 ай бұрын
Timu dubu,,,,, much love frm Kenya,,,,,pakweli mwanibamba,,,next😅
@ChingaKenboy-fz8yr
@ChingaKenboy-fz8yr 2 ай бұрын
Big up me mtu wa mwanzo leo 🎉🎉🎉wp like zangu
@faridahally6314
@faridahally6314 2 ай бұрын
Nmewahi leo sii haba hongeren kwa kaz nzur
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Wao wakwanza kwa sungwi kaka dubu nipe mauwa yangu nawe pokea yako🎉🎉🎉'awano penda sungwi tujuawane❤❤
@user-ec6ow2cx7c
@user-ec6ow2cx7c 2 ай бұрын
Hongereni sanaaa dubu najua uwezi kushindwa kabisaaaaa jitahidi kutoa haraka tuasubiria ❤❤❤
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 2 ай бұрын
Uyu binty atembea na binty mfalme nampenda ana figa tako mashalla
@user-pn3uj3kc3j
@user-pn3uj3kc3j 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana dubu. Twakufatilia huku Kenya Nairobi twakupenda sana. Shida unakawia sana
@user-mi8lu8jn1x
@user-mi8lu8jn1x 2 ай бұрын
Good work keep it up bro ❤❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 2 ай бұрын
Ila pisikali na kambaleee😂😂😂😂mnanifurahisha sanaaa
@ZenaMustapha-tj8yn
@ZenaMustapha-tj8yn 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ndege wa moto limemkuta jambo
@user-qd7ey5cp5s
@user-qd7ey5cp5s 2 ай бұрын
Kazi nzuri brother❤❤❤keep it up🎉🎉
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 2 ай бұрын
Hunaitaka yako🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉 big up brother
@reginaphoziaebusa-np2hr
@reginaphoziaebusa-np2hr 2 ай бұрын
Nakubali kazi zko dubuu much love🎉🎉🎉
@ashasaidi1599
@ashasaidi1599 2 ай бұрын
Weee😂😂❤❤ mama. Kibongeee 😂😂 chuchu kozi nakupenda sana unajuaaaaa
@user-fu1db6bt3v
@user-fu1db6bt3v 2 ай бұрын
Jamani hongereni sana mno kwa kazi 🎉🎉🎉❤❤❤
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
Big up kijana dubu nimeiona #clam vevo... more.unajua sana tuko pamoja.salamu kwa nyie 🐼 panya mnaolilia laiki jishikilieni lasivyo mtashikwa na kuchezewa.
@EricKambale-dl7pj
@EricKambale-dl7pj 2 ай бұрын
❤❤ wa ngapi wana mkubali dubu ❤❤
@FatumaPhilimoni
@FatumaPhilimoni 2 ай бұрын
Dubu kz nzuri Sana Ila tatizo munapunja Sana dakika tafadhali sisi kama mashabiki zako tunakuomba utuongezee japo dakika tafadhali sana
@user-vu3rh4ve5w
@user-vu3rh4ve5w 2 ай бұрын
Ilo kweli ❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 ай бұрын
Ndege w 🔥🔥🔥🔥Bada ujakomo pole yako ww chifu anakupoza hyoo kuwa makin mapengo alafu ww
@user-by6bg2fq6b
@user-by6bg2fq6b 2 ай бұрын
good job next pleaz, jitahidini kuwaisha miendemezo pleaz 2nawaombaaa
@MartinEmmanuel-eh7fu
@MartinEmmanuel-eh7fu 2 ай бұрын
It's very interesting film keep it up guys ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 ай бұрын
Pis kali inanivucha mbavu hongela dubu❤❤❤
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 2 ай бұрын
❤❤🎉 good job I pray to God to grant you good health and strength to continue to entertain us
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 ай бұрын
🤲❤️
@AmosGawishi
@AmosGawishi 2 ай бұрын
Ni nzuri sana,na nimependa sana tatizo mnachelewesha sana.
@famidaally2665
@famidaally2665 2 ай бұрын
Dubu marahii umeamua kutufurahisha unaitaka yako kambare😂😂😂❤❤
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 2 ай бұрын
Motooo.. Kenya tunakubali
@sitichepu2305
@sitichepu2305 2 ай бұрын
Kaz nzur sana❤nawapenda nyote
@user-oj8uk6fq5x
@user-oj8uk6fq5x 2 ай бұрын
Unacherewa sana dubu ❤❤ila nawakubali
@mariamdennis9576
@mariamdennis9576 2 ай бұрын
Kambaleee ila nyieeeee mnajua mpaka mnaboaaa😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@princekillian3640
@princekillian3640 2 ай бұрын
Halafu wewe mbna imekua fupi hii movie 😂😂😂 much love from kenya 🇰🇪 ❤️
@Andreaediga
@Andreaediga 2 ай бұрын
Kazi mzur xan❤❤
@ndayisabaneema9514
@ndayisabaneema9514 2 ай бұрын
Jamani nampenda dada yake chief Ananifurahisha
@LilmmyCrazyfficial
@LilmmyCrazyfficial 2 ай бұрын
Wa kwanza mimi Leo jamani team DUBU TZ❤❤❤😊
@JaneDaimon
@JaneDaimon 2 ай бұрын
Ila msikae Sana eti Yani naludia ludia mala kwa mala kuangalia ❤❤❤❤
@user-rf8hb5fl1s
@user-rf8hb5fl1s 2 ай бұрын
Kazi nzuri ila msichelewekutoa mwendelezo
@user-lm7fx7hw8y
@user-lm7fx7hw8y 2 ай бұрын
sema mnajua sana aisee yaani aichoshi kabisa safi sana kazi nzuri
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 2 ай бұрын
Duh hii series nzuri sana hongereni sana
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 ай бұрын
❤️
@LizenMaker
@LizenMaker 2 ай бұрын
@@OfficialDubu_tz kazi zenu nzuri mi naona Dubu na timu yako nyie number 1 Kwangu
@user-se4gi2or6o
@user-se4gi2or6o 2 ай бұрын
Big up dubu oko vizur
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 2 ай бұрын
Unaitakaa yakooo chuchuuu konziiii😂kambaleee kama kambaleee unaililia yakooo unaitakaaaa yakoooo😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Dubu nakubali sana kazi zk unajw mpk unajw tn nakufatilia sana❤🎉
@MARYAM808ZING
@MARYAM808ZING 2 ай бұрын
Kazi nzur san, nakupenda san bongee Dada bonge ukovizr san❤😂😂😂😂
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani kambare wew unatak kumnajis mtto wa 2ooo.unaitaka yako,unaililia yakwako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, chchu konzi.nawapnd bure🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@user-er2ch5sz9p
@user-er2ch5sz9p 2 ай бұрын
We uogopi 😂😂
@matugarecords
@matugarecords 2 ай бұрын
Daaah nimecheka kinoma huyo TENGE wa kibongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MoTalentTz
@MoTalentTz 2 ай бұрын
Naona duku katangaza vita na wana kijiji 😂😂😂😂
@MariamWilliam-j4u
@MariamWilliam-j4u 8 күн бұрын
Jaman mie nimechelewa naomben like nawapenda wote mnaoangalia
@Johar903
@Johar903 2 ай бұрын
Dubu lini unatuletea jamanii nimewamiss sana Alafu wewe chuchu kozi Dubu upo vizuri sana ujawahi kuferiii❤❤❤❤❤
@BbyMunira
@BbyMunira 2 ай бұрын
Movie nzuri lakini mnachelewa Sana kuitoa hahahaha hatari lakini salama mtumishi moto unaniua mbavu zangu
@Amina-Rshd
@Amina-Rshd 2 ай бұрын
Mr Dubu nakukbali san wallah yap wachelewa san Ila tuko pamoja sn❤❤❤🇰🇪
@REHEMAOSCAR
@REHEMAOSCAR 2 ай бұрын
Moto juu ya moto toend ndefu kidog
@YbizCollins
@YbizCollins 2 ай бұрын
Ipo sawa sana sasa ya SITA nawombeni tafadhali ije mapema
@Sofiashabani780
@Sofiashabani780 2 ай бұрын
Sema nimechelewa jamani leo pole yng
@muhammadamir2901
@muhammadamir2901 2 ай бұрын
Series tamu sana 👏👏👏
@user-uw6sf2kp6o
@user-uw6sf2kp6o 2 ай бұрын
Aiiii hii tabia ya kucomment before watching muaje aki 😂😂😂😂😂😂😂😂
@marymele9714
@marymele9714 2 ай бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂😂Binti mfalme na kambaele,,,,, unaililia yako 😂😂😂😂😂😂😂😂
@EvanspsalmistWesonga
@EvanspsalmistWesonga 2 ай бұрын
Kazi njema ndugu zangu 👏👏👍 tunawapata vyema uku keni
@AminaAbdallah-kc2fs
@AminaAbdallah-kc2fs 2 ай бұрын
Kazi nzuri ila msichele kutoa muendelezo❤
@RebeccaKapama-wm3vf
@RebeccaKapama-wm3vf 2 ай бұрын
Xafi xan kazi nzuri xan❤❤❤❤❤❤❤❤
@MwaksiShamte
@MwaksiShamte 2 ай бұрын
Mmezid mnakaa mwaka nzima ND mnatoa
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz 2 ай бұрын
Daaah ni fire hongereni team dubu
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 2 ай бұрын
😁😁😁🤣biti mufarme kama cizi kijana mngeni usikubali kushindwa kunabiumbe nyuma yako bado binaitaji msahada wako kuwa jasili ❤❤❤🌹🇧🇮
@user-ix3ql2dz4j
@user-ix3ql2dz4j 2 ай бұрын
All the best Dubu na wasanii wenzake❤❤❤ nawakubal san
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 ай бұрын
❤️
@mathnaasaa2166
@mathnaasaa2166 2 ай бұрын
Sjaelwa hapo mnapochukua matako ya huyo mdada😮
@user-wi4kr2zr7x
@user-wi4kr2zr7x 2 ай бұрын
Katoto ka mzee kamalaya ka maziw
@ZawadiRadjabu
@ZawadiRadjabu 2 ай бұрын
Much love from U S A japo kua leo nimechelewa kazi nzr Dubu ❤ila ndege wa moto 😂😂
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Mnanitahidi Sana kwa kweli... Utunzi wa stor nzuri na kila kitu.. Keep it up braza
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 ай бұрын
🙏🙏
@RamaMkuru-qd3gc
@RamaMkuru-qd3gc 2 ай бұрын
Dubu baba we noma piga kaz
@EmilykuvunaKonzi
@EmilykuvunaKonzi 2 ай бұрын
Waaah kali ya moto Alafu ww🤣🤣🤣
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 2 ай бұрын
Nakubari mtoto wa 2000 ila muonee hurma tu kambale maana mmeendan akili 😂😂😂😂😂
@FarajaElliasi
@FarajaElliasi 2 ай бұрын
Mmh hatar lakin salama 😂😂😂
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 2 ай бұрын
gud job keep going na muwache kukawia mnafanya tukate tamaa
@user-ko4in4uy1u
@user-ko4in4uy1u 2 ай бұрын
Big Upo Sana Team Dubu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 ай бұрын
Hauogop yko noma san wallah 😂😂😂😂
@Zingizi15Makala
@Zingizi15Makala 2 ай бұрын
Leo wakwanza mimi
@reginaphoziaebusa-np2hr
@reginaphoziaebusa-np2hr 2 ай бұрын
Tumekuona baba
@user-jl3ev3ql9r
@user-jl3ev3ql9r 2 ай бұрын
Ndege wa moto usiludie Tena baba utouponza
@TitusKurui
@TitusKurui 2 ай бұрын
Waah vipindi nyenu mnachelewesha sana
@Didah-ph6lo
@Didah-ph6lo 2 ай бұрын
Tatizo dubu wachelw...but kazi nzuri twafatilia kipindi tukiwa Nairobii❤❤❤❤
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 2 ай бұрын
Dida
@nurjanniyaz1832
@nurjanniyaz1832 2 ай бұрын
Jamani dubu ndio king na MKEWE NI QUEEN
@mussanyanda3451
@mussanyanda3451 2 ай бұрын
Ndege wa moto mmempa uji wa mahindi😂😂😂
@famidaally2665
@famidaally2665 2 ай бұрын
😂😂😂 kambare kambare kweli🎉🎉🎉🎉
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 2 ай бұрын
Uko juu brother Dubu
@mathnaasaa2166
@mathnaasaa2166 2 ай бұрын
Jamani hongereni mnafanya vzr sna tunainjoy sna
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 ай бұрын
❤️
@MwanamkasiBakari-pb2gw
@MwanamkasiBakari-pb2gw 2 ай бұрын
Ety mtt wa elfu mbili wee huogop😂😂😂😂
@Melvy-kb3lc
@Melvy-kb3lc 2 ай бұрын
Hapo kwa zawadi nmecheka sana kma chizi😂😂😂😂😂😂
@MaSuzy-zf8ol
@MaSuzy-zf8ol 2 ай бұрын
Jamani pisi kali ananikosha kwa maringo 😂😂😂😂
@Abuuibrahim-kv9gp
@Abuuibrahim-kv9gp 2 ай бұрын
Vizuri sana msichelewe kutoa muendelezo
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 2 ай бұрын
Kambaleee kama.kambaleee mijaa.billa😂😂😂
@tatusemeni2791
@tatusemeni2791 2 ай бұрын
Next please kazi zuri sana
@johnmajondokitulla
@johnmajondokitulla 2 ай бұрын
Jamani KAZI yenu nzuri lakini mna warembo wazuri mabinti wameumbika❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 ай бұрын
❤️
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg Ай бұрын
Mkombozi kwenye Kijiji hichi ni Dubu kabisa,afu wew ni Meumbuka Vibaya,hakika dada huyu kapendeza kua Mwana ume.
@user-he3nz6gt3d
@user-he3nz6gt3d 2 ай бұрын
Muchelewesha lakini kazi zenu nzuri sana
@miriammuthoka
@miriammuthoka 2 ай бұрын
Kazi safi sana❤
@dollar105
@dollar105 2 ай бұрын
😂😂we kambale unachosha zuchu konsi 🎉🎉🎉😅aah daah hatari alfu wewe udugu wangu naipnda
@AmaniChari
@AmaniChari Ай бұрын
Mtumishi moto dubu atakuuwa
@user-yu9os6ld3f
@user-yu9os6ld3f 2 ай бұрын
Kazi nzuri snaa
@RubanzintwariJeanclaude
@RubanzintwariJeanclaude 2 ай бұрын
Ona Sasa Chano ya ya dubu tz vire imependeza tujaze hata 100k
SUNGWI /ep 6/ FULL EPISODE
21:06
Dubu Tz
Рет қаралды 115 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 9 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 97 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 45 МЛН
HIDDENBWAY -X- HAJRA KIDOTY (NIJE OFFICIAL VIDEO)
3:01
Hidden Bway_
Рет қаралды 439 М.
MTOTO WA SHULE
8:02
CLAM VEVO
Рет қаралды 565 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
KOSA LA MOYO mwisho
16:34
Nong'a Comedy
Рет қаралды 824
SUNGWI /ep 7/ Full Episode
24:29
Dubu Tz
Рет қаралды 125 М.
FORTUNE | Ep 01| Full Episode
17:29
Hajra Kidoti
Рет қаралды 113 М.
SIRI YA KIFO - EPISODE 01 | STARRING CHUMVINGINGI, CHENDU
21:09
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 173 М.
SECOND WIFE  II HEMEDY CHANDE II M2 II Full Movie
1:21:24
Classic films tz
Рет қаралды 465 М.
IMAAN- EPISODE 01 | STARRING CHUMVINYINGI
15:17
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 73 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 9 МЛН