No video

TAFAKARI YA SIKU, JE NI HALALI WATU KUTUMIA POMBE?

  Рет қаралды 26,006

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

7 жыл бұрын

NA PADRE TITUS AMIGU.

Пікірлер: 47
@constantinennonjela3922
@constantinennonjela3922 6 жыл бұрын
baba Padre Titus Amigu Mungu amekuteua kuwa Mwalimu wa kanisa asante kwa busara zako. Mungu akujaalie maisha marefu nasi twapaswa kufuata na kuyaishi mafundisho yake
@mariej6962
@mariej6962 2 жыл бұрын
Nilikuwa namsikiliza sana Padre enzi akiwa na session Radio Maria akijibu maswali. Inafurahisha sana kumwona kwenye video, very talented mtu wa Mungu wetu anayechunga kondoo wa Bwana. Asante Mungu kwa zawadi hii katika kanisa letu. Such a happy face. Safi sana kwa mliokuja na wazo la hii program
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 5 жыл бұрын
Mimi huwa nakuelewa sana, Fr. Titus Amigu. Mungu akubariki.
@timotheontaholija1847
@timotheontaholija1847 2 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu hakika wewe ni mwalimu na kiongozi mwema wa kanisa asante
@raphaeldayos9188
@raphaeldayos9188 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie na kukuongezea busara Mwl wangu wa Imani na wa Darasani
@happynyoni638
@happynyoni638 5 жыл бұрын
wakatoliki tuhakikishe tunamiliki Biblia za kikatoliki ambazo mafundisho yetu yamechotwa humo... Asante Fr kwa elimu hii
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Kabisa umenena
@editamujuni94
@editamujuni94 Жыл бұрын
Amina
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Mnafata wazungu kumsingizia na bee
@felisterligwa
@felisterligwa 6 жыл бұрын
Baba Amigu Mungu akutunze.Asante sana
@ernestmbowe4047
@ernestmbowe4047 4 жыл бұрын
Kwa hiyo unawatia moyo walevi wenzako, uwaambie watu hivi konyagi, Serengeti safari na pombe za Tanzania ni divai? au ni mzao wa mzabibu? Waambie pia kwa nn hivyo vitabu vya apokrifa viliondolewa?
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 4 жыл бұрын
Amina Mungu, mkuu na mwamba wa imani.
@claudianoemanuelkiwone3712
@claudianoemanuelkiwone3712 6 жыл бұрын
I Salute you Jalimu Titus Amigu
@fedsonmagai4867
@fedsonmagai4867 6 жыл бұрын
maunda zoro
@isayamlimbila1522
@isayamlimbila1522 Жыл бұрын
,😭😭😱😱😱😱😱 Roho inakushuhudia ivo au ??
@patrickpermen
@patrickpermen Жыл бұрын
Nadhani iko mistari Mungu inayohusu pombe ungechambua yote
@trizermaingu4424
@trizermaingu4424 6 жыл бұрын
very well argued
@getrudaadolfu7561
@getrudaadolfu7561 6 жыл бұрын
ubarikiwe baba AMigu
@paulhando6286
@paulhando6286 Жыл бұрын
Baba ninakushukuru sana kwa elimu unayotupatia, maana, kusoma biblia peke yangu napata tafsiri nyingi ambazo zinatatiza, laki kwako tunapata tafsiri sahihi na kuondoa shaka. Mungu akulinde na kukuongezea umri ili tuchote uelewa zaidi. Mzee Paul Hando
@bahatmasawe1959
@bahatmasawe1959 Жыл бұрын
Huu ni upotoshaji kabisa
@naomibenjamini2088
@naomibenjamini2088 5 жыл бұрын
Baba Amigu kipindi Cha Jifunze Biblia ulichokuwa unaandika katika gazeti la Kiongozi kwasasa kinapatikana wapi. Ili kitufae katika kutimiza lengo la kuumbwa kwetu.
@hildamyombe5529
@hildamyombe5529 4 жыл бұрын
Amina
@deomuro8614
@deomuro8614 4 жыл бұрын
Tena imeandikwa..(bali atakayemkoseasha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio ,yamfaa afungiwe shingoni jiwe kibwa la kusagia na kutoswa ktk kilindi cha bahari...matayo18:6-7 father hapa hakuna cha kidogo ..ulevi ni roho na ina waingia wengi .. Fanya utafiti..
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 3 жыл бұрын
Tatizo hampendi ukweli,mbona padre kaeleweka sana
@suzantryphon7314
@suzantryphon7314 3 жыл бұрын
Asante sana Fr. Amigu
@fredrickmakoba628
@fredrickmakoba628 5 жыл бұрын
Mafundisho mazuri
@paultumbo4191
@paultumbo4191 2 жыл бұрын
Ninamba tuko pamoja
@finiasezra7072
@finiasezra7072 2 жыл бұрын
Walevi wakubwa nyinyi, lakini sikio lenu alisikiii ata Mkiambiwa ukweli amtasikia
@jacksonpriva7664
@jacksonpriva7664 Жыл бұрын
Soma neno upate kweli, acha miemko
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
​@@jacksonpriva7664 kalewe mnamsingizia isa kwa dini ya uongo ndugu ujue yule ni na bee msifate wazungu mnaongeza eti chakula na pombe pombe imekatazwa inapoteza faham chakula utaumwa
@bahatmasawe1959
@bahatmasawe1959 Жыл бұрын
Pombe ni DHAMBI kwa herufi kubwa
@suzantryphon7314
@suzantryphon7314 3 жыл бұрын
Biblia za koprotestant ni extracts ya biblia ya kikatoliki.
@bahatmasawe1959
@bahatmasawe1959 Жыл бұрын
Ole wake ampae jirani yake kileo ... Imeandikwa in bible.
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Жыл бұрын
Wana wa MUNGU ALIYE HAI (WATEULE) JIEPUSHE NA POMBE. TAIFA LA MUNGU NI ISLAEL
@deomuro8614
@deomuro8614 4 жыл бұрын
Hapana hapana ..father jihadhari na hilo..imeandikwa 1korinto 6:9-10 ..asomaye na afahamu..
@hiphop1035
@hiphop1035 3 жыл бұрын
utaelewa tu unatakabaawafuge kuku
@themessage3508
@themessage3508 3 жыл бұрын
Unapotosha watu na vitabu vyenu mlivyo ongeza katika biblia wakristo tusome biblia xn
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 3 жыл бұрын
Kapotosha nini Sasa
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 2 жыл бұрын
Ksome Warumi 14: 1-23 na Mathayo 11: 18 -19. Ndo utaelewa
@nadiaaaminmuguawajalienada2309
@nadiaaaminmuguawajalienada2309 6 жыл бұрын
Kwahiyo kumbe pombe ilihalalishwa sijaelewa
@edgarrutaihwa2179
@edgarrutaihwa2179 6 жыл бұрын
Rudia tena utaelewa
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
Hujaelewa nn? Kwan maandiko hujayasikia?tatizo mnakaririshwa na wasio na elimu ckia madini hayo
@stephenjaphet2343
@stephenjaphet2343 4 жыл бұрын
Isaya 56:9-11 wachungaji vipofu hao nimbwa wenye choyo
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Kanisa katoliki ni wapingakristo. Waabudu sanamu hawamwamini Yesu kama Mungu
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 2 жыл бұрын
@@ngwanafabian9668 kasome Mathayo 11:18-19. Je mwana wa adamu ni nani?
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 17 М.
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,7 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
TAFAKARI YA SIKU NA PADRE TITUS AMIGU
13:00
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 10 М.
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
JE, NI AMRI IPI KUBWA KULIKO NYINGINE?  -  FR  TITUS AMIGU
10:37
MCHG: DR: MWAMBOLA. K.K.A.M* AKITOA SALAMU KWA KANISA
15:00
Mhapa Tv online
Рет қаралды 9 М.
Mt. Don Bosco Kimanga - Twendeni Kawekamo (Official music video)
9:11
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45