😅😅😁😁 makafiri nihatari ati nyanyua migu miwili ugande hatari kweli
@edriansmith58092 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@saidmsuya94203 жыл бұрын
Mtu anasinzia sinzia saa saba mchana
@mbaeprimary19633 жыл бұрын
Kipozeo acha kugusa habari za makabila unatukera sisi wamakonde au unaweza kuomba radhi wamakonde wote kwa kosa hilo yaumulkiama ?. Acha kashfa kwanza unaongea visa ambavyo hata wewe mwenyewe huwezi thibitisha. Mche Allah shekh. Inatosha mtu kuwa muongo kwa kusema kila unalolisikia.Nakupenda lkn acha kashfa dhidi ya wamakonde. Vinginevyo tuambie kabila lilobora.
@hajiha65073 жыл бұрын
Povu mbona, ni mifano tu
@yassinrashid11923 жыл бұрын
Ni mtani wao bhana 🤣🤣🤣
@nuurjumaan2663 жыл бұрын
Mmi pia nakuunga mkono huyu shekhe kidogo atoka ktika mipaka
@salehally80073 жыл бұрын
mnafiki mkubwa ww mbwa wa bakwata
@rashidiabdul-aziz47913 жыл бұрын
Saleh weye sio mnafiki huongei na Wala humtetei muislamu yoyote au unafiki gani saleh
@rashidiabdul-aziz47913 жыл бұрын
Halafu unamwita binadamu mwenzako mbwaa daah omba msamaha